Тёмный
No video :(

MTANZANIA ALIYE FUNGWA MIAKA 10 NCHINI IRAN ASIMULIA MAZITO / VIFO SINDANO YA SUMU /PART 1 

CLEFF MEDIA
Подписаться 15 тыс.
Просмотров 89 тыс.
50% 1

Nili hukumiwa miaka 15 nkatolewa kwa msamaha, nilitumikia kifungo changu jela ndani ya miaka 10.
Mwenzangu tulivyo kuwa jela alichoma sindano ya sumu akafa, nimepitia mateso sana nchini iran sitokuja kusahau katika maisha yangu
#iran #jail #wafungwa #mateso
KUTAZAMA MUENDELEZO WA VIDEO HII GUSA LINK HAPO CHINI 👇👇👇👇👇👇👇👇
• MTANZANIA ALIYE FUNGWA...

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 242   
@D_CLEFF_GOLDEN_VOICE
@D_CLEFF_GOLDEN_VOICE 6 месяцев назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-eLlfp_mgRik.html 👆👆👆👆 SEHEMU YA 2
@augustinomasigo268
@augustinomasigo268 Месяц назад
Hujui kuhoji kwa mpangilio mzee
@fredricklumbala5299
@fredricklumbala5299 6 месяцев назад
Hujui kuhoji kabisa bro, kafanye training, huyu jamaa hatujui anaitwa nani, kesi haina maelezo maziri yaani kwa kifupi story haijitoshelezi
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 6 месяцев назад
Hii story mzuri Rakini Unababaika kuelezea vizuri mimi nimekamatwa tafutani border iran na Turk shukulu kutoka wairani sio watu wazuri 🙏👍✊🇹🇿🇬🇷
@MursalLusinde
@MursalLusinde 6 месяцев назад
Ana babaika coz aliye takiwa kumuongoza vzr ni mtangazaji lakini mtangazaji anamuacha asimulie yey kma yey ni vigumu kwa sabb hana uzoefu. Ila mtangazaji ukiwa unamuhoji hatua kwa hatua kuna wakati stori hta kma ilikua fupi lakini unajikuta inapatikana stori nyingine ya kuvutia bila kutegemea. Anaye kwambia ukweli ndo rafiki ili urekebishe anaye kusifia wakt unakosea huyo ni adui
@typhonesapali9054
@typhonesapali9054 6 месяцев назад
Nakubaliana na wewe huyu mtangazaji hana uzoefu wa kumhoji mtu
@Inukanaalmasipodcast
@Inukanaalmasipodcast 5 месяцев назад
Sio Mtangazaji tu ukweli mwingi unafichwa au anaona jau kuzungumza biashara alioendea,dhahaabu haitoki Iran kuja bongo hahhahaha
@Inukanaalmasipodcast
@Inukanaalmasipodcast 5 месяцев назад
Ila namkubali sana mwamba mpambanaji
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 5 месяцев назад
Mambo ya ngada😂anashindwa kunyoosha maelezo​@@Inukanaalmasipodcast
@africalumpu1166
@africalumpu1166 5 месяцев назад
Ngada walikuletea sio unajua ukitaka kutoa stori yako kuwa muwazi ili watu wakuelewe sio unaajing'atang'ata haueleweki unachokiongelea.
@EsterbernardoVumo-kn2xv
@EsterbernardoVumo-kn2xv 6 месяцев назад
Pole Sana Kaka Yangu Na Mungu Akubariki.
@user-ot1fy7ff4r
@user-ot1fy7ff4r 6 месяцев назад
Mimi nimeshikwa iran nimeka miaka miwili namiezi nane naongea kibiran kama nina hakili mbaya usiombe kaka kisha nchi ya watu una baba wala mama
@aboually2472
@aboually2472 5 месяцев назад
Aisee ulifnyaje
@saleemadhiyabalkhatri7800
@saleemadhiyabalkhatri7800 5 месяцев назад
Kaka yangu kweli dhahabu uifate inani siokwel8 ungesema kongo hapo sawa irani jamani irani inajulikana afughani stan pakistan meksico nchihizi zinajulikana bro sema kweli tu
@islammohamed9501
@islammohamed9501 5 месяцев назад
Kwli ajielewi
@venancebanda291
@venancebanda291 6 месяцев назад
Interview haijitoshelezi tunapoteza muda na mb kuisikiliza ovyo
@allanquality333
@allanquality333 6 месяцев назад
😂
@umfarooqjumbe1702
@umfarooqjumbe1702 6 месяцев назад
Duh jaman pole kaka' ingekua tz angetoka kesha zeeka
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 5 месяцев назад
Hi Story Kama Ni Tepu Inayoluka Luka Mwenye Kuoji Na Muojiwa Wote Mambumbumbu Kazaliwa Moro Imekuaje Mpaka Kusafili Na Wazo Ilo Alilipata Wapi Nakama Kwenda Kufanya Biashala Inamana Alikua Na Pesa Alifanya Kazi Gani Kupata Izo Pesa Nakama Kuzamia2 Atoe Ukweli Sitory Feki Hi Aina Cha Kujifunza Chochote
@kisanganyakiswanta1379
@kisanganyakiswanta1379 5 месяцев назад
Mzushi hata sijui anaongelea nini 😂
@myself4128
@myself4128 6 месяцев назад
Serikali zetu za Africa Hazijali watu wao,ukishikwa Nje ubalozi wako unatakiwa ufahamu na wanatakiww wafuatilie kuhakikisha wanaitaarifu familia yako na pia Mfungwa ana haki zake,kuchomwa Sindano Ya Sumu sio Hukumu halali bali Unyama tu na wanatudharau sana washenzi hao
@wechemakambo2182
@wechemakambo2182 6 месяцев назад
Wewe uliyeenda nchi hiyo ndiyo unatakiwa uutafute Ubalozi ili wajue uko pale na Una-sign,ukienda kimipango huwa unajificha maana twajuana. Huyu jamaa kaongea mengi ila kaficha mengi..kipindi hicho kaenda kuna mfereji wa madawa ya heroin yanatoka Pakistan na Afghanistan,wanakaa nayo pale na kuangalia jinsi ya kuvusha,Iran ukitoka nayo na ukafika nchi uendayo hudhaniwi vibaya kwa sababu hayazalishwi Iran na sheria zao kali.Mchizi alienda kubeba pecking(kufungasha) na siyo kumeza(tank).Pia alikuwa na uelewa mdogo wa mambo kiasi hata hapo anashindwa kuelezea kuwa Iran wanafuata madhehebu ya Shia Ithnaasheri tofauti ya wao wanatoka kwenye Sunni ambayo hawapatani na Wanamfuata Hussein(mjukuu wa Muhamad kwa mdogo wake Seyyidna Ali aliyemuoa Mwanaye Fatma bint Muhamad na kuwazaa Hussein na Hassan..sasa Hussein alikufa kifo cha kuteswa na wapinzani (Sunn)i ndiyo sababu hiyo sehemu ya hijja yao huuita Mash-had(mashahidi) hivyo huenda pale huku wakijijeruhi ili watoke damu nyingi na ikitokea wanakufa basi peponi(jennah) ni mali yao...Na mshikaji huyu mpk anaondoka .ni wazi alishakuwa anatumia hizo dawa nina uhakika kabisa.Angeongea ukweli angesaidia watu juu ya adha aliyoipitia mfano kwenda kupandia ndege Kenya ni sababu tyr walijua Airport zetu wangewabana maswali lukuki na kuwabama wasingesafiri.Wale Airport ya kule mpk wanashituka kuona passport ya Tz ni kwamba walishawakamata kabla yao na Tz wanafuata U-Sunni...Mimi ni Mkristo ninapekea Dini mbalimbali na mitazamo yao kwetu.
@user-wu2er7go9j
@user-wu2er7go9j 5 месяцев назад
Wanawezaje kukupa ushirikiano ikiwa hawana taarifa zako? Ni jambo baya na ukatili ila ili upewe ushirikiano unapaswa kutoa taarifa katika Ubalozi wa nchini kwako ili ukipatwa na tatizo lolote waweze kuwa na taarifa zako
@alextercisio
@alextercisio 6 месяцев назад
Uliacha bibi akiwa na mimba 15yrs ago alafu ukarudi ukapata mtoi ako 8yrs ?? Wewe akili karukwa huelewi
@moseskinyanjui5838
@moseskinyanjui5838 6 месяцев назад
Jela miaka 15 ni Saba na nusu ako sawa
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 6 месяцев назад
Mtanzania eti unaenda kuishi Iran wakati kila siku unasikia Nyonganyonga ya Watu hasa Vijana wasio na hatia. Kuweni vijana kuweni makini mnapoamua kwenda nje Nchi kutafuta maisha😮😮
@AnethEdward-nf6sc
@AnethEdward-nf6sc 5 месяцев назад
Maisha mazuri yapo Tanzania.
@happynelson1136
@happynelson1136 5 месяцев назад
Ashukuru Mungu katoka mzima, huko iran watu wanahukumiwa kifo kwa makosa madogo hiyo nchi hata kwenda kutembea tu siwezi
@hamynas
@hamynas 5 месяцев назад
si kweli...kama umeenda kwa shughuli za kihalali hawana tatizo lolote na wewe ,,,ukileta mibangi yako na ukora wako kuua au kubaka watu na kubeba miunga yako kifo kitakuhusu na ni fair punishment
@user-sn2ef2qt8r
@user-sn2ef2qt8r 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂Kweli ndiyo kama una vielelezo yako yako maharuhu visa yako Aina Shida wala Akuna tatizo Sema ndo ivyo izi nchi maneno mengi lkn mbona tupo tunaishi tu kiroho Safi ✅🙏🙏​@@hamynas
@happynelson1136
@happynelson1136 5 месяцев назад
@@hamynas kuna watu wamenyongwa huko iran kisa kuandamana pia hiyo nchi haina haki za wanawake sababu wanawake wakitetea haki zao wanafungwa wanawake wengi wamefungwa jela kisa kutetea haki zao
@happynelson1136
@happynelson1136 5 месяцев назад
@@hamynas iran na uturuki inaongoza mauaji ya wanawake mahusuano na ndoa zikiisha wanaume wanaua wenza wao wa zamani
@happynelson1136
@happynelson1136 5 месяцев назад
@@hamynas huko waandishi wanauliwa sana na waandishi sio waarifu, kuna mswid mmoja alienda kutembea iran walimkamata sasa hivi yuko gerezani eti walifikiri katumwa kuchunguza nchi yao na amehukumiwa kifungo cha kifo sasa hivi huko iran kuna waswid wawili wamehukumiwa kifungo cha kifo iran na Sweden haina ushirikiano ndiyo maana waswid huko iran wanakamatwa makusudi na kubambikiziwa kesi, mimi nikiwa naishi Sweden na ni raia wa Sweden siwezi kutembelea inchi ya iran
@georgeogutu4771
@georgeogutu4771 5 месяцев назад
Hawa waliende kwa biashara za magendo maneno yake hayaeleweki 😂😂😂😂
@user-jr6vq6rw3c
@user-jr6vq6rw3c 6 месяцев назад
Kwani kwanini usiseme ulikutwa na madawa ya kulevya? We unaacha dhahabu Tanzania ukaifate Irani?
@xxxl-jf2ji
@xxxl-jf2ji 5 месяцев назад
Kweli voo
@lugwetunje3896
@lugwetunje3896 5 месяцев назад
Yes this is an illiterate man who was used to traffic drugs
@lugwetunje3896
@lugwetunje3896 5 месяцев назад
Kijana tafuta mtu wa maana wakuhoji ili upate content ya maana
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr 6 месяцев назад
Uyoo jamaa anaonesha ni muuza madawa ya kulevyaa tu hajuwi hata kujibu anachoulizwaa
@zuberiyahya6090
@zuberiyahya6090 6 месяцев назад
Ndugu yangu siunajua maisha ya jelatena
@laylayl5166
@laylayl5166 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂
@Inukanaalmasipodcast
@Inukanaalmasipodcast 5 месяцев назад
Jiongeze
@georgeogutu4771
@georgeogutu4771 5 месяцев назад
😂😂😂😂
@saleemadhiyabalkhatri7800
@saleemadhiyabalkhatri7800 5 месяцев назад
Kabisa sio dhahabu halafu vipi ufiche kaona aibu kusema ukweli irani ufate dhahabu huko machimbo ya madawa irani inajulikana bhana hakuna cha almasi wala dhahabu
@user-me6yt2cx4g
@user-me6yt2cx4g 5 месяцев назад
Hakuna ukweli hapo kwenye kosa nahis ni madawa ya kulevya hapo
@Painterkurwa
@Painterkurwa 6 месяцев назад
Hii stori imenigusa sana pole sana kaka
@sistymbombo1616
@sistymbombo1616 6 месяцев назад
Hamna mwandishi hapo na huyu ni muongo kwanza hatuelezi pesa walipata wapi
@sistymbombo1616
@sistymbombo1616 6 месяцев назад
Wauza ngada hawa
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 6 месяцев назад
Pole sanaa mwenyezi mungu awafanyie wepesi kule anakufa wewe ulikuwa na mungu kunyongwa kawaida sanaa
@rehemamahendeka-rm2ek
@rehemamahendeka-rm2ek 6 месяцев назад
Yaani Mungu atusaidie na ndg/vizazi vyetu,maelezo ya huyu kk HAYANA UKWELI KABISA na alichoendea huko Iran,unacngizia DINI,wkt c kweli,haihitaji usomi,huyo alienda na yake na akavuna alichofata.
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 6 месяцев назад
Kweli
@thesethgenerationtv5630
@thesethgenerationtv5630 5 месяцев назад
Uongo huu aliingia je iran huyo mwenzake akiwa muadhirika....alipata visa vipi na zile nchi kuingia lazima medical
@jesusislord9190
@jesusislord9190 6 месяцев назад
Nyinyi mnao wafagilia waarabu walimchoma sindano ya sumu
@khamisihamadi629
@khamisihamadi629 6 месяцев назад
Hapana hao walifanya maovu Mimi naishihuku naijua irani sana. Nitaifa lenye nidhamu sana
@khamisihamadi629
@khamisihamadi629 6 месяцев назад
Ila yeye Ndio alifanyakosa kubwa ndiomaana kujieleza anashindwaa
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 6 месяцев назад
hao wote madawa tu halafu unakwenda katika nchi ambayo unajuwa sheria zake hawachukui rushwa unategemea nini
@maulidimpili698
@maulidimpili698 6 месяцев назад
Mbona usemi sheria za China au Korea kaskszini ukikamatwa na makosa kama hayo
@judithsimon7892
@judithsimon7892 6 месяцев назад
Story imewekwa password kama simu ya mchepuko huyu alikua kontena akadakwa
@nassoramour8598
@nassoramour8598 5 месяцев назад
Dhahabu Iran? Braza, sikupingi ila Iran ni route kubwa sana ya madawa kutoka Pakistan! Wa Pakistan kila siku wanafungwa kwa kupitisha madawa border ya Iran! Naamini dhahabu unamaanisha madawa ya kulevya!
@rosemarymwakitwange6257
@rosemarymwakitwange6257 6 месяцев назад
Hakukuwa na dhahabu ni Madawa hayo yaani uache dhahabu Tanzania ufuate Iran
@juliana26salvatory72
@juliana26salvatory72 6 месяцев назад
Hata Kama ni madawa we Ina kuusu nn akili Kama za kuku
@thesethgenerationtv5630
@thesethgenerationtv5630 5 месяцев назад
Waaah ati wanaamini hakuna ukimwi na tena kama wanaamini ivo walimpima je
@D_CLEFF_GOLDEN_VOICE
@D_CLEFF_GOLDEN_VOICE 5 месяцев назад
Walimpima
@MursalLusinde
@MursalLusinde 6 месяцев назад
Mtangazaji kwani ndo mara yako ya kwanza kufanya interview.? Story kma hizi mtu unaanzia kumuhoji kila kitu kuanzia wazo la kusafir alilitoa wap baada ya wazo aliuktana na nani na kwanin kilitokea nin mpka wakapanga safar.
@vicentmapunda3146
@vicentmapunda3146 6 месяцев назад
Mie ht mtqngazaj simuelew/mara tu baad ya kufk huko ilikuwqje!😅😅😅 aliendaje hatujui chochot token na interview
@poulmbogo1770
@poulmbogo1770 6 месяцев назад
Jamaa hajui hata kuhoji irani alifata nini na kipi kilifany mpk akashikwa kuna sehem kasem kafata mzigo wake ni upe maswal muhim hauliz ovyo
@dm_hulsdv86
@dm_hulsdv86 5 месяцев назад
Kaka wewe hujui kusikilza jamaa si amesema amekwenda kama watu wadini
@dm_hulsdv86
@dm_hulsdv86 5 месяцев назад
Tujifunze kuapreciate tusiwe tunakosoa tuuu
@funnuelmwalukasa4506
@funnuelmwalukasa4506 6 месяцев назад
Pumbavu jamaaa lenyewe Teja ujinga mtupu hamna point hapo
@castorymwalongo5122
@castorymwalongo5122 6 месяцев назад
X😂😂 halafu jongo
@MgosoGwambasa
@MgosoGwambasa 6 месяцев назад
Mbona ajieleza haeleweki alifuata nini? Irani mtangazaji mnakula mb zetu
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 6 месяцев назад
madawa tu hana jengine hasemi ukweli
@shegiahuseinshegia9008
@shegiahuseinshegia9008 6 месяцев назад
Pole ndugu,,waase vijana wasithubutu kupeleka mihafarati kwenye nchi ya kiislam.
@revocatuspaulo6716
@revocatuspaulo6716 5 месяцев назад
Ndo wanaongoja kulamadwa makuma tyu hao lifia dini ww
@jeremiahmsemwa8323
@jeremiahmsemwa8323 6 месяцев назад
Interview haijaulizwa maswali mengi muhimu
@D_CLEFF_GOLDEN_VOICE
@D_CLEFF_GOLDEN_VOICE 6 месяцев назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-eLlfp_mgRik.html 👆👆👆👆 SEHEMU YA 2
@JuneJune-xf4pc
@JuneJune-xf4pc 6 месяцев назад
Madawa hayo mbona pont haipo hapo, mwandishi mwenyewe anazingua tuu😏😏😏
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 6 месяцев назад
anajizima data ila tumemuelewa
@JuneJune-xf4pc
@JuneJune-xf4pc 6 месяцев назад
@@sabihaibrahim143 interview ya mchango hiyo anashindwa kumuhoji yaani upuuzi mtupu, hawana lolote wanajuana kwa vilemba ndomana mwandishi hatoboi maneno
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 6 месяцев назад
@@JuneJune-xf4pc hahahahaaaa naona na miye sikuona faida hapo
@castorymwalongo5122
@castorymwalongo5122 6 месяцев назад
Stor ya uongo kama hii ndo malakwanza kuskilza😮😮😮
@juliana26salvatory72
@juliana26salvatory72 6 месяцев назад
Sasa kwanini usikilize uwongo
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 6 месяцев назад
Mtangazaji hajui kuhoji na msimulizaji hasemi ukweli ,,, sema alishikwa na usafirishaji wa madawa ya kulevya ,, Media nyingine ingemfata tupate ladha ya story yenyewe
@juliana26salvatory72
@juliana26salvatory72 6 месяцев назад
Sasa nyie ma kuku uwongo usinge sikilizia kuku ww
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 6 месяцев назад
@@juliana26salvatory72 Bata wahed nikalie kushoto
@mwambaimara1950
@mwambaimara1950 6 месяцев назад
Watu wa dini dini gani hiyo? Unafanya maombi halafu unauawa ndio iimani gani hiyo?
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 6 месяцев назад
ee dini ya kuuza unga mungu wake shetani
@abdallahhamisi45
@abdallahhamisi45 5 месяцев назад
Dhahabu au madawa si aseme tu
@chrysanthushakaunga6560
@chrysanthushakaunga6560 6 месяцев назад
Mbona idadi ya watu gerezani alisema walikuwa 7 wakati kutaja ametaja watu 9?
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 6 месяцев назад
anaficha
@kachabisnea8815
@kachabisnea8815 6 месяцев назад
Wewe sema tu ukweli kuwa ni mbeba ngada
@HarietDana-pb4iy
@HarietDana-pb4iy 6 месяцев назад
Hata hizi picha zilizo hapa zachela siyeye MTU mwenye ametiwa Pingu uko natatuu
@shamzone388
@shamzone388 6 месяцев назад
Kwa iran ni nchi iliyoshika dini sana….na hakuna nchi yoyote wanaopiga sindano ya sumu………sema mengine kwa hilo hakuna
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 6 месяцев назад
Mwongo wewe makafiri hao hawana dini wale
@ttss7716
@ttss7716 6 месяцев назад
Ukishikwa na madawa ya julevya ndo bala wengi washia 😢
@HasirIX
@HasirIX 5 месяцев назад
Hao ni Mashia bhana 😁😁
@Baba_levo
@Baba_levo 6 месяцев назад
Kuna nchi ukienda inabd uwe makini sana pole sana kaka
@Mpakauseme
@Mpakauseme 6 месяцев назад
Alibeba madawa huyo
@user-vk7ly7nk3o
@user-vk7ly7nk3o 6 месяцев назад
Kifupi nimeelewa sana musioelewa basi nchi zakiarabu zote sheria nikari sana pole kaka jela haina mumoja
@mwenieliasa6517
@mwenieliasa6517 6 месяцев назад
Kweli kabisa yaani hizi nchi za kiarabu mtihani kwa kweli tunaomba mungu tu🙏turudi makwetu salama
@suleymanali431
@suleymanali431 5 месяцев назад
Vipi bro una oneka mic ina kuchokesha
@mrajani786
@mrajani786 6 месяцев назад
Cleff madia nyinyi waonga hii picha katika clip hiyosiyo ya jela ya iran hii bandera halafu mashahad hawasemi hussein hakuna mtu anakufa Huyu jama ametunga story
@D_CLEFF_GOLDEN_VOICE
@D_CLEFF_GOLDEN_VOICE 6 месяцев назад
Kiongozi hyo ni kava tu ya stor
@africalumpu1166
@africalumpu1166 5 месяцев назад
Hahahaha mla ngada huyu maana maelezo yake hayaeleweki
@jesusislord9190
@jesusislord9190 6 месяцев назад
Waislam wanatudanganya ooo shia na sunn ni wamoja acheni uongo
@irenebarakelimnene4895
@irenebarakelimnene4895 6 месяцев назад
Umefungwa miaka 10 uliondoka ukamwacha mke ana mimba halafu ukamkuta mtoto miaka 8 mwe.kakanhiyo mwana sio wako
@owenog7390
@owenog7390 6 месяцев назад
😅😅😅😅, mi pia naskia kama story za jaba hizi..hazina hazinani...uongo
@yohanavenance1977
@yohanavenance1977 4 месяца назад
Ndugu zao katika imani ila hawawatambui kabisa.
@ttss7716
@ttss7716 6 месяцев назад
Ni kweli huko wakikukuta na ukimwi wanakudunga hiyo shindano ya kufa lakini saizi wanaelewa kiasi😢
@maulidimpili698
@maulidimpili698 6 месяцев назад
Magonjwa kama ukimwi yapo uku nch za kiafrika tu leo la wazungu kuja kuchukua mali zetu huku wakisema wanaleta misaada ila tunatakiwa tusome sana ili tujue ata vita sio makund ya kiislam ni mpango tu wa watu weupe hakuna dini inayotaka kuua bila sabab ona kwa Gaddafi walivyomuua wanateseka leo alitaka Africa tujitawale wenyew tutumie dola yetu
@user-op7vm9mr3z
@user-op7vm9mr3z 6 месяцев назад
Mtu mwenyewe hata kujieleza hajui mlienda kwa maswala ya dini aliyewapeleka ni nani mlifikia wapi mara unasemq ulichofuata wakakuletea ni kitu gani hicho ulifuata???
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 6 месяцев назад
A walikuwa wa mchongo u unaenda vio huko ulikosa nchi ya kwenda
@giftkalenge418
@giftkalenge418 6 месяцев назад
Hela ulipata wapi Kwa matembezi hayo?
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 6 месяцев назад
unga
@user-um3ci6qs5p
@user-um3ci6qs5p 5 месяцев назад
Hatuaambii ukweli ila sisi tuna akili zetu huo ni unga alikamatwa nao
@khamisihamadi629
@khamisihamadi629 6 месяцев назад
Tunao soma dini ndio tunawajua sana nawana tuaibisha sana kwa tabia zao chafu
@thomasluhumbika9606
@thomasluhumbika9606 5 месяцев назад
Mlitakiwa kujipanga kwanza ndo muirushe hewani. Story ni nzuri lakini haijulikani mwanzo wala mwisho.
@barikimoshi4443
@barikimoshi4443 6 месяцев назад
Sio I mean Nairobi, sema you mean Nairobi ndio ulipo ondokea? Cause sio wew liliye ondoka. But ni huyo unae mhoji.
@JumaKilipamwambu-kw2ln
@JumaKilipamwambu-kw2ln 6 месяцев назад
Mimi niko Zambia ilahapajilani
@bornfacechengah
@bornfacechengah 6 месяцев назад
Helo
@kyannickk2be
@kyannickk2be 6 месяцев назад
Directors wa Banged Up Abroad wakipata story yake tutapata documentary matata
@oyay2821
@oyay2821 5 месяцев назад
Husseni huyu wa Zanzibar?
@lugwetunje3896
@lugwetunje3896 5 месяцев назад
Huyu mbwana hanaelimu yoyote na anaficha alienda kufanya nini huko
@user-ms1xg1fp4v
@user-ms1xg1fp4v 6 месяцев назад
Mash-had amezikwa imam wa nane Ally bin musa Redhwa as.katika mfululizo wa maimamu wa kizazi cha bwana mtume swa na waumini wa dini ya kiislamu huenda kuzuru kaburi hilo.Hapo hussein as kaingiaje!
@TeamKRX
@TeamKRX 6 месяцев назад
😂😂😂😂
@HarietDana-pb4iy
@HarietDana-pb4iy 6 месяцев назад
Amechoma huyu eti anasema Mika 15 sasa Mika Kumi nabibi ulimuwacha namimba sasa ukimwi MTU anasifiri kweli
@khamismtoma4902
@khamismtoma4902 6 месяцев назад
Unafata dhahabu irani urete tz muuuhhhh
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n 6 месяцев назад
Mashia ao..
@hajiramadhanihaji355
@hajiramadhanihaji355 6 месяцев назад
Mbona huelezi ulikamatwa kwa kosa gani babu? Wairan ni watu bomba sana ,hawataki upumbavu.
@shaurisaidi7470
@shaurisaidi7470 5 месяцев назад
Kweli
@hujjatulasrsocietyoftanzan8420
@hujjatulasrsocietyoftanzan8420 6 месяцев назад
Eti huwezi chukuq dhahqbu za watu bila kibali maarum...😂😂😂😂
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 6 месяцев назад
Ulifanya nini huko iran hata ukafungwa
@maulidimpili698
@maulidimpili698 6 месяцев назад
Anaonekana ni mtu wa madawa ya kulevyia alaf anadanganya dhahab wakat dhahab tz tunazo za kutosha unatoa dhahab Iran alaf unakuja kuuza tz inaingia akilini hiyo
@khamisihamadi629
@khamisihamadi629 6 месяцев назад
Ukimwii uko kwenu tz kwa sababu wazini ndio maana Mwenzako akauliwa polepole
@flowerqq1280
@flowerqq1280 6 месяцев назад
Miaka iyo ndo miaka vijana wengi.walikuwa wanaingia izo nchi kubeba madawa ya kulevya anaficha ukweli
@tukumbwikemwakatundu2052
@tukumbwikemwakatundu2052 5 месяцев назад
Angebeba madaw asingechukua hata wiki mbili angechinjwa..
@jonathanmwanja3994
@jonathanmwanja3994 6 месяцев назад
Anaonekana kama baba wa aristote
@khamisihamadi629
@khamisihamadi629 6 месяцев назад
😂😂😂
@fedricksanga7957
@fedricksanga7957 6 месяцев назад
Story za kutengeneza hizoo😂😂
@eliasray3212
@eliasray3212 6 месяцев назад
What is this country.....
@rasjamal9854
@rasjamal9854 6 месяцев назад
Story mbona aileweki umefungwa kisa nini?
@kamole3
@kamole3 5 месяцев назад
Jamaa kuna mangi anaya ficha.
@m404msigara7
@m404msigara7 6 месяцев назад
Ss picha ya bwana jera wa prison break inafanya nn apo
@Kabwela776
@Kabwela776 6 месяцев назад
Huyo alikamatwa na madawa ya kulevya alitaka kuyasafirisha kuja nayo Tanzania 🇹🇿 sio dhahabu kama anavyodanganya, madawa mengi ya kulevya iran 🇮🇷 yanatoka Afghanistan 🇦🇫 yanaingizwa Iran , alitaka aje nayo Tanzania 🇹🇿 na aliingia Iran kwa kufeki mambo ya dini . Ingekuwa sawa wangemnyonga na hata Tanzania hawa wafanyabiashara wa madawa ya kulevya wangekuwa wananyongwa!
@paulabelleghe451
@paulabelleghe451 6 месяцев назад
Uko vizuri ndugu mwandishi,siunajua hatakiwi kutoboa sir inabid ajifanye mentall
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 6 месяцев назад
Kweli ruti ya iran inajulikana ,mara nyingi inakuwa ni ya madawa ya kulevya
@Kabwela776
@Kabwela776 6 месяцев назад
@@khamisrubea5083 Na wanalima mlilimani Afghanistan opium Na Iran mateja kibao, Na ruti ya Iran ya miaka mingi sana wazungu wa unga wa mwanzoni ndio unga walikuwa wanautoa huko baadaye ikawa kuufuats unga Brazil Na India
@user-vb8ug7hp3q
@user-vb8ug7hp3q 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂 Sio poa
@siasia5469
@siasia5469 6 месяцев назад
Gold ukaifuate Iran uilete Bongo!? 🐠Haya endelea kutupanga
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 6 месяцев назад
zahabu ni unga
@user-tm5ub6jv1v
@user-tm5ub6jv1v 5 месяцев назад
Hlo changa
@ahmedalfan8075
@ahmedalfan8075 6 месяцев назад
Arabuni uku taxi wote ni askari kama mgeni tatizo
@maulidimpili698
@maulidimpili698 6 месяцев назад
Ukiwa raia mwema unaogopa askar kwann wakat ni usalama kwa raia
@user-up2kg1wm9p
@user-up2kg1wm9p 6 месяцев назад
Wanajua tunachofata ndio mkalelekwahoteli yambali mchelewe. Wawakamate
@AllyZoroally
@AllyZoroally 5 месяцев назад
Kakamatwa na UNGA uyoo
@AliAnswarabdul
@AliAnswarabdul 6 месяцев назад
Tama ilimpoza alitoka magetoni vibaya huyu
@ImamshiraziMwidau
@ImamshiraziMwidau 5 месяцев назад
Bad bakti
@khamisomary7428
@khamisomary7428 6 месяцев назад
Huyu jamaa ni muongo, kule unapokwenda kwa mambo ya dini yasni maelezo yako yataishia palepale airport
@user-iu4du7ws6s
@user-iu4du7ws6s 6 месяцев назад
Hakuna ukweli hapa
@mayalakatema2576
@mayalakatema2576 6 месяцев назад
Story Haina kitu yaani washed Gari ikufuatilie kwann ? Hukuwa unauza dawa za kulevya kweli ww
@aliyissa9857
@aliyissa9857 5 месяцев назад
Bhot achaye
@ziggertv3185
@ziggertv3185 6 месяцев назад
Mwandishi mbona hujahoji mzigo ganii😮
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 6 месяцев назад
ameuwelewa
@user-wl8uu4dw6n
@user-wl8uu4dw6n 6 месяцев назад
Pole Sana kaka mwombe mungu utatoka
@rosemarymwakitwange6257
@rosemarymwakitwange6257 6 месяцев назад
Mwandishi takataka a aua story, yeye anachorukia ni huko majuu
@hamadimwinyi2146
@hamadimwinyi2146 6 месяцев назад
Story nzur lakin ana ruka rukaa
@surusuru1994
@surusuru1994 6 месяцев назад
Hakuna kasababu hakuna umalaya wala mpenz wala usarati ukiowa huyo ndo wako paka kifu
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 5 месяцев назад
Wewe umeandika lugha Gani hii Sasa!!!
@kyannickk2be
@kyannickk2be 6 месяцев назад
Japo sijasikiliza story based on comments
@Ngufuboy
@Ngufuboy 6 месяцев назад
Pole Sana kakaangu
@alextercisio
@alextercisio 6 месяцев назад
Fungwa kabisa mlaguzi wa madawa za kulevya uza uko kwenu Tz
Далее
Binadamu mzee zaidi duniani anayepatikana Tanzania
27:20