Тёмный
No video :(

Azam FC kushusha chuma kingine nafasi ya ushambuliaji 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 7 тыс.
50% 1

“Kuna chuma kinakuja” maneno ya Afisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe akibainisha ujio wa mchezaji mwingine baada ya jana kumtambulisha kiungo mshambuliaji Cheikna Diakite.
Ibwe anasdema usajili huo mwingine ambao bado haujatangazwa unahusu nafasi ya mshambuliaji.
Ibwse anasema msimu huu watu wasipoleta timu wanawafuata hukohuko mazoezini.
#AzamFC #KambiYaAzam

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 11   
@ExaveryLukas
@ExaveryLukas Месяц назад
Kazi kazini nakukubali semaji la Azam fc damdam❤❤
@ARABIMAARUFU
@ARABIMAARUFU Месяц назад
Nakubali chama langu ❤❤❤❤ AZAM
@BABAJOAN1604
@BABAJOAN1604 Месяц назад
Hiyo jez aliyovaa nzuri mpaka inakera
@ZephaniaMnyembi
@ZephaniaMnyembi Месяц назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Azam chama langu
@nassor775
@nassor775 Месяц назад
Tunawasubili hapa Kigali azamu itafundishua mpira na 😊
@elibarikimollel9652
@elibarikimollel9652 Месяц назад
Hiii jezii ya mazoeziii napatajee
@shariffkasmir8271
@shariffkasmir8271 Месяц назад
Hii jersey mbona kali hivi
@adrophwilliam3225
@adrophwilliam3225 Месяц назад
Tutawafuata hukohuko walikojificha
@AllyMasangaluka-bm5ib
@AllyMasangaluka-bm5ib Месяц назад
Mtampeleka Simba jakite amnalolote atujashituka sie
@OmariBuger-oz3bx
@OmariBuger-oz3bx Месяц назад
Azam fc ni tamu xna
@AminaSingano-k4m
@AminaSingano-k4m Месяц назад
Okay
Далее
Whoa
01:00
Просмотров 33 млн
what will you choose? #tiktok
00:14
Просмотров 2,4 млн
WILL IT BURST?
00:31
Просмотров 26 млн
Whoa
01:00
Просмотров 33 млн