Tunapatikana Nyamanoro Mwanza 0743133421
Basi bhana niwaambie sio kila mtu mpaka auze nguo Ushawahi kuwaza pochi tena kama haka nakopost mbele 😛 soon Yaani katika pis 45-50 unachagua zako pis 18 za kuuza 25,000 mtaji unarudi zinazobaki ni faida ukule🤭😂Hizi pochi no kuoshwaoshwa wala kukandikwa mimafuta kama mlivyozoea kutudanganya online🤣 yaani ni faida nje nje Hakuna mdada/binti/mwanamke asie na pochi aloooo👌akili mtu wangu 😎. Inaitwa UK HANBDAG MIXER CREAM UJAZO NI 30KG IDADI NI 45-50 BEI NI 450,000 TU NO RONYA NA MAUCHAFU SIJUI MANINI 🤭🤣POCHI ZIMENYOOOKAAA MBINGUNI MOJA KWA MOJA 😂😂😂🏃🏾♀️Slay with loara ni mmoja tu😛. Tunapatikana Nyamanoro Mwanza 0743133421
23 июн 2024