Тёмный

BEATRICE MWAIPAJA - NIMEZUNGUKA (OFFICIAL VIDEO) 

Beatrice Mwaipaja
Подписаться 107 тыс.
Просмотров 254 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 220   
@presentermike
@presentermike Год назад
Nimekuwa WA kuanza kusikiliza kutoka Kenya....... Huu WIMBO ni WA matumaini..... Tafadhali munipe likes zangu ...... Siku moja tutakutana na Beatrice 🙏
@2012SporahVenance
@2012SporahVenance Год назад
🙏🙏🙏🙏🙏
@2012SporahVenance
@2012SporahVenance Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-jTN8dKB9QX8.html
@phidelj2350
@phidelj2350 Год назад
I love this lady so much I wish to meet her one day too her ministry bless me alot🙏🙏🙏
@peterbunzali
@peterbunzali Год назад
Dada Beatrice nakukubali sana kaka yako niko. Mungu anakutumia kutufikishia ujumbe ambao unatubariki sana, niko Beiruti lakini lazma nifuatilie nyimbo zako.
@uwambajimanasamwel6989
@uwambajimanasamwel6989 Год назад
Muhimbaji tunagupenda saidi from Rwanda
@DanielGongeOfficial
@DanielGongeOfficial Год назад
Umeutumia Vizur Huo Muujiza unaopatikana ktk kitabu kitakatifu nyimbo itafanyika baraka kufungua wengine
@Thebeast_tz
@Thebeast_tz Год назад
Tulio rudia rudia ilii kunakiri ujumbe vizuriii tujuane hapaa
@viviankorir3324
@viviankorir3324 Год назад
The beats💯vocals💯.... Blessings from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@yusuphkalinga515
@yusuphkalinga515 Год назад
Hongera kwasababu wimbo wako umesimamia neno la Mungu, kwakweli nimebarikiwa.
@FaidaRuamuka
@FaidaRuamuka 22 часа назад
Ndiyo dada mpendwa hasante. Amina ❤
@dianahdinah2507
@dianahdinah2507 Год назад
Congratulations my dear sister. The song is so nice and uplifting. Your voice is amazing too nimeipenda Sana 😘😘😘😘. Nimekutana na Yesu 🙏
@williammburu7466
@williammburu7466 Год назад
This lady is such a vibe...never disappoints Kenya twende TikTok hii iende viral❤️❤️🤗🤗
@lumosinewton9333
@lumosinewton9333 Год назад
Lakini wakenya wenzenu mnawasahau....kenyans 😁
@andreamutekulwa1092
@andreamutekulwa1092 Год назад
Nakuombea Ukutane Na YESU CHRISTO Kwa Wewe Unaelia Kuonewa Kukataliwa Pamoja Na Mengine Yote, YESU CHRISTO Akutane Na Wewe Leo 🙏
@Annmalala
@Annmalala Месяц назад
When I hear 👂 this song 🎧 I started to cry 😭 because I was very sick like 13ys back… I was skindeses all for my body but now Jesus Christ healed me 🙏🙏🙏🙏🙏🙌🏻🙇🏾‍♂️😭
@alfredmazulaz2410
@alfredmazulaz2410 Год назад
kazi nzuri Beatrice Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪twakupenda
@hellenchepkemoi7730
@hellenchepkemoi7730 Год назад
Mipia mwana kenya nko ndani naifuatilia ,nabarikiwa sana dada mungu aendelee kubariki waimbaji wetu 🙏.
@jepchumbamildred8265
@jepchumbamildred8265 Год назад
I like your songs especially kumbe ni Kwa neema,I wish to meet u one day
@verickkabyemela1691
@verickkabyemela1691 Год назад
ujawai kosea Dada kuanzia beat,mistari,video yan upo vzr sana keep it up
@otienochrisostom2750
@otienochrisostom2750 Месяц назад
Kazi nzuri. Tunakupenda sana Kenya. Let God continue to bless you as you preach the gospel through your good songs.
@mophat1
@mophat1 Год назад
Dada Beatrice ahahahahaaaaaaaaaaaa,huu wimbo ni raha tupu jameni
@annaraymond8442
@annaraymond8442 Год назад
Siku ya kwanza kusikia uhubiri huu kupitia uimbaji k k.k.t kibangu. Barikiwa Beatrice kwa utumishi wako.
@2012SporahVenance
@2012SporahVenance Год назад
Hakika habari za Yesu zinashangaza mno
@eleanemusic4139
@eleanemusic4139 Год назад
This gal has vocals 🔥🔥🔥🔥🔥
@coolwaveac7659
@coolwaveac7659 Год назад
Amen 🙏 nimezunguka kote sikupata msaada Ila nimekuja kuupata Kwa Yesu
@marrymaganga8585
@marrymaganga8585 Год назад
Sauti tu kipenzi unajua 😘😘😘
@gloriaamase9764
@gloriaamase9764 Год назад
Hallelujah mimi hapa natokwa na machozi nikiskiza huu wimbo barikiw sanaa Beatrice🙏🙏🙏
@liliannatasha3075
@liliannatasha3075 Год назад
Your voice always killing be blessed mummy 🙏 much love from kenya 🇰🇪 ❤ 🙏
@happyjuma5013
@happyjuma5013 Год назад
nice sana my dada yang
@shukranimsafiri5409
@shukranimsafiri5409 Год назад
Dada ongera sana kwa wimbo mzuri ubarikiwe
@mteulehumblej6820
@mteulehumblej6820 Год назад
You're a bless dada
@tonitokirishjuneweather2008
What a voice, what a song..... Great work
@jewaian18
@jewaian18 Год назад
Ukikutana na Yesu maisha yako yatabadilika like the woman with a flow of blood. GREAT MESSAGE 💯
@faidandongo8218
@faidandongo8218 Год назад
Watching from Canada 🍁, Thank you dada yangu for the wonderful song🙏🏽. I have watched all of your songs and for sure God has blessed you with a great gift 💝.
@jukaelyelisha6311
@jukaelyelisha6311 Год назад
Barikiwa mnoo Dada Beatrice MUNGU akuinue zaidi na azidi kukupa unyenyekevu nakupenda sana maana wewe ni mtu mnyenyekevu mnoo
@marthamashinji6830
@marthamashinji6830 Год назад
Daaa mapozi tu kwanza yananimaliza ujumbe ndo basi kabisa barikiwa Sana
@Tusajigwekiblaga
@Tusajigwekiblaga Год назад
Amen 🙏🙏🙏🙏 wimbo una mafundisho mazr sana my dear Mungu azidi kikutumia
@erickouma
@erickouma Год назад
Bwana anakutumia vema, nimependa Kila kitu, vocal, muziki, na vyote. Barikiwa sana Mdogo wangu
@DevothaByorushengo
@DevothaByorushengo 7 месяцев назад
❤❤❤❤❤ nakupenda sana .dada Beatrice
@ainekishagodwin1877
@ainekishagodwin1877 Год назад
Wewe ni mzuri mwanamke anayejiamin Mungu aendeleekukutumia ila hacha kutumia Makucha na kope
@christianboy6786
@christianboy6786 Год назад
Good song my dear sz 254 tumeipenda
@emanidaudi-rl3zg
@emanidaudi-rl3zg Год назад
Hongera ubarikiwe Nyimbo iko vizuri sana hadi raha By EMAN DAUD From Mwanza
@tabbym.
@tabbym. Год назад
Watching from Kenya ..thank you for such an amazing song 🙏
@shedymmari7910
@shedymmari7910 Год назад
Baada yakutoka kibangu kkkt leo nimeitazama 😍
@Gloria-eq6rg
@Gloria-eq6rg Год назад
Napenda sana kazi Yako dada najua mungu yupo
@gayanimwansasu
@gayanimwansasu Год назад
Kweli 👏 👏 🇹🇿🇹🇿💪💪
@AnthonyCharles-q7s
@AnthonyCharles-q7s 9 месяцев назад
Huu wimbo umenigusa ubarikiwe Sana Beatrice.
@ziondaughter-xo3bo
@ziondaughter-xo3bo Год назад
Amen 🙏🙏I remember 2019kila mtu wa familia aliniacha I was through a lot ,,but I thank God now iam their favourite now,,
@teddygeorge-zu2tj
@teddygeorge-zu2tj Год назад
Barikiwa sana dada angu 200 Kwa 200 from timbuka
@MeshackAlphonceOfficial
@MeshackAlphonceOfficial Год назад
Hakika Ametunzunguka Yeye , BarikiwaMwana wa Mungu ,Kazi kubwa
@BettyMgimba-zj6gh
@BettyMgimba-zj6gh Год назад
Anaimba Kwa kumaanisha bampenda sana❤
@abemandia
@abemandia 8 месяцев назад
unanibariki kila leo❤
@FredricksonWefafa
@FredricksonWefafa 5 месяцев назад
Wipo muzuri mama mukungu akubariki ❤
@NelsonMandela-gb2sf
@NelsonMandela-gb2sf 3 месяца назад
Hii imeniguza kwa system iko sweet
@marrykwamboka2637
@marrykwamboka2637 Год назад
Amen akika ameondoa ayibu kwangu uyu yesu
@EmmanuelNyaki-d2g
@EmmanuelNyaki-d2g 7 месяцев назад
Hongera dada Kwa kazi nzuri
@charlesjacksontz267
@charlesjacksontz267 Год назад
Ongera Sana by apostle Charles Jackson umeomba Sana hii siyo nyimbo ya kawaida ukiongeza kuomba utafanya zaidi ya hapa songa mbele
@lilianowti5477
@lilianowti5477 Год назад
NAMI atanifuta machozi na aniheshimishe na kurudisha yote ililiwa na nzige.
@ritanjoga755
@ritanjoga755 Год назад
Umeingia ndani ya Bible vizuri sana umejitaidi sana
@roseeleta265
@roseeleta265 Год назад
From tiktok hadi nimeutafuta barikiwa sana mom
@revinaceliber5739
@revinaceliber5739 Год назад
Sauti yako nzuri mno Beatrice jamani 💗😍
@stephenonyiso2124
@stephenonyiso2124 Год назад
Vokali asilimia 200 mdundo asilimia 200
@teddygeorge-zu2tj
@teddygeorge-zu2tj Год назад
Hongera sana from mito ya baraka visiga kibaha
@marcelahmuka5029
@marcelahmuka5029 Год назад
Bety unaupako wa hali ya juu zidi kungara na kutubariki❤❤❤
@MatutuAbdallah
@MatutuAbdallah 5 месяцев назад
Nakupnda ubarikiwe
@edwardchisembe2363
@edwardchisembe2363 Год назад
Dada bt asante sana
@GodfreyGodfreySaje
@GodfreyGodfreySaje Год назад
Wimbo mzur Sana hongera
@janethjackson9774
@janethjackson9774 Год назад
Dada balikiwa sana wimbowako umenigusana naomba namimi nikutane nayesu moyo wanguumejaaa machozi nilivyosikiia iyinyimbo Dada munguakupemaisha maisha makefu
@buyembekmusumali4432
@buyembekmusumali4432 Год назад
Watching you from Zambia I love your songs
@synaidahmukhwana7994
@synaidahmukhwana7994 Год назад
Very unique voice girl
@lameckmnanka9330
@lameckmnanka9330 Год назад
Amina mungu akutetee wimbo mzuli
@waidiyoyadagospelsmusicofficia
Ubalikiwe saana nyimbo nzuri saana
@sarahodeny6232
@sarahodeny6232 Год назад
Nimekutana na yesu kweli
@SophiaJamali-g7i
@SophiaJamali-g7i Год назад
Sauti nzuri nahisi kuabalikiwa 🙏😭🫀
@gresgreesmutoo7508
@gresgreesmutoo7508 Год назад
Umebarikiwa dada Na Sauti poa
@nelsonkuya8986
@nelsonkuya8986 Год назад
Amina Amina Yeye suluhisho letu
@phoebeandati
@phoebeandati Год назад
Beatrice thank you so much for blessing our souls. Beautiful song! We give God all the glory. More God's grace and favor. We love you
@tapindatapinda5043
@tapindatapinda5043 Год назад
such a beautiful song well composed, may God keep on blessing you to bless us with good Gospel sings 💯 %
@faithkomen2258
@faithkomen2258 Год назад
Ameen, what a powerful song indeed Barikiwa mno dear 🥰🔥🔥
@nellybitia7220
@nellybitia7220 10 месяцев назад
You never disappoint....keep going 🔥
@adolfzakayo8739
@adolfzakayo8739 Год назад
Nimeusikiliza kwa mchungaji kitasa at first time
@venosasawaki2207
@venosasawaki2207 Год назад
Very nice and tougchable song
@zakskishuke7707
@zakskishuke7707 Год назад
Amen Dadangu, more grace .
@AnthonyCharles-q7s
@AnthonyCharles-q7s 9 месяцев назад
Amina Dada Beatrice nimependa Sana umenifariji Sana na wimbo wako wa nimezunguka.
@cuhgds4320
@cuhgds4320 Год назад
Wonders my sis love to you
@GloriaWawire-gw2qo
@GloriaWawire-gw2qo Год назад
Juu wimbo wanibariki sana
@GRACENyanda-cn3pg
@GRACENyanda-cn3pg 6 месяцев назад
Mungu akubariki sana 🎉🎉❤❤
@gelviswafula
@gelviswafula 8 месяцев назад
Nice song
@christineobiero8836
@christineobiero8836 Год назад
my all time gospel artist..more Grace sweery..receive much love from Kenya
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Год назад
Ila kazr haka kadada jmn
@erickkenzo2381
@erickkenzo2381 Год назад
❤️❤️❤️nime Kutana na YESU
@getrudeokello2078
@getrudeokello2078 Год назад
Wooow......i really love your songs....quite inspiring.....thank you for the blessings
@drmonicamhoja7228
@drmonicamhoja7228 Год назад
Keep shining for Jesus.
@BarakaMathayo-jv1uh
@BarakaMathayo-jv1uh Год назад
Mungu akubari Sana akuinue viwango vya juu Zaid🙏
@magymlaghui2123
@magymlaghui2123 Год назад
Kazi nzuri Dada nmependa huu wimbo sana kutoka 🇰🇪 kenya
@DeoCosmas
@DeoCosmas Год назад
Nice song song 🔥🔥🔥🔥🔥
@LidyaJuma
@LidyaJuma 6 месяцев назад
Ongera
@mbalunellah-vx7vq
@mbalunellah-vx7vq Год назад
Nabarikiwa sana Beatrice ujumbe mzuri nasikiliza mara kwa mara 🙏🙏
@frankfrancis6965
@frankfrancis6965 Год назад
Barikiwasana ,,Ujumbe mzuri,vocal nzuri,idea nzuri,mixing imetulia,,,
@teclarkanjanda
@teclarkanjanda Год назад
Tho I don't understand the language but the song it make me feel blessed
@sd-lesavoirdedeli2709
@sd-lesavoirdedeli2709 Год назад
Ubarikiwe sana sister
@JustinaMambo-jb4uj
@JustinaMambo-jb4uj Год назад
Amen ❤❤❤❤ from Zambia
@judybarasal5922
@judybarasal5922 Год назад
Amen God of a second chance ukikutana na yesu historia yako yabadilika
@giftgervas9705
@giftgervas9705 Год назад
Tunabarikiwa sana kwa kweli ainuliwe Yesu
@Malkey4real-330
@Malkey4real-330 Год назад
Good music good veber i 👍 like that 👌 my sister God-bless you forever
Далее
BEATRICE MWAIPAJA - NDOTO YANGU (OFFICIAL VIDEO)
7:00
Просмотров 526 тыс.
Martha Mwaipaja -Niko Hapa (Offical video)
17:57
Просмотров 305 тыс.
На самом деле, все не просто 😂
00:45
Japap - Aqueeno Chogo (Official Music Video)
11:03
Просмотров 1,8 млн
Beatrice Mwaipaja - Ni Mungu Tu (Official Audio)
6:56
Nimetembea  Kote Kote
2:16
Просмотров 1,6 тыс.
Beatrice Mwaipaja - Acha Muda Uongee
6:59
Просмотров 365 тыс.
BEATRICE MWAIPAJA - CHAKUTUMAINI (OFFICIAL VIDEO)
4:20