Ndugu wafatiliaji wetu hii ni moja ya qaswida kutoka madrasa tul THAURIA tafadhali endelea kufatilia kazi zetu kila zinapotoka kupitia RU-vid chanal yetu hii
kwa mahitajia ya shuhuli mawazo au maoni tafadhali wasiliana nasi kwa simu au wasap namba
0776 133303/0779 048597
Aidha tunawajulisha ya kwamba tunatoa huduma ya MC kwa wale wanaotaka MC kwenye shuhuli zao mbali
kwa mawasiliano zaidi tupigie kupitia namba hizo hapo juu.
15 окт 2024