the onlyz bongo artist who maintains his status in bongo fleva music, yani kuanzia nikutambue sijawai sikia nyimbo za matusi wala kukosea heshima jamii i wsh hii nyimbo ifike 2m in jst 24 hrs best song of the year 🎶🔥🔥♥️🇰🇪
The top top top artist from yamoto band yaan akitoka King Kiba unafuata ww kwa kuimba nyimbo zisizo ikosea heshima Jamii pamoja na msanii husika yaan hamjui kuimba matusi all the best in your job
I real love this guy than the all artist from Yamoto band #Binai listening all the way from Kenya big up sana Beka tunakupenda tunakutambua sana Huku Kenya endelea kuakilisha kaka 255 Hadi 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Asante sana mkubwa Fela kwa kutuletea msanii wa kukongo nyoyo zetu, hakika Toka nimeanza kumsikia beka sikuwah kujutia nilitaman Kila siku atoe nyimbo, ninazo nyimbo zake karbia zote kwenye flash yang, beka you're number one artist for me