Тёмный

Bashe aapishwa Ikulu / Rais Magufuli ataja sababu ya kumuondoa January Makamba 

Подписаться
Просмотров 16 тыс.
% 81

#Magufuli #Makamba #EATV
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, amebainisha baadhi ya matatizo yaliyokuwa yakipatikana kwenye Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, ikiwemo ucheleweshwaji wa utoaji wa vibali kutoka NEMC, pamoja na kupokea malalamiko ya wawekezaji kuhusu taasisi hiyo.

Опубликовано:

 

22 июл 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 10   
@harounmtaki3814
@harounmtaki3814 5 лет назад
Bashee
@hasankihori6853
@hasankihori6853 5 лет назад
Ilindeni katiba ya nchi kama mawaziri waadilifu.
@deusywikes610
@deusywikes610 5 лет назад
Duuu sasa utasema kweli bungeni bashe huko uwezikuikosoa selikari kama ulivyokuwa mwanzo
@ksnjos001
@ksnjos001 5 лет назад
Kuna Tension Tizedi... Mungu msaidie Raisi Magufuli
@khamisiamran5188
@khamisiamran5188 2 года назад
Huu uteuzi wa h bashe Ni sahihi sana
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 года назад
Mama kajaza mijizi alioikataa mwendazake zake yeye kairudisha sasa nchi inaliwa vibaya sana na mama siyo mfuatiliaji anaendesha nchi kwa rimoti sasa hivi njaa imezidi sana
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 года назад
Wanawake wenzie hawamtaki kabisa tena wale wa hali ya chini wapika mandazi mihogo vitumbua nk na hao ndiyo wapiga kura
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 года назад
Huyo January makamba kazi yake alikuwa kukomba pesa za wastaafu za nssf kupigia kampeni za kutaka urais laana itamtembelea kila kona hata kama mama samia kampa uwaziri ili baba yake ampigie debe 2025 hilo bado ni bomu kabisa bwawa la mwalimu nyerere mbona haliishi
@hassanadam55
@hassanadam55 2 года назад
Cu Hu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 года назад
Mhuuuu january makamba hafai kila sehemu uwaziri pia aliopewa sasa ni hovyo kabisa umeme kukatika mara kwa mara vitu vinaungua hovyo siyo mfuatiliaji ndiyo maana alimtoa kwenye uwaziri huyo ndiyo alitaka urais bomu kabisa