Тёмный

Barua Kwa Tariq Aliemwagiwa Tindikali 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 19 тыс.
50% 1

Mbarouk Khan anasema na Tariq Kipemba aliemwagiwa tindikali Moshi Kilimanjaro na kulazimika kwenda India ili kuokoa maisha yake

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 47   
@zainabjuma9168
@zainabjuma9168 Год назад
Pole Sana Taariq Allah atamlipa bila Shaka kila tone la chozi na maumivu uliopitia.pole Sana NI kheri ya hayo kuliko kukoroga mfuko wa mavi MAISHA yanaisha uhai unamalizika Allah atamlipa bila Shaka endelea na MAISHA Allah atakuwa nawe kila hatua Ile NI mtihani alikupa Allah kukuletea Yule firauni ungemkubalia ungeangamia Allah awe nawe DAIMA Amin RAMADHANI MUBARAK.
@jafarchuan8537
@jafarchuan8537 Год назад
Broo mshukuru mungu kwa kila jambo Mw mungu hakupi mtihani usie uweza pole sana kaka KIKUBWA PUMZI
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Год назад
Yarrab,Yarabb, mfanyie wepesi mja wako. Na hata sasa umeweza Yarabb 🤲🤲💔
@smootkizy_jr
@smootkizy_jr Год назад
😢 pole sana brother Mungu asimame nawe daima
@andrewkitaly6003
@andrewkitaly6003 Год назад
Mungu anisamehe sana kwa kumjudge huyu kijana visivyo Utapona ndgu yangu
@MageEdward-pc6xo
@MageEdward-pc6xo Год назад
Mnatuliza jmn niliumia sanaa huy kaka dah MUNGU mkubwa aendelee kukulinda kaka yng
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 Год назад
Amina, Mungu anaweza,akapigane nao walio mfanyia ukatili kijana huyu maana kisasi ni juu yake,kweli kabisa angalia Afya yako muachie Mungu nakwambia kama Mungu aishivyo atakupigania soon🙏
@elishebaenael8659
@elishebaenael8659 Год назад
Pole saana Tariq, mwenyezi Mungu atakupigania ameona kilio chako ,
@teddygaare3018
@teddygaare3018 Год назад
Pole sana kaka yangu ulisimamia Imani yko huna hukumu Kwa mungu wetu yeye alikufanya ivo atahukumiwa, don't worry brother your still HB
@azizamohammed583
@azizamohammed583 Год назад
pole sana kaka angu Alllah akufanyie wepesi 🤲
@shanisharmilah1898
@shanisharmilah1898 Год назад
Allah azid kukusimamia Kaka yetu najikut nalia 😭
@twahasuleiman-lo9vl
@twahasuleiman-lo9vl Год назад
Mungu wetu sio Masikini. Allahuakibar Alhamdulillah
@lucyjohn3334
@lucyjohn3334 Год назад
Mungu akulinde Kaka yetu
@AishaMichael-j8r
@AishaMichael-j8r 10 дней назад
Kkak. Wawwaatu mzur mwenywe duh imeniuma...san😢
@bacinyagaamani4585
@bacinyagaamani4585 Год назад
Pole sana Tariq binadamu wana wivu mbali mbali lakini mungu yupo ayo yote watayaripa apa duniani
@AngelRupia-od2gu
@AngelRupia-od2gu Год назад
Pole ssna kaka yaani nalia tu MUNGU yupo atakulipia...
@nunuuali5316
@nunuuali5316 Год назад
Aisee we kaka basi tu. YaAllah msaidie huyu muumba wako jaman
@justinnivyayo490
@justinnivyayo490 Год назад
Mungu atakusaidia bro🙏🙏🙏
@Saidy-eu1hc
@Saidy-eu1hc 2 месяца назад
Kaka mzur jaman kweli hujafa hujaumbika pole
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt Год назад
Pole sana kaka 😢😢😢😢
@yusrasalim75
@yusrasalim75 Год назад
You are always handsome Tariq
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 Год назад
Mungu amfanyie wepesi.. 😭😭😭
@redmioman4371
@redmioman4371 Год назад
InshaAllah yaa rabbi azidi kukupa tawfik InshaAllah
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي Год назад
Allahuma Amin 🤲🤲🤲
@pendo8082
@pendo8082 Год назад
Mungu akutunze utapona tu
@saidmasengo7988
@saidmasengo7988 Год назад
Mpk Chozi limenitoka!!!!! Hii si sawa kabisaaa.Ila Mungu yupo
@senjiyunvankunzimana2541
@senjiyunvankunzimana2541 Год назад
Hilo nalo litapita utapona na kurudi kwenye hali yako ya kawaida.
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
💔Masikini mzuri duh😢aswa kwanini wana uza tindkali wakati ina madhara ila Tanzania 😢
@hamidangitu227
@hamidangitu227 Год назад
Uyu kaka namuonea huruma jamani alafu analiza aswaaa
@hakizimanaomar8055
@hakizimanaomar8055 Год назад
Maskin ira nampenda sana
@mwanahussein344
@mwanahussein344 Год назад
Acha mungu aitwe mungu jamn dah 😭😭😭
@CatherineNzeki
@CatherineNzeki Год назад
Dah! Ama kweli hujafa hujaumbika na dunia imejaa watu waliokosa utu.Hivi kwanini mtu umfanyie mwenzako unyama kama huo??Aisee mpaka chozi limetoka
@zulphathmbawala196
@zulphathmbawala196 Год назад
Ehe😭🤲yarabih mnusuru mjawako
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Год назад
Roho imeniuma mda mrefu kubusu tariki yarabi mponye kijana huyu waladhamiria kumgaribu sura
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 Год назад
Daah inauma saan..hii yote ni hao wazazi walioshindwa kumlea mtoto wao katika imani za dini na kutokuwa na hofu ya mungu
@iddwangway9403
@iddwangway9403 Год назад
Fatilia vizur ustoe tu judgement kenge wew
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 Год назад
Mungu azidi kumpa nguvu Tarki
@benjo_brighter
@benjo_brighter Год назад
MUNGU amtangulie ili apone mapema 🙏🙏🙏
@sakinamixpambe2602
@sakinamixpambe2602 Год назад
Pole sana Tariq
@aishajuma7813
@aishajuma7813 Год назад
Mungu hatakuripia tuu
@shanisharmilah1898
@shanisharmilah1898 Год назад
😭😭😭😭kwanin maish yak ivi
@beatricemosha4215
@beatricemosha4215 Год назад
It's pain
@saebajoma8419
@saebajoma8419 Год назад
😢😢😢
@joycegwaltu5172
@joycegwaltu5172 Год назад
😭😭
@banajuliana758
@banajuliana758 Год назад
Hapana hakushindwa anapambana bado
@irenemlay9769
@irenemlay9769 Год назад
Hujafa hujaumbika
@naimahhussein8430
@naimahhussein8430 Год назад
😭😭😭😭😭
Далее
Ujumbe wa Sabaya Baada ya Kurudi Nyumbani
2:09
Просмотров 1,5 тыс.
РЫБКА С ПИВОМ
00:39
Просмотров 521 тыс.
РЫБКА С ПИВОМ
00:39
Просмотров 521 тыс.