Тёмный
HABARIMPYA TV
HABARIMPYA TV
HABARIMPYA TV
Подписаться
HabariMpya zote zinapatikana hapa.
Chombo cha Habari kwa wote
Комментарии
@tumainiellyimo4657
@tumainiellyimo4657 Час назад
Wapiga kura Mbeya Mjini nadhani mnamwelewa Mh!Moina na kamati ya chama changu CCM nadhani mmemsikia Mpina sasa kama tunalitaka jimbo la Mbeya mjini basi tumsikie vyema Mpina
@madreks253
@madreks253 8 часов назад
Katiba lazima ibadilishwe na serikali livunjwe...Viongozi wengi na Raisi mafisadi wakubwa...ukiwa mchapa kazi wanakushitaki...hamna utendaji wa haki nchi hii...
@Edwardmoses-oh1eo
@Edwardmoses-oh1eo 9 часов назад
Nakuja mkuu
@BoisDonkoil-rk8lr
@BoisDonkoil-rk8lr Час назад
ℕ𝕒𝕜𝕦𝕦𝕟𝕘𝕒 𝕞𝕨𝕖𝕟𝕫𝕖𝕥𝕦 𝕜𝕒𝕣𝕚𝕓𝕦 𝕦𝕜𝕦𝕓𝕨𝕒𝕟𝕚
@SamwelDaudi-qj7js
@SamwelDaudi-qj7js 11 часов назад
Sasa hivi Arusha imechangamka 🎉🎉🎉
@mohammedlipindula5415
@mohammedlipindula5415 11 часов назад
Tuko pamoja waziri mkuu tatizo lao hawajawai kusafiri innchi zawenzao wakaona maendeleo yalivyo warudishe pesa waache tunataka Tanzania yamaendeleo sio yawezi
@user-lx7ez3rq4c
@user-lx7ez3rq4c 12 часов назад
Machawa na makupe
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 12 часов назад
Good teachings tooursocieties as agoodleader
@JuliusHatari
@JuliusHatari 13 часов назад
Apo uhakika
@user-wi1jb8mb7o
@user-wi1jb8mb7o 13 часов назад
Wallah nimecheka anaweza kujizuwia😂😂
@user-wi1jb8mb7o
@user-wi1jb8mb7o 13 часов назад
😂😂😂,
@AnordKasekwa
@AnordKasekwa 13 часов назад
Mungu Akubariki na kukulinda kwa kazi nzuri hakika nakupenda sana na nakukubar sana yani
@emanuelpeter2489
@emanuelpeter2489 13 часов назад
Kwa hyo mla rushwa si atajwe jina ili wananchi tujitokeze apite hv shida ni kwamba huwa mnamjua mtu asiyejulikana
@emmanuelbenson6149
@emmanuelbenson6149 14 часов назад
Mhhh hiyo nguzo😂😂😂😂😂😂😂
@muhammednassor3569
@muhammednassor3569 15 часов назад
Makonda weldone Karibu Pemba uje uone maendeleo yetu
@martinabel3896
@martinabel3896 15 часов назад
sukuma ndani
@SawaelyNassary
@SawaelyNassary 16 часов назад
Kaka makondo sijuh uo ubunifu wa kufanya kazi mzuri ivi umeutowa wpi akika wewe kiboko
@emmanuelmwandu.3126
@emmanuelmwandu.3126 17 часов назад
Ukimtaja tu magufuli umejipunguzia mambo makubwa sana. Halafu hilo kwa chadema, hawajawahi kujua kama ni doa kubwa huwa linawapunguzia thamani kwa watu. Magufuli anaaminika na watu wengi zaidi, ukimsema wanakuona ni miongoni mwa watu usiyependa mafanikio aliyoyafanya magufuli. Hivyo jifunzeni kurekebisha hapo, watu watawaelewa zaidi kuliko kumdharau JPM
@elizabethmakaranga218
@elizabethmakaranga218 17 часов назад
Mh makonda mbeba maono wa familia hafi,hakuna ugumu mwanangu wa kazi hiyo maana umepewa KIBALI na mungu mwenye uwezo
@gmentertainmentcompany9353
@gmentertainmentcompany9353 18 часов назад
pambana mkuu msimamo mzito huo WA mahusiano but jilinde maana wenye msimamo huo bila kujilinda na kuwa makini wanaondoka Dunian mapema chagua team Bora inayochukia Yale unayochukia ukikuta wanayo mengine jaribu kushaur maana ss binadamu tunachangamoto nyingi
@Piscesblair
@Piscesblair 18 часов назад
Hongera sana Mheshimiwa kwa ubunifu
@BoisDonkoil-rk8lr
@BoisDonkoil-rk8lr 19 часов назад
𝔸𝕞𝕖𝕟 𝕟𝕚𝕡𝕖𝕚𝕡𝕖𝕟𝕕. 𝕄𝕒𝕠𝕟𝕚 𝕪𝕒 𝕞𝕜𝕦𝕦 𝕨𝕒 𝕞𝕜𝕠𝕒 𝕙𝕒𝕤𝕒 𝕜𝕦𝕛𝕒𝕝𝕚 𝕜𝕨𝕒𝕟𝕫𝕒 𝕒𝕗𝕪𝕒 𝕫𝕖𝕥𝕦
@user-tg7vq3ty8p
@user-tg7vq3ty8p 19 часов назад
Huyo mwanaume aliyemfanyia huyo mtoto ukatili huo adhabu yake iwe na yeye huyo mwanaume afanyiwe hivyo hivyo.
@TeheranRashid-rp6ff
@TeheranRashid-rp6ff 16 часов назад
@@abdallahalwardi588 duuuh Nani ss atamfanyia unyama?
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 19 часов назад
Asante dada wakristo wenzake tumetuliaaa
@emmanuelbernard9552
@emmanuelbernard9552 20 часов назад
Dada Mungu azidi kukusimamia na kukuinua zaidi.Ukweli nimejiskia moyo wangu kuwaka hasira kali sana.Nahofia kutamka maneno magumu sana.Hivi Mkuu wa Wilaya kweli alishindwa nini ? Mkuu wa Polisi,wakuu wa Vituo,mwanasheria.Hakika nawaambia haya maneno hukumu ya Mungu ipo kwenu siku siyo nyingi.Makonda Mungu akazidi kukuinua piga kazi Baba.Hao wengne ni mawakala wa shetani.
@wargall2
@wargall2 День назад
Huyu mkuu ni mtu wa maana sana
@mwinyisaruni8974
@mwinyisaruni8974 День назад
Mheshimiwa endelewa kupiga spana kazi iendelee Ila hiyo wawekezaji jamani ichunguze vizuri kweli kuna sehemu ata nawao waangalie na kuajiri watu maana Kuna namna haija kaa vizuri na wao, wanawapotezea watu muda mrefu bila kuwaajiri Hilo lichunguze mheshimiwa
@dicksonbenard1741
@dicksonbenard1741 День назад
Nembo nyingine ya Taifa hii Magufuri now still alive❤❤❤ We trust you makonda
@kurugo-z5u
@kurugo-z5u День назад
Nianze kwa kuomba msamaha kwa serikali maoni yngu Makonda hastahiki kuwa mkuu wa mkoa, anastahiki kuwa cheo Cha juu zaidi ili awafikie watanzania wengine kama c wote.
@hidayatshukuruSanga
@hidayatshukuruSanga День назад
Kaka yanii umenyooka zaidi ya rula, Mungu akupe afya
@stevenmrama3123
@stevenmrama3123 День назад
Falsafa yako ni nzuri sana,isipokua viongozi wetu kwanza akiwa ofisini wanakua miungu watu .ni shida sana
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 День назад
Kumbe wamasai siku hizi hawavai tena lubega na mashuka mekundu, bali kanzu nyeupe na vilemba. Hongera sana wamasai wa Ngorongoro, mmependeza sana!
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq День назад
Ni kweli kabisa maneno yako.😂
@mshindi3476
@mshindi3476 День назад
Well said Makonda
@KinanaZagar-pv6qc
@KinanaZagar-pv6qc День назад
Pole kakaangu nimeumia sana tena sana waziri wangu waone wanyonge dunia tunapita kaniliza sana hiyu kaka dah maisha haya utadhani sio nchi yetu tunanyanyasika mkombozi wetu upo wazari wangu
@MusawitsonskanaMusawitso-iy4vh
Hilopalachichi nimvua yampito tunauwa mbenguzetu kijinga
@MusawitsonskanaMusawitso-iy4vh
Nikweli unamtaja mama malaika niwewe
@MusawitsonskanaMusawitso-iy4vh
Nakubali sana utendajiwako bigap
@MishaelNzowaMishaeli-o2b
@MishaelNzowaMishaeli-o2b День назад
Nakuelewa Rpc makonda
@EstherJerald-tc6ct
@EstherJerald-tc6ct День назад
Mungu akubariki sana kijana wangu Makonda ,
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 День назад
Asante mh makonda tunakupenda arusha
@user-hj5hh4zg4e
@user-hj5hh4zg4e День назад
Wapenda haki wote niadui wawalarushwa
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko День назад
Wako wengi ufasadi hoeeeee
@JacksonBoaz-yu8uk
@JacksonBoaz-yu8uk День назад
Acha kutudanganya mzee alieleza ukiona watoto wasimba wanachezacheza jua kuna mama yao ama baba yao nyuma,sisi siyo wajinga hizo poropoganda kamweleze mke wako
@bogate156
@bogate156 2 дня назад
MAKONDA IS REAL VERY SMART...QUICK DECISION MAKER...VERY DIPLOMATIC...MWALIMU..MCHA MUNGU...MZEE WA BLACK AND WHITE.ANANYOOSHA MAMBO NA HAMUONEI MZEMBE AIBU...HUYU ANGEKUA WAZIRI MKUU 2025 MAMBO MENGI YANGUKUA SUPER...BIG UP BROTHER COMRADE.MUNGU AKULINDE..
@user-hu9bf7nw4c
@user-hu9bf7nw4c 2 дня назад
Makonda amefundwa na magu ,habadiliki ni yule yule ,haendi na upepo kama wengne, hua wanabadilika hawana uelekeo maalum ,hao wa hvyo ndio wanaohalibu nchi, unakuta uongozi wa awam fulan wengne wanajifanya wema alafu nyingne wanakua wabaya kabisa kwa kutetea ubaya, inakua kama machawa ambao ndio wahalibifu kabisa wa nchi ,ila kwa makonda ni yule yule habadiliki toka awam ya magu ,na ndio tunaowaitaji sisi wananchi viongoz wa namna hii na ukiwapata hata 20 vile ujue nchi itanyooka mno
@SanziNzige
@SanziNzige 2 дня назад
Hii NCHI magufuli aludi jamani MUNGU mludishe magufuliii?.tumeachiwa Nini hii Sasa jamani
@SanziNzige
@SanziNzige 2 дня назад
Pumbafu wewe mnatetea wizi hakuna lolote.tika hko huna lolote na kabashe kako
@jalinachilala8465
@jalinachilala8465 2 дня назад
Nikiona tu sura yako nalike2 mana najua point ninyingi kutoka moyoni mwko bro❤❤
@user-wh7gj9ug9s
@user-wh7gj9ug9s 2 дня назад
Makonda uishi umilele
@ZainabLol-wx7xf
@ZainabLol-wx7xf 2 дня назад
Mh Makonda ❤❤❤Arusha haipoi