Тёмный

BABA YAKE ALI KAMWE AMJIA JUU MWANAE KUMUITA MAI/ALI AMEVUKA MIPAKA NA NI MNAFIKI,YANGA NA SIMBA SIO 

PMTV TANZANIA
Подписаться 84 тыс.
Просмотров 3,1 тыс.
50% 1

JISAJILI NA KUSHIRIKI PROMOSHENI ZA ROYAL SPORTS NA ROYAL WIN KUPITIA LINK HII 👉 pmbet.co.tz/en...
NA USHINDE ZAWADI MBALIMBALI IKIWEMO GARI AINA YA TOYOTA HARRIER NA NISSAN X-TRAIL
TAFADHALI USISAHAU KU SUBSCRIBE RU-vid CHANNEL YETU NA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WAKWANZA KUPATA HABARI ZOTE AMBAZO TUTAKUWA TUKIKUSOGEZEA KARIBU
INSTAGRAM @pmtvtz
TWITTER @Pmtvtz
TIKTOK @officialpmtv

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 11   
@amangeza9623
@amangeza9623 4 месяца назад
Mzee ni shabani kamwe ali alisema simba my wake. Hajasema washabikiwa simba my wake. Ila kama unaamua kuchukua kesi ya mtu hiyo ni hiali yako
@kisinza6077
@kisinza6077 4 месяца назад
Huyu Mzee hajawahi kukubaliana na suala la mwanae kuwa YANGA, litakuumiza sana hili Mzee kamwe, 😂😂😂😂 maana ni kitambo sana Yanga watakuwa juu yenu.
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 4 месяца назад
Vumilia mzee ila sisi ndio yangaaaaa 😂😂
@beatusmtui507
@beatusmtui507 4 месяца назад
Jamani mzee mbona unamwandama Sana mwanaoooo😂😂😂😂😂
@jamilahjamilah4157
@jamilahjamilah4157 4 месяца назад
Baba vumilia yanga akifungwa na simba goli nyingi kuna mtuu wataka kufukuza sio simba mna nizam ya wonga
@user-wn6tf3oj5w
@user-wn6tf3oj5w 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂 mbona una kasirika na kuonyesha hasira sana kwani wewe huwa unayachukuliaje maneno ya kashifa na ya uvundo anayotapika Shamed Ally?
@kolosii4351
@kolosii4351 4 месяца назад
Baba ni mwanao huyo. Na hiyo ni michezo. Halafu uwakwepe sana hao waandishi wa habari ni wagombanishi. Mbona Simba waliingiza utani wakati Ali Kamwe amepata shida ya kiafya?? Kwa hiyo vumilieni tu.
@mariamjuma1670
@mariamjuma1670 4 месяца назад
Kumbe mzee kamwe ni my wa Ali🙈🙈
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 4 месяца назад
😆😆😆😆
@abdallahmtale4060
@abdallahmtale4060 4 месяца назад
Nilichogundua huyu mzee ana chuki kubwa na mwanae. Mzee jau sana. Shabikia timu yako lakini acha kumchafulia mwanao. Mbona Mzee Manara alikuwa anamvumilia Haji na kumsapoti. Acha mwanao afanye kazi yake. Mzee kwanza kabla ya Ali Kamwe kuwa Msemaji wa Yanga Hakuna aliyekuwa anakujua, je hapo tu huoni kuwa mwanao kakuletea heshima?.
@saumumaulidi8768
@saumumaulidi8768 4 месяца назад
Nimechek mmi😅😅😅 kwa sauti
Далее
Новый уровень твоей сосиски
00:33