Тёмный
No video :(

BABA YAKE ALI KAMWE AFUNGUKA UYANGA WA MWANAYE/ALILIA SANA NILIPOMNUNULIA JEZI YA SIMBA. 

Mpenja TV
Подписаться 532 тыс.
Просмотров 136 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 134   
@johnbernad3990
@johnbernad3990 Год назад
Nimejifunza kitu kupitia huyu mzee kuwasikiliza watoto na kuziheshimu ndoto zao na kusikiliza kutu wanachotaka kusomea big up mzee kamwe
@prudenceevarister1997
@prudenceevarister1997 Год назад
Nimeipenda sana hii Interview. Baba wa Ally Kabwe Hongera sana ila ACHANA NA MAKOLO SASAHIVI.
@froladaudi3217
@froladaudi3217 Год назад
Mkundu wako kolo mboro ya baba yako
@daudkhatib4678
@daudkhatib4678 Год назад
Utoploo ndie. Mume. Wa. Makoloo. Wewe. Mzee. Koloo
@daudkhatib4678
@daudkhatib4678 Год назад
Ni. Kawaida. Ya. Makolo huwaga. Makorofii. Sanna
@daudkhatib4678
@daudkhatib4678 Год назад
Kwanza. Hatukutaki. Yanga. Kama. Uko. Uko
@sangaelly8548
@sangaelly8548 9 месяцев назад
Hujui usemalo ahame kwaajili ya Yanga
@jumakalinga2357
@jumakalinga2357 Год назад
Hii familia Ina chemistry nzuri sanaaa nimeipenda Simba na yanga tumechanyika humo mashaallah
@ashuramhandoashuramhando6798
Baba yetu ametutolea nondo Moja matata kifaa cha maana ambocho ni Semaji la mabingwa 💚💛🙏🙏🙏
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 Год назад
Ali Kamwe amelelewa vyema. Karibu Sana. young Africans!
@alicenice1711
@alicenice1711 Год назад
Ali kamwe ndo umaharufu utazidi mashallah
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Год назад
Hawa ndyo waandishi na wanahabari tunaowataka nchi hii! Unatupa habari yenye faida ambayo inatuelekeza kwenye mafanikio kupitia kwa waliofanikiwa! Cyo viandishi feki kila kukicha ni hamonize, Mr Pimbi, Mara umbeya kibao Hakuna wanacholisaidia taifa, hongera Mpenja hongera mzee shambani kamwe
@kisinza6077
@kisinza6077 Год назад
Waandishi wanatutazamisha kina mashimo na akina Babu WA mchongo,,akhaaa ujinga tuuuuu! Yanga wanachapa kazi bhanaa🤛
@francepaul7711
@francepaul7711 Год назад
Father Hero 💪🙌🙌💚💛
@tehamarobema9403
@tehamarobema9403 Год назад
Kupitia huyu mzee nimejifunza mambo mengi sana katika maisha
@mhkataumeme2455
@mhkataumeme2455 Год назад
,Ongelaaa chamaa languuu la yanga
@mhkataumeme2455
@mhkataumeme2455 Год назад
,Amini unachokiamni katika maisha ipooo skuuu utatoboaaaa 2 isiyooo na jinaaaa
@fabianmihafu697
@fabianmihafu697 Год назад
Kupitia hii interview ndiyo nimeamini kuwa Ally Kamwe siyo Kolo. Nilikuwa simwamini kabisa, kumbe ni Yanga mtupu bwana 😂. Asante kwa kutujuza
@imanibakili8028
@imanibakili8028 Год назад
😆
@senizengo9949
@senizengo9949 Год назад
Karibu sana jangwani mzee we2 kw nn unateseka na mikia fc, njoo yanga baba ye2
@jareengeorge5478
@jareengeorge5478 Год назад
Hongera Sana baba.unaakiri Sana.
@uthmanmaluja7005
@uthmanmaluja7005 Год назад
Mzee Kamwe kaupiga mwingi sanaaa.
@panchovalentino3576
@panchovalentino3576 Год назад
Viva Big brother Ally Kamwe semaj la wananchiiiiiiiiiiiii 💛💚🏆🏅 karib Jangwani
@philipomemba5238
@philipomemba5238 Год назад
Big Up baba wa Ally kamwe
@ngassajason3990
@ngassajason3990 Год назад
Kumbe mwamba father wake yupo me namfaham mamaake ambae n young African wa kutupwa
@JJ-fb9jp
@JJ-fb9jp Год назад
Duuh
@mathayogwaza6511
@mathayogwaza6511 Год назад
Boss wangu huyooo
@emmanuelmtonyole9958
@emmanuelmtonyole9958 Год назад
BIG UP SANAA
@diti4899
@diti4899 Год назад
Best father
@kapelotz9967
@kapelotz9967 Год назад
Uyu mzee kwel sio rofa ndo mana kazaa kijana mwenye akili nyingi kwa kwel wananchi tujivunie kuwa na afisa habari kama ally kamwe kijna alie pambania ndoto zake na kuhakikisha anazitimiza xo this is a good interview
@mecksonjoseph2522
@mecksonjoseph2522 Год назад
Uyu mzee simba a original
@jumaathumaninnalillahwaina1972
Hongera sana mzee kamwe .nimejifunza jambo kupitia mahojiano yako
@allexmathias3593
@allexmathias3593 Год назад
HONGERA SANA MZEE KAMWE TUNAHESHIMU SANA KILE UFANYACHO KAMWE.
@bonabonala5559
@bonabonala5559 Год назад
Wewe ni baba bora
@zainabsalum3730
@zainabsalum3730 Год назад
good 👍
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Год назад
Asante baba nakukubali
@zulfikakalumba1977
@zulfikakalumba1977 Год назад
Mzee safi sana, ameeleza hali halisi.
@halfankipande9903
@halfankipande9903 Год назад
Pongezi father's -ongera Aly
@mariamjohn7444
@mariamjohn7444 Год назад
Hongera Sana Ali baba Ali karibu yanga
@hassanseif2055
@hassanseif2055 Год назад
😂😂😂😂 et karb yanga
@hannansdeliciousfood4261
@hannansdeliciousfood4261 Год назад
Hhahaaa Simba damu huyo
@salumrwambo9733
@salumrwambo9733 Год назад
Mzee wetu safi sana
@dismassendeu8042
@dismassendeu8042 Год назад
Aisee mtangazaji huyu namkubali sanaaaaaa
@fredma21x
@fredma21x Год назад
Yeah dogo yuko Smart sana
@furahajacob9110
@furahajacob9110 Год назад
Mama yao alikuwa Utopolo Mzuri xana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@marymariki586
@marymariki586 Год назад
Me and my son's😁😁
@majidisalumu3260
@majidisalumu3260 Год назад
Duh, Mzee Wangu Hongera Sana Kwa Kuwa Mshabiki Wa @simbasctanzania Ila Ndugu Yetu Ally Tumtakie Kazi Njema Kwenye Majukumu Yake Huko Utopoloni
@abdalahmjomba471
@abdalahmjomba471 Год назад
Utopoloni Simba huwa hatoki limayele
@abbyadams8691
@abbyadams8691 Год назад
Ali njoo uongee na Mshua hukuuuu😄😄😄😄😄
@joshuakitunzi9500
@joshuakitunzi9500 Год назад
Kwa wenye macho na akili kuona mbali Ally Kamwe alikuwa anaonekana kuonyesha uyanga
@amour5535
@amour5535 Год назад
Kabsaaaa
@greaterjustin2231
@greaterjustin2231 Год назад
Inawezekana lakin ukiangalia hata ungekua Wewe kama unamapenzi na team flan huwezi kosa chembechembe na wengine husema wao ni team flan,au anaweza asiseme lkn akaonesha mapenzi,Bora yeye alijitaidi
@dunstannyange7509
@dunstannyange7509 Год назад
Hahahhah "mwambien yule aliyesema anaweza kumlipa Ally mshahara na familia yke akae akijua kua baba ake Ally cyo rofa anajiweza na silipw mshahara na mtu" big mzee
@samirysharifu8649
@samirysharifu8649 Год назад
Safi mzee
@halimamimarich3799
@halimamimarich3799 Год назад
MASHAALLAH I WSH BABNGU ANGRKUA KM UYU LEO HII ME NINGEKUAA MTU TOFAUTI SANA😭😭😭ILA NASHKRU NA KIDGO NIKPTACHO
@simulizizamwanaupwa2644
@simulizizamwanaupwa2644 Год назад
SubhanAllah!
@dausonidominick719
@dausonidominick719 Год назад
Wanaendana kabx Amedi Ally na Ally kamwe
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 Год назад
Allah anasababu zake shukuru kwa kila jambo In Shaa Allah
@annakornelimihuru7964
@annakornelimihuru7964 6 месяцев назад
Hongera sana baba umelea vema
@hilaliabousalim2715
@hilaliabousalim2715 Год назад
Mzee umekosea huwezi kusema radio ya wahuni wakati kuna watu wana heshima zao wanafanya kazi ktk hiyo radio na wanaendesha maisha yao na watu wake wa karibu sio kauli nzuri kabisa ajirekebishe kwa kauli yake
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 Год назад
Huyu Mzee anajielewa sana
@YusuphHemed-vv9bp
@YusuphHemed-vv9bp Год назад
Mzee yupo vizuri sana
@waziribori2280
@waziribori2280 Год назад
Yanga imepata msemaji su afisa habari mwenye uweledi kama ahmed ally wa simba , siyo yule lopolopo na majungu tu kweli dunia ni duara
@husseinnkuna4260
@husseinnkuna4260 Год назад
Mwananchi ametishaa.. 💪💪💪💚💚💛💛💚💛💛
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Год назад
Wasafi kkkk baba kamwe kasema radio ya wahuni kkkkkk
@chrispinrafael3831
@chrispinrafael3831 Год назад
Sisi mashabiki tunamkubali sana arafu ni msomi bila kujari Simba au yanga akiwa anaojiwa ajawahi kukasilika ata siku moja
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Год назад
Mi ni Mnyama Dam nawapongeza watani kupata msemaji mwenye akili timam sio yule ropo ropo muhuni.
@pauljohn6393
@pauljohn6393 Год назад
Hiyo Radio ni Wasafi fm
@mariamlymo6548
@mariamlymo6548 Год назад
Hiyo radio ya wahuni kama siyo wasafi sijui😆😆😆
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Год назад
Mzee nimependa ulivyoongeya
@NURDINAbdala-nq8pt
@NURDINAbdala-nq8pt 6 месяцев назад
Mzee.weww tajili
@eliasmshiu2600
@eliasmshiu2600 Год назад
Hio radio ni wachafu wa roho😁
@ifixittz715
@ifixittz715 Год назад
Radio gani hiyo😂
@josephinejoseph3919
@josephinejoseph3919 Год назад
💚💛
@mdangaisraeli8410
@mdangaisraeli8410 Год назад
Anafanana na waziri mkuu
@johannmaloda6027
@johannmaloda6027 Год назад
Et unashindana na baba...una Prado mm nina Volkswagen new model
@YohanaMarwa-ms2fm
@YohanaMarwa-ms2fm Год назад
Safi sana
@PriscaEmanuel-ey9qj
@PriscaEmanuel-ey9qj Год назад
Unenifunza kitu baba ngoja nimuache mwanangu aendelee kurudi na matope na nyasi kichwani akidai yeye ni kipa
@obeidobeid3609
@obeidobeid3609 Год назад
Acha nika mfolow kabisa
@tinabapemacho8650
@tinabapemacho8650 Год назад
Ashatusikie mzze kasem mm ninani nipinge
@mohdseif1659
@mohdseif1659 Год назад
Napajuwa Sana hapo tupo jirani na mzee kamwe General,Kuna kipindi ukuta wake wa Gereji uliangukia nyumba yetu Nusra kidogo tu tumpoteze mtu
@rebeccasechuma4746
@rebeccasechuma4746 Год назад
wapare hoyeeeeeee
@mwanaidmorinde3524
@mwanaidmorinde3524 Год назад
Hoyeeeeeeeeee
@williamsiame9616
@williamsiame9616 Год назад
Yan hyo workshop imekaa mashine km zote mamaeeee
@abbyadams8691
@abbyadams8691 Год назад
Ali Kamwe hovyo sana kumbe alikuwa anataka kuwa msanii?😄😄😄😄😄
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Год назад
Wasanii ni hovyo kumbe
@hassanseif2055
@hassanseif2055 Год назад
😂😂😂😂
@maryamtan682
@maryamtan682 Год назад
Sio msanii wa kuimba.
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 Год назад
JIFUNZE CHA KUPOST KAMA HUNA KAA KIMYA.
@abbyadams8691
@abbyadams8691 Год назад
@@godlistengodlisten7552 Ali kamwe ni mtu wa utani sijamdhihaki km unavyodhani.
@YusuphHemed-vv9bp
@YusuphHemed-vv9bp Год назад
Mimi naomba kuuliza hivi wasemaji wa hizi timu kubwa huwa wanalipwa shing ngapi kwa mwezi!?
@suleimanchonya7736
@suleimanchonya7736 Год назад
Dah. Hapa Yanga naona kama tumepata mtu asie na uwezo wa kutosha. Afadhali angekuwa Maulid Kitenge
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 Год назад
Hajaomba kitenge
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 Год назад
HAHAAAA 🤣🤣👏👏👏👏 WALE WACHAMBUZI WA MCHONGO MMESHAMSIKIA BABA MLEZI WA ALLY KAMWE?YEYE NI KOLO ILA MWANAE NI YANGA.
@hannansdeliciousfood4261
@hannansdeliciousfood4261 Год назад
Ila mwanaee utopolooooo....yy Simba babaa
@lusatomichael7973
@lusatomichael7973 Год назад
Huyu Mzee yuko vizr
@JJ-fb9jp
@JJ-fb9jp Год назад
Miaka yote najua ally kamwe ni Simba duh
@jumas.sendekwa2788
@jumas.sendekwa2788 Год назад
Daaaah baadae wakamchukua kijana wako.
@mecksonjoseph2522
@mecksonjoseph2522 Год назад
Mzee kamwe.. Nakuja kuchukua block langu la 3 L.. Sasa ww ongea hapo baadae uni letee story
@williamsiame9616
@williamsiame9616 Год назад
Hahaha hyo workshop sio poa kaka yan imejaa takataka zote za machine
@bujimuluhanga1804
@bujimuluhanga1804 Год назад
Hahahaha eti uniletee story 🤣🤣🤣
@mecksonjoseph2522
@mecksonjoseph2522 Год назад
Ndio manake... Alafu ina bidi ahamie yanga
@ifixittz715
@ifixittz715 Год назад
Hiyo radio ya wahuni ni ipi?
@Baron_Kigume
@Baron_Kigume Год назад
Wasafi
@adamnkwama4148
@adamnkwama4148 Год назад
Radio ya wahuni
@sophiaabdallah7821
@sophiaabdallah7821 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nmechekaa kweli2 ety radio ya wahunii
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 Год назад
MHUNI MWENYEWE NDIO MAANA HUNA HATA CHA KUPOST ZAIDI YA UTUMBO.🤫🤫🤫🤫
@masouddaud4075
@masouddaud4075 Год назад
acha ukolo ww mzeeee
@jamesmalema7631
@jamesmalema7631 Год назад
Mmetshaaaa
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr 11 месяцев назад
Ndio. Ujuwe. Ao. Babazake. Wadogo. Ally. Kamwe. Ndio. Wajanja. Kuliko. Wewe. Mzee.
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr 11 месяцев назад
Wewe. Mzee. Umepotea. Sanna. Umeshindwa. Ujanja. Na. Mkeo. Umekuwa. Zuwena. Mkubwa
@barakajulius5938
@barakajulius5938 Год назад
Muiteni Manara aje hapa,aache dharau kwa watu asiowajua
@othmanmapunda2310
@othmanmapunda2310 Год назад
Kamwe
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Год назад
we mzee mbona mfumo wa jezi kuvaliwa na mashabiki umeanza juzi tu miaka ya 2017?! sasa hiyo miaka ya kina Ali kamwe jezi mlikuwa mnapata wapi
@mwana4599
@mwana4599 Год назад
He wewe unaishi wapi?
@deokibona2835
@deokibona2835 Месяц назад
Mie nilivaa jezi ya yanga Kwa mara ya kwanza mwaka 1993.
@fadhilamwiru9258
@fadhilamwiru9258 Год назад
Mtangazaji unavoongeaga sikukubali,ongea vzr
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 Год назад
Acha hasad hiy
@samaduabdallah9476
@samaduabdallah9476 Год назад
anapayuka sana mtangazaji.Hana tone ya utangazaji
@ElizabethKiluvia
@ElizabethKiluvia Год назад
Kama.tundu.lisu
@thomasitembe6836
@thomasitembe6836 Год назад
Dogo unajitahidi Sa
@piusmwakyembe4545
@piusmwakyembe4545 Год назад
Hapo katupiga
@sadashabani9445
@sadashabani9445 Год назад
😂😂😂😂pole
@suleimansuwed1846
@suleimansuwed1846 Год назад
Wewe.kaka.unaakili.mwanao.kapoteyahuyo
@ashuramhandoashuramhando6798
Umepotea wewe nabado lako la500🤣🤣🤣🤣
@imanibakili8028
@imanibakili8028 Год назад
@@ashuramhandoashuramhando6798 halafu kaishia darasa la ngapi huyu
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Год назад
Mtu na Mwanawe lazima Amsifie Tuu lakini Mie namjua ni Mjeuri sana
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Год назад
kama wewe Mzee ni simba bc na ulichokizaa pia ni simba Tuu
@ahmedhamad2410
@ahmedhamad2410 Год назад
Baba kamwe achana na makolo awo hujuw kama kuna njaa uko saiz
@hannansdeliciousfood4261
@hannansdeliciousfood4261 Год назад
Muachee na choice yke baba yetu....mnyama yupo nae
@guccij6236
@guccij6236 Год назад
😆Mzee Yanga hii ya Mayele sio utopolo ile yakina Yikpe (Molinga)
Далее