Тёмный

BABAYANGU KIPOFU Full episode /4/  

BabaJoan
Подписаться 554 тыс.
Просмотров 470 тыс.
50% 1

#lovestory #love #comedy

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 490   
@Weni-gu6fj
@Weni-gu6fj 3 месяца назад
Kwa kweli kalobo uko sawa we mtoto...ata kwa movie ya Jamila na Pete ya ajabu ulicheze poa sana,,..ama naongea uongo jamani nijibuni kwa like apo na comments ❤❤
@DekinegaKinega-xw7ch
@DekinegaKinega-xw7ch 3 месяца назад
Siyo Jamila uyo mtot mwengn kabsa😂😂😂😂
@Weni-gu6fj
@Weni-gu6fj 3 месяца назад
@@DekinegaKinega-xw7ch ni yy ebu muangalie vizur then uende kwenye hio movi ya Jamila alafu unpee majibu kma ntakua nakosea
@DekinegaKinega-xw7ch
@DekinegaKinega-xw7ch 3 месяца назад
Ile movie ya mda San Yan San alaf hii movie ya baba yang kipof ya mwaka 2024 Kwan mwenzetu umeganda unaon miak haiend😂😂😂🎉
@Weni-gu6fj
@Weni-gu6fj 3 месяца назад
@@DekinegaKinega-xw7ch ok sawa
@Malin2001
@Malin2001 3 месяца назад
Siyo jemila
@mahirmahir2407
@mahirmahir2407 3 месяца назад
Hadi machoz maskin 😢😢😢😢😢😢 hii filam inaliza
@TresorNtakirutimana
@TresorNtakirutimana 3 месяца назад
Kutoka burundi nipee like kwangu
@ThomasMangale-yv5mk
@ThomasMangale-yv5mk 3 месяца назад
za ni
@ZEPHANIAH.1588
@ZEPHANIAH.1588 3 месяца назад
Natizama kutoka Kenya kipindi nzuri Sana wapi likes za mkenya mwenzio 😂😂❤
@ShukuruKimati-r3p
@ShukuruKimati-r3p 3 месяца назад
Baba Joan poleni sana jamani mkuu 😂😂❤
@ThomasMangale-yv5mk
@ThomasMangale-yv5mk 3 месяца назад
like za nn
@DorisMukami-z2d
@DorisMukami-z2d Месяц назад
Niko hapa mkenya mwenzako!
@SandrahKakai-rg8wg
@SandrahKakai-rg8wg Месяц назад
😅 anguka nayo 😊😂😂 iyo kiswahili joo
@jamesomega1718
@jamesomega1718 3 месяца назад
Wa kwanza from Kenya nipewe likes zangu
@ThomasMangale-yv5mk
@ThomasMangale-yv5mk 3 месяца назад
like za nin
@KashabaTumwe
@KashabaTumwe 2 месяца назад
Sawa
@karembo7082
@karembo7082 3 месяца назад
Eeeee mungu niepushe na roho baya kama ya mama karobo hatakama nikuaakiti sikwa roho baya hiii😢
@GloriaNahimana-x8p
@GloriaNahimana-x8p 3 месяца назад
Leo kweli nimekuja mapema🎉❤🎉❤ naomba like
@salumsamadu
@salumsamadu 3 месяца назад
zannn umefanya kazigan
@Nashoni1996
@Nashoni1996 3 месяца назад
Dada yake na Karobo ni muigizaji mxuri saaana apokee maua yake
@saimontimotheo
@saimontimotheo 3 месяца назад
Mnajitahidi sana mnatoa movie Kwa wakati
@NjeruKiura
@NjeruKiura 3 месяца назад
❤ all the way from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 it's very educational
@YvonneWangeci-oe8uf
@YvonneWangeci-oe8uf 3 месяца назад
tamu sana ata hakuna anaye nipa like
@graffinamisi
@graffinamisi 3 месяца назад
Like za nini
@Victor-oq2il
@Victor-oq2il 3 месяца назад
Tunakukubali kweli
@YvonneWangeci-oe8uf
@YvonneWangeci-oe8uf 3 месяца назад
@@Victor-oq2il sijakuelewa
@Jirhley
@Jirhley 3 месяца назад
Upewe likes kwani umechangia nini kwenye hii movie?
@JumaGona-xg7gs
@JumaGona-xg7gs 3 месяца назад
uxjal
@sulleyshbinally7903
@sulleyshbinally7903 3 месяца назад
Eti umshike sura umtambue,.. kashika sura,,, akajua ni mrembo... Hapa baba Joan 🤣🤣
@mwalisuleih1164
@mwalisuleih1164 3 месяца назад
Nkam macho yameona kidgo pia etieee ❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
@RizikiZiki
@RizikiZiki 3 месяца назад
Maisha nifumbo pole sana baba karobo kwamitihani unayo pitiya 😢mama karobo punguza gubu kwa mmeo sio powa kumunyanyasa mwenziyo kisa upofu
@SwabrinaSwabs
@SwabrinaSwabs 2 месяца назад
Woye 😭😭
@GraceIshimwe-d7p
@GraceIshimwe-d7p 3 месяца назад
Uyu mwanamuke ana roho mbaya kabisa Mungu nisaidiye nisije kuwa kama maman kalobo mimi Niko Congo Kinshasa 🇨🇩🇨🇩
@Mr.Hair-official
@Mr.Hair-official 3 месяца назад
Kutoka Congo 🇨🇩 DRC nipeni likes zangu hapa😂
@SARIVE.LAME_123
@SARIVE.LAME_123 3 месяца назад
Bro nakupa 100 percent ya hii movie movie tunangoja ufanye collabo na steve mweusi
@Nashoni1996
@Nashoni1996 3 месяца назад
Ndiyo kweli steven ni kiboko
@kondebouy1308
@kondebouy1308 3 месяца назад
Napenda sana vile baba Joan unajituma hatungojei saana lakini hivi patronize yuko wapi
@MwanaishaChileta
@MwanaishaChileta 3 месяца назад
Kwakweli rafiki yako die hadui yako
@stevohmwirihz
@stevohmwirihz 3 месяца назад
Napenda unavyozidi kutia bidii kwa kazi yako Baba Joan tarajia mchango wetu kwa kazi yako,pili nikupongeze kwani huchelewi kuweka movie kwa mapema.
@jacksonkayanda455
@jacksonkayanda455 3 месяца назад
We mwanamke ni msenge mpuuzi wew mama kalobo naona hata kama ni movie ila huko uliko una roho mbaya msenge wew Kalobo mtunze Mzee . Kalobo huyo hata kama atakuwa mama Yako anaroho mbaya msenge huyo haiwezekani baba kalobo anahangaika hivo afu msenge anamnyanyasa mtoto . Hata kama baba kalobo unaona huko mwambie huyo msenge Bora afe yeye haiwezekani anakuangaisha hivo
@Deborahdepsy-qh4rj
@Deborahdepsy-qh4rj 3 месяца назад
Baba joan unabidii sana hucheleweshi ata
@EmmanuelRaphael-vl6lh
@EmmanuelRaphael-vl6lh 3 месяца назад
Big up baba kalobo mimi napendaga sana movie zako hata ile ya mwalimu mgeni ulicheza vema waga unaigiza kwa hisia kwel mpaka unaigusa mioyo ya watu na kuwatoa machozi sio rahsi sana kuigiza hivyo I salute you
@Boniphacehachili
@Boniphacehachili 3 месяца назад
Cjachelewa kazi nzury
@charityngumbao
@charityngumbao 3 месяца назад
Napenda vyenye karobo anavyalishwa mavyazi ya heshima
@FatimabibiBibi-p5w
@FatimabibiBibi-p5w 3 месяца назад
Huyu mama karobo ni maandazi kweli roho mbaya
@aishaomar2287
@aishaomar2287 3 месяца назад
Bana joan umeweza apo kwa nyimbo😂 special dedication ya zaujat hio❤...hongereni nyote🎉🎉🎉 ila namiss patronise humu😊
@PurityMusangi-kr3og
@PurityMusangi-kr3og 3 месяца назад
😂 watuletee patronizii au vipi
@aishaomar2287
@aishaomar2287 3 месяца назад
@@PurityMusangi-kr3og sindio
@angeuwimana9200
@angeuwimana9200 3 месяца назад
Nawapenda sana from🇧🇮🇧🇮❤❤
@williammwaisunga3407
@williammwaisunga3407 3 месяца назад
Uko vizuri kwa comedy
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg 3 месяца назад
Huyu mama kalobo mbn kambaya vlevle kana roho mbaya duuuh,
@wamboiwamboh
@wamboiwamboh 3 месяца назад
Baba joan you have a good talent❤❤and your movies dont take long keep winning❤❤❤
@SylviaNyanchama-m1b
@SylviaNyanchama-m1b 3 месяца назад
Tamu sana nawakilisha wakenya mnipe hata like zangu jamemi
@ElizabethmaumaLiz
@ElizabethmaumaLiz 2 месяца назад
Kila mtu akitoa hoja ety njibun kwa like wengine ety me wakwanza wengine ety cjapewa like ata moja nyie ndo mmeigiza we komment like angalia movie mengine mumuachie baba karobo😢😢
@mwalisuleih1164
@mwalisuleih1164 3 месяца назад
Eti hapo imekuaje ww baba joan ww ❤❤❤❤❤ Masha'Allah kaz nzur xan washiriki wote
@RoselineMulwa-qg4bn
@RoselineMulwa-qg4bn 3 месяца назад
Napenda mnapotoa movie kwa wakati, congratulations
@ramawarama
@ramawarama 3 месяца назад
Baba kalobo anatisha niliacha kuangalia bongo movie ila hii unyama mwingi salute baba kalobo
@Celebritylifestylebio
@Celebritylifestylebio 3 месяца назад
Huyu babajoan anakipaji asili maana movie zake ziko tofauti sana yaani zinaelimisha zinateka hisia,Mungu akuongoze sana babajoan keep going on air
@LilianAnyango-lf2bn
@LilianAnyango-lf2bn 3 месяца назад
Kazi nzuri baba joan na tazama nkiwa kenya❤
@rahmalove531
@rahmalove531 3 месяца назад
Huyo dada anamtamani baba karobo😂😂😂😂😂
@mwalisuleih1164
@mwalisuleih1164 3 месяца назад
Kabxa ila mzur uyu dada
@YvonneWangeci-oe8uf
@YvonneWangeci-oe8uf 3 месяца назад
wakwanza leo
@HusseinNampatika
@HusseinNampatika 3 месяца назад
Maana halisi ya kujifunza mambo mbali mbali inapatikana humu .hiki ndio kiwanda Cha kujifunzia
@MarryToem
@MarryToem 3 месяца назад
Wow eko smart tunangoja nomber 5
@JoshuaMutisya-pz7le
@JoshuaMutisya-pz7le 3 месяца назад
From 🇰🇪 tngja ufa nye colambo steve mweusi
@MiriamJaydan
@MiriamJaydan 3 месяца назад
Mbona mm kalobo anatabia mbaya sana🎉😂
@BilaliFisto
@BilaliFisto 3 месяца назад
Courage mes chers amis bonne idée.
@KililiKinyili-zf7bn
@KililiKinyili-zf7bn 3 месяца назад
Wah tamu sana kalobo mtoto mzuri sana adi kwa jamila kalicheza vinzuri sana ba-kalobo usijali mungu yupo utapona
@kenjipressident190
@kenjipressident190 3 месяца назад
Kutokaaa 🇱🇷🇱🇷🇱🇷 Monrovia movie imebamba
@micahtonet7292
@micahtonet7292 3 месяца назад
Natazama nikiwa Kenya,Eldoret Kipindi kizuri kweli👍👍
@FistonsumahilichdedefisornyPri
@FistonsumahilichdedefisornyPri 3 месяца назад
Yangu kutoka Congo 🇨🇩 nipeni likes zangu
@mwalisuleih1164
@mwalisuleih1164 3 месяца назад
Kaz nzur xan kw kwel mbarikiwe❤❤❤❤❤❤❤
@joakimkasian1899
@joakimkasian1899 3 месяца назад
Leo nimekuwa wakwanza
@MathiasChipasula-tk7nr
@MathiasChipasula-tk7nr 3 месяца назад
Umecheza vzr San baba kalobo move ambayo inatia uzuni San imefundisha San kwakweli mungu awatie nguvu characters wote
@EdwinBernad-uy9iq
@EdwinBernad-uy9iq 3 месяца назад
Achia namba 8 unachelewa sana❤❤❤❤ kaz njema
@NindwasaluSalu
@NindwasaluSalu 3 месяца назад
❤❤❤ kazi nzuri
@hutahuta1170
@hutahuta1170 3 месяца назад
Daa mamakalobo nishida 😂😂pole sana baba kalobo
@DorinCherop
@DorinCherop 3 месяца назад
Kazi nzuri sasa baba joan wauuuu i like it from Kenya apa
@ROSECHENGO
@ROSECHENGO 3 месяца назад
Hoyeeeee🎉🎉🎉
@mwalisuleih1164
@mwalisuleih1164 3 месяца назад
❤❤❤❤Hoyyiieeeeeeee 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@MartaAbdalaKigelulye
@MartaAbdalaKigelulye 3 месяца назад
Napenda kazi Yako nzuri baba Joan na mungu akutangulie
@MartaAbdalaKigelulye
@MartaAbdalaKigelulye 3 месяца назад
@BothainaBothaina-k6c
@BothainaBothaina-k6c 3 месяца назад
Baba Joan filam yako inatufunza Mambo mengi sana vile tunastahili kuishi Na watu wasiojiweza,wasiona kama wewe tunafaidika sana anyways congrats🎉🎉🎉❤
@Ruthcheptoo-fe2jt
@Ruthcheptoo-fe2jt 3 месяца назад
Nakupenda Sana kalopo Una moyo
@chidzodunda
@chidzodunda 3 месяца назад
Weeeh kwa kweli mnajui kuigiza ❤❤❤
@ThomzdUnder17
@ThomzdUnder17 3 месяца назад
From Uganda this is wonderful movie always God help you🙏
@JaneroseKokulamka
@JaneroseKokulamka 3 месяца назад
Noma hii imeenda kweli sio smpel❤❤❤❤❤
@mwalisuleih1164
@mwalisuleih1164 3 месяца назад
Karobo ako vizur xan ak ❤❤❤❤❤❤ nampnda ako serious xan kwnye nafac yake ak
@moonGirl-t1i
@moonGirl-t1i 3 месяца назад
Niko na nyinyi watching live from Kenya
@rahmalove531
@rahmalove531 3 месяца назад
Mama karobo anarohombaya😢😢😢😢
@SleimanKhamis-fr2mt
@SleimanKhamis-fr2mt 3 месяца назад
Mama karobo roho mbaya sana
@ChristineMwasaru
@ChristineMwasaru 3 месяца назад
Nzuri sana nimeipenda❤
@ShukuruKimati-r3p
@ShukuruKimati-r3p 3 месяца назад
Baba karebe poleni sana jamani boss 😢😢
@JamesZakayo-o2f
@JamesZakayo-o2f Месяц назад
Karobo sio karebe
@fatumaselemani3807
@fatumaselemani3807 3 месяца назад
❤❤❤❤❤❤Mashallah mwendelezo
@ruthmukiti
@ruthmukiti 3 месяца назад
❤❤nawapenda xna🙏🙏
@nturanyenabojeandamour4053
@nturanyenabojeandamour4053 3 месяца назад
Nawapenda sana namikutokeya rwanda
@IranziDelphin
@IranziDelphin 3 месяца назад
Baba kalobo nakupenda from rwandan
@Ruthcheptoo-fe2jt
@Ruthcheptoo-fe2jt 3 месяца назад
Baba kalipo pole Sana ndugu,👏🙏👏kalipo anaact vizuri
@danicruziBLOG
@danicruziBLOG 3 месяца назад
Baba joan unafanya poa sana inabidi Sanamu lako liwekwe pale kariakoo /poster ili watu WA appreciate KAZI zako kaka ,Mungu akibaliki uko tofauti sana na wanaolipua KAZI, quality nzuri ,movie inamafunzo stori inaeleweka ,kiukweli me nimeielewa mno,big up broo BABAJOAN STEVEN KANUMBA WA SASA
@NoelaKk
@NoelaKk 3 месяца назад
Wa kwanza wapi Love❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mamathasimiani
@mamathasimiani 3 месяца назад
Sijachelewa sana. Nakupenda sana baba joan ❤❤❤
@petermauta5789
@petermauta5789 3 месяца назад
Kalobo hako sawa kabisa na baba joan na Yule anamzaidia kila siku
@jackiekhajiji3889
@jackiekhajiji3889 3 месяца назад
Kazi Zuri sana 🎉❤
@sommohd7903
@sommohd7903 3 месяца назад
Mama kalobo upo vizur 💪🏼
@MiseyekiLongidu
@MiseyekiLongidu 3 месяца назад
Sujat chunga sana hako kashetwain mama karobo asije aribu sura yako nzuri make du lina roho mbaya
@AnneCherop-kn6lb
@AnneCherop-kn6lb 3 месяца назад
😢😢😢hadi machozi yamenitoka mungu saidia kipofu😢😢😢😢😢😢😢
@RehemaElendela
@RehemaElendela 3 месяца назад
Nawapenda sana nawakubali 😂❤❤❤
@MaulidySharifu
@MaulidySharifu 3 месяца назад
Kaka uko vzr sana
@DanielNgobila-ec1cb
@DanielNgobila-ec1cb 3 месяца назад
Tamu sana natoka Congo 🇨🇩 nipe like
@EmmeMrrras
@EmmeMrrras 3 месяца назад
Hongereni
@Mimienoc
@Mimienoc 3 месяца назад
🤗
@AksantibiganikiroJoel
@AksantibiganikiroJoel 3 месяца назад
Niheri adui kuliko rafiki munafiki❤ asante Joël from congo
@Masterstevemedia-kb5oc
@Masterstevemedia-kb5oc 3 месяца назад
good work baba joan
@JumaJoseph-nv2wz
@JumaJoseph-nv2wz 3 месяца назад
Oya broooooo wewe noma
@TantineZuzu
@TantineZuzu 3 месяца назад
Movie nzuri sana ❤❤🇧🇮🇧🇮
@brightonlumwachi8018
@brightonlumwachi8018 3 месяца назад
Kazii nzurii
@vallesndayishimiye2396
@vallesndayishimiye2396 3 месяца назад
Baba Joan tumemiss Batromeo bhana❤
@phanmasaai2861
@phanmasaai2861 3 месяца назад
Wa kwanza wapi likes zangu
@FatimabibiBibi-p5w
@FatimabibiBibi-p5w 3 месяца назад
Kikulacho and kinguon wako kwel
@FatimabibiBibi-p5w
@FatimabibiBibi-p5w 3 месяца назад
😂😂😂Nitampata wap kama yule anitunze mi na karobo jamani aaaah😢
@Roze-so4he
@Roze-so4he 3 месяца назад
Kazi nzuri
@Samwel486
@Samwel486 3 месяца назад
Unajua sana mzee
@سوزي-ع1ل
@سوزي-ع1ل 3 месяца назад
Mafudisho mazuri sana maua yako pokea kaka 🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤karobo hongera sana mwanangu
@justusodiwour
@justusodiwour 3 месяца назад
🎉🎉🎉😂😂 big up baba Joan nimekupa like yangu nikiwa Kenya hapo umeweza
@WambuaNdolo-mq8ys
@WambuaNdolo-mq8ys 3 месяца назад
🎉🎉🎉kutoka Kenya ..... Wapi likes zangu ❤❤naniii
@irenekimaro6523
@irenekimaro6523 3 месяца назад
Jaman tuletee episode ya 5 jaman
@davidsonkhan
@davidsonkhan 3 месяца назад
Nmependa sana movie senu congratulations nimewakubari sana
@NuhuSamwel
@NuhuSamwel 3 месяца назад
Kwel kabisa Yuko vizuli sana kalobo bila kumsahau baba yake kalobo nae katisha
Далее
BABAYANGU KIPOFU Full episode /11/ #love
32:56
Просмотров 504 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode/44/ #love
20:05
Просмотров 298 тыс.
Как открыть багажник?
00:36
Просмотров 16 тыс.
Обменялись песнями с POLI
00:18
Просмотров 260 тыс.
Дикий Бармалей разозлил всех!
01:00
MITSUTSU COMEDY :Ubusinzi bukabije 98 UBUKWE Part2
31:13
IBANGA EP217: Ese Niyori aratanga amakuru??🔥🔥
35:32
HOUSE GIRL  EP 01 || love story💕💞
19:15
Просмотров 556 тыс.
UTUMBO NDIZI_EP [ 5 ]
16:49
Просмотров 570
NILIKUWA NA MAHUSIANO NA RAY/ MTOTO SIO WAKE  - JOHARI
2:34
SNAKE BOY  | SEASON TWO | ep 1-6
1:20:36
Просмотров 780 тыс.
MWANAFUNZI MTUKUTU NA MAPENZI SHULE (muendelezo)
9:43
Как открыть багажник?
00:36
Просмотров 16 тыс.