Nimeona kama egizo hii ni kama mnayopitia.soo congreturation bro Big work. Ba John nakufuata Niko Burundi maeneo ya Bujumbura mwanzo mpaaka mwisho🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 Alakini John wew historia yangu akayijuwa aje ili uandae kitu kama iki
Kipengele cha zujati kuibiwa simu asisononeke,mmeferi jana nayekamrudishia simu njia na maneo aliyotumia kmrudishia simu ameferii .....hapo mmeferii keep it up kazi nzuri
Jameni mm nafuatilia hii movie nimeipenda ila mbna baba kalobo habadilishi nguo jameni ata abadileshe angalau shati tuu nawapenda sana na pia mm nko kenya naombemi likes jameni kama amtojali na kama nimekosea poleni ❤❤❤❤❤❤😊😊😊😊😊
Baba kalobo i wish to see you back to your happiness as you was with the late mother of kalobo. Am a Ugandan watching you from Saudi Arabia right now i love you ❤❤❤❤🥰
Brother unajua apo penyewe na unatakiwa kujua kuwa mungu hamtupi mjaa wake kazi buti ndani ya mwaka huu kabla ya kuisha lazima zile bongo movie trending yako itakuwa ya kwanza pia ombi langu kwako kaka mkubwa jitahidi kutupia hata episodes 2 kwa siku mana tunapenda Xana kulingana na mafunzo unayotupatia kupitia hii film yako mungu akuongoze vema UKATIMIZE malengo YAKO remember that 👀👉🔝🤝🤝🤝