Swahiliwood ni chaneli ya video ya kwenye mtandao iliyo rasmi kwa vipindi vya kiswahili. Kuanzia documentary mpaka maigizo, ucheshi na vipindi vingine vya runinga. Tunakuletea kiwango cha juu cha ubora wa burudani za Kiswahili kutoka Afrika Mashariki. Swahiliwood is an online video channel dedicated to Swahili programming. From documentary to drama and comedy to television, we bring you the highest quality Swahili entertainment by East Africa, for East Africa. Bongo Movies | Bongo Filamu | Tamthilia
Unos de las mejores peliculas desde lleguè en Tanzania. Me gusta los sub titulos y el acento del suajil. Y tambien la calidad de foto es buenisima. Gracias a todo.
Leo 2024 nmekutana na peter "tausi unaimba vizuri" nimempa maua yake kwenye hii nyimbo katisha sana! Ni kama zuwena kwa diamond. Haya wanaoutizama huu wimbo 2024 gonga like hapa
Dah laiti filam za saivi zingekua Zina content hizi na kuigiza hivii mafundisho mazur sana ila dah za saiv ni za ajab sana sjawah iangalia hii but Leo ndo nimeiangalia wow best one🎉