Тёмный

BABA LEVO aingilia kati VITA ya DIAMOND na ALIKIBA, aicheka SUMU ya Kiba kisa views, ataka Pambano 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 77 тыс.
50% 1

#diamondplatnumz #alikiba
Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 207   
@josephsimba3007
@josephsimba3007 Год назад
Natamani kila Mara muwe Na muoji lukuga akey b levo ba mwenye Simba 🦁🦁🦁🦁🦁
@ibrahmax6187
@ibrahmax6187 Год назад
Timu diamond platnumz naombeni likes🎉😅
@zenahbayeh7371
@zenahbayeh7371 Год назад
Tuko kama wote 💪💪💪💪💪
@josephsimba3007
@josephsimba3007 Год назад
Mimi ni mkongo baba levo kaongea kweli lukuga ni balaaa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 Год назад
Mbona kiswahili Yako imenyooka
@jonathan1625
@jonathan1625 Год назад
@@othumanlorenzo260 unajua kama tunaongea kiswahili pia Congo right?
@flavourboyke
@flavourboyke Год назад
Team simba nipeni likes,alafu njooni kwangu m support ninangoma mpya
@RusumbaTombola-nb5gi
@RusumbaTombola-nb5gi Месяц назад
Namkubali sana b levo ba
@perfectinnocent1875
@perfectinnocent1875 Год назад
Babalevo anaongelea msanii kwa eshima ila sio mwijaku anaongelea simba kwa matusi
@erickabel6201
@erickabel6201 Год назад
Kweli 😊
@patrickmukundichalamila3038
Kabisaaa
@sinaubavu2810
@sinaubavu2810 Год назад
king kiba
@farajiwanted8257
@farajiwanted8257 Год назад
Kumbuka Wimbo Wa Ali Kiba Ni Wa mwisho Kutoka!!
@geoufo2858
@geoufo2858 Год назад
Wamwisho kivipi🤣🤣🤣 ebu kuwa specific bana
@nazilshaban3845
@nazilshaban3845 Год назад
@@geoufo2858 hahahaha mwambie wao ndio walio anza kutoa nyimbo ndicho anamaanisha
@sulexh
@sulexh Год назад
Masaaa tu
@Chinois_de_Chine
@Chinois_de_Chine Год назад
Ndowakwanza kutowa
@selemanikinyonyi7163
@selemanikinyonyi7163 Год назад
Yule babu yenu sialisema nyimbo ikiwa nzuri aiangalii ni nyimbo umejuwa ya kwanza au ya mwisho so😅
@josephsimba3007
@josephsimba3007 Год назад
Uyu lukuga ni shida eti alikiba anakuwaga zake Ana lala ao Ana swali iyi gemu itakuwa Noma sana mondi kawabana lapuwa lazima muta nyoooikaaaa
@DouglasMassop
@DouglasMassop Год назад
Eti Fid-Q kavaa soksi zake za rangi nyingi kaingia mtaani😂😂😂 b levo baa nomaa
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Год назад
🤣🤣
@gracethobias8069
@gracethobias8069 Год назад
😆🤣🤣🤣🤣
@gracewairimu800
@gracewairimu800 Год назад
Yani nimecheka kama kichaa😂eti fidi kashawai kuimba hadi taarab😅
@DouglasMassop
@DouglasMassop Год назад
@@gracewairimu800 🤣🤣
@flinchclassic1531
@flinchclassic1531 Год назад
Nimemuona kama anacheza mpira😂
@geoffreymalimo3312
@geoffreymalimo3312 Год назад
Ali still legendary at his age still competing and diamond that's says alot about alikiba
@mamy8220
@mamy8220 Год назад
Diamond atawanyosha ❤❤ baba levo kwenye ubora wake 😂😂😂😂😊
@JemimaNyange-si8cr
@JemimaNyange-si8cr Год назад
Simba
@LeylaLeyla-yc7vv
@LeylaLeyla-yc7vv Год назад
Baba levo🙌🙌😅😅
@patrickmukundichalamila3038
Hili jamaa likihojiwa aisee hua ni poa sana. Hatumii nguvu.
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Год назад
😂😂😂😂😂
@evancemwanasenga8200
@evancemwanasenga8200 Год назад
Ni vile anaongea ukweri that's why interview zake zinakuwa mseleleko
@user-zi4yd4cq5d
@user-zi4yd4cq5d Год назад
Kweli kabsa
@latifahjamal2999
@latifahjamal2999 Год назад
Kabisaa yani, na utapenda majibu yake wallah,
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 Год назад
B levo anamuheshimu sana Ali
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Год назад
🤣🤣🤣 Baba levo Interview lazim uinjoy 🤣 Lukuga
@fiston-asifiwe
@fiston-asifiwe Год назад
Eti kuna pumba na mchele😂😂
@Irance-cy8yy
@Irance-cy8yy Год назад
Safi sana lukugaaaa#from DR congo
@answaryntadida4194
@answaryntadida4194 Год назад
LUKUGA 🚀😂
@KAMTUPE
@KAMTUPE Год назад
Kwn diamond yupo namba moja trend au alizamilia kumpa mtu colabo
@rojamasoud7049
@rojamasoud7049 Год назад
Meseg ya ngosha iyooo,,
@RomaMichael-ei6di
@RomaMichael-ei6di Год назад
Safi baba levo
@nelsonmwaipaja3727
@nelsonmwaipaja3727 Год назад
Nyie ongeeni yote hata mkijisikia kunya kunyeni tu but kofia ya mfalme itabaki juu ya kichwa jiwe lingine lipo njiani king Salehe kiba 🔥🔥
@bosssyedmund8785
@bosssyedmund8785 Год назад
Kavaaa 😂😂socks za rangi rangi
@medallionsihaba1954
@medallionsihaba1954 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mchizi noma sana Sana 🔥🔥🔥🔥💪
@eddytabenkiponda4287
@eddytabenkiponda4287 Год назад
Ni wimbo gani.unao uongelea.enjoy wataka kuilenganisha na sumu ya mtu mzima..sumu achana nayo kabisa.wala huwezi kuizima leo kesho hata wajukuu wako.wataipata. Lkn enjoy haitamaliza hata mwaka.
@mabery2219
@mabery2219 Год назад
Huyu chawa yupo 🔥🔥😂
@KelvinMaimba
@KelvinMaimba Год назад
Ba levo 🔥🔥
@subirajohn728
@subirajohn728 Год назад
Baba Levo❤❤❤
@zakaliajoseph7705
@zakaliajoseph7705 Год назад
Njaa mbaya Sana huyu jamaaa kapo Kama Kama shoga kwa mondi Kama analiwa vile
@kelementbushishi3687
@kelementbushishi3687 Год назад
🦁🦁🦁🏆🏆🏆
@alterboyafrica
@alterboyafrica Год назад
I always like his energy,baba levo hatari
@AfRICA0404
@AfRICA0404 Год назад
Ngoma ya jux
@indigomadibilla9599
@indigomadibilla9599 Год назад
🔥🔥🔥
@danielkihoza7330
@danielkihoza7330 Год назад
Lukugaaaaaaa nomaaaaaa sanaaaaa
@EzekiaMwampashe-no5dr
@EzekiaMwampashe-no5dr Год назад
Baba level kaongea ukwr upola wa diamond katika mchang wake katika nch
@geoufo2858
@geoufo2858 Год назад
🔥🔥😂🦾
@bakarinassoro5513
@bakarinassoro5513 Год назад
Lukuga😂😂😂
@josephsimba3007
@josephsimba3007 Год назад
Lukuga ni shida jamani
@fabicshofficial
@fabicshofficial Год назад
Team simba
@josephsimba3007
@josephsimba3007 Год назад
Bana Simba dangote kama mondi Africa mzima watulie sindano iwa ingieeee 😂😂😂
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Год назад
Lini ndoa yako na huyo bashe wako mond
@alainmuhindo2137
@alainmuhindo2137 Год назад
Simba number moja 🔥🔥
@babiddi8620
@babiddi8620 Год назад
Wa kutrend au kuimba
@ErickDanielKassindi-xl1oq
@ErickDanielKassindi-xl1oq Год назад
Kumbe Rick n ya harmonze
@jacobsadock3530
@jacobsadock3530 Год назад
Kuna trend za maroboti, hizo tushazifaham, King atabaki kuwa King, 20 years bado anashindanishwa
@shabanichaye8255
@shabanichaye8255 Год назад
LUKUGA FC upepo wa CONGO ila FUNDI MANYUMBA wew ni noma😂😂😂😂😂
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 Год назад
Bab lev akiongea lzm ucheke😂😍
@maningulubinza7453
@maningulubinza7453 Год назад
Jamani google translated ya Baba levo no Bibi kaondoka upuuzi kabisa
@VicentiObedy-sj2bm
@VicentiObedy-sj2bm Год назад
Jamaa huyu anaongeaa powa sana
@worldsuccesstz5569
@worldsuccesstz5569 Год назад
LUkuga🔥🔥🔥🔥
@brucemackenzy3684
@brucemackenzy3684 Год назад
Upepo mkali😃😂
@kondelamasatu7852
@kondelamasatu7852 Год назад
Baba Levo Hii Vita Ni Kubwa sana~LukugA
@ibrahimually2180
@ibrahimually2180 Год назад
Nilisha mwambia diamond 💎 atulie kwenye yatapita maana inatosha kabisa maana itadumu miaka mingi
@AfRICA0404
@AfRICA0404 Год назад
Ngoma ya jux sio ya diamond
@spiderelexander9977
@spiderelexander9977 Год назад
Babaake na levo
@yassinm69
@yassinm69 Год назад
Kiba anajua kuimba
@baraasajebkman
@baraasajebkman Год назад
Sana boss unaongea kwA akili
@patientfunkwe8418
@patientfunkwe8418 Год назад
Lukuga ni Mtoni mku pale kalemie Bwana @Baba levo
@frankedwin8091
@frankedwin8091 Год назад
ety lukuga
@rasvegas8991
@rasvegas8991 Год назад
Hpo kwa Rick media umenifungua hd nkiachaga kuwaa angaliaa
@PlatkinOghonneur
@PlatkinOghonneur Год назад
Sasa kwanini alikiba ana baki Tanzania tu😂😂😂
@laj1699
@laj1699 Год назад
King ni mmoja tu na ni King Kiba
@mubuyafrancis3979
@mubuyafrancis3979 Год назад
😂😂 nipe fact bro ???
@laj1699
@laj1699 Год назад
@@mubuyafrancis3979 he has been there, he's still there and he will be there at the top forever and ever. His music is long lasting... What else do you want to hear about the King bro?
@mubuyafrancis3979
@mubuyafrancis3979 Год назад
Just a fact poor bro everything u explain to me but i dont get u propal🤣
@babanadia3201
@babanadia3201 Год назад
Baba levo ana kitu atafika mbali
@zachaamaster5378
@zachaamaster5378 Год назад
#bab levo fund majumba kiboko yao
@leskarmeikok8956
@leskarmeikok8956 Год назад
Yap yap game imechangamka
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Год назад
KIBA ANAWEZA MZIKI,,LAKINI HAJAJIWEKEA KUCHETUKA KWENYE PROMO..NDO KOSA ALILOLIFANYA.
@sultanmwangolombe5862
@sultanmwangolombe5862 Год назад
Kiba Ana nguvu zaidi ya diamond mwambie aache kuweka sponsor kwenye ngoma zake alafu aone nini kitatokea
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Год назад
@@sultanmwangolombe5862 WAKAT DAI ANAVUMA NA SUPERSTAR,,UYO KIBA ALISEMA YE HAIMBI AMAPIANO,,NI TATIZO ILO
@supertallone1902
@supertallone1902 Год назад
@@hassanbakari4525 hakusema haimb amapiano...alisema hataimba amapiano ya south bali ataimba piano yenye ladha ya kibongo ndivyo alivyofanya kwa sumu
@supertallone1902
@supertallone1902 Год назад
Sio kuchetuka...kiba n mchungu hatoi hela ovyoovyo, huoni hawa chawa wanavyomsemea sadala...yote iyo n pesa😂😂😂
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Год назад
@@supertallone1902 safi sana,,,sasa izo ndo promo zenyewe,,,,,msanii mkubwa unatakiwa kuzungumzwa karibu kila siku.
@enegenius1839
@enegenius1839 Год назад
😁😁😁🙌🏼🙌🏼
@enockbuluma277
@enockbuluma277 Год назад
kama kuna mwana mzikii mdaku tanzania ni baba levo unaudhii sana nkt!!
@AfRICA0404
@AfRICA0404 Год назад
TUNAOMBA IYO NGOMA YA DIAMOND
@hamidumpota2722
@hamidumpota2722 Год назад
Sasa Kufanya Ibada Ni Mbaya
@Washington308
@Washington308 Год назад
Jux wamelipia sponsor
@minaeli5989
@minaeli5989 Год назад
Diamond atoe single yeye kama yeye ndio atrend
@salim02tv24
@salim02tv24 Год назад
Kwan kibaa sumu katoaaa mwenyewe
@leahzuu6468
@leahzuu6468 Год назад
Kwan kiba katoa peke yake😂😂😂😂
@mbezzoprince9462
@mbezzoprince9462 Год назад
Zuwena ilikaa Kwa trend karibia miezi mine😂😂😂😂😂 zuwena Ivo ivo ongea chengine
@zenahbayeh7371
@zenahbayeh7371 Год назад
Kwani zuwena na yatapita ilikua n yakwako mbona Imekaa miezi
@immortannixtar2910
@immortannixtar2910 Год назад
We mpuuzi umesahau yatapita na Zuena au?
@_CyprianBC
@_CyprianBC Год назад
HUYU JAMAA KIASI FLANI NAMKUBALI KULIKO YULE BABA MIFIFA MWJK, JAMAA ANASTICK NA KUJENGA HOJA ILA YULE DOMOKAYA MZEE WA KUTUSI HADI WAALIMU WETU MMH!
@erickpique2437
@erickpique2437 Год назад
Wimbo wa jux usituchanganye mond kapita na upepo wa Jux
@josephsimba3007
@josephsimba3007 Год назад
F Q kavaaa viato viake Na ma shoxe za rangi nyingi ka ingia mtaani😂😂😂😂😂😂😂
@alcadoathumani9957
@alcadoathumani9957 Год назад
Usisahau kama allikiba ndiyo msanii wa kwanza kuwahi kukaa hapo juu kwa views million 1 ninyi wengine ndiyo mmestuka sas
@SamwelMnaga
@SamwelMnaga 3 месяца назад
Be levo baaa😅😅😅😅😅😅😅
@kyungumedardmaurice8321
@kyungumedardmaurice8321 Год назад
😂😂sisi mashabiki tumefuraii sana
@swaashgang5943
@swaashgang5943 Год назад
11:16 😂😂😂😂
@uaeuae1871
@uaeuae1871 Год назад
😂😂😂🙌🏿
@ramayonline2281
@ramayonline2281 Год назад
Fundi Majumba😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-gs6vf9bf2v
@user-gs6vf9bf2v Год назад
Chino Wana man jmn 😂😂
@andrewmachage9102
@andrewmachage9102 Год назад
😂😂😂😂😂😂chino pumba 😂😂😂😂ila b levo ba 🙌🏼
@danieljs4285
@danieljs4285 Год назад
😂😂
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Год назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿.✌️.
@p.kasongot979
@p.kasongot979 Год назад
BABAB LEVO 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@odaxcontawa
@odaxcontawa Год назад
Lukuga🔥🔥🔥🔥🔥😂😂😂
@user-qg8cw8bm5l
@user-qg8cw8bm5l Год назад
Tz ni wa sanii wawili tyu roma na ney.....wa mitego
@ZaireMnyamagola
@ZaireMnyamagola Год назад
Wasanii wetu wa Tanzania mmekuwa hamjitambui kwelikweli muachi kuangalia mnafanya nini katika jamii mnaangalia kutrend
@user-xc7sx5wn7e
@user-xc7sx5wn7e Год назад
Tuwape uwanja msani wenu harmo vs diamond live band muone km mxani wenu hatokw jaxho
@givenadam450
@givenadam450 Год назад
bongofleva ajaazisha diamond ata akifa bongofleva itabaki.
@ashamohamed1461
@ashamohamed1461 Год назад
Itakufa niamini mimi
@ChoroTesla
@ChoroTesla Год назад
​@@ashamohamed1461umezaliwanwaka gani ndugu
@gagalinodenatrick1652
@gagalinodenatrick1652 Год назад
Makasiriko hayo ndgu yangu mond n level nyingine Kwan mbona magu kafa na taifa linaendelea ila chamoto tunakiona
@worldstartz
@worldstartz Год назад
hizo nyimbo za quevo ad kibao 😁
@hamzamsafiri3418
@hamzamsafiri3418 Год назад
PUMBAVU HUWA LINA TABIA ZA KIKE, MWANAUME ALIYEKAMILI HAWEZI KUWA WENZIE WAKITOA NYIMBO KAZI YA KUWAPONDA TU. HUENDA BOSS WAKE AKAWA AMEMSHUGHULIKIA SI BURE, PUA LIMEUMBWA KUBWA LIMEMNYONYA MPK AKILI...KAZI YA KUROPOKA HALINA HATA NYIMBO KALI WALA ALBUM
@christophermwamburi-by5ep
@christophermwamburi-by5ep Год назад
Lukugaaaaaa😂😂😂
@user-hm8xy6ei7f
@user-hm8xy6ei7f Год назад
Acha kutudanganya bwana sikuhizi RU-vid hawahonheki tena , wamegundua wanauwa mtandao watu wanawahama hawaaminiki tena
@suloomaljabri2350
@suloomaljabri2350 Год назад
Lazima atetee ugali wake 😂😂😂😂 kila kitu kina mwisho wake chura mama levo 😢
@razaqkassim3302
@razaqkassim3302 Год назад
nawwe lazima utetee mb zako
@adolph2463
@adolph2463 Год назад
Wachaneni na youtube
@abelimembe6990
@abelimembe6990 Год назад
Alikiba umwinyi kwisha😂😂😂
@samirshaban1663
@samirshaban1663 Год назад
Likuga
@user-ll7bz1kq1s
@user-ll7bz1kq1s Год назад
Lukuga
@humphreyprofessor625
@humphreyprofessor625 Год назад
Eti pumba chino wana man 😂😂😂
Далее
ГИГАЧАД МЭЙКЕР В PLANTS VS ZOMBIES 2!
00:49
🍏 Устарели ОФИЦИАЛЬНО! 🤡
00:32
ФОКУС -СВЕТОФОР
00:32
Просмотров 84 тыс.