Тёмный

BALAA LA MAKONDA HUKO ARUSHA, MUDA HUU MAGARI YA LAND ROVER YAMEZAGAA KILA KONA,.🙌🙌 

HABARIMPYA TV
Подписаться 630 тыс.
Просмотров 16 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 36   
@esthersissamo1120
@esthersissamo1120 2 часа назад
Mapato mapato Asante sana mkuu wetu kutuburudisha kwa mambo mbalimbali nimeipenda sana
@RamadhanAbdala-d5n
@RamadhanAbdala-d5n 4 часа назад
Safi mkuu wamkoa kwa ubunifu
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 48 минут назад
Utalii upo aina nyingi muhimu mapato ❤
@daudkindy5807
@daudkindy5807 4 часа назад
Mashaallah makonda anaubunifu wahali juu
@JimmyMpoyo
@JimmyMpoyo 5 часов назад
Bombaa
@ShabaniAweso-rl6zl
@ShabaniAweso-rl6zl 3 часа назад
Kwanza biashara zitafanyika kama utarii gest watafanya b
@Mjeda-q1m
@Mjeda-q1m 4 часа назад
Tukio kubwa la msingi kitaifa ni uandikishaji majina daftali la wapiga kura halipewi nguvu na ushawishi kwa watu badala yake nguvu zinaelekezwa kwenye mashindano ya Magali ya land Rover hivi Arusha mnajielewa kweli?? Tumsaidie mama tujiandikishe kwa amani tupige kura kwa maendeleo ya nchi hayo magari hayakusaidii kitu mwana arusha
@halimamasai2234
@halimamasai2234 4 часа назад
We nenda kajiandikishe kwani umenyimwa tuache sisi Arusha turushe roho na maland Rover 🤣🤣🤣
@JethaDololo
@JethaDololo 4 часа назад
Kila kitu kina umhimu wake, hao watu watalala wapi watakula wapi? Hilo ni faida ya wanaarusha
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 4 часа назад
Kwani nani kamkataza mtu kujiandikisha?
@mjanthony4864
@mjanthony4864 4 часа назад
Mapimbi kama nyinyi alijua mpo, Katafute interview aliyo fanya Mkuu wa Mkoa jana na WASAFI.. amesha wajibu
@RonnieBertin
@RonnieBertin 4 часа назад
Wewe hata baiskeli hauna. Acha upumbavu. Wako watu wanatoka Uganda Kenya south Africa Rwanda wanaenda Arusha wewe endelea na upumbavu wako. Watu tunakula happy life is too short
@yohanakateko
@yohanakateko 4 часа назад
Kuna faida Gani kwetu na tamaisha ilo
@xyz-v6d
@xyz-v6d 4 часа назад
Kama huna faida nalo potezea.Kifupi mind ur business
@zedekiahmagwega8044
@zedekiahmagwega8044 4 часа назад
Arusha ni mojanya mkoa wa kitalii nchini, hivyo kuongezeka kwa watu kutoka nchinjirani na kikoa mbali mbali kunauongezea huo mji thamani, kwa kipindi watu watakapokuwepo hapo huduma nyingi watatumia , mzunguko wa biashara unaongezeka
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 4 часа назад
Unamuelimisha mpumbafu​@@zedekiahmagwega8044
@dinnocelestin1894
@dinnocelestin1894 4 часа назад
Faida zipo nyingi. Hao washiriki watahitaji kula na kunywa,watahitaji mafuta ya gari,watahitaji malazi,nk. Hatujafanya biashara hapo?Tamasha linafuatiliwa kutoka nchi mbalimbali,hapa tunaitangaza nchi,mkoa na fursa zake. Washiriki watakua pamoja kwa siku tatu,ni watu wanajishughulisha na mambo tofauti tofauti,hapo watafahamiana,watatengeneza mahusiano ya kibiashara nk. Sehemu ambazo wataweka camp bila shaka ni fursa kwa wafanyabiashara ndogondogo wanaouza maji,juice,soda,vilevi,mishikaki,chips,nyama choma,nk na pia mawakala wa huduma za fedha watapiga kazi sana.
@daudimkumbo5922
@daudimkumbo5922 2 часа назад
Maonyesho ya utalii jiji Arusha. Watu wskija Arusha, uchumi unakua. Tunapata fedha za kigeni, wenye hoteli, na serikali inapata mapato makubwa. 1.Nitajie economic activities zilizopo Arusha. 2 method used to promote economic in Arusha.
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 4 часа назад
Shida hakuna kazi ya kufanya ni udwazi mtupu inasaidia nini ?
@donking-d4t
@donking-d4t 2 часа назад
Hutakaa uelewe mpaka kufa kwako pimbi wewe
@esthersissamo1120
@esthersissamo1120 2 часа назад
Kuondoa mawazo tu ni kipato kwa wafanyabiashara kutoka kwa wageni🎉🎉🎉
@sambulugu9988
@sambulugu9988 43 минуты назад
Hata angefanya nini usingeona umuhimu! Au kuna kipindi nini kilifanyika ukapewa hela ya bure?
Далее
Обыкновенное чудо
00:48
Просмотров 646 тыс.
Women's Defending + Men's 😮‍💨❌
00:20
Просмотров 758 тыс.
نترس تو برق نبود😅😅
00:17
Просмотров 1,8 млн
Обыкновенное чудо
00:48
Просмотров 646 тыс.