Тёмный

Beka Flavour - Sarafina (Official Video) 

Подписаться
Просмотров 1,9 млн
% 11 214

SARAFINA ni wimbo ambao unazungumzia maelewano ya wapenzi walioko kwenye ndoa baada ya mwanamke kukasirika kwa kusikia maneno ya pembeni.

Видеоклипы

Опубликовано:

 

24 ноя 2017

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,1 тыс.   
@samirkigoda2610
@samirkigoda2610 6 лет назад
Safi saanaa ngoma kaliiiiiii gonga like kama ni mpenz wa mziki mzuri 💥💥💥💥
@samwelotachi3390
@samwelotachi3390 5 лет назад
Sauti nzuri sana from Beka...napenda mziki wako sana from +254
@edwardmwaipopo2839
@edwardmwaipopo2839 6 лет назад
Beka ww fundi huna papala mm ni shabiki yako no 1 bigp for you
@deogratiastembo2401
@deogratiastembo2401 6 лет назад
Edward Mwaipopo Poa Sana unajuwa ila Kwa young asry jipage
@hadassperez494
@hadassperez494 6 лет назад
Wangapi wanaona faida ya yamoto kuvunjika🙋🙋🙋🙋🙋.kundi liliwabana kinoma🔥🔥
@wenske5783
@wenske5783 Год назад
Sai tunatamani lisingevunjika
@estherchamhene212
@estherchamhene212 6 лет назад
Nimeulewa sana Sauti mashallah Mdundo ndo kabisaaaaa Big up sarafina
@sarafinahabimana9610
@sarafinahabimana9610 5 лет назад
Hey sarafina
@kimbaboy7607
@kimbaboy7607 6 лет назад
Aisee bake aushikiki ngoma kali sana mzee baba kiukweli mimi napendaka voice yako sana bro hahah Sarafina nice songs bro keep it up 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🔊🔊🔊📢📢Team USA
@mrishocossan3981
@mrishocossan3981 6 лет назад
safi sana beka,kama unapenda nyimbo za beka gonga like hapa
@tolianimgaya6032
@tolianimgaya6032 6 лет назад
Mrisho Cossan cana man kaz
@emmanuelyohana3320
@emmanuelyohana3320 5 лет назад
Mrisho Cossan noma saaanaaaa
@Fanuel045
@Fanuel045 4 года назад
Mrisho Cossan b'hvk
@Zanzibar_quiztv
@Zanzibar_quiztv 4 года назад
Mrisho Cossan ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-E2iUxMvJbEc.html
@salmajuma3704
@salmajuma3704 4 года назад
Nc
@nyikarappa8604
@nyikarappa8604 6 лет назад
beka unaweza sana kaka yake mie achia like yako hapo
@rayjay7017
@rayjay7017 5 лет назад
Hio ndio bongo iliyonielea tangu nikiwa mdogo sio kama zile ngoma ovyo zinazoimbwa ni kina diamond na wenzake... This is original bongo flavors.. Keep it up brother beka
@gervastweve8612
@gervastweve8612 6 лет назад
beforee one 100000. umetisha sana beka flavour ,nakikubali sana ,oyo tunaoendelea kumsapoti gonga like hapo🔥🔥🔥🔥
@Mtumish_sam
@Mtumish_sam 6 лет назад
Amen Mungu akupe miaxha mrefu kazi nzuri mdogo Wang Mm kiukweli nakuombea kila dey
@elickmaendeleo1141
@elickmaendeleo1141 6 лет назад
msibaaaaa jamn hakika hii ngoma ni 🔥 🔥 🔥 najua waga habahatixhi huyu jamaa #bekaflavour 4life
@omarymchana6380
@omarymchana6380 6 лет назад
beka hongera san chalii..... endelea kusongesha game tz fire boy!!!!!! sarafina
@margeysmarvin7273
@margeysmarvin7273 5 лет назад
Maneno ya kuambiwa...usiyajaji fastafasta mammy. Macho funiko pazia...Masikioni weka pamba darlin Ushairi umekubali
@nellymollel4672
@nellymollel4672 6 лет назад
beat imetoka kwa mzeee mkubwa TRUE BOY FREE NATION
@najmahbaby8690
@najmahbaby8690 6 лет назад
Tisha sanaaaaàa 😍congratulations beka boy unaeza tena sana 👏👏👏
@fanueliwiliam894
@fanueliwiliam894 6 лет назад
Unajua boy so mwenzio anatoa bila mpangilio
@ibrahimomar7554
@ibrahimomar7554 6 лет назад
Unaweza,beka
@ailodigohagi4368
@ailodigohagi4368 6 лет назад
kadir Siku zinaenda uwezo wako unazid kuwa juu hongera sana tena San usiwe na papara ya kutoa ngoma kama wengine nakukubali kwa asilimia 100
@KhadijaKhadija-mk6jf
@KhadijaKhadija-mk6jf 6 лет назад
Beka 🔥🔥🔥 mashair mazuri video pia Kali Sina usemi Sana zaidi kaz nzuri👏👏👏Niulize mm tujenge amani sarafina
@misalabacharles2728
@misalabacharles2728 6 лет назад
Daah!! Beka unajua yaan wimbo unaendana na video lakn Aslay ni mtaalamu kwenye kuimba siyo video
@jumaaramazani5845
@jumaaramazani5845 3 года назад
Nakubal xana ngoma zako kaka
@mlungisimabaso8234
@mlungisimabaso8234 5 лет назад
Rise up Tanzania...dont understand Swahili but it's a nice and sweet language almost worldwide and your music Tanzanians has turned my daily bread..... 😍Love all the way from South Africa
@cozid536
@cozid536 6 лет назад
Becka tibbim, wa kwanza toka 254 nipe 1000 likes. Gonga like alaa!!😀
@husseinthakeem4758
@husseinthakeem4758 6 лет назад
jamaa tang yuko yamoto nlikua nasemaga kuwa ndo mkal bt watu walikua wanamchukulia pw tu
@princenewton
@princenewton 6 лет назад
DjKip Mix Master ungo mie wakwanza 😂😂
@josebrownbongo9777
@josebrownbongo9777 6 лет назад
DjKip Mix Master nimegonga bt ni 5 tena
@johnsonmichael3378
@johnsonmichael3378 6 лет назад
mzee umetisha Jans from chuga uwiiiii kinukishe
@hajishabani7080
@hajishabani7080 6 лет назад
DjKip Mix Master nzuru san
@ummuasmaa2255
@ummuasmaa2255 6 лет назад
Sarafina Awwww This is Baeeeeeee
@shabanyambi4913
@shabanyambi4913 6 лет назад
Naamini katika hili kuwa ni Booonge la kazi mzee baba umeinyuka hiiiii....... Shoutout to SARAFINAAAA......😁😀😂😃😄😅😆
@emmmykitangalala172
@emmmykitangalala172 6 лет назад
Hongera Beka mungu azidi kukuza kipaji hiki nyimbo hii hainichoshi kila simu nasikiliza
@susanruo8087
@susanruo8087 6 лет назад
This guy is slowly becoming something else.... +254 registered already
@princenewton
@princenewton 6 лет назад
Kenya is in the building baby as usual 😂😂😂First to comment achievement made wapi likes za Bekaflavor jamani team +254 na +255 becka u never let us down bro. 💪
@cozid536
@cozid536 6 лет назад
Prince Newton becka tibbim
@princenewton
@princenewton 6 лет назад
DjKip Mix Master tialala😂😂😂
@cozid536
@cozid536 6 лет назад
😂😂
@mohamedngoli5478
@mohamedngoli5478 6 лет назад
ngoma kaliiiiiiii xanaaaaaa
@mamukisu4015
@mamukisu4015 5 лет назад
Safisana beka maneno yanajenga na yanabomoa
@beforeim2514
@beforeim2514 6 лет назад
Chupa moja kali sana beka flavour. Kizuri zaidi ni hizo lyrics. Beautifully written song.
@mwasambuerick9576
@mwasambuerick9576 6 лет назад
254 imefika na imekubalika.. This is the real bongo flavour sound we have been missing lately.. Big up sana Beka.
@robertmwasoghona4124
@robertmwasoghona4124 2 года назад
Exactly
@matthewwachealsea5818
@matthewwachealsea5818 6 лет назад
Bekaaaaaaaaaaaaaaaaa Nakuelewa kinyama mwana Asilay Akalale Na midundo yake inayofanana. Kama Umeielewa na Unamkubali #Beka Kama Mimi navyo mkubali gonga like hapa twende sawa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌One love #Beka
@katturuadam2381
@katturuadam2381 6 лет назад
Matthew Wa CHEALSEA mmmmm
@edobilaly5220
@edobilaly5220 6 лет назад
Matthew Wa CHEALSEA xn
@SwahiliMedia
@SwahiliMedia 6 лет назад
Matthew Wa CHEALSEA Nouma
@willymtnmsafi8875
@willymtnmsafi8875 6 лет назад
Hu wezi kulinganisha aslay na beka,aslay ana mzidi beka
@SwahiliMedia
@SwahiliMedia 6 лет назад
Blessed Boys Aslay Kutunga Hana Ujuz Kumzid Beka......... Libebe Moja Sawa Na Ngoma 8 Za Aslay....... Hyo Sikinai Sasa Natamba Ikasome Yaan
@dominicnzai8256
@dominicnzai8256 5 лет назад
Mziki mzuri Unaishi Wala hili halina Ubishi#Sarafina#Bekaflavour
@nellymollel4672
@nellymollel4672 6 лет назад
Classic song big up beka together
@yuleboypop8459
@yuleboypop8459 6 лет назад
bonge la ngoma nimeipenda kinoma
@tausak4568
@tausak4568 6 лет назад
Uja wahi shindwaaa 😘😘😘
@amisisteven8339
@amisisteven8339 6 лет назад
Beka aushikiki tena kwa kasii hii baba ,,,, nakukubalii saanaa ......duhh nilizaniii nitakuwa wa kwanza hapa duhh team USA muko wapiiiii ...SARAFINA out
@amurikakombe7213
@amurikakombe7213 6 лет назад
amisi Steven , umeona kituuuu team usa🇺🇸 tupoooo
@loibigirimana2840
@loibigirimana2840 6 лет назад
Tupo😜
@amisisteven8339
@amisisteven8339 6 лет назад
amuri Akombe chafuwenii Sasa hapaa ,,, sharing it
@amisisteven8339
@amisisteven8339 6 лет назад
Loi Bigirimana nawakubalii saana 🍾😂
@amurikakombe7213
@amurikakombe7213 6 лет назад
amisi Steven atushindwiiiiiiii
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 9 месяцев назад
2023 September Nani yupo hapa kusikiliz sarafina km mm 👌💜💜
@ibrahimomarmussa4137
@ibrahimomarmussa4137 6 лет назад
HIII Ngoma inatoa sumu mwilini aijalishi kiasi gani zilikuathiri kama unaikubari hii ngoma #LIKEHAPA kama unamkubari beckha #LIKEHAPA SARAFINAOUTNOW
@denniskipngetich1842
@denniskipngetich1842 Год назад
This song reminds me of my roommate at the Technical university of Mombasa He used to play this song on repeat mode....good memories those ones.
@isaacmchokopa8409
@isaacmchokopa8409 6 лет назад
Sarafina,,,hii ngoma haichoshi,,beka unakipaji sanaa
@deborakamsi
@deborakamsi 6 лет назад
Woyoooo 😘😘😘😘😘😘where is uk girls gonga like yako kama unamkubali beka
@mshenmduma9318
@mshenmduma9318 6 лет назад
Yedida Tumsifu
@aishajumaaisha2769
@aishajumaaisha2769 6 лет назад
Yedida Tumsifu ...
@jahdaughterwambotosh7906
@jahdaughterwambotosh7906 6 лет назад
Uk with Broken English
@salimmohd8279
@salimmohd8279 6 лет назад
duu
@Zanzibar_quiztv
@Zanzibar_quiztv 4 года назад
DEBORA KAMSI ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-E2iUxMvJbEc.html
@stanislastv3786
@stanislastv3786 6 лет назад
BEKA unaweza kazi kaka Nimeona sasa kumbe wewe Sio kama wale wakina #DR_SHIKA
@biommy6700
@biommy6700 6 лет назад
Stan Denis...pwahahaa lol .
@jeanmusafiri9966
@jeanmusafiri9966 6 лет назад
beka thx for the song.keep up
@marcadeful
@marcadeful 5 лет назад
I have no idea what he's saying, but the song is absolutely beautiful. African sound is beautiful, Tanzanian songs are beautiful. Well done boy!
@joycepeter1994
@joycepeter1994 3 года назад
Nice song 💕💕💕 kamaaaa na ww unamkubaliii bekaaa tupiaaa likw2020
@valerianmchau5188
@valerianmchau5188 3 года назад
Beka kama beka from IFAKARA 🔥🔥🔥
@godfreyjulius536
@godfreyjulius536 6 лет назад
Nmekusomaa beka.. nyimbo nzuri sana
@mangiclaus
@mangiclaus 4 года назад
Wanaotazama hii ngoma 2019 tujuane
@weweangelo6026
@weweangelo6026 3 года назад
Nakupenda sana. Beka🇧🇮🇧🇮😘😘
@kelvinmatita8981
@kelvinmatita8981 6 лет назад
Unajua mzee baba
@jojo_linkissabiny5238
@jojo_linkissabiny5238 5 лет назад
nakubali Mtoto wa nyumbani unawakilisha vyema kabisa tupo pamoja 🤣😍😍😍
@nemnem7431
@nemnem7431 6 лет назад
Hiviii mbona nampendaga huyu Beka hivi..?. Pokea zangu salamu kutoka Uswizi....😘😘
@barakahtheeldest4175
@barakahtheeldest4175 6 лет назад
Fantastic beka,iko poa sana congratulations
@somoirejonathan1688
@somoirejonathan1688 5 лет назад
Milele yua fun aky unakuza penzi nzuri kwa mafun waliokwenye ndoa,,,,,gonga like from +254
@aziharyruhonda6846
@aziharyruhonda6846 6 лет назад
Wewe Becka flaver unajua hadi unaudhi mdogo wangu! Wewe kwangu namba 1 Tz
@petersimfukwe9802
@petersimfukwe9802 4 года назад
This song reminds me of my final exams in December 2017. I used to play this song each time I got tired of studying.
@bettymaile9520
@bettymaile9520 6 лет назад
you kill me beka...many kiss from cameroon. ..I do ont understand what is meaning but all yours songs are sending me To heaven
@joseecontroversial8720
@joseecontroversial8720 6 лет назад
Betty Maile the melody + the beat is the killer
@juliussanane1860
@juliussanane1860 6 лет назад
Hey Bet this song is about to be patient in love,Beka sing to his girl Sarafina that she should be patient,sometimes if there something that doesn't go well Sarafina should ask first Beka before making desicion,So Beka try to convince Sarafina to have peace in their relationship.
@lucyhonore9050
@lucyhonore9050 6 лет назад
Come to east Africa hun
@richardsamwel3054
@richardsamwel3054 6 лет назад
Betty Maile nxe song even me touch
@Dm-yd1tl
@Dm-yd1tl 6 лет назад
wawoo had Cameroon welcome Tanzania
@khanclo8718
@khanclo8718 6 лет назад
From Pakistan and I don't know Swahili well but I can say Beka wewe ni Mwoto wa kuotea mbali .Likes zake hapa
@wrongnamemtuwahapa
@wrongnamemtuwahapa 6 лет назад
Hakuna apendae muwa kula palipo fundo ila kinyonga mtaratibu kwenye amani ila kwenye vita anakimbia hapa Beka umetisha sana one love BIG UP
@MrPwesht
@MrPwesht 5 лет назад
@Beka, I Cant have enough of this song! It is a classic!
@katalinapius4140
@katalinapius4140 6 лет назад
Kaliii Aslay akaimbe na watoto wenzieeee
@janethkilonzi4260
@janethkilonzi4260 4 года назад
Kabisa!!
@stephanomwambebule4380
@stephanomwambebule4380 6 лет назад
Daaaaaaaaaaah braza... U are xo bright and unique in ua work... I salute u
@HassanKhalfan
@HassanKhalfan 5 лет назад
kijana kazaaaaa, unatoka vema, mtoto wa Ifakara, uko vizuri, unaimba tena kwa gusa nyoyo za mashabiki wako, asante kaza usirudi Nyuma kijana
@gilbertalex1651
@gilbertalex1651 6 лет назад
Beka mnyama💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿👏🏾👏🏾👏🏾
@omigabriel2610
@omigabriel2610 6 лет назад
My favorite Beka flavour From 254 Watch extraordinary by omi Gabriel support Kenyan music
@judithmapunda5137
@judithmapunda5137 6 лет назад
venye nakupenda na nyimbo zako poa hazchuj haraka,jitahid na mungu andelee kukupanguvu uzd toa nyimbo nzur zaid
@jamesmponda6626
@jamesmponda6626 6 лет назад
Iko powa sana beka 100. mzazi tunakuelewa kinoma noma
@salmambongo8443
@salmambongo8443 6 лет назад
Oyooo only made in tz nd not china😘😘😘😘keep up💪💪💪
@mimzkay5467
@mimzkay5467 6 лет назад
Beka I pity u bkz after this u'll be charged for murder bkz u jst killed right there bro! Mad love from Kenya😍😍😍😍 the jam is lit🔥🔥🔥 someone pliz call the fire department on this.
@josephkarisa7940
@josephkarisa7940 5 лет назад
hapo chacha
@radicalljinari3863
@radicalljinari3863 3 года назад
254 tuna roho safi SNA ya sapoti
@margeysmarvin7273
@margeysmarvin7273 5 лет назад
Ulipaswa uwe mvumilivuu....ungesubiriaa. Maneno yanajenga...mengine yanabomoa nani apendaye kula muwa kwenye fungo? napendaaaa...Beka uko juu
@hembechotz3309
@hembechotz3309 6 лет назад
kaz unaweza beka pambana na hali za watu
@josebrownbongo9777
@josebrownbongo9777 6 лет назад
hii ngoma inanifanya nifil kwenda kisumu kuuza line za safaricom😂😂😂.becka njoo kenya jamani
@suitbertmaro5792
@suitbertmaro5792 6 лет назад
Jose brown bongo 😂😂😂
@abineryantonykilulu954
@abineryantonykilulu954 6 лет назад
Jose brown bongo hahahaha kisumu watakuua
@hidayahadia9649
@hidayahadia9649 6 лет назад
Jose brown bongo 😂😂😂😂😂🔥🔥
@josebrownbongo9777
@josebrownbongo9777 6 лет назад
Suitbert Maro wanaweza kanitoa mbio
@josebrownbongo9777
@josebrownbongo9777 6 лет назад
Abinery Antony Kilulu95 wanaweza kanimaliza boycot😂😂😂
@wilonjahatua2067
@wilonjahatua2067 6 лет назад
Kama beka hajawahi kukuangusha kama mimi like nyingi kwake
@chukulisa5742
@chukulisa5742 6 лет назад
NYC song
@wilonjahatua2067
@wilonjahatua2067 6 лет назад
Umeona hee
@kevinsyavana6295
@kevinsyavana6295 6 лет назад
Nice san
@wilonjahatua2067
@wilonjahatua2067 6 лет назад
Kevin syavana 💯
@shabanirashidy8734
@shabanirashidy8734 6 лет назад
Good good beker
@geoffreyarwasa2028
@geoffreyarwasa2028 2 года назад
nyimbo zako hunifanya nasisimka sana ni kama yananihusu aisee hongera jamaa yangu you will forever remain on top of my playlist.
@iddyjay899
@iddyjay899 6 лет назад
safi sana chief wa bongo flavor karibu ARUSHA safinaaaa
@bashirmkambala2407
@bashirmkambala2407 4 года назад
Gongs like yako hapa ili twende sawa tunaoitazama sasa 2020
@Ngepetv
@Ngepetv 6 лет назад
kitu kikopoa gonga like ❤ kama umeipenda
@margaretnjeri8949
@margaretnjeri8949 6 лет назад
Ngepe McharoTV happy sasa
@zuberkabanda576
@zuberkabanda576 6 лет назад
napenda sana
@zuberkabanda576
@zuberkabanda576 6 лет назад
Beka nakukubali Sana Kaza ivyoivyoooooooo
@shandrackmumba830
@shandrackmumba830 6 лет назад
poa xana
@kisakakisaka7342
@kisakakisaka7342 6 лет назад
Kiukweli song limesimama
@salimabdukalim5634
@salimabdukalim5634 6 лет назад
bekae katka mziki uki vzur rndelea kuwabzzz
@maenzemasinde3158
@maenzemasinde3158 4 года назад
Beka.unaujumbe..mkarisana...inyimbo.ikopoa.sana...beka.imeipenda.ikosawa
@educosmas4649
@educosmas4649 6 лет назад
slowly start ila ni hit juu ya hit. we n baddest flavour 🔥🔥🔥🔥🔥💤
@saimondava4194
@saimondava4194 6 лет назад
nakubali kaka
@aronmsigwa1889
@aronmsigwa1889 6 лет назад
Sina lakusema ila umetisha kijana
@besumitv8674
@besumitv8674 6 лет назад
Acha niwe muwazi mdogo wangu, wewe ni msanii ninaye kukubali kuliko wooote, katika utuamiji wa sauti yako kihalali. Nadhani meseji sent
@saiterielukumay1254
@saiterielukumay1254 5 лет назад
Mr beka nimekukubali sana piga shoo nje ya nchi sanasana kenya tunakukubali sana , bgaup
@halimaamini8015
@halimaamini8015 6 лет назад
Nisheeeeèeeeeeedaa bekaa hongera mzee baba video kali sana
@alvinmubiai6319
@alvinmubiai6319 6 лет назад
Here I’m too mr beka nice video man Always keep it up
@amisisteven8339
@amisisteven8339 6 лет назад
see you blood ,,,,, beka on the game duhh fireeeeeeeee
@mspwjjjso6261
@mspwjjjso6261 2 года назад
Kwajina naitwa Amina Saidi kwakweli mapenda saut ya huyu BEKA mwaaa
@planetsaturn7426
@planetsaturn7426 6 лет назад
atutakagi pupa coz atushinani namtu beka kiba wapili asante mzee babaa
@DenyoReigns
@DenyoReigns 6 лет назад
Bado wimbo mmoja tu Beka nisubmit majeshi yangu pia kwako,Nandy kashaniteka piga kazi mzee....utunzi 100%, video 100%, Beat 100%...#Unajua
@asinjimusic4641
@asinjimusic4641 5 лет назад
I love this song it's my number one song i listen to this song everyday
@justinsimwinga3048
@justinsimwinga3048 6 лет назад
Uko vizuri flavour like kama umeipenda songs
@wasajo
@wasajo 6 лет назад
Beka flavor upo vizuri huku mtaani wanakukubali sana kaza na mwendo huo
@hamisimnaleke9937
@hamisimnaleke9937 6 лет назад
kinyonga mtaratibu kwenye amani ila kwenye shida akakimbia ###
@SwahiliMedia
@SwahiliMedia 6 лет назад
sema ndgu yngu hii ya kutoa nyimbo kila baada ya miezi mitatu...... inatupa tatzo kidogo fans wako...... inafika kipind tunataka flavour zako but taratbu zinabana kwko
@wrongnamemtuwahapa
@wrongnamemtuwahapa 6 лет назад
Beka hapa my friend hii kazi mimi nakupa tiki mia unaweza sana BIG UP UPO VIZURI SANA
@hamismalimungu9959
@hamismalimungu9959 6 лет назад
Hii ngoma sio Kali Becka bora nikwambie ukwel tu inabid ufanye kitu kngne kaka
@suitbertmaro5792
@suitbertmaro5792 6 лет назад
This song is hot and will take you to the next level. The lyrics killed it, pure bongo flava. Big up Beka
@jordanmwaipopo3529
@jordanmwaipopo3529 6 лет назад
Wa kwanza kucoment appreciate bro
@zaiiomary8970
@zaiiomary8970 6 лет назад
Nakukubar bake jmn upo vizuli
@user-sx2zg9gw2k
@user-sx2zg9gw2k 4 месяца назад
Utaenda mbali beka ,Ngoma safi keep it up.
@andrew0502
@andrew0502 6 лет назад
Hongera pia Awesome kwa kazi hii mzee bhaba, level za Lizer upo juu Awesome,,
@pettermollel2531
@pettermollel2531 6 лет назад
Top views
@allyally142
@allyally142 6 лет назад
Swala la video ushamkalisha Aslay tayar audio u need two extra dongs to prove u r the best. Ila swala la video ushamaliza
@maulidabdallah8952
@maulidabdallah8952 2 года назад
Moja kati ya msanii wangu bora kabisa Ktk nchi hii
@amurikakombe7213
@amurikakombe7213 6 лет назад
team #beka team #sarafina. njoooni tu watching kituu cha maana🤗👋 dhuh!! hihi nyimbo ahija muacha mtu salama . big up brooo 🖖👊🤛👏