Тёмный
No video :(

Baada ya mapendekezo ya bei elekezi, wafanyabiashara waishauri TRA 

UTV Tanzania
Подписаться 74 тыс.
Просмотров 87
50% 1

Baadhi ya wafanyabiashara wa Kariakoo wameishauri Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) kuzingatia uthaminishaji rafiki wa kodi kuendana na gharama ya mizigo katika mpango iliyouanzisha wa kuweka bei elekezi za bidhaa zinazopitia bandarini kama ilivyo kwenye magari yaliyotumika.
Wametoa angalizo hilo muda mchache baada ya TRA kuainisha orodha ya bidhaa nane ambazo zitawekewa bei elekezi ya kodi zinapoingia bandarini ikiwemo vitenge na mashati ambavyo ni miongoni mwa mapendekezo yaliyotolewa na wafanyabiashara hao kwenye mkutano wao na serikali jijini Dodoma ili kuweka urahisi wa ulipaji kodi.
Mhariri: @official_jennifersumi
#azamnewsupdates

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
Woman = best friend🤣
00:31
Просмотров 3,9 млн
what will you choose? #tiktok
00:14
Просмотров 7 млн
SNAKE BOY | ep 34 | SEASON TWO
30:24
Просмотров 16 тыс.
HUYU NDIE NASSOR AHMED MAZRUI
22:40
Просмотров 4,3 тыс.
Woman = best friend🤣
00:31
Просмотров 3,9 млн