Тёмный

B2K_ft Lody Music_Tumekubaliana (official video) 

B2K Mnyama
Подписаться 180 тыс.
Просмотров 598 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 859   
@B2KMnyama
@B2KMnyama 2 года назад
mashabiki zang m nawapenda sanaa kiukwel kwanza naomba naomba niseme asanteni kwa kunibebaaa asilimia zote pili weng nkiwa naachia kaz zang pekeyang huwa mnadai collabo sio kwamba siwez kufanya ila changamoto yake ni kama hiii dogo lody alinivimbia kuja location tena sku tatu na week tofaut na ratiba anapanga yeye na badoo hakuja ila tu nasema asantee mung nmefanikisha kushut kwaiyo hata ambapo panamapungufu yeye ndio chanzo maana nmetumia magharama kulipia vtu na hakuja asanten
@nellyy8165
@nellyy8165 2 года назад
Bg up kaka usimpe ata time yakuanza kumjadili kokote kule onesha ukubwa kwakuto zungumuzia chochote kuhusu kukataa kwake
@updatempyatz7506
@updatempyatz7506 2 года назад
pambana Ivo Ivo bro 💪💪💯
@leaderchrisofficiel1876
@leaderchrisofficiel1876 2 года назад
Hamna tatizo kk 🔥 🔥 🔥
@youngbnine1249
@youngbnine1249 2 года назад
Ndo mziki wa bongo kaka daaah pole sana 🔥🔥
@michaelmganga9180
@michaelmganga9180 2 года назад
Daaah😭😭 pole mwamba wetu tupo nawewe MUNGU akuongoze
@Godfreykatembu
@Godfreykatembu 14 дней назад
Kalii iyo
@sabrinamakarani4706
@sabrinamakarani4706 Год назад
Hakuna kizuri kisicho Kuanachangamoto itatimia tyu
@branzwacchy
@branzwacchy 2 года назад
Hivi, Lody amekataa kutokea kwenye video ama? ......Hata wakudharau wewe jua kua wewe ni mkali na tutasupporti mziki wako💯💯
@B2KMnyama
@B2KMnyama 2 года назад
keep sapot
@ndonetz6342
@ndonetz6342 2 года назад
lod kazingua
@branzwacchy
@branzwacchy 2 года назад
@@ndonetz6342 Yule dogo kaniuzi..... yaani goma kali ila akakataa kutokea kwenye shooti aisei
@mbunah255
@mbunah255 2 года назад
Usizungumzie dharau zingumzima malipo bro kuna kitu cha kujifunza hapo
@roddyfawaz6
@roddyfawaz6 2 года назад
Point
@MuhamedSharif-lw3zn
@MuhamedSharif-lw3zn 11 месяцев назад
Anaeye ipenda nyimbo iyi alike hapa
@Conshamusic
@Conshamusic 2 года назад
Hii ni Goma langu la kufungia Mwaka ambae Yupo Sawa namimi Humu Gonga like hapa🔥🔥🔥🔥🔥💥
@Conshamusic
@Conshamusic 2 года назад
Mbn lody music hayupo tena kwnye video kheeeeeere.
@alimondbenson1751
@alimondbenson1751 2 года назад
Mbona Lody hatumuoni kwa Vidéo teena
@Conshamusic
@Conshamusic 2 года назад
@@alimondbenson1751 Apo mi mwenyew nikachoka ghafra kwmb hata mtoto mdg yule kashindwa kutoanae video aiseee
@B2KMnyama
@B2KMnyama 2 года назад
alinivimbia
@3malis
@3malis 2 года назад
@@B2KMnyama 😢😢😢😢pole brother
@YvesTreize
@YvesTreize Год назад
Nasisi tubakupenda sana
@sabrinamakarani4706
@sabrinamakarani4706 Год назад
Usijal pambana
@Directorkizzy_tz
@Directorkizzy_tz 2 года назад
Tupee sababu inayoo kubalikaa
@tatuidrisa8258
@tatuidrisa8258 Год назад
Ucjl mwamba ndo changamoto za game ila umeua mwamba bigup
@mathewdeus9978
@mathewdeus9978 4 месяца назад
2024 mwezi wa 6 umetisha sana B2K ndio mana jitu limeona litaaibika.
@nurulumwesa5805
@nurulumwesa5805 2 года назад
Kwanzaa boraa hayumoi piga Kaz b2k Kwanza nyimbo umeifanyia hakiii kaonaa kabomoka sanaa husonii kwahyo kaona dongee
@youngbnine1249
@youngbnine1249 2 года назад
Sasa imekuwaje tena kaka lody kavimba au
@starbea7742
@starbea7742 2 года назад
NDIOOO
@Steven_msomba
@Steven_msomba 2 года назад
Jaman tazam kazi hii nzur
@starbea7742
@starbea7742 2 года назад
ASANTEEEEEE
@husseinabdurlahman4284
@husseinabdurlahman4284 Год назад
Angaria ngoma ya jr mnyama
@majidpale4062
@majidpale4062 2 года назад
Ngoma Kali bro...lody music mbonà ayupo
@bonifacerenatus322
@bonifacerenatus322 Год назад
Nyimbo iko pouah sana iko dem moja hiyo ikiniona tu lazma ipige hii wimbo
@football-mo5ci
@football-mo5ci Год назад
Kama unamkubali Mwamba gonga like za kutosha apa
@tfahJongo
@tfahJongo 5 дней назад
,tunakupend piah haun baya bro ❤❤❤❤❤❤
@wardahwamras6976
@wardahwamras6976 Год назад
From Kenya aki bongo mnatuvurunga ile mbaya 😴🤣👌🔥👌👌
@magoliyambalikilavire2178
@magoliyambalikilavire2178 19 дней назад
Sema lody kazingua sema. Nn mziki wako ni mkali Pambana sana
@princemarkx1482
@princemarkx1482 2 года назад
Mbona lody amefanya hivi lakini wakenya 📵📵📵umetukosea kwa kutotokea kwenye hili dude😭😭😭😭😭😭😭😭☹☹☹☹☹☹
@starbea7742
@starbea7742 2 года назад
NDIO MAISHAA
@hhajimussa1737
@hhajimussa1737 Год назад
Kaka nakukubali asilimia %1000000000000000.nyimbo zako kalibia zote gooooood
@shimadosun
@shimadosun Год назад
Kali sana kaka❤❤❤❤
@teedullah5708
@teedullah5708 2 года назад
Jamani mmi hupenda huyu kijana nyimbo zake zote moto niko Saudi naburudika kweli
@homesaickofficial7407
@homesaickofficial7407 2 года назад
Yani uyo lord kamsanii kajana tuu kanakuvimbia kaka ingekua ni mimi nshazitupilua kule vi vesi vyake kisenge kwanza sura lake kama nungu nungu
@AaaBbbb-h6d
@AaaBbbb-h6d Месяц назад
Napenda sana nyimbo zako brathe
@fatumaelia6593
@fatumaelia6593 Год назад
John
@cennahstevozofficial3499
@cennahstevozofficial3499 2 года назад
Yaani LODY anajiona star na bado......
@starbea7742
@starbea7742 2 года назад
MAISHAAA
@jumamadebe835
@jumamadebe835 Год назад
Dogo, mlimba,. Tumekukubali Sana usitusahau, janja Hilo nyimbo nimelikubali sanaaaaaaaaaa
@officialmubytz1076
@officialmubytz1076 Год назад
Angeonekana loyde music ingependeza sanaaa Amevunja sanaaa
@HbdRadja
@HbdRadja 3 месяца назад
Very good May super Star
@hilarykingunge1230
@hilarykingunge1230 2 года назад
Lody music kalala mbele au sio
@MosonVevo
@MosonVevo 2 года назад
LIKE HAPO CHINI KAMA UMEIKUBALI HII HIT🔥🔥🔥🔥🇹🇿
@starbea7742
@starbea7742 2 года назад
HITIII
@aishasaid1793
@aishasaid1793 Год назад
Umetisha sana sana
@shomarikhalfani5709
@shomarikhalfani5709 Год назад
Nakukubali sana kaka, ila hangalia usiipoteze miondoko yetu ya makambako hile ndo ilifanya tukakujua
@jamesprincealiass
@jamesprincealiass 2 года назад
The Upcoming Superstars, hii ni kubwa zaidi #Kenya tumeipokea 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ndonetz6342
@ndonetz6342 2 года назад
HOM BOY KOMAAA SISIS TUPO NYUMA YAKO KWAHIYO LODY KAZINGUA
@alexmasinde2471
@alexmasinde2471 3 месяца назад
Nakubari sana 💪💪💪💪
@NattanMwalimu
@NattanMwalimu 2 месяца назад
Lody ulimfinika sanaaa b2k pole😅
@japhethjohansen7629
@japhethjohansen7629 Год назад
Goma hii nimeikubali sana chapa kazi mwamba
@osiahstimah
@osiahstimah 2 года назад
Ambao wanaamini b2k amemfunika lody music like hapa
@danimark3300
@danimark3300 2 года назад
Mbona lody kwenye video simuoni
@jaykaris
@jaykaris 2 года назад
Lody amefunika hii mzee
@smartvoicetz6311
@smartvoicetz6311 2 года назад
Nakukubalisana ila hapo bigi useful lody mbona Simuon sis ndo tunaanza game si tutaamini kua mziki kwel ahuna hela
@abenizermusic6694
@abenizermusic6694 2 года назад
Pigaaaa kelelelelelele 💪💪💪
@hitmelody3238
@hitmelody3238 2 года назад
jamaa unajuwa sana mungu akusimamie@b2k
@mericklusinde1739
@mericklusinde1739 Год назад
Loddy music kazingua kinoma
@vjsound4372
@vjsound4372 2 года назад
Kaza home boy wanajiona wakubwa
@husseinabdhallah8792
@husseinabdhallah8792 Год назад
Unatisha kka bonge la ngoma
@iwenymwinuka9622
@iwenymwinuka9622 Год назад
Bonge la song yaan ❤️❤️❤️❤️❤️
@Joyceruth-vc2gr
@Joyceruth-vc2gr 6 месяцев назад
Wow Wes ni my cute ❤❤ mim na penda ngomazako
@marthamwakila8267
@marthamwakila8267 Год назад
Saiz sauti inaendana na marioo
@leomkinga8909
@leomkinga8909 2 месяца назад
Br Lody sijamwona
@mariandamu7379
@mariandamu7379 Год назад
Piga kazi dogo nakukubali sana.
@PROFESSIONAL792
@PROFESSIONAL792 2 года назад
Safi lody amezingua kwann hayupo
@brianbryune3479
@brianbryune3479 2 года назад
Umetisha mkali,,,mtu flani ivi
@starbea7742
@starbea7742 2 года назад
ASANTEE
@tuzomathias489
@tuzomathias489 Год назад
Natamani kuona goma kali likifanywa na B2k mnyama ft fob one
@rafajohntz
@rafajohntz 2 года назад
Lody music amekosea sana hajui2
@starbea7742
@starbea7742 2 года назад
NDIO MAISHAA
@muhibusaid3427
@muhibusaid3427 2 года назад
Mkali wangu rody music
@barutithedoni9538
@barutithedoni9538 2 года назад
B2k we mkali kuliko ata lody mwenyew mbn nakubali sana ile kaz yako inaitwa wala sikuping damu yang niite baruti the doni kigoma log
@mussachesco6485
@mussachesco6485 2 года назад
Hili goma Kali kinoma
@zakayombilinyi5198
@zakayombilinyi5198 2 года назад
Kali sana
@devisadamson529
@devisadamson529 2 года назад
🎉 waache uko uko wanaoringa
@chidyprince1357
@chidyprince1357 Год назад
Lody music kazingua kinoma😌
@shedrackjoshua834
@shedrackjoshua834 Год назад
Nimekuta hii nyimbo imekuwa ringtone
@batonkg5833
@batonkg5833 2 года назад
Goma la kwenda
@nicelemoTripleFive
@nicelemoTripleFive 2 года назад
Director jina la wimbo umeasahau herufi moja umetupiga
@dinahila-pb9ls
@dinahila-pb9ls 10 месяцев назад
aisee nakuk bali sana mkali
@novathmkoko2468
@novathmkoko2468 2 года назад
Lody music amekuvimbia kua yeee star sana au
@nobethchaula1478
@nobethchaula1478 2 года назад
Ngoma Kali sana
@TunuDzidza
@TunuDzidza 2 месяца назад
B2k I like your all songs big up my blood ❤❤ congratulations
@brotheralimelody4703
@brotheralimelody4703 Год назад
Ngoma iko Sawa
@westchugagang5323
@westchugagang5323 2 года назад
Yaani lody katoka juzi leo kaanza kukunza kweli watanzania hatupendani
@immaboy8153
@immaboy8153 2 года назад
Mzee ngoma tumeikubali video kali sema imetuondoa kwenye mudi asilimia flan baada ya kipande cha lody music kutoonekana
@matekenya430
@matekenya430 2 года назад
Ngoma Kali Sana sijui kwa nn Lod hajaonekana kwny Music,Hata Kama angekuwa Yuko mbali Ni Bora angetuma clip ya kipande chake nae aonekane ingeleta uhalisia wa wimbo,Ila all in all Chupa kali
@B2KMnyama
@B2KMnyama 2 года назад
aligoma
@leaderchrisofficiel1876
@leaderchrisofficiel1876 2 года назад
Hamnta tatizo
@BabyRobert-gw3pd
@BabyRobert-gw3pd Год назад
Nakupenda sana mungu yu pamoja nawr
@graceutulo852
@graceutulo852 Год назад
Bonge la Pini brow dah umetukamata sana
@ClementJosephat-jc6wz
@ClementJosephat-jc6wz Год назад
Hahaha,nakubali Sana kazi zako mwamba umetisha Sana mwamba
@limbomutupeke572
@limbomutupeke572 2 года назад
Yaani bet imetulia sna kwakweli
@dastopadady2402
@dastopadady2402 2 года назад
Ngoma langoma kweli
@shimadosun
@shimadosun Год назад
Yani kaka huyu wimbo unashinda kwa sikio langu daily alaf Umefanya langu penzi na wife linazidi noga #Mombasa tunakukubali sana mwana❤
@tomaspeter8511
@tomaspeter8511 2 года назад
Ulichokosea kwenye ih ngoma kutokuoneka lody muc
@bravonize2094
@bravonize2094 2 года назад
Akuna kazi apooo coz unatumia asilia snaaa
@yallastv8752
@yallastv8752 2 года назад
Nakubal sanaaa mzee king musc mwenyewe wa iringa
@jumajaphal
@jumajaphal Год назад
Nimekubali kaka ngoma iñànig'usa
@jumannekijombi3967
@jumannekijombi3967 Год назад
Umeandika sanaaa ndugu lord Kaimba kawaida sana wewe umetisha sanaaaaa mzee
@brianchanzu1498
@brianchanzu1498 Год назад
Wakenya mko wengine humu ndaniii...
@JosephSanga-ri5lq
@JosephSanga-ri5lq Год назад
Nakubali xana msanii wa makambsko👍👍
@RauhyaSalumu
@RauhyaSalumu Год назад
Kiukweli mm nakkubar sana
@sharifumalisa5198
@sharifumalisa5198 2 года назад
We b2k tujibu mwenzio yupo wap
@pmini1257
@pmini1257 2 года назад
nomaaa sanaa
@World_of_Fun255
@World_of_Fun255 2 года назад
Ngoma kali saana
@rukabobugalama2722
@rukabobugalama2722 Год назад
Lody never disappoint
@novathmkoko2468
@novathmkoko2468 2 года назад
Kaka wee ni star 🌟 kavimba achana nae ila tambua weeee ni star mkubwa
@hemedykayonko4109
@hemedykayonko4109 2 года назад
Ngoma ya moto saana
@Steven_msomba
@Steven_msomba 2 года назад
Tunapeleka trending hinyimbi
@starbea7742
@starbea7742 2 года назад
TAYAR
@tuzomathias489
@tuzomathias489 Год назад
Oyoooo goma kalii hatari
@soundstereorecod1
@soundstereorecod1 2 года назад
Sema sisi wasanii wabongo hatupendani ona sasa Mimi najua lody music kazingua kwenye video hii dunia tu Kama hela zipo tu wasanii tusikomoane kisa hela Kama mtu anajituma na anataka kufika sehemu fulani usimtupe kisa hela kikubwa aidia
@starbea7742
@starbea7742 2 года назад
NDIO MAISHAAA
@ezekiamvinge3662
@ezekiamvinge3662 Год назад
Piga kazi na mungu akusaidie ufike mbali
@francethomas8059
@francethomas8059 2 года назад
Unajuwa ad unakera kaka
@nusrabakari
@nusrabakari Год назад
100% we mkali
@eliyasamaltiny9753
@eliyasamaltiny9753 Год назад
Komaaa mwang mungu yupo
@hamicylikawaga
@hamicylikawaga 6 месяцев назад
Nakukubali sana mwana
@decmondramadhanramadhan5782
Umetisha
@yusuphmtaya8261
@yusuphmtaya8261 2 года назад
Mwane2 🔥 🔥 🔥
@waziriomari1473
@waziriomari1473 Год назад
Ngoma kali sanaaaa
Далее
B2K feat Vanillah - Lala (Official Lyrics Video)
3:49
B2K feat Vanillah - LaLa (Official Music Video)
3:51
Просмотров 768 тыс.
Lony Bway X  Marioo Wewe Hapo (Official Video)
4:28
Просмотров 14 млн
LODY MUSIC - KUBALI  (Official  Music Video)
3:41
Просмотров 3,7 млн
B2k_-_Maumivu (official Video)
3:44
Просмотров 542 тыс.
B2k_-_My Valentine (official Video)
3:08
Просмотров 905 тыс.
B2K- Uhakika (Official video) By Director chriss
3:07
B2k Mnyama feat. Vanillah - Oweeeh (Lyrics Video)
3:48
D Voice - Umenifunza (Official Music Video)
3:31
Просмотров 3,8 млн