Ni Imani yangu kwamba miongoni mwenu ni Malaika watakatifu wa Mungu hata ndio twasikia kupitia kwenu sauti zao. Utukufu wote kwa Bwana wetu Muumba wa vyote juu ya mbingu na nchi. Kwa mazingira mliochagua kuuimba huu wimbo ni kwa Utukufu wa Bwana mbali na, soma Mwanzo 11:3,4. Naendelea kuwaweka katika maombi nikitumainia ya kwamba Yesu akizuka hivi karibuni zote tutamkaribisha mawinguni tukiimba wimbo wa ushindi was Musa na Mwana kondoo ufunuo 22:7,12 ;15:2,3.
Mungu awabariki sana wanasongambele kwa nyimbo zenu zinazobariki. Hakika wimbo huu unaniguza sana kwa kuwa unazungumzia UKUU WA MUNGU kupitia kitabu cha Ayubu. Mtunzi wa wimbo huu Mungu akubariki na akuzidishie Neema yake hadi viwango vya juu vya imani hadi utimilifu wa utukufu wake nanyi waimbaji Mungu awaongoze ili mueze kuimba kwa Roho pia na ufahamu.Hakika Hakuna Mungu mwingine. Bado Anatawala. Mbarikiwe sana🇰🇪
Eiii, huu wimbo mliketi kitako, mkautunza vilivyo.. na sasa ni kubarikiwa tu. God bless you. I repeated this song at my place of work. I can`t tell the feeling I had in my heart. Asanteni sana, na msonge mbele zaidi.