Chant liturgique de Rameaux en Swahili exécuté par la Chorale Bana Ngayime.
R/Hozana mwana wa Daudi! (2x)
Hozana Yezu ana Kuja kwa jina la bwana (2x)
1. Tupige vigelegle
Tu tandike Malawi, Yezu Amite juu ( *Hozana ju mbinguni*) (2×)
2. Mbarikiwa anaye kuja kwa jina la Mungu Baba ( *Hozana ju mbinguni*) (2×)
8 сен 2024