Hizo ni itikadi za kiibadhi kumkufurisha mtu aliyetenda dhambi kubwa lisilokuwa la ushirikina wala ukafiri Yaani mtu ikiwa atakufa kwenye wizi sio muislam hiyo tafsiri umeitoa wapi huo ni upotevu wa kiibadhi upo kinyume na mwenendo wa mtume swallallahu alaihi wasallamu na maswahaba nikweli hayo mambo matatu ni katika madhambi makubwa lkn hayamtoi mtu katika uislamu acha kupotosha ummah tusiwatishe watu kwa maneno ya uwongo
Kaka..iwapo mtu ama sheikh ametoa maneno yasio ambatana na Hadith Wala Aya... Dini yetu ni ya dalili na ushahid na ww usije ukapinga bila dalili nyote mtakuwa hajaelimisha .....Toa Aya ama Hadith hata yy mwenywe akikufuatialia kama ni muelimishaji atafuti mashabiki bas atakubaliana na ww. Lkn uku uliko fanya ww kunaitwa kufoka. Samahan kaka kw kukuingilia kwnye comment yko