Тёмный

Banana Zoro - Zoba 

Swahiliwood
Подписаться 517 тыс.
Просмотров 1,3 млн
50% 1

Angalia nyimbo zake, Zoba ya Banana Zorro. Hizi nyimbo ni sehemu ya muziki wa Mseto Wahapahapa.
"Maumivu, maumivu yamevunja moyo wangu ee
Kusubiri, kusubiri, nimekusubiri mpenzi wangu ee
Lakini umekuja kuuvunja moyo wangu ee"
--------------
One of the Mseto Wahapahapa music videos produced by MFDI Tanzania and directed by Jordan Riber. Mseto Wahapahapa is a album and music video DVD featuring Tanzania's leading musicians such as Banana Zorro, Lady Jaydee, Mzee Yusuph, Flora Mbasha and many more.

Опубликовано:

 

1 сен 2013

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 806   
@buhendwagrace6801
@buhendwagrace6801 2 года назад
Naupenda sana huu wimbo,nautazama kila siku.kama nawewe unaangalia huu wimbo kwa mwezi huu wa april gonga like nyingi
@JohnMars-dt5my
Wanaoangalia mpaka leo 2024 tujuane
@munguritosadman8956
@munguritosadman8956 21 день назад
Baada ya kupigwa na kitu kizito hatimaye nikaja kusikiliza apa 2024😂
@director_amani
@director_amani 14 дней назад
Leo 2024 nmekutana na peter "tausi unaimba vizuri" nimempa maua yake kwenye hii nyimbo katisha sana! Ni kama zuwena kwa diamond. Haya wanaoutizama huu wimbo 2024 gonga like hapa
@benwamadaba8868
@benwamadaba8868 4 года назад
Kama unaangalia hii ngoma2019 gonga like twende sawa
@godfreyjeremiah8657
@godfreyjeremiah8657 5 лет назад
huu wimbo hatuutendei haki .... unatakiwa mpaka sasa uwe una views 10M
@magiclab6435
@magiclab6435 4 года назад
Anyone who watching this, once again in August 2019 na akajijua kuwa alifanya uzoba...twende sawa😁😁😀
@semanajmv
Bado tupo 2024
@JamesJoseph-bm8ix
MUZIKI NI HISIA OLD IS GOLD 2024 still we here🔥🔥🔥
@hermankoba4970
@hermankoba4970 5 лет назад
Mnajuwa nyimbo iz ni maisha yetu ya kila siku tunayo ishi so nakumbuka mbar jmn 2004-2006 kama yalinikuta
@hanaphMsagati
daah huu wimbo umenigusa Sana yani kama kaniimbia mimi daah kwel mapenz mabaya ndani ya 2024
@dexmorinc6343
@dexmorinc6343 Год назад
Its 2023 and we still keep the good music alive
@eunicembwambo2749
@eunicembwambo2749 2 года назад
Tunao iyangalia hii nyimbo had leo 2022 gonga like ❤❤
@jenifferfrancis1503
@jenifferfrancis1503 2 года назад
It’s 2022 and this song is still lit🙌🏽🙌🏽🙌🏽🤩
@mohamedindalo2663
@mohamedindalo2663 4 года назад
Bado miezi miwil kumaliza mwaka 2019 kma na we unacheki ngoma hii gonga like ,,,,,,,,
@felixmtei6787
@felixmtei6787 4 года назад
Who is with me this October 2019???
@mkobamuddy4675
@mkobamuddy4675 5 лет назад
Bado siku mbili 2018 imalizike na naamua nimalizane na kitu hiki adimu, yani kama imetoka jana..
@samuelmwaipopo1302
@samuelmwaipopo1302 2 года назад
Juma aliua sana kwenye hii opening... Eti "tausi unajua kuimba .. oh" 😂😂
@binladen7727
@binladen7727 4 года назад
Kama unaangalia 2020 gonga like
@mayaliamani5705
@mayaliamani5705 4 года назад
nilikua nkiipenda hii nyimbo tangu nikiwa na umri wa miaka 12 2015 ndio mwisho wa kuitazama ila leo 27 october 2019 nimeicheck hii ngoma bado kali tu history is making peace bwana banana zoro afrobongo haitochuja hata kidogo
Далее
Hafsa ft Banana Zorro - Pressure
4:53
Просмотров 2,2 млн
Christian Bella Feat. Banana Zoro - Usilie
5:12
Просмотров 489 тыс.
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
OFFICIAL VIDEO-LEKA DUTIGITE VIDEO-KIGOMA ALL STARS
5:43
Banana Zoro Akirekodi Zoba
8:51
Просмотров 26 тыс.
Nimekuchagua Wewe - Bob Rudala
5:07
Просмотров 2,4 млн
Mama ntilie.mp4
4:56
Просмотров 356 тыс.
SAMBA MAPANGALA      Dunia tunapita       OFFICIAL audio
5:29
Просмотров 1,1 млн
AT Feat Stara Thomas - Nipigie
4:47
Просмотров 623 тыс.
MwanaFA feat Linah - Yalaiti (Official Video)
5:34