Тёмный

BAHARIA ALIYEJITOSA PAKISTAN!/ AFICHUA MASHAMBA YA UNGA/ MAISHA/ MILION 200/ WATU WANAUAWA..PART 06 

Dar24 Media
Подписаться 730 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

MAISHA NI SAFARI ISIYO NA MWISHO, UNAWEZA UKALALA MASIKINI NA UKAAMKA UKIWA TAJIRI. KAMA HUIJUI KESHO YAKO UNAPASWA KUMUOMBA SANA MUNGU ANAYEFAHAMU NINI UTAKACHOKIPATA KWA NAMNA ALIVYOKUPANGIA.
DAR24 MEDIA TUMEPIGA STORI NA BAHARIA CHAD AMBAYE AMETUMIA MKASA WAKE KAMA FUNDISHO KWA VIJANA WANAOTAMANI KUPITIA NJIA FUPI ILI KUFANIKIWA KATIKA MAISHA YAO YA KILA SIKU.
INAFURAHISHA KWA UPANDE MMOJA LAKINI KWA UPANDE MWINGINE INAHUZUNISHA SANA KWA SABABU HUENDA LEO ANGEKUWA ANA KAMPUNI KUBWA AMBAYO INGEWEZA KUWAAJIRI VIJANA WENGI, LAKINI HUENDA NJIA HARAMU ALIZOTUMIA NI KAMA MUNGU AMEMUADHIBU NA KUAMUA KUMRUDISHA KATIKA HATUA YA SAHIHI ILI APATE RIZKI YAKE KIHALALI.
KARIBU UFUATILIE KISA HIKI CHA KUSISIMUA.
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#baharia #mbanga #dupamdupange

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 18   
@dar24media
@dar24media 7 месяцев назад
Kama una simulizi/mkasa ungependa kusimulia kwa jamii kwa lengo la kuelimisha na kufundisha, karibu wasiliana nasi kwa namba..#0653127761. kwa mahitaji ya nguo nzuri zenye chapa ya KABUNYAU wasiliana nasi kwa mawasiliano ya,...0764368113/0717066207/ 0653127761...Asante
@mjukuuwamizimu8524
@mjukuuwamizimu8524 6 месяцев назад
Gharama zenu zipoje!?
@jacksonnkallah6482
@jacksonnkallah6482 6 месяцев назад
Dakika 6 nzima marudio Ila kazi nzuri
@hamisamadimpozi5923
@hamisamadimpozi5923 7 месяцев назад
Atari maisha safari ndevu na uvumilivu
@user-gz4fb6if7u
@user-gz4fb6if7u 7 месяцев назад
Dupa kipindi kizur ila dakika chache brother
@mohammedmussa6740
@mohammedmussa6740 7 месяцев назад
Hope
@DullyPanya
@DullyPanya 6 месяцев назад
Dupa unazingua Sana kipindi kifup matangazo kibao unatukatisha utamu
@MrishoMohamed-ey5zf
@MrishoMohamed-ey5zf 7 месяцев назад
Dupa unayumba mwamba story fupi halafu unakuwa unarudia story baada ya kuanzia tulipo ishia wewe Unaaza mwanzo Ten juzi tuliishia mwamba kaishafika Maputo leo unaaza mwamba kapanda ndege ujuwe unachukuwa time ya bure mwanetu oka yoyote Kwa yoyote tuna enjoy
@DirectorNoahkilima
@DirectorNoahkilima 7 месяцев назад
Dah umeniwahi kaka
@HumboJacob
@HumboJacob 6 месяцев назад
Ebu tumsikie kwanza
@HumboJacob
@HumboJacob 6 месяцев назад
Ungemvisha flana za dar 24)vip zimeisha!
@dominicfrancis4073
@dominicfrancis4073 7 месяцев назад
Dupa unazingua dakika chache
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 6 месяцев назад
Tuongezee muda Mbaka kwa hewa 🔥🔥🔥♥️
@user-qf2mg1bu4u
@user-qf2mg1bu4u 6 месяцев назад
Beat irudishe ya zamani
@user-gz3mh1pu7t
@user-gz3mh1pu7t 6 месяцев назад
Bro dupa mbona matangazo ya Patrick mission school imezidi?
@jooepaullas791
@jooepaullas791 6 месяцев назад
Dupa unazungumza sanaa mpe mwamba muda
@InnocentRichard-qs8ux
@InnocentRichard-qs8ux 6 месяцев назад
Dah iyo ua kweny gari mzee ni nooma saana ...inatisha yan..kwel kuwa mwanaume ni kukaza
@kibasicom
@kibasicom 6 месяцев назад
unazingua dakika nuingi story unarudia na matangazo marefu mno alafu mda mchache
Далее
Ice Bear would appreciate some cheese 🧀
00:18
Просмотров 12 млн
Ice Bear would appreciate some cheese 🧀
00:18
Просмотров 12 млн