Тёмный

BABA YANGU KIPOFU Full Episode /33/  

BabaJoan
Подписаться 525 тыс.
Просмотров 452 тыс.
50% 1

#love

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,4 тыс.   
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 12 дней назад
Asalaamu walekum bwana yesu asifiwe yeyote atakayesoma hii coment uwe na maisha marefu ✊👊🤛🤜👏🙌🙌👐🙏🙏🙏🙏🙏
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 12 дней назад
😅
@SharifaShery
@SharifaShery 12 дней назад
Amiin
@SadaDjuma-e9b
@SadaDjuma-e9b 12 дней назад
Walaykumussalam warahmatullah wabarakatuh,tupo tupo mambo hayooo
@edithmasakwa1645
@edithmasakwa1645 12 дней назад
Nawe pia barikiwa
@edithmasakwa1645
@edithmasakwa1645 12 дней назад
Wewe mama kalobo acha kuwa hivo kwa mmeo
@dorcahnyabo4713
@dorcahnyabo4713 12 дней назад
weh jamani mganga ajigangi kweli send a thief to catch a thief mama karobo Leo kapatikana from Kenya 🇰🇪 like za baba karobo❤❤
@JonhKabange
@JonhKabange 12 дней назад
Baba karobo wewe ni fundi basi na ombeni likes zangu djamani
@SaumuJumwa-u4v
@SaumuJumwa-u4v 12 дней назад
Bwana Yesu asifiwe watu wa mungu🙏 muwe na siku njema yenye baraka tele nawapenda bure 🙏🙏❤️❤️
@DamarisDammie
@DamarisDammie 12 дней назад
Wale tumemic ba karobo na mwanawe mikono juu🖐🖐🖐 show them love 🥰🥰
@NangeBoy-by6cr
@NangeBoy-by6cr 10 дней назад
🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️
@amosbarasa3516
@amosbarasa3516 12 дней назад
Baba Joan naomba siku Moja ubadilishe mavazi yaani nguo, Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 bro, dah Mama Kalobo hunipamba
@DebyDival-t6g
@DebyDival-t6g 12 дней назад
Na mimi leo nimewahi kuiangalia jamen naombeni like zangu duuuh!
@tescomo7224
@tescomo7224 12 дней назад
Me Naona ujeuli Wa mama karobo ukiisha natamani nione pia yeye akiwa kipovu Na kielehele.chake weee😅😅😅 pia yeye akae kujunga mlango Nani atamani kama mm like hapo jini👇👇👇 tuone💪
@DeeDan-sj1mr
@DeeDan-sj1mr 12 дней назад
Tunaoamin tabia ya mama karobo hata kwnye uhalixia wa maixha ni hiyo hyo gonga like apa tujuane😂😂😂
@Gift-kijiti
@Gift-kijiti 12 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂sisana vile bt ukikosana nae kwa mtaa utashagaa😂😂😂😂hautaamini 😂😂
@johnambrose7223
@johnambrose7223 12 дней назад
Huyu dada ndo tabia yake namjua
@zuberhamza7852
@zuberhamza7852 12 дней назад
Me nakataa sababu Muvi nyngine Yule zaujat ndio ana roho mbaya tofaut na huyu mama karobo
@EmmyMo
@EmmyMo 12 дней назад
hapana jamanii😂😂😂😂
@RizikiZiki
@RizikiZiki 12 дней назад
Ndlnafasi kapewa jamani kwaiyo munataka asiitendeyi haki ebuaceni ivo😂
@nurafedrick378
@nurafedrick378 12 дней назад
😮😮😮😮😮😮Mungu wangu nuktikumbe mnafikiii jamani jaman mbona huyu dada mnafikiii
@Maryjuvita
@Maryjuvita 12 дней назад
Kama unampenda baba karobo like from 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🎉🎉🎉
@NaomiChande
@NaomiChande 11 дней назад
Yupo poa sana namkubali sana lakini ni mwana yangu huyu eti
@user-wl8cq2rn8z
@user-wl8cq2rn8z 12 дней назад
Kibanio mzur jamani, she's all amazing 🤗
@SalmahBilally
@SalmahBilally 12 дней назад
Hya Leo mm ndo wapili like kwa baba karobo hta kama n ishirini🎉🎉🎉
@user-sw9id8xx2o
@user-sw9id8xx2o 11 дней назад
Mnafundisha kwelokweli maisha alisi
@user-vy7lt3gj9n
@user-vy7lt3gj9n 12 дней назад
Waaaa duuu kumbe nupti ni msaliti ila uzuri mama karobo original Yuko
@djothaniel254.
@djothaniel254. 12 дней назад
Wakwanza from Kenya wapi likes zangu
@loreenmwambinguloreen7373
@loreenmwambinguloreen7373 12 дней назад
Wow
@SarahWanjala-b9d
@SarahWanjala-b9d 12 дней назад
If you are from Kenya let's gather here to expose our genuine love to baba karobo jamani 🙏🙏🙏🙏🙏
@SyombuaMuvengei
@SyombuaMuvengei 12 дней назад
From Kenya 🇰🇪 jamani baba karobo siunatenzeka do mungu akujalie uone😢😢😢😢
@saumJuma-q3e
@saumJuma-q3e 12 дней назад
Wanaotamani nupti aumbuke kwa uovu wake anaoufanya like hp
@loreenmwambinguloreen7373
@loreenmwambinguloreen7373 12 дней назад
Amefanya ubaya gani
@saumJuma-q3e
@saumJuma-q3e 11 дней назад
@@loreenmwambinguloreen7373 kusaliti wenzake au ulicomment bila kuangalia nini udugu hahahaha
@Gladys-254
@Gladys-254 11 дней назад
Mbona nukti amekua msaliti😢
@user-yn5fx7zr7d
@user-yn5fx7zr7d 11 дней назад
@@Gladys-254 yaaan amekuwa msaliti mkubwa
@RichardNshimirimana-m1k
@RichardNshimirimana-m1k 12 дней назад
UJAMBO WACHEZAJI WA FILAMU NZURI. NAWAPONGEZA SANA KWA KWA FILAMU BABA YANGU KIPOFU. NAWAPENDA SANA. CONGRATULATION, HONGERA
@YusraSiyaleo-yk2fz
@YusraSiyaleo-yk2fz 12 дней назад
Na mm nimewah sasa tunaoomba baba karobo apone gonga like hapa
@AronAmuru
@AronAmuru 12 дней назад
Nipo
@YusraSiyaleo-yk2fz
@YusraSiyaleo-yk2fz 11 дней назад
@@AronAmuru uhakika
@JanethMgaya-wt3ze
@JanethMgaya-wt3ze 14 часов назад
Ndiyo
@Gift-kijiti
@Gift-kijiti 12 дней назад
Aya nimechelewa ila nanyi team shaghala team gaidi team hamamu 🇰🇪,🇺🇬,🇹🇿mkimaliza mkuje mlike na comment mshamaza mkataba au vipi m nilimaliza na nikaogezea saii najitarisha niende home 🇰🇪 mwezi huu inshallah team baba John nawapendaga ❤
@munalove-x4u
@munalove-x4u 12 дней назад
Ongela
@Daddysqueen254
@Daddysqueen254 12 дней назад
Hongera my team mate....❤❤❤❤❤
@Majouma-ou7xw
@Majouma-ou7xw 12 дней назад
Hongela hadi nakuonea kawivu team baba john 2pooo ndan ya oman
@AnthonyNdinah9142
@AnthonyNdinah9142 12 дней назад
Wengine miezi badooooo kbsaaa hongera kwa kumaliz mkataba from Tanzania 🇹🇿
@IrakozeFlorence-ol5sj
@IrakozeFlorence-ol5sj 12 дней назад
Nuliati unabakosea sana
@islinamkala1798
@islinamkala1798 12 дней назад
Jamani naombeni like zangu japo tano2 team baba karobo tusherehekee coz karibuni baba karobo atausaliti upofu😂😂😂
@Emmajose-t8t
@Emmajose-t8t 12 дней назад
Naomba likes za juzet Alf mm naamini kuwa hakuna mwanaume mjaja kama mwanamke like za juzet
@Johar903
@Johar903 12 дней назад
❤❤❤❤
@user-wl8cq2rn8z
@user-wl8cq2rn8z 12 дней назад
Mwanamme atabak kuwa Mwanamme tu ❤
@loreenmwambinguloreen7373
@loreenmwambinguloreen7373 12 дней назад
Zujet sio juzet
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 11 дней назад
​@@loreenmwambinguloreen7373😂😂😂😂😂. Amefanya vice versa😂😂😂
@ignitiussilungwe7930
@ignitiussilungwe7930 12 дней назад
Asante sana kwakazi munao weza kutu onyesha na Mungu awalipe kwakweri munajita hidisana Mungu ayibariki kaziya mikono yenu Mama Karobo facke mdasimulefu ataumbuka iramimi niripenda musimuge uze Kipofu iliashuhudie uponaji wa Baba Karobo maana akia Kipofu ahitapendeza kwasababu atakua haonicho chote kizuri kutoka kwa Baba Karobo wanaao kubariana na mimi gongalike
@DonMooFILMES_Express
@DonMooFILMES_Express 12 дней назад
Wangapi tumemchukia NUPTI kwa usaliti wake 🙆‍♂️
@brightonvictorkimsehyeon7892
@brightonvictorkimsehyeon7892 12 дней назад
Hata mi nmemuchukia kunoma
@DonMooFILMES_Express
@DonMooFILMES_Express 12 дней назад
@@brightonvictorkimsehyeon7892 ametuangusha sana 😓
@DonMooFILMES_Express
@DonMooFILMES_Express 12 дней назад
@@brightonvictorkimsehyeon7892 ametuangusha sana 😓
@KingNtiharirizwa
@KingNtiharirizwa 12 дней назад
Nukutxi amaniumiza sana kwa usalit arawonecha kabisa
@Zeuna-eo3je
@Zeuna-eo3je 12 дней назад
Kweli kila kwenye kundi la kenge Na mamba wapo😭
@user-ie7yt9db6f
@user-ie7yt9db6f 12 дней назад
Nimefika jamani namm like zng 5 tu sitaki nyingi ❤❤❤❤
@Agnes550
@Agnes550 12 дней назад
I was really waiting for it 🎉 much love from Kenya 🇰🇪 Wakenya tulike hapa❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@user-uy5rj2wx8n
@user-uy5rj2wx8n 12 дней назад
Nupti msaliti mkubwa jamani wanaosem Bab karobo arudi kuona tugonge like hapa
@ronickimaendeleostar4564
@ronickimaendeleostar4564 12 дней назад
Haki watanzania nyinyi enywey natoka Kenya nibeeni like kazi safi baba karobo
@LeoniaNicodemus
@LeoniaNicodemus 12 дней назад
Sawa
@Lovelyshanyz-gg7pl
@Lovelyshanyz-gg7pl 12 дней назад
Vipi uyu rafiki wa zujati amekua msaliti tena nimemchukia sana ila namini mambo yote yatakua sawa baba kalobo kazi nzuri❤❤❤❤
@user-jf9pt8bu5j
@user-jf9pt8bu5j 12 дней назад
😢pia Mimi nimeshindwa
@Lovelyshanyz-gg7pl
@Lovelyshanyz-gg7pl 12 дней назад
@@user-jf9pt8bu5j aky amehongwa na pesa uyo
@NanzariuAwadhi-jp3qw
@NanzariuAwadhi-jp3qw 12 дней назад
Mwenyew nimekwazika sana
@Lovelyshanyz-gg7pl
@Lovelyshanyz-gg7pl 12 дней назад
Ila mambo itakua sawa mama karobo original ashaget mkojo
@user-rl9sd8hl5o
@user-rl9sd8hl5o 12 дней назад
Mama karobo mbona roho mbay a rakini kama kuna wanawake ndiniani kama mama karobo dunia kwisa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ZilfaNdayikunda
@ZilfaNdayikunda 12 дней назад
Team Gulf 🎉🎉🎉Team Baba KAROBO na ZUJATY Naomba Like Zenu
@KaburaOlene-hx5ip
@KaburaOlene-hx5ip 12 дней назад
Jamani nipeni like nimejitahidi tangu film hiii ianze ndonimekuwa number one😊
@AgnessMhagama-f7o
@AgnessMhagama-f7o 12 дней назад
Mhhh uyu rafik ake na zuuu nimunafiki kumbe duuu
@HasnaSawaid
@HasnaSawaid 12 дней назад
Nimechekaa mbavuzagu🤣🤣🤣🤣
@BelyseKezamutima
@BelyseKezamutima 12 дней назад
Nakuchikia sana tena sana nupti.kumbe wewe ni mnafiki!
@Daniel-jb9ql
@Daniel-jb9ql 12 дней назад
Mombasa Kenya mimi hapa wa kwanza... Nani anabis
@JumaAbrahaman-p6k
@JumaAbrahaman-p6k 12 дней назад
Ama hakika team baba Karobo mnahitaji pongezi za dhati kwa kazi nzuri mnayoifanya. Mnaelimisha, mnafurahisha, na mnafundisha. Hongereni sana. Mama Karobo feki ni muigizaji mahiri na makini ameiwezea sana nafasi yake. Nawapenda sana kazi njema😅😅😅😅
@japhethmutumwa
@japhethmutumwa 12 дней назад
Wakwaza leo kama unampeda baba kalombo nipe like
@mirriammuange757
@mirriammuange757 12 дней назад
Simpendi mimi
@JosephDismas-f7w
@JosephDismas-f7w 12 дней назад
Kumbe asaiv anaitwa kalombo😂😂😂😂
@AliceFavoured985
@AliceFavoured985 12 дней назад
😂😂😂😂usijali Kenya kuna kabila ya wakamba na Sisi ndio hao😂😂😂​@@JosephDismas-f7w
@Neemakiatu
@Neemakiatu 12 дней назад
😂😂😂😂
@SharifaShery
@SharifaShery 12 дней назад
😂😂😂😂 sio baba kalombo jaman n baba karobo
@joycemaregesi18
@joycemaregesi18 12 дней назад
Woooh! Hapo mwishoni nimepaelewa vzr na nimefurahi mama karobo og kapata mkojo wa mama karobo fek pale kichochoroni🎉🎉🎉🎉🎉
@Petrz254
@Petrz254 12 дней назад
Kazi safi kaka kongole👏👏
@SadaDjuma-e9b
@SadaDjuma-e9b 12 дней назад
Ninafurah saan kuona Baba karobo imetoka ckueni mauwa yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉ninawalenda saan,ila musiwr mnachelewesha movies ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@GenuiniNgeleshi
@GenuiniNgeleshi 12 дней назад
Wanao mkubali karobo gonga like chap hap
@samuelnthia8858
@samuelnthia8858 12 дней назад
Like
@samuelnthia8858
@samuelnthia8858 12 дней назад
Like
@user-kj7rc2gj3v
@user-kj7rc2gj3v 11 дней назад
. P
@SureymanRashidi
@SureymanRashidi 12 дней назад
Dah naipenda San hiyo nyimbo
@SyombuaMuvengei
@SyombuaMuvengei 12 дней назад
Weh aiz kumbe huyu rafiki yake na nzuu ni mnafiki sasa watawenzecha jambo Lao hata siamini😢😢😢😢 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 like jamani mniambie rafiki yake na nzuu amefanya ukwana kweli❤❤❤❤❤
@FaithChimoyi
@FaithChimoyi 12 дней назад
Hapana amekisea sana,yeye ni msaliti🇰🇪🇰🇪
@HaimanAsha
@HaimanAsha 12 дней назад
Nalichukia hilo lischana mm
@olicej7837
@olicej7837 12 дней назад
Mimi ata sjawahi lipenda toka nilivoanza kuifuatilia movie😂😂😂😂​@@HaimanAsha
@user-ie7yt9db6f
@user-ie7yt9db6f 12 дней назад
​@@olicej7837 😢😢😢😢😢
@AmenaMm-r5t
@AmenaMm-r5t 12 дней назад
We nukty mnafik kumbe ww duu kudadadek
@AminaDibwe
@AminaDibwe 12 дней назад
Wanaotamani baba karobo aone like hapa
@MartinLazaro-zj6ke
@MartinLazaro-zj6ke 12 дней назад
Kazi nzuri. Sana ❤❤❤ baba karobo. 🎉🎉🎉🎉
@SarahKacho-f9w
@SarahKacho-f9w 12 дней назад
Mama karobo really do something about that friend of zuuh make them now that she's not good at all
@swabrinamwaka2437
@swabrinamwaka2437 12 дней назад
Apa mama karobo kapatikana hivi ndo kweliiii ametoa machoziiii😂😂😂😂......zujati hongeraaaaaaa❤
@tomsteves
@tomsteves 12 дней назад
😂😂😂mkojo ni rahisi ....mmoja angetafuta dust coat ajifanye daktari aende apime mikojo ya family nzima jioni moja😂😂😂.....kuna msaliti hapa
@PiliMundu
@PiliMundu 12 дней назад
😂😂😂😂😂
@SamwelMutembei-d6t
@SamwelMutembei-d6t 12 дней назад
Baba karobo Nikona ww kila ndakika from kenya garissa
@mirriammuange757
@mirriammuange757 12 дней назад
Pia mimi
@SamwelMutembei-d6t
@SamwelMutembei-d6t 12 дней назад
@@mirriammuange757 hello
@SamwelMutembei-d6t
@SamwelMutembei-d6t 8 дней назад
@@mirriammuange757 uko Garissa
@MARYNAGUJustin
@MARYNAGUJustin 12 дней назад
Mi ndy mana cjawahi waamini waganga kwa yesu hakuna ma sharit ❤❤🎉
@NeemaStephen-oe4ww
@NeemaStephen-oe4ww 12 дней назад
Huyu mama karobo feki hii scene yake wslimpatia sana😂😂 kama unakubaliana na mimi tujuane mama karobo feki to the world 🤗🤗🌍🌍🤣🤣
@MaimunaLugua-tf7vh
@MaimunaLugua-tf7vh 12 дней назад
Congratulations baba karobo MUNGU abariki kazi zenu ,mko na kazi safi sana i say more love u All
@LuciaBukula
@LuciaBukula 12 дней назад
😭😭😭 nalilia like jamani wana familia nataka nikazilipie kodi
@Smart7-b5e
@Smart7-b5e 12 дней назад
Duuu kwa kweli mafunzo mazuri sana kwa hii series hongera sana ❤❤❤🎉
@jumahamisi1953
@jumahamisi1953 12 дней назад
Nimewahi jmn na mm nipeni like zangu
@HappyCharles-vk8ds
@HappyCharles-vk8ds 11 дней назад
Nukti anakera jmn mshika mbili huyu kama hujamkubar nukti kama mm gonga like
@AishaJafari-sh4pe
@AishaJafari-sh4pe 12 дней назад
Waooooooooo nice job like Kwa baba karobo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
@user-cw6py3mw5l
@user-cw6py3mw5l 12 дней назад
Ndani ndani from Kenya nampongeza zuu kq Kazi ngumu yenye anaendelea kupambania baba kalobo 👏👏👏
@modex_0376
@modex_0376 12 дней назад
MTU YOYOTE AKISOMA HII SMS NA KULIKE🙏 MWEZI MUNGU AMJALIE UMRI MREFU IN SHAA ALLAH AMUINGIZE PEPONI 🤲🤲🤲
@UmiMazari
@UmiMazari 12 дней назад
Nawe pia nakutakia kila la kheri inshaalah
@KhadijaMdee
@KhadijaMdee 12 дней назад
Mambo vipi
@user-fr1st9bo7y
@user-fr1st9bo7y 12 дней назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bado hujasema, mpaka useme
@KhadijaMdee
@KhadijaMdee 12 дней назад
Mamb hendsam
@AssumaniHatungimana
@AssumaniHatungimana 12 дней назад
Amin
@user-wr9kk5vo1c
@user-wr9kk5vo1c 12 дней назад
Nawashuku team ya baba kalobo nawapenda sana kaama sija yiona ingine prt sijiskie vizuri na omba musiwe munakawiya sana hapa Rwanda tunawapenda sana❤❤❤
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 12 дней назад
Kazi nzr sana hii baba Joan
@KingNtiharirizwa
@KingNtiharirizwa 12 дней назад
Nawona bab karobo anaenda kuwona kabisa mkojo umpatikana link zangu kutoka ichi burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@AmoohJR
@AmoohJR 12 дней назад
Wanaomkubali baba karoo like 👍 hapa❤
@user-fg5pd4ku3i
@user-fg5pd4ku3i 12 дней назад
Wanaompenda baba karobo gonga like
@zebedayonyataige6516
@zebedayonyataige6516 12 дней назад
Ambieni baba kalobo awazaidie mkojo wa mama kalobo, ni ngumu lakini naona hapo mama kalobo original ameingilia kati na kujota maji😂😂😂. Kazi yenu nzuri kweli. Congratulations
@OmanOnline-mt1rd
@OmanOnline-mt1rd 12 дней назад
😂😂😂😂ila ww daaah
@user-xr1ru9li5t
@user-xr1ru9li5t 12 дней назад
Mungu anijaalie uone 😂nacheka kama mazuri Yani yanamludia ma karobo rafiki mnafki ni Nuu kumbe unaiba Siri zawenzio wanamuombea ba karobo apone tujuwane ❤❤❤❤❤❤
@FreddyHamuri-b5n
@FreddyHamuri-b5n 12 дней назад
Baba kalobo tuna wapenda sana❤ ila muwe na wahi kutupa épisode mnakawa sana
@vallesndayishimiye2396
@vallesndayishimiye2396 12 дней назад
Kwa Sababu nimechelewa nataka Kila aliyecomments hakika nampa like yake❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@AvodMagembe
@AvodMagembe 12 дней назад
Mama karobo feki hivi kweli unaroho mbaya hivo au uigizaji tuu😂
@user-gw3jh3lw4d
@user-gw3jh3lw4d 12 дней назад
Kazi nzuri sana mama Karobo Original mkojo uje kwa jamani Baba Karobo apate kuona🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@johnantony7178
@johnantony7178 12 дней назад
Baba kalobo wew nizaidi ya buludani unatufanya mioyo yetu kua na amani zid ya hii serious na hii mumuchelewa kutoa aisee please isijiludie kuchelea
@MrEdu47-yj2vs
@MrEdu47-yj2vs 12 дней назад
🎉🎉🎉🎉❤❤ from Kenya 🇰🇪 wapi likes 👍 zangu
@Gracenelima254
@Gracenelima254 12 дней назад
Team baba karobo woyeeee wapi like ya Kenya 🇰🇪 ❤❤❤❤
@FettyMeshaki
@FettyMeshaki 11 дней назад
Jaman mlishirikiana vzur kumsaidia baba karobo kumbe kuna msarit ukipata jambo nilako pekeako akitokea watu wakkusaidia shukuru mungu nilpenda sana baba karobo anavopata wat wakkusaidia ila nukt msarit baba karobo kaz nzur sana unajua naunajua tena
@HERITIERWATA-nw8dj
@HERITIERWATA-nw8dj 12 дней назад
Yo mobali n'a ko banga n'a suivre t'as série ici en kichana
@HERITIERWATA-nw8dj
@HERITIERWATA-nw8dj 12 дней назад
Kinshasa
@marymbuli-q2r
@marymbuli-q2r 12 дней назад
😂😂😂😂ila kunyolewa kwa mgaga was necessary 😂
@MbarackNdoro
@MbarackNdoro 12 дней назад
Hio roho ya mama karobo kashinda ata shetani mwenyewe, Tozah from Kenya
@jacklineachieng8647
@jacklineachieng8647 12 дней назад
Wow.... congratulations for a good work🎉🎉🎉🎉
@BethelNiyonkuru
@BethelNiyonkuru 12 дней назад
I am the first
@MwanaashaSaid
@MwanaashaSaid 12 дней назад
❤❤❤❤much love baba karobo...kazi nzur sana
@KaburaOlene-hx5ip
@KaburaOlene-hx5ip 12 дней назад
Leo number one
@Mumlion2624
@Mumlion2624 12 дней назад
Jana nimechungulia wee Hola. Asante baba karobo leo umetupa kitu roho inapenda
@JosephKibi
@JosephKibi 9 дней назад
Bama mama karobo badilika kwanza una mtesa sana baba karobo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@SheilaNekesa-s8u
@SheilaNekesa-s8u 12 дней назад
Ak mm ndo wa mwisho😢😢😢 nipe like tu moja
@Kmpshowpatient
@Kmpshowpatient 12 дней назад
Wakwaza kutoka DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@MaulidAliy
@MaulidAliy 12 дней назад
Kwaiyo baba karobo shida zimekuzid mpaka nguo umeuza naona hubadilish
@lawrenceleteipa2196
@lawrenceleteipa2196 12 дней назад
First
@user-bj6lx9ss6n
@user-bj6lx9ss6n 12 дней назад
Daaaah Kunasehemu sijaelewa Walejamaa waliopigwa nakofia walikuapamoja na mama kalobo Kipindi wanataka kuichomamoto kofia. Ikageuka nakuwagonga kichwan walikimbia wote na mama kalobopia sasa inakuaje wanaonekana wanakimbia mpaka wanamgumia baba kalobo Alafu mama kalobo Yupo home tena amevaadela anafua wao wamekimbia mbele wakaenda kuulizana Kuusu kofia. Badosijaelewa Imekuaje aumimitu sijaelewa.
@user-ro1fg5ur9l
@user-ro1fg5ur9l 12 дней назад
Watazamaji wa hii movie weka like kwa baba Joan 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@user-ml5yc7yd1z
@user-ml5yc7yd1z 12 дней назад
Baba karobo hongera kwakazi nzuri❤
@JacklineAlivitsa-cj5ir
@JacklineAlivitsa-cj5ir 12 дней назад
wakwanza kutoka 🇰🇪.like za upendo jamani kila wakati vioja .mama karobo.daah!🤣🤣🤣
@HamidaBakari-k1o
@HamidaBakari-k1o 11 дней назад
Mungu awape maisha marefu baba karobo namama karobo nakarobo mwenyewe nafamilia nzima ya hii movie nawapenda mmwaaa❤
@millicentluvai1652
@millicentluvai1652 12 дней назад
wapi like za wa kenya❤❤
@user-ec6ow2cx7c
@user-ec6ow2cx7c 12 дней назад
Nikweli kikulacho kiungoni mwako ivi nuguti ww n wakumsaliti zuu siamini lakini all in all mama'ke karobo amejipeleka kinorojoni akakonjoa na mkonjo umepatikana kiulahizi😢😢😢 pongezi sanaaaaaaaa mama karobo original
@user-fr4lj7jw9g
@user-fr4lj7jw9g 12 дней назад
Uyu mama kalobo yuwaonyesha kwenye Really life Yuko Ivo raho yke mbaya
@user-wm9xn9iy4s
@user-wm9xn9iy4s 12 дней назад
Mama karobo face chake kiko motoni na huyo nukti kumbe nimsaliti mpumbavu amesahau alivyo fukuzwa na huyo Roi
@user-vc3fy9fb8p
@user-vc3fy9fb8p 12 дней назад
Dakika y saba now nimekuwa wakwanza 🎉🎉🎉🎉
@jacksonmalle3066
@jacksonmalle3066 11 дней назад
Baba karobo na timu yako mnafanya kazi nzuri sana. Ila hii series sasa malizeni muanze kitu kingine
@user-wz8vt6xl2l
@user-wz8vt6xl2l 12 дней назад
Jamani nimecerewa like zangu jamani mutoto wa Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@hopetondi5517
@hopetondi5517 10 дней назад
Asantem😊aq😮😢t😢
@hopetondi5517
@hopetondi5517 10 дней назад
😮na shukur kwa laik zen nzur 0:00
@user-cl2uq9dk4n
@user-cl2uq9dk4n 12 дней назад
Shukrani kwaza leo nime muona baba karobo pili mama karobo kajifanya mjanjanja kumbe Kuna mjanja zaidi yake tatu ule Ali jifanya mnafki kumbe msaliti mshenzi ule dada nilikuwa na penda ila ivi na chukiya kumbe mtu ganaye jifanya raki kumbe nimnafki
Далее
BABA YANGU KIPOFU Full episode /34/ #love
30:22
Просмотров 403 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full Episode /37/ #love
40:20
Просмотров 195 тыс.
Куда пропали ЗДРАЙВЕРЫ?
11:38
Просмотров 576 тыс.
MINECRAFT CREPPER EXPLODES SHARK PUPPET!
00:15
Просмотров 6 млн
SNAKE BOY | ep 36 | SEASON TWO
31:41
Просмотров 470 тыс.
MUUZA KANDORO - OFFICIAL FILM  EP 02
18:10
Просмотров 1,1 тыс.
PLAN B _ Episode 16
44:09
Просмотров 91 тыс.
MKE JINA PART { 6 } #directorgozi
18:59
Просмотров 14 тыс.
AGANO (Ep 18)
29:50
Просмотров 23 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /36/ #love
33:36
Просмотров 357 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full Episode /35/ #love
33:24
Просмотров 469 тыс.