Тёмный

B2K- Uhakika (Official video) By Director chriss 

B2K Mnyama
Подписаться 180 тыс.
Просмотров 1,4 млн
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1 тыс.   
@happyhassan3831
@happyhassan3831 6 месяцев назад
NASUBIRI WA 2024 nipeni like zangu jmn ....please like my comment ili niuangalie tena
@egidecyrus3924
@egidecyrus3924 4 месяца назад
Om o 0:27 o P
@entertainmentplace3460
@entertainmentplace3460 5 лет назад
Mnyama mashallah unasauti ajab from Kenya mko wapi tunacomment wapi hapa wakenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪. Hii song was sang for .....me ... bravo katir...
@officer1208
@officer1208 5 лет назад
WaKenya tuko hapa
@joelirutingabo4101
@joelirutingabo4101 4 года назад
Hhhhh you're Kenya huh me to I come from Kenya but right now I'm USA then I like this songs for b2k don't forget to like my comment
@abdurahfaris8438
@abdurahfaris8438 4 года назад
Peace and love kenya kenya ndo home tanzania home pia
@elijahokhumuh9639
@elijahokhumuh9639 4 года назад
One of his coolest nimepata sikia Aise!
@ibrahimmwinulile4577
@ibrahimmwinulile4577 4 года назад
Mambooooo
@richvannyrichie
@richvannyrichie 2 года назад
MR B2K NAKUTAMBUA SANA NA PIA NATUMIA HEKIMA YAKO PIA KUTUNGA MUZIKI WANGU BIG UPS MY ROLE MODEL B2K MNYAMA MORE LOVE FROM KENYA MY DREAM IN STAR BITES ENTATAINMENT ONE DAY KEEP BOOMING....
@IdiKilawa
@IdiKilawa День назад
... favourite song big up bro
@joansjbl8651
@joansjbl8651 4 года назад
ukiendelea na hasira izi mdogo wangu utakuja kua tajiri na mfanyabiasha mkubwa tu kupitia huu mziki wako ila tu usipunguze huu moto zaidi we zidi kuchochea zaid na zaidi hadi wote waambiane 💪
@chandeassanefaque7338
@chandeassanefaque7338 2 года назад
S
@suzymwinuka4923
@suzymwinuka4923 5 лет назад
B2k umeniweza aisee, eti nikupe ww wazazi wanateseka walionileta duniani
@hashirisiraji317
@hashirisiraji317 5 лет назад
nomaaa
@deoobrine2055
@deoobrine2055 3 года назад
Umeona
@erasminakimario889
@erasminakimario889 3 года назад
Nicely song
@rasulihashimurasuli4948
@rasulihashimurasuli4948 3 года назад
mamb
@rasulihashimurasuli4948
@rasulihashimurasuli4948 3 года назад
aaah b2k wape na nyingine
@husenkwezy9657
@husenkwezy9657 5 лет назад
yaani we ni watafauti una vocal na melody za kipekee kwa kwelii ,ipo siku watakuelewa wacha wapewe promo mda utafika
@halimakidoth3550
@halimakidoth3550 4 года назад
Mwenzenu naipenda hii nyimbo atali...💞💕
@laightvidomusic
@laightvidomusic 3 дня назад
Wew kak b2k nyimbo zako zinaniliza tok unaaza Hadi sasa hongera pamoja prujuza wako❤️🌹
@mwitamahende3836
@mwitamahende3836 4 года назад
B2k kaka unaenda kuwa mkubwa sana huu mwaka album.yako ya changamoto umetisha sana kaka mungu ukusimamie katika safari yako kaka pambana mpaka mwisho kuna siku wataelewa kwamba una kipaji cha kutisha namuona platnumz mwingine kwako
@eritieprince6729
@eritieprince6729 5 лет назад
That is my oj we love you from u.s.a 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇾
@khamisnasibu4414
@khamisnasibu4414 5 лет назад
VP
@eritieprince6729
@eritieprince6729 5 лет назад
Powa mzima
@fredymgina9732
@fredymgina9732 5 лет назад
Haya haya mwamba wà nyanda zajuu kusinii kafanya yakee🎧 #like_zake_hapa plz
@yusuphyusuph1431
@yusuphyusuph1431 5 лет назад
Fredy Mgina hahahahaha
@jonasjackson987
@jonasjackson987 4 года назад
Kuna MTU nimepotezana nae wa makambako
@mdachimhina528
@mdachimhina528 3 года назад
Sawasaw
@christmhema9500
@christmhema9500 5 лет назад
Mwenye mwingine anapo U.S.A anasikiliza hii......weka like....chris*tz*tz
@lameckbray6288
@lameckbray6288 3 года назад
Chapa kaz kamanda uniweza
@felixeugene7910
@felixeugene7910 5 лет назад
Chuma kali san mzeee nakuona mbali san
@chatonjumbe3983
@chatonjumbe3983 4 года назад
umetisha kaka
@athyllenenicholaus244
@athyllenenicholaus244 4 года назад
Vahunyumba love u
@alimasssaidi5922
@alimasssaidi5922 5 лет назад
Nakubali nakubalii unajuaa kazaa mzeee
@haxgwandachris9049
@haxgwandachris9049 5 лет назад
Safi xana imekaa vizur hii yaaani UHAKIKAAAAA😀😁😁😁
@henrimbuka9909
@henrimbuka9909 2 года назад
B2k nalingi yo mingi mon frère Yona akiliba nanupensa sana🇨🇩
@begaca
@begaca 5 лет назад
GONGA LIKE KAMA UNAMKUBALI SANA B2K MNYAMA BY #AMEGAINFO FROM SWAX
@braymwajombe1074
@braymwajombe1074 5 лет назад
b2k hujadanganya maana mdem wakileo wanapenda pesa nasiyo mtuuuu
@funnycomonline413
@funnycomonline413 5 лет назад
Nimeisubiri Jana ulivyonambia unaiweka usiku hadi nikasema doooouh!! Nikajua ulinizuga,
@salvinaedward7950
@salvinaedward7950 Год назад
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 ety nikupe ww wazazi wangu wanateseka nymbn bora nibaki peke yangu
@nassorokhadija3652
@nassorokhadija3652 2 года назад
Dah yaan nyimbo zako zinanikumbushaga mbali sana nna mkumbuka mme wangu alikuwa anapenda sana kuniwekea uko vzr sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Thekidp3702
@Thekidp3702 Год назад
Yupo hai?
@ZSavana-gi4pf
@ZSavana-gi4pf 22 дня назад
Mumeo yuko wapi
@barakambogera1667
@barakambogera1667 4 года назад
Hakika mziki Ni mkali kinoma yani
@tuonekinaki3514
@tuonekinaki3514 4 года назад
Sauti imeibeba melody ya mziki mzma!! Unaeza toa ala za mziki na ikabaki sauti pekee na bado ikaendelea kufanya vema kiwandani!! Good #B2K, voice wonder
@janetnafula6963
@janetnafula6963 2 года назад
Beblessed
@gorgonusshayo920
@gorgonusshayo920 5 лет назад
Kiukweli jamaa ameimba kwa hisia kali sana . nmeirudia mara kumi . dah . umeimba uhalisia .
@JBAPRODUCTIONRecord
@JBAPRODUCTIONRecord 5 лет назад
B2k nakuku bali sana adi kwasasa sijachoka kuangalia nakuisikiliza daah iyi nyombo iko km imeimbiwa ajili yangu daaaah kama unaikubali kama mimi gongalike apa kama unaipenda sana
@sheenprezoo911
@sheenprezoo911 4 года назад
Noma sana bro unaenda faa
@xaverysunday1886
@xaverysunday1886 5 лет назад
THE C E O WA TEAM MEDIA MAKAMBAKO TOWN OIOIOI OIOI OIOI WAHUNI WAKUBWA HUWA2NAPIGA ROCK UMECHINJA SANA JANJAA LETUUU
@jacksonlyandala1731
@jacksonlyandala1731 5 лет назад
Paskal
@jonasjackson987
@jonasjackson987 4 года назад
Daaa,jamaa kaimba maisha halisi ya mahusiano,inauma dadekiiii
@sarahmtewele1899
@sarahmtewele1899 5 лет назад
nyimbo taamuu sanaa duuuuh
@snourahmasud3291
@snourahmasud3291 5 лет назад
Hatareee@b2k ujawahi niangush since day one
@husenkwezy9657
@husenkwezy9657 5 лет назад
nakuona mbalii kinoma kwenye hii game maana watu kama nyie ndio tunawahitaji kwenye "Bongo fleva"
@idrisahemedi9553
@idrisahemedi9553 5 лет назад
Saf cana
@fabianmories4218
@fabianmories4218 4 года назад
Diamond
@kamalachimala252
@kamalachimala252 5 лет назад
daaah mala nalia mimi imenikosha broder
@ellienimabalaa820
@ellienimabalaa820 5 лет назад
Unalalamika sana Broo...tatizo unajenga kibanda kwa madem wasasa..
@bahatevagre933
@bahatevagre933 4 года назад
Umetisha mkuu wangu mungu akusaidie ufike mbali zaidi WAZAZI KWANZA
@abuu_khaki4120
@abuu_khaki4120 5 лет назад
#starbeatboy nakukubali sana mkuuuuu 💥💥💥#UHAKIKA💥💥💥
@EstherMulindwa-fp3ml
@EstherMulindwa-fp3ml 4 месяца назад
Namkubali sana B2K wengi wa 🇨🇩 tunakupenda sana
@energeticmbn4596
@energeticmbn4596 5 лет назад
Keep it up my NIGGI B2K MNYAMA Endelea kuwakilisha southern Highland
@khalidikibakuli132
@khalidikibakuli132 5 лет назад
dar b2k umeshatoboa mzee baba ngoma zako zote Kali amin blood
@markjuliusdaud8005
@markjuliusdaud8005 5 лет назад
Bora niwemshamba wa mapenzi niwafuraishe wazazi nyumban.
@rushedmdoe8367
@rushedmdoe8367 5 лет назад
niliisubiri hii kitu kwa hamu sana. umeitendea haki hii ngoma. uko vyema broo
@sureboy7700
@sureboy7700 4 года назад
Rushed Mdoe bio
@janethkilonzi4260
@janethkilonzi4260 4 года назад
Wa home tunakukubal Sana piga Kaz aise
@RickyTz-lh6ot
@RickyTz-lh6ot 3 года назад
Dahhhhhh I like that song my brother B2K GOD bless you🙏🙏
@hemedamiri455
@hemedamiri455 4 года назад
UtawaLa mzeebaba unajua anae kupinga mchawi
@mwanatalenttv
@mwanatalenttv 5 лет назад
KIPAJI CHA MKOA GANI SIJUI DAH FUNDI SANA WEWE #B2K
@nednation5601
@nednation5601 5 лет назад
Njombe
@mwanatalenttv
@mwanatalenttv 5 лет назад
Ned NaTioN thankx 😋😅
@jokhaomar2988
@jokhaomar2988 5 лет назад
Mwana Talent
@isunjusamweli4208
@isunjusamweli4208 4 года назад
Kaka kweli hiii ngoma nikali sana
@airinmganyisi6150
@airinmganyisi6150 4 года назад
Wawo
@sirfrankrockstar7681
@sirfrankrockstar7681 5 лет назад
Mdogo wee star. Ngoma zako kaka ni waya wa umeme. Listening to your music non stop all the way from KENYA.
@nemestesha7784
@nemestesha7784 5 лет назад
ladha halisi ya bongo fleva ndo hii...hiii ladha imepotea sana na ndio utambulisho halisi ya bongo fleva...kazi nzur hii
@dillplus9556
@dillplus9556 5 лет назад
anaejua anjua2 ngoma kubwa saaaana gonga like kama unaamin hilo tujuane....
@stevenkasitu7735
@stevenkasitu7735 4 года назад
Eeeeeh nasisi tupo juuu
@ummydaudi7300
@ummydaudi7300 4 года назад
Wew star....nishakupitishaa....nakukubali mbaya💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞
@masakaupdate1488
@masakaupdate1488 5 лет назад
Jamani ngoma hii itabamba mbaka mjukuu wa B2K mnyama kama unamini gonga like nijuee...
@reganclarence4657
@reganclarence4657 2 года назад
Bora niwe mshamba wa mapenzi ni wafuraishe wazazi nyumbani....💔💔💔
@raypeter4729
@raypeter4729 3 года назад
This song is international one that contains alots of messages big up kwa b2k apa broo salute kwako no one like u
@mariamsamamba7435
@mariamsamamba7435 2 года назад
Napenda sana ngoma zako zote kaka saut yako kiboko mungu akuongezee uimarA zaidi
@richardmichael2142
@richardmichael2142 5 лет назад
🔥🔥🔥🔥🔥,,,, uhakika
@khamisimbogha615
@khamisimbogha615 29 дней назад
B2k fundi kipaji kipo mashallah 🙏🙏🙏👍sio wale waliokwenda kwa p didy
@comradescomedyarts6365
@comradescomedyarts6365 5 лет назад
asei hii ngoma Kali sana like zangu from 254 pliz
@saidiyassin9322
@saidiyassin9322 4 года назад
kweli mkuu huko sawa
@jndaki8273
@jndaki8273 5 лет назад
We jamaa unaweza naqqbar kinoma B2K
@hamisimalale5410
@hamisimalale5410 4 года назад
bola niwe mxhamba wa mapenzi niwafulahixhe wazazi nyumban b2k respect mwamba
@osiahstimah8910
@osiahstimah8910 5 лет назад
Jamaaa mara ya kwanza nilkua simkubali nashangaa saivi simu yangu kuna Playlist yake #Saivi Uhakikaaa😅
@johnjulius9821
@johnjulius9821 4 года назад
Uliwaza nn b2k hatar Sanaa
@passionlove1992
@passionlove1992 4 года назад
wote walio unlike ni mang'ombe😂 ila hii nyimbo kali
@felisternambombe4404
@felisternambombe4404 3 года назад
Ngombeee maji kabisaaaa
@flova7022
@flova7022 3 года назад
Tena ni nyumbuuuuuu majiii kabisaaa
@mackkatembo9750
@mackkatembo9750 4 года назад
😓😓😓 huwaaa unaniumizaaa sanaaa huo wimbooo
@mariabenedict328
@mariabenedict328 5 лет назад
nmeipendaaaa coz umeimba kwa hisia sana😍
@muyuri4027
@muyuri4027 5 лет назад
we jamaa una sauti kali sana kuliko wasaniii wote
@answarmrima3202
@answarmrima3202 5 лет назад
Safiiii sana broo
@ramakiwembo4368
@ramakiwembo4368 5 лет назад
Broo fanya uipush ngoma ni kali ki nomaaaaa
@callipsoofficial4017
@callipsoofficial4017 5 лет назад
Kazi nzuri blood
@frenkfrance9871
@frenkfrance9871 5 лет назад
ujawai kukosea nakukubaali
@anthonymapepele6081
@anthonymapepele6081 5 лет назад
Nakukubali na pia ni Bonge la song bro Ngoja like kama upo aljazira hotel iringa
@mbagatamaximillian2034
@mbagatamaximillian2034 5 лет назад
B2K nakuelewa Sana nyimbo zako zinalenga maisha halisi
@josephmasele7875
@josephmasele7875 5 лет назад
hii ndo style halisi ya bongo fleva yetu inayopotezwa na mziki wa africa magharibi..komaa mzee..rudisha bongo fleva harisi mzee
@ommyp7rajaa415
@ommyp7rajaa415 5 лет назад
Kimetyulia ila nata kinginee b2k .
@asiarashidi8342
@asiarashidi8342 5 лет назад
nakubali nyimbo sauti atariii mungu akusimamie zaidi
@princessrobin1343
@princessrobin1343 5 лет назад
wale tulio Ludia zaid ya Mara mbili tulike apa
@hamisiissa5171
@hamisiissa5171 5 лет назад
Princess Robin u
@zuurashid3079
@zuurashid3079 4 года назад
Mm Mara kumi😅😅😅
@alfredsungananji7198
@alfredsungananji7198 4 года назад
Ha b2k best boy
@priscanelson647
@priscanelson647 4 года назад
Mzur
@winfridamajaliwa8055
@winfridamajaliwa8055 4 года назад
😗
@BravoMedia23
@BravoMedia23 4 года назад
B2K your very talented dah hiz Team zinauwa hizi Talent dogo anajua kupika Maelezo
@ianamukoya6563
@ianamukoya6563 5 лет назад
am a kenyan but i love this guy.highly rate u
@SuarezLukas-di8dp
@SuarezLukas-di8dp Год назад
Welcome tnzania
@sadickmakungu2937
@sadickmakungu2937 4 года назад
Unajuaaa brooooooo
@rasima9005
@rasima9005 3 года назад
Like and love this song kid keep it up💚💚
@abeidmgao2695
@abeidmgao2695 5 лет назад
kazi nzuri bro na producer mzur sana
@edwinlawi710
@edwinlawi710 5 лет назад
Dogo unajua Sana 👊 Nyingi
@rumfire2544
@rumfire2544 3 года назад
Broo huu moto hawauez...b2k kama b2k.....am your number 1 fun from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@fungojasili1096
@fungojasili1096 5 лет назад
Sanaaaaaaaaa mnyamaaaaaaaa 👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
@emeldakidamaa6877
@emeldakidamaa6877 2 года назад
Broo kwel unanifariji an nikiwa na stress tu naweka huu wimbo big up san
@boazmalekela3217
@boazmalekela3217 5 лет назад
Umeuwaaaaa mzee nakukubal xanaaa
@r0seelias407
@r0seelias407 4 года назад
Gud #starbic_boe
@mafuvucrewtz9238
@mafuvucrewtz9238 3 года назад
Kweli wewe ni Mnyama 🔥🔥🔥Mad love from Arlington TX
@vinside1ringaboy371
@vinside1ringaboy371 4 года назад
Daa kaz kqz
@ashuramahali6643
@ashuramahali6643 5 лет назад
Nakukubali Sana boe nacomment Kabla cjaaangalia najua qall hi
@magneticofficialtz
@magneticofficialtz 5 лет назад
Tunakusoma sana huku mwanza kila kona Uhakika ndan ya mwanza fanya kuja B2k mnyama
@betharmoses1208
@betharmoses1208 4 года назад
Yaa hii nyimbo napendag xana kumuimbia mtu wang naipenda xana hi nyimbo bigup brother
@sahanisospeter4287
@sahanisospeter4287 3 года назад
Mambo vp
@zenamiraji9062
@zenamiraji9062 5 лет назад
B2k nakukubal mwambaa nmeanza kukufuaatilia leo asee unaweza nakutabilia kua mkubwa sana kaza kaza usikate tamaa na upambane nakuamn unaweza kaka
@jesselingard7186
@jesselingard7186 5 лет назад
Nakuona mbalii ww nkisema mi nimesema mark my words
@yafangunda4524
@yafangunda4524 5 лет назад
Ama kweli nimeamini waduanzi ndo wako ngazi za juu! Huyu mshikaji ngoma ni kali..ujumbe unaendana na siku hizi lakn Cha ajabu watu wanaenda kusupport watu wanaoimba ujinga wameacha kusupport watu Kama Hawa...but my advice to b2k,usikate tamaa jamaa unaweza Sana
@husenkwezy9657
@husenkwezy9657 5 лет назад
yaani hiyo sauti yako,mbona Ina maajabu yani unaimba zaidi ya mziki
@ibrahimmwinulile4577
@ibrahimmwinulile4577 4 года назад
B2k upo vizuli sana aiseee
@browntisha3772
@browntisha3772 5 лет назад
unajua B2K atariii 🔥🔥
@jacklinemmasy9116
@jacklinemmasy9116 4 года назад
hii ndo atr jamani hii hiyo sauti tu jamani unajua sana aisee
@boazmtileghe9161
@boazmtileghe9161 5 лет назад
B2k nakubali mzeebaba nyanda za juu kusini
@salumali7031
@salumali7031 5 лет назад
Dah noma hii nyimbo mana skuiskiza vizur ila baada Y kudownload nimeiskiz yan ngoma iko vizur mzee baba
@aliabdallah3728
@aliabdallah3728 5 лет назад
bro you killed it man,InshAllah Mola ukuzidishie idea na mafanikio,,,namba 1 from KENYA
@yasinimilende3897
@yasinimilende3897 5 лет назад
Ali Abdallah saaana blood iko vzr
@frankizsixmondy764
@frankizsixmondy764 5 лет назад
No one like you. Unasauti ya kipekee saana keep it up bro
@fashion_killer_up6959
@fashion_killer_up6959 5 лет назад
Iko vzr hngra btok
Далее
B2K  Tunaendana{official music video}
3:26
Просмотров 1,8 млн
B2K feat Vanillah - Lala (Official Lyrics Video)
3:49
ИСТОРИЯ ПРО ШТАНЫ #shorts
00:32
Просмотров 300 тыс.
Macvoice - Nenda (Official Video)
4:33
Просмотров 12 млн
B2k👉uhakika lyrics (created by kaparuTz )
3:06
Просмотров 3 тыс.
B2K  Mwambie official video  BY DIRECTOR CHRISS
3:02
Просмотров 1,1 млн
Misso Misondo - Tera Ghata (Official Music Video)
3:52
B2k-_-Barua (official Video)
3:57
Просмотров 400 тыс.
KAYUMBA-KAMWAMBIE (OFFICIAL VIDEO)
3:13
Просмотров 3,1 млн
B2K_ft Lody Music_Tumekubaliana (official video)
3:38
Просмотров 598 тыс.
B2K  WALA official video
3:00
Просмотров 1,1 млн
ИСТОРИЯ ПРО ШТАНЫ #shorts
00:32
Просмотров 300 тыс.