Nyimbo nzuri sana, ukivaa kama binti wa Yesu itapendeza, yaani usifanane na hao waduniani. Tumia jina la Yesu, ukiimba bila kumuinua bado inakua haijatulia. Maana hata duka langu naweza tu kuliita Alfa na Omega na isiwe na maana yoyote. Muinue Yesu. Usiwe kama hao wanaimba Gospel isiyo na Yesu, na tunajua wako kibiashara zaidi. Ni hayo tu🙏
dada Bella katika ile kweli mim huduma ya uimbaji unayofanya ninaipenda sana sana MAONI YANGU DADA TUTUNZE USHUHUDA HASA KWENYE MAVAZI NA MUONEKANO DADA HILI NINAOMBA HATA KWAKUPIGA MAGOTI DADA MZURI NINAEPENDA HUDUMA YAKO N Ili tuwe na utofauti kati ya sisi wainjili nawale wasio wa injili NAKUPENDA MUIMBAJI MWENZANGU MUNGU AKUTUNZE
Barikiwa sana , nimeisklza hii nymbo mara ya 19 sasa, umekuwa wimbo wa tofauti sana kwangu, unanipa zaidi kutambua ukuu wa Mungu #alphaomega #hakunakamawewe
ANY ONE 2019 ALIEMMIS BELLA...HIT LIKE PLLLLZZZ TUJUANE....BELLA ANAMPENDA MUNGU NI MTUMISHI WA MUNGU MAANA SIO KWELI KWAMBA HAWEZI KUYATUMIKIA YA DUNIA ROHO YAKE INAMUIMBIA MUNGU ALIE MKUU .....SIIIIIIIIING BELLA TUNAOKUPENDA NIWENGI SEMA HATUNAGA MAKELELE........IMBAAAAAAAAAAAAAA
Barikiwa na Mungu wa mbinguni Bella nimeifutlia interview yako uliyoifanya na mirrdayo nimependa kusikia kuwa before ulikuwa unamtumikia shetani na baadae ukajua huko siyo kwako mtumikie Mungu nae atakutumikia atakuinua Mara mia ya vike ulivyokuwa Kwa shetani kupitia wewe kina Bella wengi nawaona wakitoka mikononi Kwa falao wakija kuungana na wewe umeamua wamuzi sahihi sana hautojutia Mungu atakuheshimisha watu watakushangaa soon kwamba huyu ndo Bella!!!
People be judging Bella Kombo of her dressing code,yet some of you here are worse. Remember this was her first song after coming from the world. Goodos Bella 🎉🎉,more grace
Mi hii mwaka ni Mimi na mtumishi wa Mungu Bella, it's a wonder I've never seen this song or heard it but for the last 3 days I've been listening to it like 4 times in an hour, I just can't help it. Powerful worship to my God.
Nakosa cha kuongea ila nampenda sana mtu anaemsifu Mungu na kuabudu nakupenda sana Dada usibadili huu mfumo Mungu anapenda sana kusifiwa na kuabudiwa kuliko kuimba nyimbo za kulalamika Mungu akubarik endelea kumsifu Mungu
Ooooo NAKUPENDA MY UKO VIZURI KULIKO UNAVYOJIJUA NA KUFIKIRI ILA NAOMBA NIKWAMBIE KITU BADILISHA MUONEKANO WAKO ALAFU UTAONA KITU MUNGU ATAFANYA KWAKO ,HAUKO UNAVYOJIONA UKO ZAIDI YA UTUNAVYOKUONA PIA JITAIDI KUBADILI MUONEKANO WAKO KILA ENEO HUTAJUTA KUCHAGUA KUMTUMIKIA MUNGU ,NINAKUPENDA SANA NATAMANI UNGEKUWA JIRANI YANGU NIPATE KITU KWAKO SIKIA UNAVYO VITU VYAKUWAPA WENGINE WEWE ICHUCHUMILIE IYO KWELI UTAONA NAKUPENDA NATAMANI HATA NIONGEE NA WEWE KWA SIMU
Wozza wozza the voice , the pitch and everything is actually on point, I love to see beautiful people like you singing gospel, u killed it Bella, keep it up ,we got your back Angel
Wimbo mzuri sana Ujumbe umenibariki Ila Nakuomba ubadiri mavazi Pia hiyo michoro kifuani na karibia na bega kama inafutika husiiweke kama hafutiki basi no way but unaweza kuimba vizuri nimalekebisho tu endelea kumtumikia Mungu
Namesake you’re beautiful! Bellas rock. This gospel of the Lord needs to get to all corners of the world so spread the love like fire, use your words to inspire
Wakiwa n kondoo wataisikia sauti yake sio mm ndani yangu Bali n yeye mkishusha uwepo namna hii vaeni Kwa heshima si Kwa Kwa kuacha mabega njee Dagoni anaeza angunga ila yezeberi mama WA mapambo na ukahaba anaeza nyanyuka kaka natural jisitiri shush uwepo Baki na mwenyewe uwepo usibaki na watu wanaosifia wimbo Baki na Mungu
Daah dada Bella you are so Anointed,very Anointed ...you are no just another artist ,you are something else in the realm of spirits ..your are blessed continue to bless us also
kama wew nimsomaj wa biblia# nimsomaji was biblia jarbu kufuatilia namna impasavyo kuonekana mtu aliye okoka s then najua utabadilika # maana mungu kakupa kipaji lakin umekichanganya na mambo ya dunia kwa maana ya mavazi# nani kakudanganya dhambi haianzii katka mwaili# wakat miil ndiyo dhabihu ya mungu @ anasema tumekua hekalu# iv mungu amekuwa wa kufananiahwa na wanadam et# haangaliii mavaZI# iv kama wasanii wa gospal wa kiume kama Paul Clement wakiwa wanaimba huku wamevaa sual chin ya kiuno napo tutasema tusiangalie mavazi# tafadhali utakuwa hujaisoma biblia vzur nahapo ndipo maarfa yetu yanapotea# nakutakia mtazamo mpya na maisha mema ktk kazi yako Amen#
mambo ya dunia kivipi na wakati anaimba nyimbo za kumsifu mungu, baada ya kumtia moyo nyie mnaojiita wsatakatifu ndio mnaoshiriki kuifanya huduma yake ione kane si ya maana! wabongo jaman! tunajionaga sn watakatifu
Atake sema nyimbo mbaya huo ni wivu tu Kwanza message nzuri na imejitoshelezaMbili dada umevaa vizuri current ma kwa kujistiri hili huwa tatizo kwa wengi lkn umejitahidiTatu location na scenes ziko vizuri sana na story imeeleweka kwa lugha ya pichaMWANZO MZURI NATAMANI KUONA GOSPEL SINGERS LIKE U KEEP IT UPIG@gideon_paul_magangira
Waoh! The massage is cool as well as the Video but the worst thing is that white dress. The song you sing is for the most high and perfect God not human so why you didn't put on something that glorifies the one you are singing for? Unless u where pointing a human and not God.
Tutumike mama tukiwa vijana tuna nguvu. You bless me Mungu akuinue kwa viwango vingine na usiache kumtumikia acha Roho Mtakatifu akuongoze usifanye kwa akili zako.Love you!!!!!