Тёмный

BASHE AFOKA MBELE YA RAIS SAMIA "HIZI DATA SIYO SAHIHI, NASEMAGA HADHARANI, ....MZIZI WA FITNA" 

Uhondo TV
Подписаться 600 тыс.
Просмотров 22 тыс.
50% 1

#UhondoTV #Uhondo

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 81   
@bajjetn.sylvester9596
@bajjetn.sylvester9596 Месяц назад
Hongera sana Mheshimiwa Bashe. You are really transforming agricultural sector. Continue improving agricultural supply chain visibility.
@athanaskipeto572
@athanaskipeto572 Месяц назад
Hongera mama Hongera MH Bashe kilimo niuti wa mgongo
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Месяц назад
Unatakiwa urudi farasani kujitambuwa. Hongera żako ni za bure
@MnubiMm
@MnubiMm Месяц назад
​@@Mima-cl2imwewe umehitimu Darasani kwa kupinga Kila kitu Ila Kama kweli wewe umekaa Darasani usipinge tu kikasuku
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Месяц назад
this guy is very smart..only time will tell..basi tumuombeeni atimiza azma ya Mungu
@fatimaomar1172
@fatimaomar1172 Месяц назад
Hongera Bashe
@CharlesMasanja
@CharlesMasanja Месяц назад
Namuomba Mh. Rais atuachie mtu huyu kwenye wizara ya kilimo. Hussein Bashe anayo shauku isiyojificha kuhusu ustawi wa kilimo na ustawi wa wakulima nchini. Naona mwelekeo mzuri sana katika kilimo miaka michache ijayo.
@OnesphoryJKMboya
@OnesphoryJKMboya Месяц назад
Angekuwa smart,asingeweza kusema wakulima wa Kilombero wabadili mashamba ya miwa kuwa mabonde ya mpunga na viwanda vya Sukari vifungwe,eti tuagize Sukari Toka nje, very ashamed him, ingekuwa ni ulaya ungekuta mtu kaachia ngazi,yeye amekomaa kama kupe tu, very ashamed him again
@2003hintay
@2003hintay Месяц назад
Mh Bashe uko vizuri sana akina Mpina na majungu mpaka mahakamani na mawakili alfu
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Месяц назад
Mnadanganywa kwa pipi , wajinga
@saidnoumani7244
@saidnoumani7244 Месяц назад
​@@whatisthetruth.8793wewe sio msomi ni kilaza tu
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Месяц назад
Hongera sanaa mama kilimo oyeeee😂😂😂😂❤
@agapitokisakali768
@agapitokisakali768 Месяц назад
Mheshimiwa Samia muachie Bashe kwenye nafasi hio anafaaa sanaaaa
@amiribakari2528
@amiribakari2528 Месяц назад
Hongera sana mbunge bashe,wizara ya kilimo imejulikana sana zaidi toka umeingia hongera
@user-rd6he3pu2o
@user-rd6he3pu2o Месяц назад
Daah mjomba ulikuwaga wapi tungeshaendelea sana,big up sana bashe..
@kalingaasukile8730
@kalingaasukile8730 Месяц назад
Safi sana,huku kwenye Kilimo Rais atawaondoa watu kwenye umaskini,kikubwa watafute soko
@saidnoumani7244
@saidnoumani7244 Месяц назад
Wewe waziri nakukubali 100%. Msomi mzuri wewe our future rais 2035
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri Месяц назад
Hongera sana Mhe Waziri Bashe kwa juhudi zako hizo kubwa juu ya wakulima na Kilimo ila tu msisahau juu ya kuwabana watu wa Ushirika vinavyosumbuaga ulipaji baada ya kukopeshwa mazao.
@chunkurikachondo5820
@chunkurikachondo5820 Месяц назад
Hotuba hii inatoa elimu, kweli bashe anafaa sana.
@mariahgaudence543
@mariahgaudence543 Месяц назад
Yaani 🎉🎉🎉
@amohammed3390
@amohammed3390 Месяц назад
Pamba jee. Viwanda vya ku process marobotanyuzi kisha viwanda vya kutengeneza nguo ndani ya Tanzania.👍👍👍👍
@mussamussa9446
@mussamussa9446 Месяц назад
Mwenye namba ya simu ya muheshimiwa Waziri Bashe atumie tumpigie kumpongeza
@athumanikarunde644
@athumanikarunde644 Месяц назад
Mbaazi manyara katika biashara huria ilikuwatzs3000 Leo ni 1500hadi1800 acheni hadisi njooni vijijini zunguzeni na wakulima
@rashidisaidi8535
@rashidisaidi8535 Месяц назад
Kk kweli embu naomba unitumie no yako
@IbrahimMohamedally
@IbrahimMohamedally 29 дней назад
Bashe oyee
@PAULNZUGUMYA
@PAULNZUGUMYA 2 дня назад
Watenda kazi wizara ya kilimo wawatembelee wakulima kama wizara ya maji inavyojitoa kupeleka maji kwa wananchi.
@johnkatabi9793
@johnkatabi9793 Месяц назад
Hongera sana Mh Bashe
@user-wf1yj9on7m
@user-wf1yj9on7m Месяц назад
Uko vizuri bashe
@MusaMkembela-ex6ev
@MusaMkembela-ex6ev 29 дней назад
Huyu jamaa kama atakaa miaka mingi hii wizara itakuja kuwa bora sana
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Месяц назад
jmni huyu Bashe anajua kujieleza..i like this guy seriously :) ati kananu ni bible na quran 😅😅😆
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps Месяц назад
Hongera umeanza kuomgeza watumishi
@attunelson8828
@attunelson8828 Месяц назад
Safi sana Mh Bashe
@godfreylutengano9367
@godfreylutengano9367 Месяц назад
Maneno mengiii
@victorphilipo
@victorphilipo Месяц назад
Kama watu wanapiga kerere unamzebeza rais roho ngumu nini uwajibike rushwa huwezi kuturizisha
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 Месяц назад
Lile jinga mpina sijui linajisikiaje hapo lilipo
@bongo39
@bongo39 Месяц назад
Na ninavyo ona mie hatotokea rais ambae atakae tia mguu mkoa wa tanga isipokuwa wewe viongozi wengi wamepita hamna hata mmoja aliependelea mkoa wa tanga ni ukweli kabisa hamna atakaebisha hilo na nimefurahi kauli yako kwa nia yako kufufua viwanda tanga na kusisitiza kutengenezwa barabara ya pangani bagamoyo
@user-wh3ce7ku3r
@user-wh3ce7ku3r Месяц назад
Mbona ujasema KCU ina viungozi wezi sana hongera KBU wanajielewa
@finiasmaengela2996
@finiasmaengela2996 Месяц назад
Wizara ya kilimo inamtu sahihi
@yahayaramadhani6418
@yahayaramadhani6418 Месяц назад
Wee mtoto mjanja sana, utazidi kupiga tu na bila watu kuelewa.
@dkalbertoanyasime9357
@dkalbertoanyasime9357 Месяц назад
mkenda alifanya kz nzr zaidi acha kujifanya wewe ndie umeboresha
@user-wf1yj9on7m
@user-wf1yj9on7m Месяц назад
Kumbuka na siha hatuna hao watu wa kilimo hata kushauri tu
@user-xw1dv3gr8s
@user-xw1dv3gr8s 27 дней назад
Yaani huyu mtu nihatar Kwa wakulima mbaaz yetu ilikuwa 3000 Leo 1500 powa
@uzimameditv8148
@uzimameditv8148 Месяц назад
Nikusifiana tu, wanainchi maisha yao yako taabani
@dkalbertoanyasime9357
@dkalbertoanyasime9357 Месяц назад
Mbn hata magufur mlimsfia kua ni mfano Kwa hio Samia kampiku magufur? Trekta mmenunua ngapi?
@user-xw1dv3gr8s
@user-xw1dv3gr8s 23 дня назад
Hakuna kitu hapa subirini uchaguzi mnatupangia mazao yetu powa
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Месяц назад
kama kitajakuwa 20Trillion je m/nch wa kawaida inatoa mantiki gani? whats the impact to a common m/nchi wakitanzania? 18:02-21:19. these are some of the things our neighbor Kenya is throwing stones to her State house sir
@crismtete8837
@crismtete8837 Месяц назад
Anashukuru nini?
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 28 дней назад
Yanga mmeshinda 😂
@kepharichard4183
@kepharichard4183 Месяц назад
Jinga hilo
@yassinmchekwa
@yassinmchekwa Месяц назад
Sukari
@tumahamza8972
@tumahamza8972 Месяц назад
Lkn hawa maafisa ugavi hawafanyi kazi kila mahali. Hawaendi kisarawe. Tunahangaika sana. Kila ukiwafuata wanakuzungusha mara pikipiki hazina mafuta mara sababu ile mradi shida tu.
@uzimameditv8148
@uzimameditv8148 Месяц назад
Sasa wanainchi wako wanafaidika na nini?
@LefaniMwazembe-uk4dy
@LefaniMwazembe-uk4dy Месяц назад
Mabwanashamba hawana vipimo vya udongo selekarini Kuna Nini
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Месяц назад
Mmeshindwa kuendesha nchi , mmebaki kuteka watu tuu sasa mbwa mwiti nyinyi
@zariadunia6328
@zariadunia6328 Месяц назад
Bashe ana akili sana ndio maana mppina anavurugwa na maendeleao na kipaji cha Bashe
@edgarhamisi9247
@edgarhamisi9247 Месяц назад
Maendeleo gani na wewe ?? Uskute hata kitalu cha mchicha huna.
@athanaskipeto572
@athanaskipeto572 Месяц назад
Hii ya kuangalia kanuni kuliko matokeo ina leta shida sana MH nibora umweliona mambo mengi yana chelewa na kufia kwenye mafaili sababu ya kanuni na fikili kwenye wizara yako hata mamulaka za uzibiti zipungue ziwepo mamulaka za uwezeshaji
@jacksonsawe2301
@jacksonsawe2301 Месяц назад
Tafiti ni kitu muhimu sana endeleeni kuweka pesa nyingi ktk tafiti
@simonmwaliru8590
@simonmwaliru8590 Месяц назад
Wakulima wanaojielewa watafanikiwa sana,tuachane na wakatisha tamaa watanzania wenzangu.
@leobalige7069
@leobalige7069 Месяц назад
You people
@dkalbertoanyasime9357
@dkalbertoanyasime9357 Месяц назад
Tuna taka vipimo vya udongo visogezwe karibu na Mkulima na apimiwe Bure na rushwa itokomezwe kabisa
@athanaskipeto572
@athanaskipeto572 Месяц назад
Siyo razima darasani tuu hata wewe una weza uka nipa uelewa ila mimi naona ziko sawa
@MusawitsonskanaMusawitso-iy4vh
@MusawitsonskanaMusawitso-iy4vh Месяц назад
Bashe unamzungumzia mkulima watulekita ambae benk inamtambua lakini huyu wang'ombe najembe lamkono yupotabani hoi
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 Месяц назад
Una hapo mwanzo data za kilimo zilitolewa za uongo?
@alimuse6980
@alimuse6980 Месяц назад
Wewe gorilla kwa nini usiande ukatowa data uhakika au bada ziko mkunduni mbwa wewe
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Месяц назад
ila Bashe Watanzania wengi wanawasi2 na hizo mbegu zilizogawiwa kila sehemu nchini..je ni SALAMAA?/ maana isije ikaharibu ardhi yetu ikawa shida kiafya kwa wanyma na wanadamu jmni
@richardnott4403
@richardnott4403 Месяц назад
Mh we ngoja utaona huko mbele hatari sana watu wahwajui tu njaa inakuja huko mbeli hizo mbegu wa afrika hawajazinduka baadhi ya nchi za afrika zimeduka nukuu unakumbuka jpm alisema tuweke mbegu zetu za asili tafuta hiyo clip jaribu fatilia
@zariadunia6328
@zariadunia6328 Месяц назад
Rais program zote za kilimo mkoa wetu wa kigoma haimo sijui mama una mpango gani na kigoma hutupendi mama kila kitu kinaishia Tabora mama hata na wewe
@topesafi9742
@topesafi9742 Месяц назад
Bonde la Luiche
@OnesphoryJKMboya
@OnesphoryJKMboya Месяц назад
Mnapongeza unafiki tu,huyu Toka sakata la Sukari,I hate him,ni mchawi mkubwa Kwa wakulima
@saidnoumani7244
@saidnoumani7244 Месяц назад
Roho yako mbaya tu
@GraceDeo-g1n
@GraceDeo-g1n Месяц назад
Kilichobaki kupeana sifa
@user-su6xu7ks7m
@user-su6xu7ks7m Месяц назад
Awamu ya Tano na siyo Sita.Uongo.
@alimuse6980
@alimuse6980 Месяц назад
Na kumi iko wapi wewe nyani
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Месяц назад
Watanzania wengi hawaelewi ujanja wa Bashe. Mpaka uwe na akiri za kutosha kujuwa wizi wake. Utalipaje duka la mobile lisikokuwa na uwezo kifedha tenda za mabilioni kuingiza sukari kinyume cha sheria? Na bila ya kodi? Bashe kawaona watanzania pamoja na Rais wajinga. Dawa ni kumumwagia sifa Rais kumuziba macho. Wenye akiri zetu tunajuwa anayoyafanya.
@alimuse6980
@alimuse6980 Месяц назад
Kwanini wewe nyani usiobe hapo kazi ni hadhi za magengeni na uhasidi 🐒
@huyu1993
@huyu1993 Месяц назад
Acha fitina wewe mpuuzi
@MarkoFabiano-s5u
@MarkoFabiano-s5u Месяц назад
Sekta ya kilimo bado sana. Angalia bei za pembejeo, angalia bei ya mazao ya wakulima. Dunia inategemea chakula Africa..
@edgarhamisi9247
@edgarhamisi9247 Месяц назад
Alafu anatokea mpuuzi hana ata robo ya kichaka anasema wazir anafaa, waulize gharama ya kuandaa shamba na bei anayolipwa mkulima kama vina uhusiano​@@MarkoFabiano-s5u
@adeltuszakumuha9618
@adeltuszakumuha9618 Месяц назад
Ujanja ujanja tu
Далее