Тёмный
UTV Tanzania
UTV Tanzania
UTV Tanzania
Подписаться
Ukurasa rasmi wa UTV, chaneli namba 108 kwenye kisimbuzi cha Azam TV | Jiunge nasi ili usipitwe na Morning Trumpet Jumatatu - Ijumaa saa 12:00 asubuhi | Azam News kila siku saa 2:00 usiku | Adhuhuri LIVE saa 7:00 Mchana | Alasiri Lounge saa 9:00 Alasiri | Hello Wikiendi Jumamosi na Jumapili saa 1:00 asubuhi | Michezo, Maisha, Muziki na Burudani
Rais Samia | Wanangu msiharakie maisha
2:44
17 часов назад
Sungusungu
3:15
7 часов назад
Комментарии
@lajumaofficial521
@lajumaofficial521 8 часов назад
Sema mililita si milimita
@kitegojr8202
@kitegojr8202 10 часов назад
Ipo wapi hii meli
@MwendwaKyule-x8y
@MwendwaKyule-x8y 12 часов назад
Maneno manzuri Sana
@antonyjrc5792
@antonyjrc5792 14 часов назад
Mkopo ni makubaliano baina ya watu wawil
@baylorTanzania
@baylorTanzania День назад
Stephano hamiss
@ContentSmartphone-rq6po
@ContentSmartphone-rq6po День назад
We unasema kipato tu wakati kwetu mboga
@rashmaissac480
@rashmaissac480 День назад
16/7/24❤
@AbdallahDilunga
@AbdallahDilunga День назад
Akika Azam mpo juuu zaid
@andulilemwakalinga7635
@andulilemwakalinga7635 День назад
Duu polen sana wakulima wa Kapunga
@namajojomedia2197
@namajojomedia2197 День назад
Mungu awasamehe hawa
@user-it6zi7zw8y
@user-it6zi7zw8y День назад
poleni sana mungu amlaze mahar pema pepon ameen inshallah sema wachunguze boda boda pia alafu namaswala ya mapenzi yanaweza changia wachunguze pia
@alexwailod5589
@alexwailod5589 День назад
Pigs hao
@kiraeugene2920
@kiraeugene2920 День назад
Poleni sana ndugu zetu wabenesictin Wapumzike Kwa amani mbinguni
@SelemanCharles-yt5op
@SelemanCharles-yt5op День назад
Yaàn msimu ujao zitajirudia2
@hajiali1572
@hajiali1572 День назад
Leo tareh 16/7/2024
@user-kr2zi7du7y
@user-kr2zi7du7y День назад
Tuko pamoja
@TsindabyPstjustus955
@TsindabyPstjustus955 День назад
Kalibu na Good luck na Mimi ni takupokea nikutembeze jiji la kigali ujionee mwenyewe, jiji safi
@TsindabyPstjustus955
@TsindabyPstjustus955 День назад
Kalibu na Good luck na Mimi ni takupokea nikutembeze jiji la kigali ujionee mwenyewe, jiji safi
@TsindabyPstjustus955
@TsindabyPstjustus955 День назад
Hauwezi kuona nyumba za nyasi hapa Rwanda yote.
@TsindabyPstjustus955
@TsindabyPstjustus955 День назад
Rais Paul kagame hapa Rwanda amefanya maajabu, umeme vijijini, umenea sehemu zote, maji ndiyo hivo, usalama usiseme unaweza kutembea na begi la pesa hata, usiku wa saa sita za usiku, amegawia nkombe maskini, Rwanda yote hauwezi kuona nyuma ya nyasi, babala usisemi, matibabu kwa wote, na masomo kwa wote!!! Hapa Rwanda tunataka uongoze paka dakika za mwisho wake.
@TsindabyPstjustus955
@TsindabyPstjustus955 День назад
Nyumba za nyasi hauwezi kuziona Rwanda yote,
@BlessingManase-w2j
@BlessingManase-w2j День назад
❤❤
@patridabernard9148
@patridabernard9148 День назад
Natamani tufunge 10 msimu huu
@gonnetheboss1708
@gonnetheboss1708 День назад
Iv waliuza vp mechi eti si wakubali kikosi kilikua kibovu tu
@Mwachuomo
@Mwachuomo День назад
Safi sana kwani ao ndio walipa kodi wajao
@NeemaIngabire-vj3sx
@NeemaIngabire-vj3sx 2 дня назад
Wow
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 2 дня назад
Hivi rais anayaona haya au akuwa chura kama alivyosema😢
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 2 дня назад
Serekali yenyewe imefunga msikio kama chura 😢
@iddiali6982
@iddiali6982 2 дня назад
Mnatisha Sana hamna mpinzani
@iddiali6982
@iddiali6982 2 дня назад
Safi Sana Azam TV
@TwalibuAlbaamiryShoka
@TwalibuAlbaamiryShoka 2 дня назад
Safi sana Hii ndio Azam burudani kwa wote
@Ijuhally1
@Ijuhally1 2 дня назад
Mimi sbanduki
@joycesamweli1219
@joycesamweli1219 2 дня назад
Hao wataalam wa VAR hawana ushabiki wa timu za mpira ili kuondoa tatizo
@musajulius3364
@musajulius3364 2 дня назад
Kazi nzuri ila pia wajaribu kuangalia walau kupunguza bei za vifurushi ili kuangalia mechi za ligi kuu tafadhali
@binkomhesi9019
@binkomhesi9019 День назад
Kaka hapo wataongeza sio kupunguza
@eliasaNgahehwa-l2f
@eliasaNgahehwa-l2f День назад
Kanunue dstv
@FazaDigala
@FazaDigala 2 дня назад
Hongereni sana Azam kwa kazi nzuri na uwekezaji mkubwa #AZAM TV BURUDANI KWA WOTE
@joycesamweli1219
@joycesamweli1219 2 дня назад
Hso mafumdi mitambo wametia aibu sana shame on you
@joycesamweli1219
@joycesamweli1219 2 дня назад
Hongera sana Mh waziri Mkui wewe mtu akifanya vizuri hiwa unaapreciation sana Mungu akubariki sana mwanamichezo
@KhamisShaur-wt3fk
@KhamisShaur-wt3fk 2 дня назад
Ikiwezeka mama yetu akija kumaliza muda wake amkabidhi kiji hicho
@peterlujuo1640
@peterlujuo1640 2 дня назад
Nadhani mh kasim majaliwa anafaa zaidi kua rais 👏🏻👏🏻🙌🏼
@msafirisaimoni9561
@msafirisaimoni9561 2 дня назад
Kaz inaendlea
@user-rk6jf6zq6d
@user-rk6jf6zq6d 2 дня назад
Itoshe tu Kusema mpaka Hapo Democratic Wamesha Poteza Uchaguzi kabla hata ya Kuingia kwenye huo Uchuguzi na Republicans Huo Ndo Uhalisia.
@evergreenoshinaka7479
@evergreenoshinaka7479 2 дня назад
Hao wapiga makofi ni wanafik au nao wana shida ya uzee Maana ata hajamaliza washapga makofi
@magesagambajr3546
@magesagambajr3546 2 дня назад
Hii Ngoma haiwezi saulika kamwe
@JmkJmk-i8k
@JmkJmk-i8k 2 дня назад
😂😂😂
@JmkJmk-i8k
@JmkJmk-i8k 2 дня назад
🎉🎉
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 дня назад
RAISI WETU MPENDWA SAMIA SULUHU HASAN HAKIKA UNAUPIGA MWINGI WAPINZANI WATASUBIRI SAAANA
@BoniMuyama
@BoniMuyama 2 дня назад
Like kama zote
@Mindadykk-f9r
@Mindadykk-f9r 2 дня назад
Mimi ndo wakwanza dondosha like yako hapa kama unawakubali azam Media.
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 2 дня назад
Umechelewa unajisifia w kwanza kwa zaidi ya masaa manne
@peterlujuo1640
@peterlujuo1640 2 дня назад
Sasa kua wakwanza ndonini? 😅😅
@AdamSadick-ik5jg
@AdamSadick-ik5jg 2 дня назад
Tar 15/7/2024 nairudia tenaaaa🙌🙌
@Abuusharif
@Abuusharif 3 дня назад
Hiii gomu inanimalizia mb zangu haishi hamu kwa siku naiangalia mara kumi ambao wanaioenda km mm gonga like hapa
@ElineMsuya
@ElineMsuya 3 дня назад
Huo ni mchongo
@user-yy4ei2ot6t
@user-yy4ei2ot6t 3 дня назад
Tarehe 13/7/2024 nimerudia Tena kuangalia