Тёмный
No video :(

BARAKA ZA MAMA EP 5 

SAYUKI TV
Подписаться 21 тыс.
Просмотров 73 тыс.
50% 1

#kicheche #stevemweusi #clam #mtangacomedy #wasafi #kuchekesha #bambocomedy #funny #comedy #kingwendu.

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 245   
@sadahamad6158
@sadahamad6158 Месяц назад
Leo mamamkwe katumbua jipu eti sura yako mbaya kama roho yako 😂😂😂😂
@LovesweetThuva-qj4tb
@LovesweetThuva-qj4tb Месяц назад
Tuko pamoja mama aoe tu bahati
@user-ov5ku3uc1m
@user-ov5ku3uc1m Месяц назад
Mama kasema kweli kabisaaaa
@JacklineAlistides
@JacklineAlistides Месяц назад
Staki alisameheeee kabisaaaaa
@LIGHTNESSISSACK
@LIGHTNESSISSACK Месяц назад
Na ana sura mbaya kwel yani khaaaaaaaa
@alhajiFashions7563
@alhajiFashions7563 Месяц назад
Sura kama roho yake😅😅😅 sura mbaya kama makaliooooo😅
@edinafaustinez8514
@edinafaustinez8514 Месяц назад
Mama Leo amechoka kuteswa vzr sana mama kazi ni nzuri sana
@Brother-moses2vs7bi1v
@Brother-moses2vs7bi1v Месяц назад
Mwanamke siimpendi jameni huyu na ROHO yake mbaya wangapi wanakubaliana na mm😭😭😭😭
@Oman-ng8lu
@Oman-ng8lu Месяц назад
Roho mbaya mpaka sura yake
@user-fy4op1sw2f
@user-fy4op1sw2f Месяц назад
Nikweli lakini ana kijungu kama cha maina😂😂😂
@user-iz5tu1qo6c
@user-iz5tu1qo6c Месяц назад
Pia mm namuchukia aki rohomba na sura ngumu😢😢
@user-wm7gu8os2i
@user-wm7gu8os2i Месяц назад
Usi seme hivo nimuvitu😅wana tufuza kitu hao😅
@joobmohammed2116
@joobmohammed2116 Месяц назад
Pia mm simpendi kabisaa ako na roho mbaya sana
@eliphasethobias1133
@eliphasethobias1133 Месяц назад
Inasikitisha 😢😢😢😢 pia inafundisha Sana ❤❤ 💕 ndo Maisha tunayoishi binadamu tuna Roho mbaya sana
@faudhiahassan7907
@faudhiahassan7907 Месяц назад
Move nzur sana inafundisha jaman muwapende wakwe zenu nakumbuka mimi na mkwe wangu alinililia machozi mpaka nikamuonea huruma mwanae alivo niacha daaa mpaka leo anatamani nirudi kwa mwanae
@Rahema123
@Rahema123 Месяц назад
Yani kuna watu kwenye hii dunia wana sura mbaya na roho mbaya tunashukuru dd umewakilisha vema ktk jamii
@user-pw2sw1sk1b
@user-pw2sw1sk1b Месяц назад
😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@nuruhamad1321
@nuruhamad1321 Месяц назад
​١١
@MwasitimajidMajid
@MwasitimajidMajid 4 дня назад
😂😂😂😂😂😂
@user-rg5im1ls4j
@user-rg5im1ls4j Месяц назад
Nan mwingine anakubaliana kuwa Bahati awe mkwe wake😊😊😊
@annamlozi4538
@annamlozi4538 Месяц назад
Yaan kabisa atamlea huyo mama vzr
@ArodiaPancras-nm5qm
@ArodiaPancras-nm5qm Месяц назад
Mm apa jmn nimzuri sana
@user-hp7fl9jh4u
@user-hp7fl9jh4u Месяц назад
Yupo vizur anastahil kuwa mkwe
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 Месяц назад
Mm hapa 2024
@BimkubwaJuma-ew5dg
@BimkubwaJuma-ew5dg Месяц назад
Mie pis bora amuowe bahati
@CikeTanzania
@CikeTanzania Месяц назад
Kayakanyaga bint wawatu.😂😂😂
@OmanJalan-xc8nx
@OmanJalan-xc8nx Месяц назад
Bi chifu ayo ndo mambo sasaaa🎉🎉🎉
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 Месяц назад
Tena ampe ukweli wake mbwa uyu 😂😂😂😂 safi mama mwana kulitafuta
@silviak1776
@silviak1776 Месяц назад
Nimejaribu leo love from Kenya ❤❤❤
@user-ko6lg9tw6w
@user-ko6lg9tw6w Месяц назад
Mwanamke nilibaya rangi sura had roho yake mshamba wa Maisha limbuken WA mji
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o Месяц назад
😂😂😂😂😂 ndugu yangu wew umemaliza maneno
@Kisautiboy524
@Kisautiboy524 Месяц назад
Anaesema huyu dada wakazi atakuja kuolewa na jamaa agonge like apo
@christinajohn5055
@christinajohn5055 Месяц назад
@allymazrui9744
@allymazrui9744 Месяц назад
Nikweli kwa mujibu wa muv ilivyo
@ifrahabi4834
@ifrahabi4834 Месяц назад
Naomba mungu dada wa kazi a olewa na huyu mjamaa. ❤
@NicholausMziray
@NicholausMziray Месяц назад
Safiii sana mama kumbe unajua kuonge Ee Mungu mimi sijaoa bado Naomba unipe mke mwema kutoka kwako atakae jua Thamani ya Mama yangu na mimi pia in JESUS Name
@SAYUKI513
@SAYUKI513 Месяц назад
SAYUKI TV TUNAENDELEA KUKULETEA KAZI BACK TO BACK TUNAOMBA SUBCRIBE, LIKE,COMMENT AND SHARE USISAHAU KUWASHA BATANI YA TAARIFA ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA TUKIPANDISHA KAZI MPYA.
@jofreymwingira
@jofreymwingira Месяц назад
❤❤🎉
@masikasalim5254
@masikasalim5254 Месяц назад
Wow nimependa sana ukarimu wa hyu bint kwa kweli anafaa tuzo nakuwa mkaa mwana wa Kila mama mwenye mtoto wa kiume❤❤
@user-vo7yb6wp1m
@user-vo7yb6wp1m Месяц назад
Huyo mwanamke afai oa mwingine kakangu roho yake ni mbaya Kama sura yake😂😂🎉❤
@FatimaFatima-bx8ez
@FatimaFatima-bx8ez Месяц назад
Nakubaliana na mama umuowe bahati msikilize mamaako mana yeye ndiye anaye shinda nyumbani ❤❤asiye sikia la mkuu huvunjika mguu pole sana broo 😢 🙏 😞
@Arafa-dt9sh
@Arafa-dt9sh Месяц назад
Huyo dada wa kazi ndo anafaa kuwa mkweo dah! Hatar sana mama una moyo wa imani sana
@EsterSilozi
@EsterSilozi Месяц назад
hii nifundisho zuri sana kwawana wake wasiyo jitambuwa kama hawa wasiyo penda mama mkwe zao jamani wana ndoa jifunzenii kupitia hii movies ahsanteeni..😥😥😥😥😥😥
@hashimrweabula9
@hashimrweabula9 Месяц назад
Silipendiiii hilii limwanamkeee yaan nkikutana nae ntamuwasha kofiii stojar nimovie walann
@user-pw2sw1sk1b
@user-pw2sw1sk1b Месяц назад
😅😅😅😅😅
@emmanuelymeresta-si4ur
@emmanuelymeresta-si4ur Месяц назад
Uyo mwanamke hafai hata Kwa kulimangia duuuuuuuuh
@boazygodfrey9371
@boazygodfrey9371 Месяц назад
Mmecheza Vizuri Sanaaaa Ila Naamini Kuna Makosa Madogo Kwa Baadhi Ya Wahusika....
@maiyasalenjashi2352
@maiyasalenjashi2352 2 дня назад
Safi sana mama jamani tujifuzeni hapa sisi wanandowa
@user-pw2sw1sk1b
@user-pw2sw1sk1b Месяц назад
Tuna.makaasiriko.😅😅😅kama.kweliiiiii😂😂😂
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Месяц назад
Bint apewe maua yake sana❤❤❤🎉🎉🎉
@user-rf2cg9tv3u
@user-rf2cg9tv3u Месяц назад
Safi sana mama umemkaliya kimya sn huyu mchenzi anaroho mbaya sn na shakuekeya sumu huyo
@aishaomar9621
@aishaomar9621 Месяц назад
Zulfa ana roho mbaya km sura yke😂 bahati ndio mke sahihi wangapi mnakubaliana nmi ❤mama ni kweli unayosema mwanao hjui madhaifu y mkewe n ipo sku atayajua 😂muendelezo jmn
@LinasMwenda
@LinasMwenda Месяц назад
Wa kwanza leo jmn like ata moja tuu❤
@salamajuma2883
@salamajuma2883 Месяц назад
❤naitaji muendelezo wake namba sit
@SAYUKI513
@SAYUKI513 Месяц назад
​@@salamajuma2883Soon
@mahramarswad6041
@mahramarswad6041 Месяц назад
Jamani natamani usiishe tunawapenda from uk 🇬🇧
@masoudjongo
@masoudjongo Месяц назад
Mama hapo umeliona Kwa kweli sura ana kweli hiyo imeenda
@PuritySalama-yv6to
@PuritySalama-yv6to Месяц назад
Hapo mum hongera mpee vidonge vyake mpuuz uyo binty
@boazygodfrey9371
@boazygodfrey9371 Месяц назад
Main Character Wa Hii Movie Amecheza Vizuri Sanaaaa 🙌
@merinazyd0532
@merinazyd0532 Месяц назад
Kazi mzur mnoo
@FatmaMusaifa
@FatmaMusaifa Месяц назад
Safi sana kwanini usimuoe huyu bahati
@BimkubwaJuma-ew5dg
@BimkubwaJuma-ew5dg Месяц назад
Yaani simpendi kweli namie roho mbaya sana
@MagrethJosephi
@MagrethJosephi Месяц назад
Hata Mimi namchukia sana huyo mwanamke
@user-bf8gg3mo9q
@user-bf8gg3mo9q Месяц назад
Waoooo😁bahati anafaa kua mkeee 👏👏
@faridaali2820
@faridaali2820 Месяц назад
Nakupenda mama kwakuwa umeongeea uchungu wako wote Hongera ❤ mam ila mfukuze zuu simpendi pia mm sura mbaya km roho yake mbaya😢😢
@user-lu1by6yp4t
@user-lu1by6yp4t Месяц назад
Bubu kaongea Leo Asante mama bwataaaaa😂😂😂
@ANETHMWAKAJOKA
@ANETHMWAKAJOKA Месяц назад
Kazi nzuri mungu awabariki sana maana haya yapo katika jamii.
@user-ou2rx7ln4w
@user-ou2rx7ln4w Месяц назад
Ongera😂😂😂 mamaa leo umewezaaaa
@user-rf2cg9tv3u
@user-rf2cg9tv3u Месяц назад
Umemsamehe mama basi uyo anakuuwa Sasa mama yangu daaa nama chozi yananitoka
@patridabernard9148
@patridabernard9148 Месяц назад
Usimsamehe huyoo mjaa laana Mwongoo tena nyoka hatariii
@joycemaregesi18
@joycemaregesi18 Месяц назад
😂zingatia neno la mama la mwisho😂😂ww shituka
@ZubedaShaban-fb2dl
@ZubedaShaban-fb2dl Месяц назад
Mama nimekupenda bureeee love mama
@user-gh6tc8qu6w
@user-gh6tc8qu6w Месяц назад
Aa😂 bibi hanamsimamo mm nikajua atakiwasha leo 😅
@AssumaniHatungimana
@AssumaniHatungimana Месяц назад
sawa mamayangu❤❤mupema kavuyake
@user-gi6su7jw1h
@user-gi6su7jw1h Месяц назад
Shida Yako hufai zuhura kama roho yako😢😢😢😢😢😢
@MussaChimbilimana
@MussaChimbilimana 17 дней назад
Maman iyo kweli amuowe bahati❤🌹🇧🇮
@user-zo2jx3ff4i
@user-zo2jx3ff4i Месяц назад
Kweli mama usimusame hata kidogo ana roho baya sana
@Oman-ng8lu
@Oman-ng8lu Месяц назад
Safi sana mama umetoa dukuduku lako
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 Месяц назад
Uvumilivu unamwisho leo mama anakufunda mana kwenu walisahau kikwambia kuwa mkwe ni mama
@AmnaAmna-l3u
@AmnaAmna-l3u Месяц назад
Mama mkwe leo umetisha ❤❤❤❤
@EmmanuelTimotheo
@EmmanuelTimotheo Месяц назад
Hakika inafundsh kaz nzuri mnoo
@EsauGabliel
@EsauGabliel Месяц назад
Uyu bibi kajitahd sana,,,, sana apewe tuzo yake
@faithnasimiyu7455
@faithnasimiyu7455 Месяц назад
Huyu dem hayuko poa ku act kwa hyo part inafanya anaka in real life ako na roho chafu
@minduchudi9121
@minduchudi9121 Месяц назад
Mnafikiii huy mwanamkee vby roho mbaya km sura lake
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 Месяц назад
Kweli ana sura mbaya na roho mbaya,,,duuuh tizama domo hilo
@faridaali2820
@faridaali2820 Месяц назад
😂😂😂😂
@malyajmpondompondo381
@malyajmpondompondo381 Месяц назад
Kazi nzur sana hongeren
@dorisbernard4836
@dorisbernard4836 Месяц назад
Mwanamke roho mbaya kaa nyoka
@shebynizedaudi336
@shebynizedaudi336 Месяц назад
Wagap wamemuona jamaa nyuma yamama anachungulia goga like hapa
@user-qm2kb1ln7p
@user-qm2kb1ln7p Месяц назад
Zurufa. Unaroho. M aya. 😊😊😊
@AlvinSakwa
@AlvinSakwa Месяц назад
🎉🎉🎉❤ good work love from Kenya
@SamuelJoshua-rl8kl
@SamuelJoshua-rl8kl Месяц назад
Nakubaliana na wewe shehee
@user-on8ch2nq3x
@user-on8ch2nq3x Месяц назад
Mimi mama Sule nakubali huyu dada wa kazi awe mke wake hee aede hana maana yoyote
@AnelkaOmbeni-iy7nj
@AnelkaOmbeni-iy7nj Месяц назад
Kabisa huyu dada anaroho baya sana kama sutra yake pole sana dada agalieni hapa
@user-lz8kb9ds8k
@user-lz8kb9ds8k Месяц назад
Acha roho mbaya😢😢😢jisura mbovu
@ashamahadi5281
@ashamahadi5281 Месяц назад
Usimsamehe mazoea kiwashe bi mkubwa ana mdomo mkubwa kama mgeti WA kukamulia maziwa ya ng'ombe na Kiswahili chake cha kimakonde.lakini tunamuongezea views Anapanda juu Kwa vichambo vyetu.
@macrinafuraha-zg3mi
@macrinafuraha-zg3mi Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-vj4ig9yr8b
@user-vj4ig9yr8b Месяц назад
😂😂😂😂😂
@ambasseabdalaabdala6577
@ambasseabdalaabdala6577 Месяц назад
🇲🇿
@florenciamassawe4925
@florenciamassawe4925 Месяц назад
Pole sana mama. Laiti ungejua Vilivyoko nyuma ya pazia usingemsamehe asilani. Maana alijaribu kukuwekea sumu na kukuendea Kwa waganga.
@ZiyadaBakari
@ZiyadaBakari Месяц назад
Wa zazi wake walishkur Mungu kuona kijana wako amewatoleya huyo uchafu
@MonicaJohson
@MonicaJohson Месяц назад
baya kweli hili Dada yaani silipendi mimi
@AlySwaleh
@AlySwaleh Месяц назад
Hafayi kusamehewa huyo😮😅😅
@yasminmcwaih6445
@yasminmcwaih6445 Месяц назад
Kweli mama ana sura mbaya 😂😂😂😂❤❤
@hamidasaid-oh8fs
@hamidasaid-oh8fs Месяц назад
Hongera sana mama❤❤❤
@LeemoOsokoni-u3o
@LeemoOsokoni-u3o 5 дней назад
Uyo dad sio mtu msuri kabisa
@user-sx6zw1pr1w
@user-sx6zw1pr1w Месяц назад
Na pua yake kubwa 😂😂😂huyo mwanamke simpendi 😏😏
@EsauGabliel
@EsauGabliel Месяц назад
Akika nimemkumbuka mama, na malez yake Bora,, akuna kama mama
@ThabitHaji-d7s
@ThabitHaji-d7s 10 дней назад
Namujikia vibay yani aoni kama mama ake nawabiaa duguza sang mupende san mama ten san t
@RabiaOmar-ke8de
@RabiaOmar-ke8de Месяц назад
Hahaha sura mbaya kama roho yake
@eunicem5647
@eunicem5647 Месяц назад
Next pliz
@user-hl1ws9tx8x
@user-hl1ws9tx8x Месяц назад
Mwanamke Roho yake mbaya sana mchawi kalaba wewe😂
@AgnessNdola
@AgnessNdola Месяц назад
Saf sana mam tupo pamoja na we
@user-gh6tc8qu6w
@user-gh6tc8qu6w Месяц назад
Kumekucha bahati aolwe 😊
@methodpeter1323
@methodpeter1323 Месяц назад
mshauri mwanao amuoe huyu binti wa kazi
@Haji-yr9db
@Haji-yr9db Месяц назад
🎉🎉🎉🎉🎉 maua yako bi chifu
@KhalfanSeleman
@KhalfanSeleman Месяц назад
Bahati mke bola kabisa
@Rahema123
@Rahema123 Месяц назад
😂Yani unamzimia mm video 😂Jamani vibaya shoga angu 😂
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p Месяц назад
jaman uyo ni nyoka mama asipokugonga atakutemea mate
@Khadijah-eq2oe
@Khadijah-eq2oe Месяц назад
Jisura bayaaaa kma yy mweyewe
@NafueAthunan
@NafueAthunan 10 дней назад
Ucmsamehe huyo kumbuka huyo alikuwekea sumu
@SaidMenza-db2cn
@SaidMenza-db2cn Месяц назад
Kapipi najifunza bro,mama anajua kilicho chema
@joycemaregesi18
@joycemaregesi18 Месяц назад
Safi mama leo umetoa yamoyoni🎉🎉leo umenifurahisha 😅na usimsamehe huyo sura mbaya na roho vyafanana. Anajua uchungu wa kuzimiwa video kwel huyu mtu umetoka kijijini😂😂😂😂😂😂
@ThabitHaji-d7s
@ThabitHaji-d7s 10 дней назад
Yani mie uyu mwanamuke simupendi ata kidog
@bangigaspar123
@bangigaspar123 Месяц назад
Dah hii movie ni 🔥🔥🔥
@ThomasHunja
@ThomasHunja Месяц назад
Huyu binti hajafunzwa nawazaz wake kwake tu analojia mbaya
@ZiyadaBakari
@ZiyadaBakari Месяц назад
Ndio Mama muambie huyo laana kumu mchawi
@user-vm5yf8cs2r
@user-vm5yf8cs2r Месяц назад
ASANTE SANA MAMA. UMEAMUWA
@NoreenAthuman-ql9uu
@NoreenAthuman-ql9uu Месяц назад
congratulation🌹🌹🌹🌹
@SAYUKI513
@SAYUKI513 Месяц назад
Thanks a lot
@abdurashidinasorodini
@abdurashidinasorodini 27 дней назад
Nimetoka vijijini nimesikia mwanangu amenunua video halafu unanizimia😂😂😂😂😂😂
@Haji-yr9db
@Haji-yr9db Месяц назад
Leo kayatimba😂
@user-gf1cx7oc5x
@user-gf1cx7oc5x Месяц назад
Star uy mwanamk
@user-gg1ir8oy3p
@user-gg1ir8oy3p 26 дней назад
Usimsamehe mama mwache aende
Далее
BARAKA ZA MAMA EP 6
14:13
Просмотров 65 тыс.
BARAKA ZA MAMA EP 20
24:16
Просмотров 22 тыс.
I Built a WATERPARK In My House!
26:28
Просмотров 18 млн
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
Просмотров 162 тыс.
Peer Naakeeb Ur Rahman - Reception at Bolton Town Hall
16:12
NGONDO Sehemu ya Kwanza
19:51
Просмотров 276 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [29]
19:01
Просмотров 9 тыс.
MIMBA YA MIEZI 12 | episode 10 |
22:31
Просмотров 16 тыс.
#14 - MKE WA NGOMANI - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO
14:07
BARAKA ZA MAMA EP 7
21:57
Просмотров 82 тыс.