Тёмный

Usiyoyajua Kuhusu Biashara Ya Nguo za Mitumba 

DIKAPPY MITUMBA
Подписаться 937
Просмотров 3,9 тыс.
50% 1

Biashara ya nguo za mitumba inaweza kufanyika sehemu yoyote ile, hii ni kutokana na ukweli kuwa kila mtu ni lazima avae, PIA kuna Nguo za mitumba ya watu wa hali zote, wale wa kipato cha chini, kipato cha kati na kipato cha juu. Kizuri zaidi mtaji wake huwa ni mdogo sana , mtu yeyote anaweza akamudu.Kubwa zaidi, Biashara hii Inaweza kukupa mtaji mkubwa na ukaamua kwenda kwenye kazi au biashara ya ndoto zako na ukafanikiwa katika biashara nyingine.
Ni mfululizo wa videos za jinsi gani unaweza ukafanikiwa na biashara ya nguo za mtumba

Опубликовано:

 

29 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 10   
@RaphaelMashabala-u9k
@RaphaelMashabala-u9k 21 день назад
Type namba mm nahitaji nine nichukue kwako
@dikappymitumba
@dikappymitumba 6 дней назад
me nauza nguo za mazoezi , karibu,
@AgnesSauli-x8y
@AgnesSauli-x8y Месяц назад
Ww unaduka lako au unauza kwenye minada
@dikappymitumba
@dikappymitumba Месяц назад
@@AgnesSauli-x8y nina duka kwa sasa.
@ruthotanga2960
@ruthotanga2960 3 месяца назад
Dada tumeshukurubkunitiya moyo
@dikappymitumba
@dikappymitumba 3 месяца назад
shukrani dear
@IsackSamwel-nx1xp
@IsackSamwel-nx1xp 3 месяца назад
Dada natamani kuonana na wew kwa ushauri zaidi maana me pia son natarajia kuanza hiyo biashara
@dikappymitumba
@dikappymitumba 3 месяца назад
Hongera sana, Nitatoa mawasiliano . Endelea kujifunza , ni rahis .
@AgnesSauli-x8y
@AgnesSauli-x8y Месяц назад
Dada naitaji kujua ww umeanza na mtaji WA shingap
@dikappymitumba
@dikappymitumba Месяц назад
@@AgnesSauli-x8y 50k dear . Japo unaweza anza na mtaji zaidi au chini ya hapo.
Далее
AINA ZA BIASHARA ZINAZO MFAA MWANAMKE - JOEL NANAUKA
8:58
Bearwolf - GODZILLA Пародия Beatrise
00:33
Просмотров 254 тыс.
Почему?
00:22
Просмотров 283 тыс.
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Просмотров 60 тыс.
MHASIBU ALIEKIMBILIA BIASHARA YA MTUMBA
5:46
Просмотров 3,6 тыс.
Bearwolf - GODZILLA Пародия Beatrise
00:33
Просмотров 254 тыс.