Тёмный
No video :(

MWIJAKU: ZARI ni muongo tena amkome DIAMOND wetu, nitampiga makofi RAY VANNY sababu hajielewi 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 87 тыс.
50% 1

Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web...
Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

Опубликовано:

 

6 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 279   
@rehemarwanda6039
@rehemarwanda6039 Год назад
Mwambino wetu atuachieee tunampenda wenyewe wa TZ na TABIA ZAKE TUNAZIBEBAA😘
@erickabel6201
@erickabel6201 Год назад
❤❤❤❤
@ericklaura7511
@ericklaura7511 Год назад
Kitu cha Rwanda hichi kweli ama chenga tu ??! Uthibitisho
@navotndisha5308
@navotndisha5308 Год назад
Mwijaku you have good advice all de time... good for that brada🇰🇪
@jacqueli18
@jacqueli18 Год назад
Mwijaku anampenda mke wake sana❤ wanaume wengi hawako proud na wake zao, mwinjaku ni mfano
@lydiahmartinz925
@lydiahmartinz925 Год назад
Yani if u take this dude serious u can even slap hm😂.This guy is a comedian lol. 😅
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 Год назад
😂😂😂😂 huyu mwamba, nampenda hanaga siri🙌🏽
@kadito-o3j
@kadito-o3j Год назад
Mungu anamaguvu sanaa 🫂 ndio maana siachi kumshukru kila wakati❤❤
@RabiaWahadh
@RabiaWahadh Год назад
Mwijaku Bhana Anamwambia Zari Atoe Surgery Tumuone😂😂😂😂😂
@annwanjiru8897
@annwanjiru8897 Год назад
😂😂😂😂😂
@salma-fc4xc
@salma-fc4xc Год назад
Zari ni mzuri kabla hata ya surgery kazaa watoto wa tano na bado yuko vizuri wanawake wengi wa umri wake wamesha choka aseme asemavyo zari ni mzuri bwana ndio maana hajataka kujichafua mwili kwa mi surgery mingi sababu ni mzuri😂wanawake wengi wana mchukia zari coz maisha yake ni mazuri hakuna umu kenye comment ambayo anayo tatizo sisi maskini tuna wivu sana mwijaku ni maskini kazi kuongelea watu na maisha yao yy pia hana lolote anunue sasa iyo ndege yy kama iyo billion 1 anayo ovyooo😂😂😂😂😂
@fatumasalumu2869
@fatumasalumu2869 Год назад
😂😂😂😂😂😂
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 Год назад
😂😂😂😂😂
@pendo8082
@pendo8082 Год назад
😂😂
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj Год назад
Alhamdhulillah lazima tumshukur Allah kwa yote🤲
@joselynesango4430
@joselynesango4430 Год назад
Mwijaku achana na zarithebosslady
@user-nx6bu4zv7l
@user-nx6bu4zv7l 4 месяца назад
Nkupenda sana Mwijako Visit Rwanda mwijako tunakupenda sanaaaaa
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 Год назад
Salamu TU maneno mengiiiiiiiiii poh!
@morjanoman5181
@morjanoman5181 Год назад
Asant. Mwijaku kwakutuelimisha nakuombea dua Allah akupeshifah endelea kuwahamasiha wasani harmonize Kaka. Angu
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Год назад
Kufuatilia mambo Ya watu ni dhambi acha uongo. Kuteta watu kwa ubaya ni dhambi pia.
@mazwilliams7691
@mazwilliams7691 Год назад
Mbona Zari ka move on myaka mitano mtajua hamjui
@HarunaFernando-hc4kd
@HarunaFernando-hc4kd Год назад
wew ninoma mwijaku nakupenda sana hauna baya
@morjanoman5181
@morjanoman5181 Год назад
Safi Sana mwijaku. Ukimzungumzia mtu ambae umeachananae bado unampenda
@mymuamsrrr7884
@mymuamsrrr7884 Год назад
Kweli good advice,Mwambino anaweza kuipaza bongo movie.Mwambino look in to that.
@mirabel2336
@mirabel2336 Год назад
Ila kumhoji mwijaku inataka moyo.
@MwamvuaKing
@MwamvuaKing Год назад
Jamaniiii.
@franckdunia9792
@franckdunia9792 Год назад
@@MwamvuaKingmsomii uyoooo
@mishikalama5448
@mishikalama5448 Год назад
😂😂😂😂kma kwel
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 Год назад
😂
@bosslilyg4390
@bosslilyg4390 Год назад
😂 sana aisee
@mwalimusalimu3920
@mwalimusalimu3920 Год назад
Mwijaku nakukubal sna
@freadyjackson315
@freadyjackson315 Год назад
Nice Chuiii 🐅🐯🐯😃
@christinaonditi9341
@christinaonditi9341 Год назад
Sijui ukoje maana unaroho woman na diamond dah,ndio keshatoka lkn unamchukia tu!levo yake iko juu sana unautumia nguvu kubwa sana kumchafua lkn hachafuki
@hafswaali2960
@hafswaali2960 Год назад
Yani Kwa kweli huyu mwijaku huwezi kumkasirikia 😂
@user-hw9hi2rk2o
@user-hw9hi2rk2o Год назад
Napenda unavyo msifu mkeo
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 Год назад
Mkeo miguu kama fimbo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣uwiiiiii
@evamlay8997
@evamlay8997 Год назад
Ila kweli miguu kama mbu
@rasependopendo8096
@rasependopendo8096 Год назад
My madame
@yamusahmasoud9107
@yamusahmasoud9107 Год назад
Mwijaku tunajua umeota ndoto nyingi ila c maisha anayoyaiishi Zari hayajawai kukuijia ndotoni
@faridandabirurere3037
@faridandabirurere3037 Год назад
True 👍 he's making too much noise so that Diamond can give him a car.
@merinakassembe4251
@merinakassembe4251 Год назад
Kweli mwjijaku wakitoka hapo watu wahnamcheka
@PhinaOfficial
@PhinaOfficial Год назад
So mkewako tumuheshimu anamsaada gan kwetu ACHA ungese wewe mzuri kwako nahaezi kua napesa zakumfikia zari wabongo tupunguze roho zauchawi alopewa kapewa huez badirisha nawewe kama umehongwa gari namkeo sialikuona unatia huruma mond hajatia huruma Kwa zari that's why hajahongwa gar lakin Zar haez kukosa pesa yakumnunulia gari,tuliza komwe lako na mijicho Yako kama mbalamwezi
@massejobbs4284
@massejobbs4284 Год назад
Mwijaku anawivu, nasielewi kwanini Diamond anamupa ugali uyo jamaa. Sikubali kama uyu jamaa alisoma vizuri. Mwijaku ni kama demu, ataolewa.
@AmelbergaKempanju-uf1zh
@AmelbergaKempanju-uf1zh Год назад
Kashaolewa,usikii anavyosifia mkewe kwa pesa
@massejobbs4284
@massejobbs4284 Год назад
@@AmelbergaKempanju-uf1zh kweli kabisa!
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 Год назад
Huwezi mfananisha na zali mkeo mwijaku .zali ni mzuri.unajisifu hela ya mwanamke ilooo ovyoo
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 Год назад
Bro we ndo ulisema unadegree mbili 🙆🙆 mm na hela naweza nunua gari lkn MKE wangu kaninyang'anya gari natumia boda bro ufahali kununuliwa gari na mke duuuh halafu bro jitahid kuelewa NN maana ya auditor na accountant naona bado hujui brooo mke wako anafanya kazi gani elewa maana ya auditor na accountant shule yako haikusaidii pia fredy hapo unataka ukaokote kesho wewe..
@mariamusaulo4429
@mariamusaulo4429 Год назад
Mkeo hata sio mzuri🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@catrena9354
@catrena9354 Год назад
Hyu mwinjaku siku moja utakuja bubu cuz ya kuongea mambo za wtu Huna ajabu hta kidongo
@criminalminds7723
@criminalminds7723 Год назад
Umeenda shule kisha ww???mbona unaandika kama hujaenda shule??
@sophiahmedza929
@sophiahmedza929 Год назад
😂😂😂😂
@erickabel6201
@erickabel6201 Год назад
Babalevo anaongea point sio huyuu anamatusi sana 😢😢 muangaliage na watu wakuwahoji
@coachissah7703
@coachissah7703 Год назад
Diamond platnumz simba baba Lao Africa
@melitalaunoni4018
@melitalaunoni4018 Год назад
Nakupenda bure mwijaku upewe maua yako😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
@MsAggie5
@MsAggie5 Год назад
Weeeee! Wewe Una hela na mkeo ana hela hovyoooooo! Alivyotoa jicho? Mkeo mzuri kwako kwa wanaume wenzio sio mzuri. Ni kizungu au uelewa mdogo? Zari alikataa ex wake kumuongelea vibaya akiwa na wanawake zake ndo maana huwa anasema hatujui kiingeleza.
@emmanuelmalale5418
@emmanuelmalale5418 Год назад
We Agatha achaa wivu kwann hamtak kuona mafanikio yawenzen ndio maana mnakufa maskini mbwa ww
@MsAggie5
@MsAggie5 Год назад
@@emmanuelmalale5418 wewe ndo mbwa Mimi ni binadamu kama hukunielewa niulize. Mbona yeye hapendi mafanikio ya wenzake Kwa hiyo Nani mwenye wivu? Yeye au Mimi? Anamponda Zari na Diamond hawana hela ila mkewe sasa? Mbwa ni wewe na huyo mbwa mwenzio anaye bwaka hovyo.
@freelancer6368
@freelancer6368 Год назад
Tukinao anasema eti alimtambulisha diamond? maajabu ya abunwasi
@merinakassembe4251
@merinakassembe4251 Год назад
Mwenyeuwezo wa ndege ni Baba yangu wa kiroho Nabii Geor Devie peke yake 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 Год назад
Roho niyamungu wewe acha kumkashifu na kumkufuru mungu
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Год назад
Atapaki kwenu
@giftmbogela2435
@giftmbogela2435 Год назад
@@rogerabdallah439 😂😂
@coachissah7703
@coachissah7703 Год назад
Diamond platnumz the king of Africa
@Heal-with-Dodo
@Heal-with-Dodo Год назад
Huyu mwandishi aongezewe salary…kudeal na huyu mpumbavu ni kaxi mno…
@lareineminah1353
@lareineminah1353 Год назад
Ila huu😂😂😂 uki mchukiya ukapimwe akili😂😂😂😂😂😂😂
@awadhally1052
@awadhally1052 Год назад
😂🤣😂🤣
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Год назад
Et ana kipaji cha kufatilia maisha ya watu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Evra800
@Evra800 Год назад
Yani wa Tanzania kama hao ndio watu wamesoma yani bado muko nyuma ya mahemdeleo
@aishachambo8663
@aishachambo8663 Год назад
Kila mtu na maisha yake
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 Год назад
Sasa ni auditor au accountant?😂
@Bravo-or8oy
@Bravo-or8oy Год назад
😂😂😂😂yaani hawa wamekosa watu wa kuwahoji kabisa
@josephsimba3007
@josephsimba3007 Год назад
Uyu jama ni mujinga sana kwanza Ana lelewa Na mkeo pumbavu zao
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 Год назад
Huyu mbona pumbavu Sana yaan kama mie nalipiga na hio Mike kwenye kipara chake
@rahmarashid420
@rahmarashid420 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂 mwijaku wallah mazungumzo yako yanachekesha
@mwitaagness455
@mwitaagness455 Год назад
Sijawah kumuelewa, mhhh.....
@hollojuma9538
@hollojuma9538 Год назад
Nikweli kabisa mwijaku ukosawa zari bado anampenda mondi
@safiasaleh669
@safiasaleh669 Год назад
Mwinjaku nakukubali 💯
@mwajumabinwa604
@mwajumabinwa604 Год назад
Asante sana kwaushauri mwinjaku
@ericklaura7511
@ericklaura7511 Год назад
To interview mwijaku it need huge audacity real ..., ABOUT DIAMOND PLATINUM HE IS A SINGLE MAN ARMY ..., what we know better CMG ( clouds media group ) used to tarnish diamond name and his music but It didnt work and the guy is elevating daily..., NOTE ... IF YOU CANT DEFEAT HIM JOIN HIM.✌🙏
@spreadlove5300
@spreadlove5300 Год назад
Mwijaku speak to yourself eti "we don't need her" 😮😮😮
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp Год назад
😂😂😂😂😂 Mwijaku Watu wa kazura mimba😂😂😂 kigoma ni hatariiii😂😂😂
@chiroxxssmike6455
@chiroxxssmike6455 Год назад
This is wrong for a man to talk like this😢😢😢😢😢😢Soo much hate on zari jamani kawafanyia Nini?
@faridandabirurere3037
@faridandabirurere3037 Год назад
Stop your nonsense, Is Zari who made Diamond what he's. Zari is not your wife. Mind your own business. This man talks too much likeawoman. Zari is not your wife. Mind your business stupid man talking like a woman. Why are you hating someone who's not even related to you??? Nonsense. This man is evil 😈 very evil 😈
@FatumaRoaming
@FatumaRoaming Год назад
Kids can be better in two homes if the parents cant have good relationships. I support two homes than kid being in a unhealthy home
@faridandabirurere3037
@faridandabirurere3037 Год назад
Which one of the two is un healthy home????
@ShaniBihoiki-lx9jl
@ShaniBihoiki-lx9jl Год назад
Eti mwijaku kutusi watu niwamalaya duuuuh 😂😂😂😂
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Год назад
😂😂😂😂Mwijaku, nimekosa hata niseme nini juu yake 🙌🙌
@awadhally1052
@awadhally1052 Год назад
😂
@ibrahdedonny1238
@ibrahdedonny1238 Год назад
Mm naamini Mwijaku anamatatzo ya akili! ivo tu na ipo cku atawaumbua Watanzania
@monicatatu9358
@monicatatu9358 Год назад
Mwijaku na mr pimbi kazi wanayo maana pimbi kwa kubeba mafaili ya watu sijui hua hachoki 😅
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 Год назад
Ila Mwijaku nakupenda buree🥰😆😆
@coachissah7703
@coachissah7703 Год назад
Uyo mwijaku nimusazi
@p.kasongot979
@p.kasongot979 Год назад
Aucle mwijaku kama Aucle 😂😂😂😂😂😂
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 Год назад
Anavotumbua macho Sasa Mwijaku kumuelezea mke wake huwiii😆😆😆😆
@bosslilyg4390
@bosslilyg4390 Год назад
Afu ninachompendea Mwijaku anavomsifia mke wake, yaani 👌👌👌👌
@trillionthamani
@trillionthamani Год назад
Sasa neno pumbavi ndo mnaminya.aaaaah huu ni uoga uliopitiliza tcra
@levinamwanakulya9379
@levinamwanakulya9379 Год назад
Oditor kitu gani
@merinakassembe4251
@merinakassembe4251 Год назад
Halafu Barnaboy original leather🙏🙏🙏🙏🙏😬👍👍👍👍👍👍Nigerial
@anjuadnani2607
@anjuadnani2607 Год назад
Wewe mwenyewe malaya
@niyakhalid5650
@niyakhalid5650 Год назад
Mwijaku Burna Boy na Davido sio kigezo cha kusema mtu yuko vizuri kimziki
@charlesmanase4507
@charlesmanase4507 Год назад
Mwijako bwana macho makubwa😃😃🤣🤣😂😂😂
@chiragahmbura9523
@chiragahmbura9523 Год назад
Lakin Diamond mwenywe ndo anashobokea Zari so acheni Zari amuongee vile anataka
@davidnyerere2016
@davidnyerere2016 10 месяцев назад
Huyo mtangazaji naye anamshobokea Diamondi
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Год назад
Mwinjaku bwana,,,unamuuliza mtangazaji wewe unamjua mke wangu wewe,,Sasa mwinjaku unamuuliza mtangazaji kuwa anamjua mke wako inamana mtangazaji katembea na mkeo??
@salsoandreas5147
@salsoandreas5147 Год назад
Huyu naye sijui Ana jinsia gani maana hata hisivyo muhusu yeye yumo tu
@chire4574
@chire4574 Год назад
Mwanaume kamili awezi kuwa kama huyu....
@melitalaunoni4018
@melitalaunoni4018 Год назад
Mwanaume hyooo
@geraldkbona5595
@geraldkbona5595 Год назад
sute brooo uyo kakosaje kwenye kalandinga
@milliardere9177
@milliardere9177 Год назад
😅😅
@kingmichael1234
@kingmichael1234 Год назад
Asante mwijaku 😂😂😂😂
@PesaMadafu
@PesaMadafu Год назад
But you talking about him 😂😂😂 find somebody to talk about then😊
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 Год назад
Chefyuuuuuuuuu yaan hii kenge
@aishasaidi1784
@aishasaidi1784 Год назад
Mm na taka umwa mbie Zari mkiwa nyote
@noppaboy7720
@noppaboy7720 Год назад
Honestly uyu jamaa ni mjinga
@merinakassembe4251
@merinakassembe4251 Год назад
Sasa hivi anasema nyumba yake south imeunguzwa nimecheka kweli😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬
@manexking
@manexking Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅😮😮😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@bosslilyg4390
@bosslilyg4390 Год назад
Ila Mwijaku anaongeaga ukweli sana, 😂😂 na ukimchukia Mwijaku utakuwa una shida 😂😂😂
@jessendegwahmusic488
@jessendegwahmusic488 Год назад
Nickname Mwabino imekataa kuvma 😂😂
@mwatumsaidi5104
@mwatumsaidi5104 Год назад
Kweli zari hana lolote zaidi watanzania kumchobokea hanafu anawatukana siku watanzania wakiacha kumshobokea atasahaulika kabisa duniani
@salma-fc4xc
@salma-fc4xc Год назад
Zari lolote analo ndio maana mna comment 😂😂usinge comment tu ukapita kama upepo
@Bravo-or8oy
@Bravo-or8oy Год назад
@Mwatum Na uwezo wa kuacha kumshobokea hawana sababu wanapenda umbea na wamejaa chuki
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
​@@salma-fc4xc 😅😂😂😂
@mwatumsaidi5104
@mwatumsaidi5104 Год назад
@@salma-fc4xc labda tako la mgongo lilokosewa
@faridandabirurere3037
@faridandabirurere3037 Год назад
So bullying someone is good 👍 inTanzania?????? Jelousy kills
@devgodfrey
@devgodfrey Год назад
ILA HUYU🙌😂😂
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Год назад
😅😅😅😅😅😅dah kwaiyo shemej alikamatwa kkkk
@user-sq7pz9ex5g
@user-sq7pz9ex5g Год назад
Mmh nchi yangu TANZANIA😂 jamani mie nauliza si kwa ubaya maana sielewi😮MWAMBINO NDIO NANI?!?!🤔🙄
@safiasaleh669
@safiasaleh669 Год назад
Mwambino ni Diamond Platnumz...ndivyo anavyomuita
@lilianimikaeli
@lilianimikaeli Год назад
My
@lilianimikaeli
@lilianimikaeli Год назад
Uko wapi kipenz changu
@abdulkadirgafla3889
@abdulkadirgafla3889 Год назад
Mwijaku ana macho kama komba😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Kwani uyu chawa yuko upande gani, 😂😂😂Mwijaku sikutaki 🙌🏽
@salimbakunda250
@salimbakunda250 Год назад
Anaongea utumbo 2
@ghadaalzuhari2739
@ghadaalzuhari2739 Год назад
Mwijaku kama mwijaku 😂😂Jamani eti ndowa ya sinema
@muna2muna616
@muna2muna616 Год назад
mh apo kwa moapo kaka jaku wivu kwenye maakalio ya zari umepatia atoe atoe ssajris tumuowe
@safiasaleh669
@safiasaleh669 Год назад
Lkn badilisha jina jiite Saleh ...
@cestlaviecestlavie4073
@cestlaviecestlavie4073 Год назад
hahaha Mwijaku bana, shikamo...
@freadyjackson315
@freadyjackson315 Год назад
Mwjku amutajj rayvanny 😆
@millionsofreasons9806
@millionsofreasons9806 Год назад
Yaani kinge chake kila kitu ni present tu 😂😂😂😂 hakuna future au past 😂😂😂😂 ety we don't need her ...tulikua hatumuhitaji 😂😂😂😂😂
@josemutta7233
@josemutta7233 Год назад
Hakuna shida
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Год назад
Yani mpaka unatoka jasho alafu umesoma
@raulianraphael6853
@raulianraphael6853 Год назад
SnS mnafanya kazi nzur ila kwa hapa mmebug kumpa Airtime mtu ambae kabsa ye Huongea chochote bila hekima, mtakuja kuonekana wabaya kuchonganisha na kurusha contents za kuchafua watu
@madarakaempire4744
@madarakaempire4744 Год назад
Mwijagu bhn pcha iyo iyo moja ya mkeo😅😅😅😅
@FestoReonadi-kq8kp
@FestoReonadi-kq8kp Год назад
Fara uyu
Далее
Modus males sekolah
00:14
Просмотров 9 млн