Тёмный

Bando MC - Homa 2 (Official Music Video) 

Bando Mc
Подписаться 87 тыс.
Просмотров 82 тыс.
50% 1

#Bando#Homapart2 #rap
#NewMusic #epicjourney #trending #newmusic
(C) Slide Digital
Bando MC Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.bio/1kqop5
Written & Performed by Bando MC
Audio produced by Jey Drama
Tel: +255657665895
Video Directed by Deo Abel
Tel: +255769440404
Video shot at Ngome barbershop in Dar es Salaam
Follow Bando On:
Instagram: ...
Facebook : web.facebook.c...
Twitter: mu...
TikTok: www.tiktok.com...
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz

Опубликовано:

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,8 тыс.   
@BandoMC
@BandoMC Год назад
HOMA oi Ee Bwana njooni muone maajabu Leo buss limepaki Stend ya viatu/ Inashangaza Kama rasi amekula nyamafu/ Huyu daktari wa akili aka nusu chizi/ Leo anamuamsha mgonjwa Ili ampe dawa ya usingizi/ Alafu amini tu utatumwa kama utashindwa kujituma / Snitch nakuonea macho siwez kukuonea huruma/ Madalali wa Dar wakikuona we nimsukuma/ Wanakwambia tunauza viwanja na mikoani tunatuma/ NaKama vita iwe vita visa iwe visa/ Mnaonesha furaha usoni huku chuki mmezificha/ Hii sauti Kwenye spika imeskika /(ikisema ) Ukiona mimi nawewe haziivi basi ujue hatujazipika/ Ukitia team utatukut tupo ndichi/ Ukiona moshi mwingi ujue walimu wanatembeza stiki/ Sasa wambieni masnich wasipite kipande hiki/ Kuna wahuni ambao mpaka mavu* wameweka britch/ Inachekesha madem sikuizi nawaletea mapozi/ Baada ya juzi insta kuona ameni dm amber rose/ Sio mrembo kikojozi hawa wanaopenda matozi/ Nibonge la dhari Kama hussen kufutwa machozi/ Rayvan alinambia Bando unajua sema tu hauna promo/ Ila Muda utaongea japo hakunaga Saa yenye mdomo/ Najua ushindi unavikwazo/ Ila bando ndo muogeleaji Pekee anaepiga mbizi hadi kwenye dimbwi la mawazo/ Yani kuna time matumiz yapo NJE ya bajeti/ Yani unamkono wasweta alafu unamguu wajaketi/ Mwaka jana nilitamani Kuwa na watoto hata mapacha/ Ila mwaka umeisha hata mama Yao sijampata/ Kwanza hali yenyewe ngumu mambo yametaiti yamechupi/ Yani unaeza ukawa mrefu ila ukaishi maisha mafupi/ You stupid usiige maisha yangu mimi huyu/ Naeza nikanawa mikono afu nikaamua kula buyu/ Mnaniteta alafu mkiniona mnachekacheka/ Mnakesha kunisema sema mnateseka/ Navesha siogopi mbwa koko mnavyobweka/ Na mlivyo Na roho ndogo mkiniona mnatetemeka/ Ndo Yule shytown boy mnyama niliyezaliwa shinyanga/ Shinyanga ingekuwa naigeria lagos ingekuwa matanda/ Wanangu wa ngokoro ndala ibinzamata kote yechu/ Kitangiri Na bugweto nguzo nane kote kwetu/ Alafu koma kuturinganisha Na machizi boti/ Sisi hela zetu mpaka tuvuje jasho yani tuforce/ Tukipata tunawaka pamba kali ziko hot/ Nikitaka dundo kali huwa namchek mwanangu david sport/ Kwetu mtoko sio weekend utaona moto kama hupend/ Maisha changamoto kuvuja jasho kisha kuspend/ Wanoko hawatupendi tuishi Kwa kujidefend/ Sio kwamba sipendi watoto sema utoto ndo sipendi/
@azaboicomedy
@azaboicomedy Год назад
Nasikiliza huku nasoma lyrics, hiki kitu kikubwa!!
@saidgongo7214
@saidgongo7214 Год назад
Unyama mwing Broo 🙌
@BandoMC
@BandoMC Год назад
@@azaboicomedy kula maandishi
@BandoMC
@BandoMC Год назад
@@saidgongo7214 side
@clementkingu963
@clementkingu963 Год назад
Fupi,kali,imejaa..hii imekuja kuzipiku homa za covid, ebola,malaria na kadhalika
@ramadhanikondo6114
@ramadhanikondo6114 Год назад
Bando sasa tupo next level ni hit juu ya hit daaah tumetoka mbali aisee
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Endelea kutazama video ya wimbo wangu mpya “HOMA PART TWO” link hii hapa👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-L99R-VXbIgU.html
@rutudaniel8314
@rutudaniel8314 Год назад
Guys alietazama na kusikiriza Zaid ya mara tano Kama mm Naomba like yake tafadhari
@BandoMC
@BandoMC Год назад
karibu hapa kutazama video yang mpya HOMA PART TWO 👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-L99R-VXbIgU.html
@yakoboesenga5754
@yakoboesenga5754 Год назад
Nakama vita iwe vita visa iwe visa mna furaha machoni na moyoni mmezificha 🔥 🔥 🙌🙌
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Yaooo
@ibrahimmkombozi9871
@ibrahimmkombozi9871 Год назад
Mm ibrahim mkombozi leo ninatangaza kuwa shabiki wa BANDO Mc 4 life
@BandoMC
@BandoMC Год назад
😂😂😂😂😂
@monnahmo_tz
@monnahmo_tz Год назад
😁😁😁😁🛫🛫🛫🛫🛫🙌🙌🙌🙌,,homa homani mzey wangu,,,, 🙌🙌🙌🙌🙌
@BandoMC
@BandoMC Год назад
karibu hapa kutazama video yang mpya HOMA PART TWO 👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-L99R-VXbIgU.html
@johnmasanja1413
@johnmasanja1413 Год назад
Uuwiiii ngom ya moto ni hatar sana
@jailethjosephales3899
@jailethjosephales3899 Год назад
Ukiona mm naww haziivi ujue hatujazipika,,, kama umependa huo wimbo na kuusikiliza kwa makin kama mm adi TV nimezima na watoto nimewapeleka kwa majirani gonga like ngoma kali Sana mshikaj wangu BANDO🙌🙌
@BandoMC
@BandoMC Год назад
😄😄😄
@ankochoka
@ankochoka Год назад
KAZI NZURI SANAAAAAA
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Choka kaka
@darmianmichael3129
@darmianmichael3129 Год назад
Oaaa hv mnaonaje @dizasta vina ahamishe battle kwa huyu mwamba maan kamuonea sana bishoo cosmas
@monnahmo_tz
@monnahmo_tz Год назад
Shy town boe,, asanteh saana Kwa hii michano 🙌🙌🙌🙌
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Bless
@DWhite-qu9qn
@DWhite-qu9qn Год назад
Bonge moja la ngoma bonge moja la chupaaa mamae 🙌
@moshidongo
@moshidongo Год назад
Ngoma yangu bora 2023 🙌 Mussa Bando 👑
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Bless kak
@kashinidisarafari9984
@kashinidisarafari9984 Год назад
Wa Congo kusema ukweli ni kawaida yetu 🇨🇩🇨🇩 karibu nyumbani
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Asant sana
@mjungatv8172
@mjungatv8172 Год назад
Oy Hii kazi tumeisubiri miaka miwili afu Mwamba kaja na Homa part2 afu kwa kishindo baabeeeki🔥🔥🔥🔥🙌 Sema Nini Tupambane wazee hii kazi tuipeleke No1 bx wangu
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Ewaaa
@fexboe7564
@fexboe7564 Год назад
Kama unamkubali bando gonga like.
@younglyzer
@younglyzer Год назад
UnYama sana blood💥🙌
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Fam
@aymanharoun7798
@aymanharoun7798 Год назад
Ila bando we akili yako iliumbwa tofaut na wengne aisee.. Unaumiza sana kichwa kutupa burudan aisee..
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Bless sana mzee baba
@manyaramanyara8872
@manyaramanyara8872 Год назад
Mama sana bro 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Fam
@ramadhanathuman990
@ramadhanathuman990 Год назад
Kuna ngoma,halafu kuna Ngoma nzuri,Bando MC kijana wetu🤝👍
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Bwabwan
@goddymemberg3155
@goddymemberg3155 Год назад
Mzeee 🙌🙌🙌 dah heshima
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Ewaa
@goddymemberg3155
@goddymemberg3155 Год назад
@@BandoMC imesima kinoma
@kelvinbosco5276
@kelvinbosco5276 Год назад
Ukiachia Nyimbo nyingne ya Taifa kama hii, utakua on the top kabsaaa
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Bless fam
@Ciphalee
@Ciphalee Год назад
HOMAAAAAAA💥💥💥💥💥 MGUMUU KALAINIKA, HADI TRENDING
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Ewqaaa
@yassadabrown
@yassadabrown Год назад
Goma pendwa 2023
@tomtomboyjackson6055
@tomtomboyjackson6055 Год назад
💣Na mlivyo na roho Ndogo mkiniona mnatetemeka 💥💥💥 Kama unamkubali bando gonga like 👇
@BandoMC
@BandoMC Год назад
HOMA oi Ee Bwana njooni muone maajabu Leo buss limepaki Stend ya viatu/ Inashangaza Kama rasi amekula nyamafu/ Huyu daktari wa akili aka nusu chizi/ Leo anamuamsha mgonjwa Ili ampe dawa ya usingizi/ Alafu amini tu utatumwa kama utashindwa kujituma / Snitch nakuonea macho siwez kukuonea huruma/ Madalali wa Dar wakikuona we nimsukuma/ Wanakwambia tunauza viwanja na mikoani tunatuma/ NaKama vita iwe vita visa iwe visa/ Mnaonesha furaha usoni huku chuki mmezificha/ Hii sauti Kwenye spika imeskika /(ikisema ) Ukiona mimi nawewe haziivi basi ujue hatujazipika/ Ukitia team utatukut tupo ndichi/ Ukiona moshi mwingi ujue walimu wanatembeza stiki/ Sasa wambieni masnich wasipite kipande hiki/ Kuna wahuni ambao mpaka mavu* wameweka britch/ Inachekesha madem sikuizi nawaletea mapozi/ Baada ya juzi insta kuona ameni dm amber rose/ Sio mrembo kikojozi hawa wanaopenda matozi/ Nibonge la dhari Kama hussen kufutwa machozi/ Rayvan alinambia Bando unajua sema tu hauna promo/ Ila Muda utaongea japo hakunaga Saa yenye mdomo/ Najua ushindi unavikwazo/ Ila bando ndo muogeleaji Pekee anaepiga mbizi hadi kwenye dimbwi la mawazo/ Yani kuna time matumiz yapo NJE ya bajeti/ Yani unamkono wasweta alafu unamguu wajaketi/ Mwaka jana nilitamani Kuwa na watoto hata mapacha/ Ila mwaka umeisha hata mama Yao sijampata/ Kwanza hali yenyewe ngumu mambo yametaiti yamechupi/ Yani unaeza ukawa mrefu ila ukaishi maisha mafupi/ You stupid usiige maisha yangu mimi huyu/ Naeza nikanawa mikono afu nikaamua kula buyu/ Mnaniteta alafu mkiniona mnachekacheka/ Mnakesha kunisema sema mnateseka/ Navesha siogopi mbwa koko mnavyobweka/ Na mlivyo Na roho ndogo mkiniona mnatetemeka/ Ndo Yule shytown boy mnyama niliyezaliwa shinyanga/ Shinyanga ingekuwa naigeria lagos ingekuwa matanda/ Wanangu wa ngokoro ndala ibinzamata kote yechu/ Kitangiri Na bugweto nguzo nane kote kwetu/ Alafu koma kuturinganisha Na machizi boti/ Sisi hela zetu mpaka tuvuje jasho yani tuforce/ Tukipata tunawaka pamba kali ziko hot/ Nikitaka dundo kali huwa namchek mwanangu david sport/ Kwetu mtoko sio weekend utaona moto kama hupend/ Maisha changamoto kuvuja jasho kisha kuspend/ Wanoko hawatupendi tuishi Kwa kujidefend/ Sio kwamba sipendi watoto sema utoto ndo sipendi/
@hakizimanamoosa1157
@hakizimanamoosa1157 Год назад
Ili lingoma kudadadeki ngoma lamoto Chui angelitia corasi lingenoga zaidi big up bando from koweit
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Kwel
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Endelea kutazama video ya wimbo wangu mpya “HOMA PART TWO” link hii hapa👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-L99R-VXbIgU.html
@charliedanatalie
@charliedanatalie Год назад
Save my word bruh 2023 it's your year bruh keep grinding!!!
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Bless
@jungletsakani
@jungletsakani 8 месяцев назад
Much Love from North Coast Kenya, Malindi. 🔋 Keep giving us Good music ❤
@youngkingtz9863
@youngkingtz9863 Год назад
Blood ngoma qali 🍁🍁🔥🔥🔥🔥🔥
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Asante
@kashinidisarafari9984
@kashinidisarafari9984 Год назад
Congo moja 🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪💪
@kashinidisarafari9984
@kashinidisarafari9984 Год назад
Ukweli una uma siku zote bando Mc kusema ukweli juu ya hili toka 2022√ 2023 upo vizuri kuliko Roma 🇨🇩🇨🇩
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Endelea kutazama video ya wimbo wangu mpya “HOMA PART TWO” link hii hapa👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-L99R-VXbIgU.html
@godey_tz
@godey_tz Год назад
a real meaning of hip hop
@BandoMC
@BandoMC Год назад
karibu hapa kutazama video yang mpya HOMA PART TWO 👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-L99R-VXbIgU.html
@officialkatuba
@officialkatuba Год назад
Naqbal home boy unatuwakilisha vyema keep it's up ✊️
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Thanks man
@wakunatahafai1969
@wakunatahafai1969 Год назад
You kill it🔥
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Big
@kashinidisarafari9984
@kashinidisarafari9984 Год назад
Bando Mc kwa hili ni moja goma matata sana dungu 🇨🇩🇨🇩🔥🔥
@johnsonthuva1880
@johnsonthuva1880 Год назад
Congrats Sana chama langu,,Bando boy
@chapkenorence851
@chapkenorence851 Год назад
Kila siku sikio langu linasikia kitu kipya kutoka kwako.....najua mda utaongea...
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Endelea kutazama video ya wimbo wangu mpya “HOMA PART TWO” link hii hapa👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-L99R-VXbIgU.html
@yohanakayuli4786
@yohanakayuli4786 Год назад
Bando noomaa ,,,wabishe na iyo🤜🤜
@BandoMC
@BandoMC Год назад
HOMA oi Ee Bwana njooni muone maajabu Leo buss limepaki Stend ya viatu/ Inashangaza Kama rasi amekula nyamafu/ Huyu daktari wa akili aka nusu chizi/ Leo anamuamsha mgonjwa Ili ampe dawa ya usingizi/ Alafu amini tu utatumwa kama utashindwa kujituma / Snitch nakuonea macho siwez kukuonea huruma/ Madalali wa Dar wakikuona we nimsukuma/ Wanakwambia tunauza viwanja na mikoani tunatuma/ NaKama vita iwe vita visa iwe visa/ Mnaonesha furaha usoni huku chuki mmezificha/ Hii sauti Kwenye spika imeskika /(ikisema ) Ukiona mimi nawewe haziivi basi ujue hatujazipika/ Ukitia team utatukut tupo ndichi/ Ukiona moshi mwingi ujue walimu wanatembeza stiki/ Sasa wambieni masnich wasipite kipande hiki/ Kuna wahuni ambao mpaka mavu* wameweka britch/ Inachekesha madem sikuizi nawaletea mapozi/ Baada ya juzi insta kuona ameni dm amber rose/ Sio mrembo kikojozi hawa wanaopenda matozi/ Nibonge la dhari Kama hussen kufutwa machozi/ Rayvan alinambia Bando unajua sema tu hauna promo/ Ila Muda utaongea japo hakunaga Saa yenye mdomo/ Najua ushindi unavikwazo/ Ila bando ndo muogeleaji Pekee anaepiga mbizi hadi kwenye dimbwi la mawazo/ Yani kuna time matumiz yapo NJE ya bajeti/ Yani unamkono wasweta alafu unamguu wajaketi/ Mwaka jana nilitamani Kuwa na watoto hata mapacha/ Ila mwaka umeisha hata mama Yao sijampata/ Kwanza hali yenyewe ngumu mambo yametaiti yamechupi/ Yani unaeza ukawa mrefu ila ukaishi maisha mafupi/ You stupid usiige maisha yangu mimi huyu/ Naeza nikanawa mikono afu nikaamua kula buyu/ Mnaniteta alafu mkiniona mnachekacheka/ Mnakesha kunisema sema mnateseka/ Navesha siogopi mbwa koko mnavyobweka/ Na mlivyo Na roho ndogo mkiniona mnatetemeka/ Ndo Yule shytown boy mnyama niliyezaliwa shinyanga/ Shinyanga ingekuwa naigeria lagos ingekuwa matanda/ Wanangu wa ngokoro ndala ibinzamata kote yechu/ Kitangiri Na bugweto nguzo nane kote kwetu/ Alafu koma kuturinganisha Na machizi boti/ Sisi hela zetu mpaka tuvuje jasho yani tuforce/ Tukipata tunawaka pamba kali ziko hot/ Nikitaka dundo kali huwa namchek mwanangu david sport/ Kwetu mtoko sio weekend utaona moto kama hupend/ Maisha changamoto kuvuja jasho kisha kuspend/ Wanoko hawatupendi tuishi Kwa kujidefend/ Sio kwamba sipendi watoto sema utoto ndo sipendi/
@rubeyaomar8631
@rubeyaomar8631 Год назад
On fire 🔥🔥🔥
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Moto
@lemeboyofficial
@lemeboyofficial Год назад
Nimerudisha Kama Mara 4 haichoshii Afu🇹🇿🇹🇿
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Endelea kutazama video ya wimbo wangu mpya “HOMA PART TWO” link hii hapa👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-L99R-VXbIgU.html
@emmanuelcharles6712
@emmanuelcharles6712 Год назад
🙌🙌🙌🙌 Punchlines king!!
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Ema
@mosesemmanuel586
@mosesemmanuel586 Год назад
Noma sana kaka kevy front oil pamoja kaka
@danstanyjohn9045
@danstanyjohn9045 Год назад
Home boy unyama n mwing sana 🙌🙌🙌
@mustaphashaban5842
@mustaphashaban5842 Год назад
Ila wew Ni mwixho wa wote wanao kufanya wanajua kuimba
@Muhsinkiula18
@Muhsinkiula18 Год назад
2meona kazi mnyama ✊🏾💪💪💪
@jeanpierre2658
@jeanpierre2658 2 месяца назад
🇨🇩🇨🇩🇹🇿🇹🇿🔥🔥🇺🇸 kote twakupa bando you on fire 🔥🔥🔥
@directorxaimaco5729
@directorxaimaco5729 Год назад
Ngoma kali. Kichupa kikali.🔥🔥🔥
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Maiko
@kelvodewriter
@kelvodewriter Год назад
Kwa mpigoo ... Unyama huu blood...
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Endelea kutazama video ya wimbo wangu mpya “HOMA PART TWO” link hii hapa👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-L99R-VXbIgU.html
@VinahOfficial5925
@VinahOfficial5925 Год назад
🥳🥳🥳🥳🥳keep it up bro
@rashidsadati4670
@rashidsadati4670 Год назад
Oya iyene boy cjaisikia mwaiyene mwnang" ila dogo we mkaliii👊
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Wait season 2
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Endelea kutazama video ya wimbo wangu mpya “HOMA PART TWO” link hii hapa👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-L99R-VXbIgU.html
@charlsbreezy1757
@charlsbreezy1757 Год назад
Cy pw mistarii heavy
@hakiba1207
@hakiba1207 6 месяцев назад
Hii noma bando mc nakuona mbali Zaid mpendwa ☝️🇹🇿💯
@dizza7134
@dizza7134 Год назад
Tishaaa bando
@Chileysol
@Chileysol Год назад
UGONJWA UMEPATA DAWA 🔥🔥
@yassadabrown
@yassadabrown Год назад
Kazi nzur bando
@monnahmo_tz
@monnahmo_tz Год назад
Homaaaaa,,,, Masnichi lazima wapate homa bro angu
@peterremji3192
@peterremji3192 Год назад
Nakubalii Kaka unajua sanaaa
@eddytzonlinetvTallMan
@eddytzonlinetvTallMan Год назад
MWANANGUI🔥🇹🇿🙌
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Fam
@yassadabrown
@yassadabrown Год назад
Goma kali sana kaka
@kashinidisarafari9984
@kashinidisarafari9984 Год назад
Taja alicho fanya Roma mkatolik 2022√ 2023 √ Adi sas Weka bando Mc 🇨🇩🇨🇩
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Ewaaa
@Lionize_Tz
@Lionize_Tz Год назад
Umeuaa saan blood
@abdallaali5467
@abdallaali5467 Год назад
Unaweza ukawa mrefu ila ukaishi maisha mafupi....
@jingohd5922
@jingohd5922 Год назад
This is Fiver time 💯
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Hd
@hamadjamal2731
@hamadjamal2731 Год назад
Ni noma mkali wao wa matanda aka lagos ya tanzania
@popular_as_vyper
@popular_as_vyper Год назад
Homa isy na tiba tiba iko kwa mc bando
@allyleonidas2354
@allyleonidas2354 Год назад
Qi2 bro ni moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥mziqi mzuri🎤🎤🎤🎤
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Bofya link hapa kutazama wimbo wangu mpya “HOMA PART TWO”👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-L99R-VXbIgU.html
@godfreyabel3055
@godfreyabel3055 Год назад
Tupo vizur chupa la kwenda sana🎖🎖🎖
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Bofya link hapa kutazama wimbo wangu mpya “HOMA PART TWO”👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-L99R-VXbIgU.html
@rebeccakayanda5902
@rebeccakayanda5902 Год назад
Mimi sensible nasema bando noma
@yuxtokalimenze2437
@yuxtokalimenze2437 Год назад
Ngoma kali sana👏
@rebeccakayanda5902
@rebeccakayanda5902 Год назад
Sensible mc nasema bando rapa bora apa tz
@pancrasshirima
@pancrasshirima Год назад
Hongera kaka kazi nzuri ni vile tu hauzipi promo kazi zako
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Kwel
@jumasafarikenya9876
@jumasafarikenya9876 Год назад
Bando umetisha
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Ewqqq
@giovdida117
@giovdida117 Год назад
😂😂 sema kaka sjawahi kukupinga big up 🙌
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Bless
@orestleon50
@orestleon50 Год назад
Mmh we jamaa ni hatari
@daninila1239
@daninila1239 Год назад
mzee hapo nimekuelewa MR SHY TOWN
@BandoMC
@BandoMC Год назад
karibu hapa kutazama video yang mpya HOMA PART TWO 👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-L99R-VXbIgU.html
@piusjohn5104
@piusjohn5104 Год назад
Bonge ya kaz kaka 🔥
@muavooyrn
@muavooyrn Год назад
Nakubal San🔥🔥🔥
@augustinobernhard9865
@augustinobernhard9865 Год назад
No maraaaaa waah umeua kak
@HellenEmmanuel-fj1ms
@HellenEmmanuel-fj1ms Год назад
Fanya Ngoma na maarifa
@twelve_tz8333
@twelve_tz8333 Год назад
Huna baya kaka sisi wenye masikio yenye njaa kwakweli uwa tunashiba Sana na Punch line zako MUNGU AKUWEKEE KIWANJA KIKUBWA HUKO MBINGUNI 🙏🙏
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Bless sana
@allyabdallah1147
@allyabdallah1147 Год назад
Bando kama bando ni fire
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Ewaaa
@godey_tz
@godey_tz Год назад
mwaka mpyaaa huuu
@emanuelzephania8955
@emanuelzephania8955 Год назад
unyama sana humo, leo gari imepaki stend ya viatu
@WilberforceIngasia
@WilberforceIngasia 9 месяцев назад
Nakukubali bsndo
@chrisviva81
@chrisviva81 Год назад
una juwa sana
@DWhite-qu9qn
@DWhite-qu9qn Год назад
Baddest music rapper of all the time 🔥
@simbajuutz4846
@simbajuutz4846 Год назад
Bando mbape 🚀🚀🙌
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Simba
@shadrackmwakilasa7059
@shadrackmwakilasa7059 Год назад
Oya bandooo noma sana broo🔥🔥🔥
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Mwakilasa
@hoseahosea3091
@hoseahosea3091 Год назад
Tukimbizeeeeeeeee mwaka huu wetuu
@richardmichael7523
@richardmichael7523 Год назад
Kazi nzuri sana, vina na mashairi yanaimbika na kueleweka na mdau yoyote. Unaendelea kuifanya hip hop iendelee kuwa mziki mkuu ambapo miziki yote mingine inapiazima mistari. Video haijawa na mambo mengi na kufanya mistari na muimbaji kuwa agenda kuu🔥🔥 Safi sana
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Thanks
@jacksonjordan3872
@jacksonjordan3872 Год назад
broh i appreciate mah bro Bando From chamagua u know tutabak support kaz
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Bless
@rashaslim98city
@rashaslim98city Год назад
Noma sana bro,love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@agnesdastan8771
@agnesdastan8771 Год назад
Madalali wa Dar Duuuh wanauza viwanja na mikoani tunatuma
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Ag
@Jabali_Media
@Jabali_Media Год назад
SeMA HOMA 1 Ilikua balaaaa 🔥🔥🔥
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Ewaa
@mussanalex3754
@mussanalex3754 Год назад
Bonge ya punchlines halafu bonge ya kichupa hot saaan hiki broh
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Kwel
@alfamachila3185
@alfamachila3185 Год назад
.atari sana uyu mchizi boti
@hamischacha642
@hamischacha642 Год назад
Ewaaaaa pini la mtaa 👊
@simbajuutz4846
@simbajuutz4846 Год назад
Nipi lika 💥💥🔥🔥🔥🔥
@BandoMC
@BandoMC Год назад
karibu hapa kutazama video yang mpya HOMA PART TWO 👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-L99R-VXbIgU.html
@cuteranny5490
@cuteranny5490 Год назад
I like ur style dr look awesome always🥰
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Ewaaa
@danstanyjohn9045
@danstanyjohn9045 Год назад
Home boy 🔥🔥🔥
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Ewa
@dangerzonechatta8734
@dangerzonechatta8734 Год назад
Bila Kuchoka 🙏 Kaka
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Danger
@wa2flani639
@wa2flani639 Год назад
Umeua kk bando🇹🇿💥
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Watu
@francisnyeriga
@francisnyeriga Год назад
Kali sana mdogo wangu
@BandoMC
@BandoMC Год назад
karibu hapa kutazama video yang mpya HOMA PART TWO 👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-L99R-VXbIgU.html
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Kaka
Далее
Bando MC - Halelluya (Official Music Video)
3:52
Просмотров 128 тыс.
Rappers Flipping Out At Disrespectful Interviewers
34:45
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Просмотров 1,9 млн
Bando MC Feat Daway - Sir God (Official Music Video)
4:04
NACHA - Grow Up (Official Music Video)
7:16
Просмотров 483 тыс.
Bando MC -Homa [Part One] (Official Video)
2:51
Просмотров 166 тыс.
Bando MC Ft Billnass - Captain (Official Music Video)
2:43