Тёмный

BABA YANGU KIPOFU Full episode/6/  

BabaJoan
Подписаться 554 тыс.
Просмотров 395 тыс.
50% 1

#love

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 581   
@BabaJoani
@BabaJoani 3 месяца назад
KAMA NDIO MARA YAKWANZA KUTAZAMA VIDEO ZANGU,NAKUOMBA BONYEZA HIYO ALAMA YA SUBSCRIBE,KISHA COMENT NENO tayari,Nita like na ku reply COMENT yako
@mwalisuleih1164
@mwalisuleih1164 3 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤ Safi xn baba joan mmbo ni motooo❤❤❤❤❤hongera xn baba joan
@KileshoJr.002
@KileshoJr.002 3 месяца назад
Brother uwa unanikela sana maana kila siku movie zako unakua mtu mpole na kuonewa , ebu wakat mwengine cheza kama mwanaume kua jasiri yaan jaribu ata kupiga mtu
@YusufImbrahim-qo3cx
@YusufImbrahim-qo3cx 3 месяца назад
Tyr
@magrethamos4366
@magrethamos4366 3 месяца назад
Safi​@@YusufImbrahim-qo3cx
@MarryMichael-gf7dc
@MarryMichael-gf7dc 3 месяца назад
❤❤❤penda shana
@JeanneManirakiza-tg4kr
@JeanneManirakiza-tg4kr 3 месяца назад
Warundi🇧🇮🇧🇮 tugonge like apa✅
@Biroroshe
@Biroroshe 3 месяца назад
Tupo
@NdizeyeCharles-c3i
@NdizeyeCharles-c3i 3 месяца назад
Uraza kuyironka tenyenya
@mpajibinaisa7238
@mpajibinaisa7238 3 месяца назад
Hewe namaki
@NdizeyeCharles-c3i
@NdizeyeCharles-c3i 3 месяца назад
@@mpajibinaisa7238 nisawa ncuti yanje ndashima
@JulienMpia-i8i
@JulienMpia-i8i 3 месяца назад
🇨🇩🇨🇩
@NelcyAfrica
@NelcyAfrica 3 месяца назад
This film I really love it jamani. Kenya tuko poa kabisa. Shida tu ni budget
@RizikiZiki
@RizikiZiki 3 месяца назад
Mama karobo kiboko sikwaroho mbaya iyo mpaka anakera sasa😢
@MkomboziSeptroidejeunes2330
@MkomboziSeptroidejeunes2330 3 месяца назад
Wakwanza toka Burundi 🇧🇮 sema neno Basi baba joan
@WinifridaKisinga
@WinifridaKisinga 3 месяца назад
Baba Joan kunawakati nashindwa kutazama move kutokana Na ukatili wa huyo mama karobo hata kama Ni maigizo hii to much najikuta nalia mwanzo mwisho, hakika mnatuelimisha Sana.
@Gift-kijiti
@Gift-kijiti 3 месяца назад
😢😢😢 m nalia nakwambia had kichwa kiume 😢😢😢😢dhuuuu
@fatumakushonda4277
@fatumakushonda4277 3 месяца назад
Basi huwa naona n mm tu yani naliabpk basi😢😢😅😅
@mwalisuleih1164
@mwalisuleih1164 3 месяца назад
Kbxa❤❤❤❤❤Masha'Allah
@MishNassor
@MishNassor 3 месяца назад
Kwakwel mnajitahid san hongern kwa hilo big up❤👍
@BrendaKenzie
@BrendaKenzie 3 месяца назад
Ghai mbona mama karobo anafanyia mtoto hivo haki inahuzunisha vibaya sana😢😢😢😢
@kitejamayunga7645
@kitejamayunga7645 3 месяца назад
Sanaa ya maana sana hii. Wanafundisha hawa wasanii. Big up sana
@Emily-zr3nl
@Emily-zr3nl 3 месяца назад
Wakwnza leo kutka Kenya naomba like zko baba joani
@elizabethkatoko8867
@elizabethkatoko8867 3 месяца назад
Mkenya mwezangu❤❤❤❤
@graffinamisi
@graffinamisi 3 месяца назад
Badala ya kuombe finance bill hianguke umeenda tz kuomba like😅😅failure
@PiliMundu
@PiliMundu 3 месяца назад
​@@graffinamisi😂😂😂😂😂😂 et nn nmeisha mm
@YusufImbrahim-qo3cx
@YusufImbrahim-qo3cx 3 месяца назад
Hiii movi inasikitish sanaaa wanao saporty hili wanipe like
@QueenDaniely
@QueenDaniely 14 дней назад
Kweli inasikitisha
@JaneDaimon
@JaneDaimon 3 месяца назад
Baba karobo mauwa Yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@BagulaFranciis
@BagulaFranciis 3 месяца назад
Baba Yanfu Kiofu Episodi Ya 7
@delvinejeruto
@delvinejeruto 3 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤
@FatumaramadhaniFatumaramadhani
@FatumaramadhaniFatumaramadhani 3 месяца назад
🎉🎉🎉😢
@suleimankipyego5143
@suleimankipyego5143 3 месяца назад
From Kenya 🇰🇪 mombasa County tuko fitness 💪 👌 watching 👀 👌 😀
@Erneugomes
@Erneugomes 3 месяца назад
Ghfgh
@mwalisuleih1164
@mwalisuleih1164 3 месяца назад
Nakuona umelitumbua jicho apo😂😂😂😂😂😂 kweli
@mwalisuleih1164
@mwalisuleih1164 3 месяца назад
Nisalimie governor huko 😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
@gracemueni951
@gracemueni951 3 месяца назад
Mombasa county also
@timothy7615
@timothy7615 3 месяца назад
from Kenya naomba support yenyu ya subscribeers😢😢😢
@JamlickKiogora
@JamlickKiogora 3 месяца назад
Here I am I can support you
@sarahkararinyakinyua3618
@sarahkararinyakinyua3618 3 месяца назад
Una supportiwa kufanya nini
@WilliamAnaklet
@WilliamAnaklet 3 месяца назад
Ile picha ambayo imejitokeza kwenye television au tivii niile picha ambayo ilikuwa inaitwa HOFU alipo kuwa anavaa kwenda vijijini kwa mama ake kama kuna MTU anakumbuka nimjue tafadhari
@abuadochuma4750
@abuadochuma4750 2 месяца назад
Like
@zeinabuAchiengOkara
@zeinabuAchiengOkara 3 месяца назад
I love you baba karobo ❤❤❤❤❤
@jeremiahromward6784
@jeremiahromward6784 3 месяца назад
Jamaa na team kiukweli wanaweza sana. Nimeangalia kuanzia mwl mgeni mpka hii. Hongera sana team. Tupo pamoja
@josephtesha5198
@josephtesha5198 3 месяца назад
Big up Sana kazi nzuri
@tomke5953
@tomke5953 3 месяца назад
@Sauibr
@Sauibr 3 месяца назад
1 ✌️ hope mko Salama humu🎉🎉🎉❤❤❤
@NdizeyeCharles-c3i
@NdizeyeCharles-c3i 3 месяца назад
Ndio tupo salama I think you are fine
@Sauibr
@Sauibr 3 месяца назад
@@NdizeyeCharles-c3i that's nice kama usalama upo..me pia thank Allah
@KKK-v6j
@KKK-v6j 3 месяца назад
Tuko salama sijui ww
@Sauibr
@Sauibr 3 месяца назад
@@KKK-v6j sijambo pia
@SmilingEquestrianHelmet-mc7lk
@SmilingEquestrianHelmet-mc7lk 3 месяца назад
Ila huyu mama karobo ana roho mbaya sana😢😢 sipendi anavyowatesa 😢😢jameni
@AshourAli-d3e
@AshourAli-d3e 3 месяца назад
Honger bab Joan kaz mzur honger karob💝 🌹🌹🌹🌹
@KinyogoliBinkinyogoli
@KinyogoliBinkinyogoli 3 месяца назад
Nimechelewa jamn nashindwa hata kuomba like
@niyonizeyeflorencefofo4484
@niyonizeyeflorencefofo4484 3 месяца назад
Jamani mama karobo uwe na uluma basi😭😭😭watu kama wawo wako na roho kama iro wanashida kabisa
@mdmb6873
@mdmb6873 3 месяца назад
Sasa mbona haponi
@maryammaryam7354
@maryammaryam7354 3 месяца назад
Siku zote usipangie ubaya mtu asikua na ubaya kwkao😂
@brightonlumwachi8018
@brightonlumwachi8018 3 месяца назад
Good job
@KorethaWillson
@KorethaWillson 3 месяца назад
Nice ❤❤❤
@HappyMonarchButterfly-oe3rz
@HappyMonarchButterfly-oe3rz 3 месяца назад
Inapendeza sana kz nzuri
@wamboiwamboh
@wamboiwamboh 3 месяца назад
Mama karobo anapitishia karobo hali ngumu some things tufai kufanya mbele ya macho ya watoto wetu,,,mungu atupee hekima ya kuwalea watoto wetu kwa njia iliyo sahhihi❤❤❤❤❤mama karobo big up ata kama n kipindi be nicr😢😢
@Gift-kijiti
@Gift-kijiti 3 месяца назад
😂😂😂😂😂sio really ni act 😂😂😂tu
@ZEPHANIAH.1588
@ZEPHANIAH.1588 3 месяца назад
Mbona sasa kamfanya kipofu ivi si angemwacha Tu amlee karobo😢😢aki mapenzi wewe😢😢😢
@wamboiwamboh
@wamboiwamboh 3 месяца назад
@@Gift-kijiti naelewa lkny chungu daah☺
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 месяца назад
Yani alaaniweeee Huyu mchawii
@wamboiwamboh
@wamboiwamboh 3 месяца назад
@@nurafedrick378 tunaenda kwa baba bdo😂😂
@Ntametungirokoleta
@Ntametungirokoleta 3 месяца назад
Baba joan wewe ni Murundi wa kwetu ,bireke bigende ibindi biroza 😂😂😂😂😂😂😂 karibu BURUNDI ni kwako
@sergesntunzwenimana
@sergesntunzwenimana 3 месяца назад
Naomba like kama 5 Leo jameni nimechelewa
@JaneDaimon
@JaneDaimon 3 месяца назад
I love you karobo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@elisanteKombe
@elisanteKombe 3 месяца назад
Wa kwanza Leo jamn tuko pamoja sana ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@franciscassian
@franciscassian 3 месяца назад
Ina huzunisha😢
@seniornyungu9718
@seniornyungu9718 3 месяца назад
Risasi imepiga kona,hahahah vioja vya bongo movi.
@hamzachibwana193
@hamzachibwana193 3 месяца назад
Hujaelewa hapo alikuwa kwenye mawazo ya kutekereza alichopanga ghafla kwenye hilo lindi la mawazo akili ndio ikaona anaepigwa si muhusika bali ni mdogo wake sio risasi imekata kona! Huo ndo uelewa wangu hapo!
@Zayed_136
@Zayed_136 3 месяца назад
​@@hamzachibwana193❤❤
@SekanaboPacifique
@SekanaboPacifique 3 месяца назад
Hata kama ni uigizaji,nafikiri huyu mama karobo atakuwa muchawi haswaaa.Toka DRC.🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@beibyamore931
@beibyamore931 Месяц назад
😂😂😂😂
@ofmtvrwanda
@ofmtvrwanda Месяц назад
Wanyarwanda🇷🇼 tufahamiane. Like 👍 down
@IRENEIRENE871
@IRENEIRENE871 3 месяца назад
Mama karobo ridasi kampata kakako kweli nilipo niapa duniani 😂😂😂 hongerani sana kazi nzuri
@PurityJohn-b7w
@PurityJohn-b7w 3 месяца назад
Na shingo yake refu kama twiga😂😂😢😏😞
@IRENEIRENE871
@IRENEIRENE871 3 месяца назад
@@PurityJohn-b7w mbona unamkashifu mwenzio sote tukazi ya mikono ya MUNGU
@AmenaMm-r5t
@AmenaMm-r5t 3 месяца назад
Hhhhhh et shingo kubwa anamrog bb karob jee nauyo bwan wak akikusalit jee 😢😢😢😢😢 atar kwakwel jaman tuwen makin na waumezet tusihadaliwe na wanume wanjee
@ButoyiThierry-j8e
@ButoyiThierry-j8e 2 месяца назад
Nawafatilia kutoka Bd 🇧🇮 natena nawapenda kwakirindi ndabakunda cane ❤❤ mwese
@chidzodunda
@chidzodunda 3 месяца назад
Wewe mwanamke watutoa machozi bwana huku inje jamani😢😂😂 unaroho mbaya kupitiliza
@SaidatiSalha
@SaidatiSalha 3 месяца назад
Watatu leo jamani
@MathaMasakhwe-qd4xb
@MathaMasakhwe-qd4xb 3 месяца назад
Jamani mm nmelia sana nikiwatch hii move sjui mbona imeniumiza moyo wangu 😢inamafundisho mengi mungu saidia vipofu wote wanaoteseka😢
@LightnessUrio-fo7mq
@LightnessUrio-fo7mq 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂 nani ameona kama mimi kumbe ndoto au mawazo tuimbe wote ule wimbo shimo wamenichimbiaeeee watadumbukia wenyew humo🤣🤣🤣🤣🤣
@Lucywanjirukagonye
@Lucywanjirukagonye 3 месяца назад
Tayari naitazama nikiwa Riyadh Saudi Arabia ❤❤
@BeatriceRobi-j5q
@BeatriceRobi-j5q 3 месяца назад
Ila wazazi wakambo Wana roho Wacha too,Ila acheni kusemasema jina la yesu kwazabab amri inatuoya
@JejemingaMinga
@JejemingaMinga 2 месяца назад
Apo pa diamond umenicosha sana🎉🎉🎉
@StellarKamene
@StellarKamene 3 месяца назад
Congratulations ❤Am stellar kamene from Kenya
@BothainaBothaina-k6c
@BothainaBothaina-k6c 3 месяца назад
Much love baba karobo kazi nzuri sana watching from Kenya congratulations 👏🎉🎉❤
@Lastborn_chard-123
@Lastborn_chard-123 3 месяца назад
Leo pia sijachelewa sana
@joelnyaga1985
@joelnyaga1985 3 месяца назад
Kwa zile muvi sote baba Joan amewai toa hii ndio tamu zaidi,heko
@tonylaizer3386
@tonylaizer3386 3 месяца назад
Kiukweli hii Inafundisha Lakin hakuna siku mama wa kambo atampenda mtoto ambae sio wake tuishi kwenye uhalisia na sio kwenye story😭😭😭..daaaaah karobo .. don't givup..keep going one
@EthelMasumbuoSamwel-o2n
@EthelMasumbuoSamwel-o2n 3 месяца назад
Nice❤
@MaryamUmalsroom
@MaryamUmalsroom 3 месяца назад
❤❤❤❤Kazi nzuli Kwakweri mwanzo WA move adi mwisho nalia nyie ee mungu naomba niware wangu wote
@IshmaelOkongo
@IshmaelOkongo 3 месяца назад
Leo nimewahi mapema from Kenya 🇰🇪💪💪 big up
@balnabellonathan2511
@balnabellonathan2511 3 месяца назад
Mama Karobo mkatili kabisa, na anafanana mkatili kabisa. Anaigiza vitu vyake kabisa
@Prisciealex
@Prisciealex 3 месяца назад
Master j,nimetuliza kenya Bay beach hoteli ninaendelea kuwafuataliya maana nilianza nanyi tokea mwalimu mgeni mpka sasaivi sasa tuko pamoja am hatuko pamoja broo na crush yako mko very sirias,so nawapenda sana na nawaombea muendeleze kipaji chenu na lamwisho nawapenda sana good day ila ninausibiri part 7 okay
@OdetteNITUNGA-qy3vk
@OdetteNITUNGA-qy3vk 3 месяца назад
Kazi nzuri sana❤❤❤
@TobiDaboJrAke
@TobiDaboJrAke 3 месяца назад
🔥🔥🇧🇮
@EzraBoboloy
@EzraBoboloy 3 месяца назад
Jamani mama kalobo mbona unaroho ya unyama kiasi icho 😢😢❤❤🇧🇮🇧🇮
@KapendFiston-m1e
@KapendFiston-m1e 3 месяца назад
Kazi mzuri sana ongereni Sana baba Joan wewe na timu Yako yote nipeni like zangu ata moja
@onesmasnzaku
@onesmasnzaku 3 месяца назад
Ilove it
@SimwerayNabuhesijoseph-pt2ys
@SimwerayNabuhesijoseph-pt2ys 3 месяца назад
Baba karoba félicitations vrement c'est Lajoie mungu azidishe kipaji cako kabisa maanaunamashauri mengi sana santé
@JaneDaimon
@JaneDaimon 3 месяца назад
Pole karobo huo ni mtihani tu utavuka maua Yako 🎉🎉🎉🎉🎉 Karobo
@Amena-z5r
@Amena-z5r 3 месяца назад
Love you karobo❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@WilfredLyakurwa-r6n
@WilfredLyakurwa-r6n 3 месяца назад
Tayari
@simbagerard-zx2st
@simbagerard-zx2st 3 месяца назад
Tayari
@kimstarkingmwanawamfalme228
@kimstarkingmwanawamfalme228 3 месяца назад
Kanda safi lakini leo mmetumia kinaya Mmempiga patronaliz risasi alafu mwisho abakuja kupatikana hai Kivipi?
@charityngumbao
@charityngumbao 3 месяца назад
Waa hii filamu huniliza aki😢😢😢
@BahatiKadenge-n5r
@BahatiKadenge-n5r 3 месяца назад
Dahhhhhh 😢😢😢inahuzunisha sana hii move aki
@jkomedikaduli
@jkomedikaduli 3 месяца назад
Baba kalobo Maua yako🎉🎉🎉🎉
@AminaMohammed-u7j
@AminaMohammed-u7j 3 месяца назад
Baba karobo jaman mungu akuepushie mambo yote ww na mwanao
@stevensilungwe41
@stevensilungwe41 3 месяца назад
Wakwanza toka Zambia 🇿🇲 kazi nzuri.
@ObwayAluminium
@ObwayAluminium 3 месяца назад
Lizyyyy montana
@Khavanny
@Khavanny 3 месяца назад
Aaah kumbe ndoto nimesituka kipindi naaza kuangalia 😂😂😂😂
@EmilykuvunaKonzi
@EmilykuvunaKonzi 3 месяца назад
Kumbe kulienda ivi ee mama wakambo x mama karobo 😢😢😢Yako yaja zujat anavaa njuga ww kitakulamba ba ww
@rqmadhaniabeid3143
@rqmadhaniabeid3143 3 месяца назад
Japo wa 73 lakini iposikunitakuwa wakwanza tu
@manibahodaniel8405
@manibahodaniel8405 3 месяца назад
Boss usikawuye tena siku engine, kigali rwanda 🇷🇼 ♥️
@DeguerreKanyoni
@DeguerreKanyoni 3 месяца назад
Naomba kujua jina harari la Baba Karobo. Hii cinema inachoma moyo kabisa kabisa. Hasa nampenda Karobo.
@ConstanceZiro-r3l
@ConstanceZiro-r3l 3 месяца назад
Mama karobo kuaa n huruma kdg😂😂
@esterester3628
@esterester3628 2 месяца назад
Karobo mtoto mdogo lakini mwerevu.Mungu Leo ndio nmemjua kumbe huyu sii mama Mzazi WA Karobo😢😢😢
@MariamRiziki-o8x
@MariamRiziki-o8x 3 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤baba karobo
@Rajabumayue
@Rajabumayue 3 месяца назад
Duuuuuu baba karobo pole sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@elijahsichivula6812
@elijahsichivula6812 3 месяца назад
Dar umeupiga mwingi bro you deserve 🎉🌷🌺🌴🏝️🙏🙏
@frankmtani6179
@frankmtani6179 3 месяца назад
Baba karobo ww ni star mkubwa sana na binti pia nimemuelewa anaelimisha na amecheza sehemu ngumu sana kwenye filamu hii ni binti wa kuigwa
@hutahuta1170
@hutahuta1170 3 месяца назад
😢😢pore kalobo nabAba yako
@سوزي-ع1ل
@سوزي-ع1ل 3 месяца назад
ddy karobo mafudisho yako yananifudisha mengi ya mzingi asante kwamala nyingine asante asante sana nashukuru pokea maua yako haya 💐💐💐💐💐hongera sana karobo umefaa uwasilia vizuri 💐💐💐🎊🎊🙏🙏
@RoziMeri-yk4pp
@RoziMeri-yk4pp 3 месяца назад
Waoo lizmontana
@IrakozeJacklyn
@IrakozeJacklyn 3 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Lastborn_chard-123
@Lastborn_chard-123 3 месяца назад
Leo pia sijachelewa sana
@sadikiuwiyingoma5122
@sadikiuwiyingoma5122 3 месяца назад
Na sisi Burundi tunawapata tano kwa tano baba karobo big up sana kabisa
@jonniemwendah
@jonniemwendah 3 месяца назад
Congratulation baba Joan pin my comment am waiting episode (8) baba yangu kipofu
@NancyBuyachi
@NancyBuyachi 3 месяца назад
Mtu aloge mumewe nawe wafurahi hujui nawe pia atakufanyia vivyo hivyo,mama karobo wanikera mno😢😢😢
@ShauriMbughi
@ShauriMbughi 3 месяца назад
Lizzz montanana 🤚🤚🤚
@PriskusMarunda
@PriskusMarunda 3 месяца назад
Nimekuwa wakwanza et
@mohammedgedow3456
@mohammedgedow3456 3 месяца назад
Matako yake blue kumbe yeye ndiye alikufanyia mambo ukawa kipofu?kudadadekii yeye hata kama ni acting😂😂😂😂😂😂
@danielmenza9263
@danielmenza9263 3 месяца назад
Mama karobo mwenye roho mbaya na mwenye mimba wakati hakuwa na upofu n vitu viwili tofaut halaf jaribu usibadilishe wahusika hapo umenichanganya sura hazifanani na mama karobo mwenye roho mbaya na mwenye mimba
@moonGirl-t1i
@moonGirl-t1i 3 месяца назад
Baba karobo vumilia na mtoto wako yote yataisha tu watching live from Kenya Nairobi 🤔🤔
@Georgevasco-dq7bg
@Georgevasco-dq7bg 3 месяца назад
🎉🎉🎉❤❤❤ kutka Lusaka zambia like zangu jamani?
@UmiMazari
@UmiMazari 3 месяца назад
inamafunzo mazuri maisha yataka uvumilivu
@ElizabethNzebe
@ElizabethNzebe 3 месяца назад
Sngle mother tujufunze kupitia hiii move inamafundisho ndani yake tuwalee watoto hatakama syo wako wa kuzaaa wew Lea mung ndiye atakae jb
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 3 месяца назад
😪😪🙏🙏
@kelvinachoki289
@kelvinachoki289 3 месяца назад
From kenya following ❤❤
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 месяца назад
Kumbe mashetan mawili walidanganyana wampofusheee yan karma haitawacha mtu salama nyinyi mtaumbukaa
@jospinbitakiofficiel2739
@jospinbitakiofficiel2739 Месяц назад
Natafuta WA kongo wenzangu muko wapi
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 месяца назад
Huyu mama siapite barabarani agongwee na gari asifee yani avunjike miguu zote namikono...baba anafichaa mtoto mambo huyu sio mamayake
Далее
BABA YANGU KIPOFU Full episode/7/ #love
28:38
Просмотров 459 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /43/
20:02
Просмотров 341 тыс.
Сколько стоит ПП?
00:57
Просмотров 96 тыс.
SECRET AGENDA dance by Purity
3:43
Просмотров 48 тыс.
NILIKUWA NA MAHUSIANO NA RAY/ MTOTO SIO WAKE  - JOHARI
2:34
HALIMA"S WEDDING[ kenya/mombasa] FULL VIDEOS
1:58:15
Просмотров 22 тыс.
MWALIMU MGENI ❤️ /1/
16:16
Просмотров 2,2 млн
BABA YANGU KIPOFU Full episode/44/ #love
20:05
Просмотров 298 тыс.