Bongo hatufiki mbali kwakuwa madirector wetu wanajipima ukubwa kwa kuangalia amefanya na nani na nikitu kibaya sana hicho mfano huyo mwenyew mzava hakuna video kali amewai kushut zote ni kawaida wanatakiwa kujua video ni idea ndo mana unaweza ukakuta director wa mbele kashut video na mtu wa mtaan na bado ukaona amekung'uta haswa ss wa kwetu wanawaza ashut na msanii gani mkubwa ili aonekane na akipewa bajeti akili yote ni set up