Тёмный

Bando MC Ft One Six - Baada Ya Uchaguzi (Official Music Video) 

Bando Mc
Подписаться 90 тыс.
Просмотров 270 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,2 тыс.   
@mtukufusafari5535
@mtukufusafari5535 4 года назад
Kama umeiplay Zaidi ya Mara 3 gonga 👍👍 Tuwe waungwana kwa Jamaa mchanaji. @Bando_mc
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Brooo
@ramzy5280
@ramzy5280 4 года назад
Mbona ndogo kwangu naweka kama Alarm 🚨
@Directortomwillz
@Directortomwillz 4 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-5AqMRCDLDeA.html
@lilyanamwasote4288
@lilyanamwasote4288 4 года назад
Kama umeielewa ii ngoma gonga like 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Goma la hrakati
@mussamanyehe3918
@mussamanyehe3918 2 года назад
Aliekua akifanya usajili simba eti nae kasajiliwa yanga gonga like zimfikie manara
@justinephilipo5255
@justinephilipo5255 4 года назад
Kazi kazi.. Sijawahi kukupinga . Umeielewa ngoma hii gonga LIKE TWENDE SAWA.
@DADIRIOMARI
@DADIRIOMARI 4 года назад
Tumekupa fimbo ili uchape kazi 🤝🤝🤝 Gonga like twende Sawa
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Asnte
@SUN_GFboy
@SUN_GFboy 2 месяца назад
🎉🎉🎉❤❤Kelele za mlango hazimnyimi muenye nyumba usingizi🎉Burundi oyeeee🎉🎉🎉🎉
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
ARTST: BANDO FT ONESIX SONG: BAADA YAUCHAGUZI VERC1 wajumbe tulipokaa kamati tulijua fika atapita nani/ Ila hatukufikia tamati shamba kumpatia mpinzani/ kuitafuta haki mbele ya watu/ Nikuutafuta msikiti ambao waumini wanasali wamevaa viatu/ Haya karibu tena tumekupa fimbo ili uchape kazi/ Hali sio NJEMA imekuwa wimbo kwa kila mkazi/ narushwa bado ni shazi/ Hii Nchi ukiona traffic mwembamba ujue nimgeni kwenye kazi/ ENDELE KUENYOY👇👇⬇️⬇️ ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-x84y4brQTGs.html
@sidebayretrending4025
@sidebayretrending4025 4 года назад
Baada ya uchaguzi
@georgethomy1212
@georgethomy1212 4 года назад
Mashairi Konkiiiii 💪🏻
@sniperman5721
@sniperman5721 4 года назад
Nakubali mwanang #bandomc☄☄💪
@fedrickatiliyo2615
@fedrickatiliyo2615 4 года назад
Nakubl sn kaka fanya uachi ngoja na nacha aisee itakuwa gud sn
@masanjakisimbu7972
@masanjakisimbu7972 4 года назад
Mjomb unavunja Sana like hutok kwann
@nasibuzahra8468
@nasibuzahra8468 2 месяца назад
Unauwa mwanangu kabisa,,yaani nagojea song Yako na nacha ivyo TU na ninajua itauwa sana aisee
@emmanuelhamis2190
@emmanuelhamis2190 4 года назад
Nikipewa nafasi ya kumwelezea BANDO nitapata taabu sana maana amezidi kuwa complicated kadri nnavyofuatilia kwa karb ngoma zake, nways... Kitu kikubwa sana Mr MATANDA, Keep on moving fast & surely!
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Thanks kaka
@richmontanna7934
@richmontanna7934 4 года назад
They will never understand your creativity but trust me what you do majority of our artists can never do what u do. Respect homie mo love from 254 keep good music alive 👊👊👊👊👊👊👊👊👊
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Thanks bro
@SauliChuleha
@SauliChuleha 5 дней назад
Shy Moja safi sana kijana wambie
@mtukufusafari5535
@mtukufusafari5535 4 года назад
Kijana anatuaminisha kabisa kuwa anaweza
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Jam
@bakarisingano9868
@bakarisingano9868 4 года назад
@Bando Mc ni zaidi ya firee... Kama umeielewa usisahau kushare na kusubscribe pamoj na kugonga likee...
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
GOMA JIPY KUTOKA KWA BANDO👇👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-x84y4brQTGs.html
@jjdamimi7234
@jjdamimi7234 4 года назад
Ni bora iwe hivi kwa uandish konk wajanja tunaeelewa inatosha mana wakieelewa basata nyimbo tutaikosa mana walipewa viti kimakosa na hata malipo yetu hatutapata cosota🙌🙌🙌 bando mc umetisha
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Ameen
@begaca
@begaca 4 года назад
Ni noma JOMBA WE can't Do Like MAREKANI.
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Bless
@ruralhunter255
@ruralhunter255 4 года назад
Ukiona Trafic Mwembamba ujue Mgeni kwenye kazi.. Gonga like kama na wewe umesikia hii
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Tajiri
@platnumzboy8191
@platnumzboy8191 3 года назад
Kweli mkali
@denismakweba3870
@denismakweba3870 4 года назад
Nmna nilivyorudia hii ngoma hadi majirani wamekuja kuuliza kma nina hisa na hii nyimbo 😂 froma majita Musoma! 👇
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
😀😀😀
@saturinioscar2377
@saturinioscar2377 4 года назад
Bando ndo msanii peke ayayejua hip-hop tanzania, mwanaangu bando kaza ivyo ivyo tupo pamoja mzee, mziki umekuchaagua sio kama hawa wengine wanaforce
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Asnte man
@jimmynation96
@jimmynation96 4 года назад
Much positivity on your way bando mc .tell one six that I appreciate
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Asnte kaka
@thomasamon3793
@thomasamon3793 4 года назад
Kesha uongea ukweli Mungu ampe nguvu na amlinde wasiojulikana wasimchukue
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
🙏🙏🙏
@julianojulius4031
@julianojulius4031 4 года назад
Daaaaaah "High thinking capacity" respect bro
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Bless ma gee
@nakamsilikasi3310
@nakamsilikasi3310 4 года назад
@@BandoMC u a recently top rap genius
@asiankini4922
@asiankini4922 3 года назад
mwana mi nimekubali xna ii ngoma ila ungemuweka na roma ungeua🤝🤝
@kelvinminja5721
@kelvinminja5721 4 года назад
Hii nyimbo ina akili mingi sana ndani yake...big up man
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
GOMA JIPY KUTOKA KWA BANDO👇👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-x84y4brQTGs.html
@emmanueljuliussylvester8529
@emmanueljuliussylvester8529 3 года назад
Bando mc nasubiri ngoma yako kaka nakukubali sana toka pande za Mwanza
@coolesttkidd1664
@coolesttkidd1664 4 года назад
Kaka bando unatisha sanaa🔥🔥💯 keep it up💪💪
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
♨️♨️♨️
@saidisande3366
@saidisande3366 4 года назад
Bando bando bando nimekuita mala 3..nikikuangalia ww namwoona roma co ww niroma prt 2...💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Asante
@quasimc6071
@quasimc6071 4 года назад
Traffic mwembamba ni mgeni kwenye kazi🙌
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Tatzo
@vumbilacongokasongomundend1351
@vumbilacongokasongomundend1351 4 года назад
😂😂😂😂😂🙌🏻
@dennismrutu7824
@dennismrutu7824 4 года назад
😂😂😂
@SennyFleva_1
@SennyFleva_1 4 года назад
Haya karibu tena..tumekupa fimbo uchape kazi tena.....kizaZii sana wimbo wa taifa afu #sixOne kweli
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Oyooo
@gavanashy3197
@gavanashy3197 4 года назад
Kiongozi wa TTF eti nae anatimu.yake ...ahahahahaaaa big up rais wa matanda unaemiliki gorofa LA tembe
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Garvanaaa wang
@mboti45
@mboti45 2 года назад
Kenya hii iende viral bana🔥🔥bando apo sawa kazi safi
@joshuavicejr6717
@joshuavicejr6717 3 года назад
Hii ngoma kaliii aseee
@amosrichard3742
@amosrichard3742 4 года назад
Kiufupi unaweza salute kwako Bando ft one six mnaiwakilisha shinyanga yetu Bila kumsahau Nacha Rapcha
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Asante san
@yuzzybongdeffender6017
@yuzzybongdeffender6017 4 года назад
wow so amazing rhymes.....real hiphop 🔥🔥🎻💥💥🎹
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Defender
@gama_liely
@gama_liely 4 года назад
Daah!! Bando jamani mungu akusaidie ufike mbali sana mwanangu wewe ni msanii unajua mziki daah bas tu mungu azid kukuzidishia tu kaka√√√√√√
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Asnte kaka
@gama_liely
@gama_liely 4 года назад
@@BandoMC amina bro
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
TAZAMA GOMA LANGU JIPYA HAPA BANDO FT ONESIX BAADA YA UCHAGUZI👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-x84y4brQTGs.html
@abdimohamed3953
@abdimohamed3953 3 года назад
Bonge la nyimbo big up bando tz sichoki kuitizama Kila inapobidi
@dottodottio4875
@dottodottio4875 4 года назад
Bando hii ngoma imefanya imalize bando langu
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Dotooo
@chibodee447
@chibodee447 4 года назад
Wasanii mnavuna miezi miwili alafu ukame miaka mitano,, umefikiria sana bro
@mkushi2646
@mkushi2646 4 года назад
Ila baba uwe dereva umepita usimsahau konda. Bando ww n nyoko sana🔥🔥
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
💯💯💯
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
WIMBO MZURI HUWA HAUCHOSHI KUUTAZAMA BANDO FT ONESIX _BAADA YA UCHAGUZI👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-x84y4brQTGs.html MZIKI MZURI🏹🏹 CONTENT NZURI🎯🎯 VIDEO NZURI✈️✈️✈️ TAZAMA KISHA NISAIDIE KUSHARE🙏🙏
@samweldaniel7982
@samweldaniel7982 2 года назад
💣 Daaah umeupiga broda .......................................................💫
@dicksonsamwel3487
@dicksonsamwel3487 4 года назад
Mwananguu sanaaa 🔥🔥🔥🔥
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Bless
@gebbyketto
@gebbyketto 4 года назад
Fanya mpango ufanye ngoma 1 na roma mkatoliki nadhan itapendeza san.ila uko vzr big up👍👍👍
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Aman
@ramzy5280
@ramzy5280 4 года назад
Hii sio ya kitoto 🔥🔥🔥
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
💯💯💯
@ramosfally2318
@ramosfally2318 4 года назад
aki ya nani izi timu zetu zimmisababisha tusiangalie mziki mizuli kama iyi ndani ujumbe wa jutosha nice song from msuumbiji
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Thanks
@paulnsennah1800
@paulnsennah1800 4 года назад
Audio low quality kwenye chorus hasa
@alextanzania
@alextanzania 4 года назад
Chorus kali, ila ujazo bado. Bado wana nafasi ya kuiweka sawa.
@narrissajackson3869
@narrissajackson3869 2 года назад
Ujumbe kitu muhimu kuzidi vyote
@lupyanalupyana979
@lupyanalupyana979 4 года назад
Bando aise wee ni Bando tena lisiloisha milele sasa sijui Bando la mtandao gani aise unajuwa Mc Bando big up kwako!!!
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Unyama
@Braiintzer
@Braiintzer 4 года назад
Bomba la kitu🔥🔥
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Bombaaa
@paskaziambokeji2130
@paskaziambokeji2130 3 года назад
One six chorus upo vzr
@SIMULIZIZONE
@SIMULIZIZONE 4 года назад
Huyu mwana sasa, Bando mccccccc
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
GOMA JIPY KUTOKA KWA BANDO👇👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-x84y4brQTGs.html
@Makavelithedon2086
@Makavelithedon2086 4 года назад
Shi town boy💪🏿
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Makaveri
@joshuajoseph4910
@joshuajoseph4910 4 года назад
SIMBA na yanga nii upuuzi brother ngoma iko bomba sana
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Bless
@mussamnyama3755
@mussamnyama3755 4 года назад
Bando mc akili mingi 🔥🔥
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Asante kaka
@fedrickatiliyo2615
@fedrickatiliyo2615 4 года назад
Sn jaamaa anajua
@samoocoolingsystem93
@samoocoolingsystem93 3 года назад
Kuitafuta haki mbele za watu ni sawa na kuutafuta msikiti waumini wanaswali na viatu 🔥
@ramzy5280
@ramzy5280 4 года назад
This is favorite song now
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Ray
@ramzy5280
@ramzy5280 4 года назад
@@BandoMC yes boss
@abdallahmpahi2684
@abdallahmpahi2684 4 года назад
Umeuwaaaa bando mc uku mtaani isha kuwa kelo yan kila mtu akisikiliza unamwacha mdomo waziii!!!
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Nooma
@Craytos_Baraka
@Craytos_Baraka 4 года назад
Natumia muda mwingi kwenye " Editing , "create & na kuproduce📱🖥 Video za mafunzo(tutorial)za app mbalimbali, Games na Dancing video "Naombeni support yenu kwa ku subscribe channel yangu ya UniqueBaraka💛💖
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-x84y4brQTGs.html
@eliswed7812
@eliswed7812 4 года назад
Kuanzia Leo miye shabiki yako nmekuelewa sana Kaka ngoma ya motooooo sanaaaaaaa
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Asante mzee
@joss.nkilio.3537
@joss.nkilio.3537 4 года назад
Wasanii mmekumbuka kuweka akiba?Maana mnavuna miezi miwili unapata tabu miaka mitano,Nomaaaa sana.
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Sumu
@derickrinwa6478
@derickrinwa6478 4 года назад
Broo unajua xana ila unamwiga Roma hahah utapotezwa
@benjaminmchami4878
@benjaminmchami4878 4 года назад
nimependa zaidi ulivojikita kwenye ukweli bila kuonea haya chama chochote
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Thanks
@aswimjuomaly6415
@aswimjuomaly6415 4 года назад
Tobaaaaa....... Hiiiii ni nouwmaaa hadi pemba imetufika
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Bless
@aminaramadhani3778
@aminaramadhani3778 2 года назад
Watu woyooo goma kama goma bando ww noma Sana tz 1
@WilberforceIngasia
@WilberforceIngasia 11 месяцев назад
Nakukubali bando....mziki umeweza
@hermanyouze6791
@hermanyouze6791 4 года назад
Hongera sana broo, niwachache sana wanaoweza fanya vitu vikali kama wewee ombilangu dogo corus ujitahid iskike vizur zaid, ila kwa ujumla kitu ni og sanaaaaa
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Saw mzee
@rickiusrockius7980
@rickiusrockius7980 4 года назад
Umetisha sana mzee baba kazi konki sana
@kamorygondera9458
@kamorygondera9458 4 года назад
Pamoja sana boy,ngoja watufundishe kukaa kimya kwa kutuziba midomo.
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
BINADAM
@emmanuelmachibya2034
@emmanuelmachibya2034 4 года назад
Bando Mc Umetisha,ila hao traffic waache kidogo kazi yao ngumu Sana wanakomaa usiku na Mchana ukipewa wewe utakimbia waache Vijana wachape kazi Kama ni unene hata madokta na manesi wapo wanene wengi tuu😁😁😁👍
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
😀😀😀
@allansk1035
@allansk1035 3 месяца назад
Huyu mwamba namkubali sana 👊
@hollymoris9083
@hollymoris9083 3 года назад
Ningekuomba utupigie collabo na rostam ndg yang,upo vzr san 🔥🔥
@muhammadchapu1973
@muhammadchapu1973 Год назад
moja ya ngoma bora zaidi ya bongo hip hop💪🙏
@BandoMC
@BandoMC Год назад
Yaah
@nicksontarimo1368
@nicksontarimo1368 4 года назад
bandoooooh umeuwa ayiseeh daaah kwaingoma ume mpiga shetani jiwe
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Asnte man
@wasafisongsnow1818
@wasafisongsnow1818 4 года назад
Ni idea nzuri lakn hamna nchi inajengwa cku moja bado tutachagua wengine wao wafanye Kaz gan mbona humlaum nyerer Kwan yey alijenga shule ngap
@luckymastory7269
@luckymastory7269 4 года назад
Baba wewe ndo dereva, basi usimsahau konda. Naona Makonda kapewa airtime kiaina. Safi sana mwamba kazi njema
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Bless kakq
@petersama1324
@petersama1324 4 года назад
Ngoma kali sana hii💥 Sema bongo tuna entertain mambo yasiyo ya msingi na kiki tu.
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Shida ni hyo
@harounramadhan2831
@harounramadhan2831 4 года назад
BIDHAA ZA VIUNGO NA MIFUPA Tuna bidhaa hii iitwayo ARTHROEXTRA TABLETS Hii -Huongeza uteute (synovial fluid) kwenye maungio ya mifupa -Huondoa naumivu ya maungio kama nyonga,magoti na mgongo n.k -Huzuia kulika na kusagana kwa maungio kwa kuzalisha gegedu mpya (articulate cartilage) -Huzuia kulika kwa mifupa na maungio -Huondoa tatizo la athritis -Huongeza Glucose amine na Chrondroitin kwenye maungio Pia kuna ZAMINOCAL PLUS CAPSULES Hii -Mchanganyo wa Zinc,Calcium, magnezium na amino acidi(protini) -Huboresha mifupa na meno -Husaidia mfupa uliovunjika kupona haraka -Husaidia sana mfumo wa fahamu -Huwafaa watoto wanaochagua chakula kula vizuri -Huongeza hamu ya kula -Huwafaa sana wamama wajawazito kwani husaidia kupata mtoto na misuli ya ikulu kurejea kwa wepesi baada ya kujifungua. Pia kuna GLUZOJOINT-F -Huzuia maumivu ya viungo -Huzuia kulika kwa maungio -Huzuia kulika na kusagana kwa maungio kwa kuzalisha gegedu mpya(artculate cartilage). Ushauri zaidi wasiliana nasi pia Whatsup +255712126669 Simu kawaida 0683147077
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Asante my gee nisaidie kushare na kupost
@classicwaisala6677
@classicwaisala6677 3 года назад
Kama uko apa after Diamond platnumz kumchek insta🙌🙌
@kinglongoiofficial8553
@kinglongoiofficial8553 4 года назад
Shy town oyeeeeeeee Ili goma letu sote
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Oyeee
@kinglongoiofficial8553
@kinglongoiofficial8553 4 года назад
@@BandoMC nakubali
@inkurushow2827
@inkurushow2827 4 года назад
Johnson kutoka Bujumbura Burundi, nakubari kazi yako haswaaaa
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Aman man
@hassanidrisankingilea8827
@hassanidrisankingilea8827 4 года назад
Kuna WASENGE_NYAJI wameweka dislike kwenye hii ngoma cjui wanataka nn, ntamwambia nacha awamwagilizie MBOOlea wakaote, 🏃🏃🏃🏃
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
♨️♨️😀😀😀
@ngoemassivetv1648
@ngoemassivetv1648 3 года назад
Broo tupo pamoja ..Kaza mwana nyuma yako .
@perokuyoung8755
@perokuyoung8755 3 года назад
The best u did master japo nimechelew kuiona
@mramsayo1025
@mramsayo1025 3 года назад
But I'm from Tanga ila shinyanga mnatiiishaaaaaaaaa sanaaaaaa 👍👍👍👍👍
@karatatv5327
@karatatv5327 4 года назад
Sasa chui mmemkabizi zizi #.........🤫🤔♥️♥️♥️ Unaweza fanya ngoma alafu ile ngoma ikawagusa sana watu yaani unaadika kitu halafu kinagusa miiyo yaa watu ndo kilichofanyika humu ndani duuuu .huu mdo mziki tunao taka so kila kitu kusifia tu #bando_mc ............ Mzik mzuri
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Mnyama
@Kiddooh_tz
@Kiddooh_tz 3 года назад
Unauwaa sanaa mwanangu👊✊
@mramsayo1025
@mramsayo1025 3 года назад
Shinyanga mnatiiishaaaaaaaaa sanaaaaaa👍👍👍👍👍👍👍👍
@josephgwaje8771
@josephgwaje8771 4 года назад
Brodher hiyo big up nimeielewa kaka Kaza buti pamoja sana
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
GOMA JIPY KUTOKA KWA BANDO👇👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-x84y4brQTGs.html
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
GOMA JIPY KUTOKA KWA BANDO👇👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-x84y4brQTGs.html
@josephgwaje8771
@josephgwaje8771 4 года назад
Amini ndugu goma hilo ni lenyewe mumefikiria mbal
@ramadhanimnyambika8003
@ramadhanimnyambika8003 4 года назад
Wajumbe tupo ka kamati tulijuwa atapita nan haah bando tisha sana
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Bless kaka
@mugadimon3563
@mugadimon3563 4 года назад
👆🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓 baba umepita uwe dereva usimsahau konda🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Ìoyoo
@eliamayunga7772
@eliamayunga7772 4 года назад
Tatizo unachana mashairi konki mpak basi.....u killed it alot broo!!!song Langu la taifa hili
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Bless
@kingayoubshabani2551
@kingayoubshabani2551 4 года назад
Dah..!! Shinyanga tunajivunia (chamaguha boy.)
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Ayubu
@alberthndiuka9103
@alberthndiuka9103 4 года назад
Pata mageti milango madilisha kwa bei pw kabisa 🤝mgeni kwetu nimfalume karibu NDIUKA funiture
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
BANDO FT ONESIX _ BAADA YA UCHAGUZI ⬇️⬇️ ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-x84y4brQTGs.html SIFA MOJA WAPO YA MSANII NI⬇️⬇️♨️♨️ KUELIMISHA &KUKOSOA JAMII🇹🇿🇹🇿 TEGA SIKIO LAKO USIKILIZE WIMBO HUU🙏🙏👇👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-x84y4brQTGs.html
@gabrielishmael5956
@gabrielishmael5956 3 года назад
Thank you Bando...kwa kunisemea nilonayo moyoni.
@lidancerchris
@lidancerchris 2 года назад
⛽🔥🚬
@razaqissa7067
@razaqissa7067 4 года назад
Big up mwanangu bando bonge la ngoma bro keep it up bro
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
♨️♨️♨️♨️
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
💯💯💯♨️♨️
@stewardngwale7051
@stewardngwale7051 3 года назад
Tunaandika kitabu kidogo walau kije kisomwe tusipokuwepo wala kuweza kuwakumbusha watu juu ya miaka hii sawa! Mbona sisi tunamsoma shaban robart nao watatusoma sisi miaka ijayo
@Would436
@Would436 4 года назад
Hapa nikazi tu mzee wangu like hapa Kama unamukubl bando
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Aman man
@deehke6076
@deehke6076 2 года назад
One six kuja Kenya kaka
@abubakarmshora7954
@abubakarmshora7954 4 года назад
Bando mmoja ni sawa na ROSTAM kabisa
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Oyoo
@jombalee
@jombalee 4 года назад
Sasa chui mmemkabizi fisi si ale kondoo wa wana maan zilikuja clip amekula kondoo wa bwana. 😁😁😁😁 BANDO MC 💯💯💯💯
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Family
@mrsinia3064
@mrsinia3064 4 года назад
Nakubar sana Bando kaza haswa 👊👊👊
@jumajuma3670
@jumajuma3670 4 года назад
Hiyo Ni Real Hip Hop..Umeona Mbali Mkali Bando
@BandoMC
@BandoMC 4 года назад
Asnte man
Далее
DEMONS ARE ATTACKING BRAWL STARS!!!
09:08
Просмотров 13 млн
Dakika 10 Za Maangamizi - BANDO MC | Planet Bongo
12:12
Bando MC Feat Daway - Sir God (Official Music Video)
4:04
Nacha x Stamina - Jua Lile (Official Music Video)
4:58
Bando MC -Homa [Part One] (Official Video)
2:51
Просмотров 167 тыс.