Тёмный

BEATRICE MWAIPAJA - NDOTO YANGU (OFFICIAL VIDEO) 

Beatrice Mwaipaja
Подписаться 107 тыс.
Просмотров 526 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 326   
@DenisOdhiambo-bc7et
@DenisOdhiambo-bc7et 7 месяцев назад
Ndoto yangu itatimia kwa jina la yesu
@roselidaayako
@roselidaayako Год назад
Amen lazima ndoto itimie
@BettyMgimba-zj6gh
@BettyMgimba-zj6gh 7 месяцев назад
Kwa jina la yesu nami mungu anitendee ndoto ya kumbia mungu itimie na wanangu
@janethjackson9774
@janethjackson9774 Год назад
Ndoto kwa mwanangu itatimia
@EmmanueliEma
@EmmanueliEma Год назад
😮mungu akuogoze ktk ndoto yako
@elvinangumbao9745
@elvinangumbao9745 Год назад
Amen 👏
@IreneDidace
@IreneDidace Год назад
Hakika lazima itimie ndoto yangu umenigusaa sanaa
@JohnThadayo
@JohnThadayo Год назад
Ni lazima ndoto yangu itatimia kwa jina la yesu,ubarikiwe dada
@midevamumbe3903
@midevamumbe3903 Год назад
Be blessed so powerful song.. watchingfrom 🇰🇪 🇰🇪
@beritawambani5748
@beritawambani5748 Год назад
Ameen❤
@mariaagnes447
@mariaagnes447 Год назад
Waooooh chimami nakukubali hat nikiwa njaa nyimbo zako tu nashina❤❤
@daudimhoha320
@daudimhoha320 Год назад
Ameen.ndoto.yanguitatimia.haleluyaa
@chepkorirjarlody6673
@chepkorirjarlody6673 Год назад
Ndoto itatimia, kwa Jina la Yesu. Amen🎉
@Tusajigwekiblaga
@Tusajigwekiblaga Год назад
AMEEN 🙏🙏🙏🙏 Barikiwa sana Asante kwa wimbo mzr mbona tutafika tu ❤❤❤
@bisengobubasha
@bisengobubasha Год назад
Nina ndoto na Amini siku moja itatimia kwa uwezo wa Mungu 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@yasintakahamba1320
@yasintakahamba1320 Год назад
Kwa jina la yesu lazima ni we mbunge kwajina la yesu
@moureenwangila3072
@moureenwangila3072 Год назад
NDOTO yangu lazima itimie kwa Jina la YESU
@rabynzwala1144
@rabynzwala1144 Год назад
😂hakika ndoto zangu na wanangu zitatimia katika Jina la Yesu❤❤❤
@angellufulan
@angellufulan Год назад
Barikiwa sana hii impending and love you so much na ndoto itatimia. Sooooon
@JacklineKachwele
@JacklineKachwele 4 месяца назад
Ubarikiwe Sana Kuna siku ndoto yangu itatimia kwa neema ya MUNGU
@silviak1776
@silviak1776 Год назад
Amen 🙏 🙏 love you from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ndoto yangu lazima itatimia 🙏🙏
@BARAKABakenyaofficial
@BARAKABakenyaofficial Год назад
Balikiwa mtumish 🎤👍 kwa ujumbe mzur 👍👍👍🎤
@Malkey4real-330
@Malkey4real-330 Год назад
Ongera
@rashtz2785
@rashtz2785 Год назад
Ubarikiwe Sana Dada
@Best_tz
@Best_tz Год назад
Amen Kwa uweza wa Mungu kila ndoto inakwenda kutimia 🙏🙏🙏
@agnesslyatuu8026
@agnesslyatuu8026 Год назад
Ameeni na ndoto yangu itatimia japo sijajua lini namwamini Mungu itatimia lazima.
@JanetMachuma
@JanetMachuma 4 месяца назад
Amen lord I love you Jesus maana ntonto yangu itatimia in Jesus name amen ninakupenda sana. My mummy name B
@danielkalori5373
@danielkalori5373 Год назад
Amen Amen ubarikiwe sana
@MariamuHusseni
@MariamuHusseni 7 месяцев назад
Amen ndoto yang lazima Maisha yang yabadilike kwa jina layesu
@sophiasophie55
@sophiasophie55 Год назад
Amen 🙏...nimebarikiwa
@BrigitaKimario
@BrigitaKimario Год назад
Kwa damu ya yesu ndoto yangu itatimi hongera Sana B
@heriethinnocent3283
@heriethinnocent3283 Год назад
Hakika ndoto yangu itatimia. Ubarikiwe sanaaaaaa my lovely Beatrice
@johnmsigwa7783
@johnmsigwa7783 Год назад
Hongera sana Beatrice Wimbo mzuri sana .Barikiwa sana
@TitusKibet
@TitusKibet Год назад
Ndoto yangu itatimia kwa jina la Yesu.
@johnkaranja1861
@johnkaranja1861 Год назад
Amen Amen itatimia katika Hina la yesu christo
@DaniellaBaeni
@DaniellaBaeni 7 месяцев назад
Kwa jila la yesu ndoto yangu ita timia, barikiwa sana sister wa yesu, MUNGU akuinue zaidi
@alexon9592
@alexon9592 Год назад
Ndoto yangu kwabyashala kwadowa yangu kwamaisha itatimia🖐🖐🙏🙏
@loiceloi9471
@loiceloi9471 Год назад
❤❤❤ itatimia tu ndoto amen
@duncanmulu2450
@duncanmulu2450 Год назад
Kazi nzurii Daaaa Beatrice 🇰🇪🔥🇹🇿🇹🇿🔥🇰🇪
@princeogwelofficial4682
@princeogwelofficial4682 Год назад
Blessed 💯❤️❤️🔥🔥🎉🎉🎉🎉
@bennyanda1777
@bennyanda1777 Год назад
Mwenyezi -Mungu aendelee kukupigania zaidi wimbo mzuri sana hongera sana
@DorisAchieng-y7q
@DorisAchieng-y7q 4 месяца назад
Wow that's nice song, nina Imani pia yangu ndoto itatimia
@VivianWachera-k6d
@VivianWachera-k6d Месяц назад
Amen...ipo cku ndoto yangu itatimia...I love the song
@georgekinyemba5397
@georgekinyemba5397 Год назад
Beatrice hii nyimbo umezingua nyimbo nzima imejaa ndoto ndoto apo neno la ndoto ndoto kibao
@GidionBeku
@GidionBeku Год назад
Umetubariki watoto wa tetemeko karibu sana tunakupenda Sana
@joycelanda8987
@joycelanda8987 4 месяца назад
Ndoto itatimia,Amen!kwa ma daughters
@jannetramadhan-uz1xu
@jannetramadhan-uz1xu Год назад
Ndoto yangu itatimia kwajina layesu barikiwa kipenz
@EmmilyGati
@EmmilyGati Год назад
Ndoto yanngu naimini ipo siku itatimia barikiwa sana dada
@alexmwakikambako4743
@alexmwakikambako4743 Год назад
🙏🙏🙏itatimia dadangu kipenzi Ongera Sana kwa kazi nzr
@mosessimkoko9364
@mosessimkoko9364 Год назад
Bay power bay Force ndoto lazima itimie
@Willyblessing254
@Willyblessing254 Год назад
Nyimbo mzuri saaaaana....naomba mwenyezi siku moja nije nifamye nawe Kazi 🎉❤
@adisabetty2173
@adisabetty2173 Год назад
Bety mwapacha Nagupenda saana Balikiwa Amiiina
@emmanueljaphety
@emmanueljaphety Год назад
Hakika kwakuwa Mungu yupo basi ndoto itatimia🙏🙏🙏⛪
@lucykebacho3446
@lucykebacho3446 Год назад
Ndoto yangu ni kujenga nyumba🎉🎉🎉🎉🎉
@alexkalonga5323
@alexkalonga5323 Год назад
Mungu akubariki Sana Da Beatrice tuko pamoja Sana, nyimbo zako zinanibariki Mimi pamoja na familia Yako!
@BettyMgimba-zj6gh
@BettyMgimba-zj6gh 7 месяцев назад
Wimbo unanikumbusha mengi nashiba nikiwa na njaa umeniona mwajina
@Christopher79652
@Christopher79652 Год назад
Natamani kufanikisha ndotozang kufanya kazi nawewe Dada
@CharityAkinyi-k5m
@CharityAkinyi-k5m Месяц назад
No matter what my enemies are planning! I'll fly high above the sea level
@nyalinyali3409
@nyalinyali3409 Год назад
AMEN AMEN AMEN AMEN -NDOTO YANGU Itatimia
@GodfreyGodfreySaje
@GodfreyGodfreySaje Год назад
Nataman kupitia wimbo huu ndoto yangu itimie ee mungu nisaidie
@EstaBanda-t9t
@EstaBanda-t9t Год назад
Hiko njema sana na imekaaa vema ndoto yangu ubarikiwe❤❤❤❤❤
@DavidMushaga-xj3bf
@DavidMushaga-xj3bf Год назад
Barikiwa Sana ,ujumbe nimkubwa kabisa
@wilfredlucas-nf6yo
@wilfredlucas-nf6yo Год назад
Huu wimbo umekuwa faraja sana kwangu na umenifanya nisikate tamaa
@Amos-l4b
@Amos-l4b Год назад
Ndoto yangu itatimia ipo siku amen
@amoskipkorirmutai4275
@amoskipkorirmutai4275 Год назад
Baraka izidi kukumiminia Muumba wetu...apowerful song it is ❤❤❤❤
@mercyambongo
@mercyambongo Год назад
Amen 🙏🙏 barikiwa dada❤
@jumachango
@jumachango Год назад
Wow..wow... barikiwa sana Dadangu hili ni dude Kubwa la kutia moyo na kubariki lazima ndoto yangu itatimia huu wimbo ni wangu barikiwa sana
@mwendendeto
@mwendendeto Год назад
❤powerful song....ndoto lazima itimie kwa jina la Yesu ❤❤
@marthamashinji6830
@marthamashinji6830 Год назад
Amina Asante siku moja nitafanya korabo na wewe
@lucyziri4960
@lucyziri4960 Год назад
Amen ..ndoto yangu itatimia in Jesus name..l love the song..kenya watching
@calistherezekiel7001
@calistherezekiel7001 Год назад
Amen🙏🏼 MUNGU akubariki wimbo mzuri🙏🏼🙌
@sinomiles
@sinomiles Год назад
Unaimba saba
@hopeelimasha3535
@hopeelimasha3535 Год назад
Amina mrembo wa yesu
@kanakangai6749
@kanakangai6749 Год назад
Nyce song tembea kwangu
@henricamikambi6147
@henricamikambi6147 Год назад
So powerful sound, hongera sana nakuona juu sana
@PamellaMugisha
@PamellaMugisha Год назад
Ndoto yangu yakufika bali saaaaaaaana nilazima itatimia Wa chawi wakubali wakatahe nilazima itatimia Atakama nyaka inaheda najuwa Kesho nizuri🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o 10 месяцев назад
Amina MUNGU NI MWEMA Ndoto itatimia
@Marsemo
@Marsemo Год назад
Mungu ametimiza dadangu,amen
@lynnetkweyu
@lynnetkweyu Год назад
Ndoto yangu ndoto itatimia❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Am blessed ❤❤❤❤❤❤❤❤ More Grace sister Beatrice
@graceannisha
@graceannisha Год назад
Martha na Beatrice mbarikiwe pamoja na utumbo wenu
@GRACENyanda-cn3pg
@GRACENyanda-cn3pg 5 месяцев назад
Mungu akubariki sana kwa wimbo huu 🎉 very nice and encouraging
@LAVENDERMIGUNDE
@LAVENDERMIGUNDE Год назад
Nabarikiwa zaidi Mtumishi wa Mungu dada Biteh ...kamwe usimwache Mungu Mommy
@EstaValavala
@EstaValavala Год назад
Mnaimba vizuriii Sana. MAVAZI JAMANi,,, Vaeni Kama wakristo.
@aswanirael5255
@aswanirael5255 Год назад
Haiya! Karibu unafanana na martha mwaipaja
@BeatriceKomba-g5o
@BeatriceKomba-g5o Год назад
Amina. unanipa Sana nguvu kwA nyimbo zako
@addonovember
@addonovember Год назад
Ndio tupo hapa mashabiki zako
@abigaelnabal6065
@abigaelnabal6065 Год назад
Nyie Mwapajas mnapenda kupiga makofi!!
@braisonjohnnzunda
@braisonjohnnzunda Год назад
Waooo barikiwa sana dada angu hakika wimbo mzuri finally umetoa video🏆
@Jeremiah-tk6jg
@Jeremiah-tk6jg Год назад
Napenda sauti yako Beatrice mwaipaja iko na anointing
@anitalumumba5443
@anitalumumba5443 Год назад
👏👏👏👏👏 ndoto na maoni yangu lazima itatimia kwa jina la yesu
@denisehabogorimana7148
@denisehabogorimana7148 Год назад
NDIO NINA NDOTO BARIKIWA SANA
@EVERLYNESKAKAN
@EVERLYNESKAKAN Год назад
Inspiring song hongera dada
@shizney.norry45
@shizney.norry45 Год назад
Sauti nzuri ndoto yangu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️
@bonifacewekesa469
@bonifacewekesa469 Год назад
Ndoto ya inaniambia siku moja nitakuwa tajiri❤❤Amen
@everlynemuno9987
@everlynemuno9987 Год назад
Let my dream come true in Jesus name
@oliverotieno4595
@oliverotieno4595 Год назад
🎉NDOTO YANGU KWA MY DOTA WHO'S IN CLASS 8 N MY GRADE 5 GIRL AND MY LAST BORN SON GRADE I, WISHING YOU LUCK BABIES 🙏🙏🙏🙏🙏
@Hotjoy-mt2vl
@Hotjoy-mt2vl Год назад
Amen hallelujah doto yangu itatimia
@youngdula5409
@youngdula5409 9 месяцев назад
Leo Tarehe 21 / 01 / 2024 Kwa mara yakwabza kubahatika Kwenda kusali Kwa prophet IPM , Nipo nimewaza kukuona na wewe Kwa mara ya kwanza kwakweli @Beatricemwaipaja uko nakipaji sana mungu Aendelee kukubariki na abariki pia na kipaji chako
@mrnhocomedy3804
@mrnhocomedy3804 Год назад
Zambia is on , thanks truly dreams must be fulfilled
@jacklineanyumba5413
@jacklineanyumba5413 Год назад
I love this kwa kweli 🇰🇪
Далее
Beatrice Mwaipaja - Goliati (Official Video)
6:37
Просмотров 208 тыс.
Китайка и Пчелке Холодно😂😆
00:21
Beatrice Mwaipaja - Ni Mungu Tu (Official Audio)
6:56
Beatrice Mwaipaja - Acha Muda Uongee
6:59
Просмотров 365 тыс.
BEATRICE MWAIPAJA - NIMEZUNGUKA (OFFICIAL VIDEO)
7:14
Просмотров 254 тыс.
Martha Mwaipaja  - ADUI (Official Video)
6:20
Просмотров 8 млн
Beatrice Mwaipaja - Ndoto Yangu (Official Audio)
6:56
Bahati Bukuku - Waraka (Official Version Video)
12:54