Тёмный

Bella Kombo -Ahsante ( Official Live Recorded Video ) 

Bella Kombo
Подписаться 238 тыс.
Просмотров 334 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 480   
@maonezinyagalu9393
@maonezinyagalu9393 7 месяцев назад
Apostle Mwamposa anaupenda sana huu wimbo. I first heard him sing this song during a Sunday service.
@jackycharles6419
@jackycharles6419 3 месяца назад
Kabisa anaupenda sanaaaa 😊
@melchizedeklonglive8329
@melchizedeklonglive8329 2 года назад
I was playing piano at Jesus culture ministries in Kenya during 2nd universary, when Bella began to sing I felt electric current flowing through my fingers I can't explain the spiritual transaction that took place but all I know Bella is a uniquely anointed Vessel of Yahweh, God bless you my sister
@melchizedeklonglive8329
@melchizedeklonglive8329 2 года назад
You're blessed
@salmaiddi4614
@salmaiddi4614 2 года назад
She is soooo blessed.... whenever i hear her voice i get goosebumps
@vickykisuli4924
@vickykisuli4924 2 года назад
I want to play piano or bass guitar in one of her songs someday for God... I want to feel the electricity too 🙌🙌🙌🙌💕💕
@boazdanken
@boazdanken 2 года назад
Asante Sana YESU Mungu Akubariki sana Dada Bella Kombo
@chaufangpapian6692
@chaufangpapian6692 9 месяцев назад
Bella kombo ni mfano wa malaika wa mbingu wakiimba na kusifu. Unatumika na yaweh
@AfricanMoran
@AfricanMoran 2 года назад
I always love it when notification says someone liked your comment and you have received a subscriber this motivates me and make me work tirelessly. God bless you for subscribing.
@carolynembugua3040
@carolynembugua3040 Год назад
Yale umetenda, na yale umefanya Tumekuja na asante, asante, asante Bwana Kwa yale umetenda, na yale umefanya Tuko hapa na asante, asante, asante Bwana Si lugha za malaika, ni lugha za watoto wako Tuko hapa na asante, asante, asante Bwana Na kama ni maandiko, na wino nimemaliza Nimekuja na asante, asante, asante Bwana Kulia nimelia, machozi yamekauka Nimekuja na asante, asante, asante Bwana Amen, Hallelujah Amen, Hallelujah Amen, Hallelujah Iyoo, asante, asante, asante Bwana Amen, Hallelujah Amen, Hallelujah Iyoo, asante, asante, asante Bwana Amen, Hallelujah Amen, Hallelujah Iyoo, asante, asante, asante Bwana Amen, Hallelujah Amen, Hallelujah Iyoo, asante, asante, asante Bwana Amen, Hallelujah Amen, Hallelujah Iyoo, asante, asante, asante Bwana Amen, Hallelujah Amen, Hallelujah Iyoo, asante, asante, asante Bwana Amen, Hallelujah Amen, Hallelujah Iyoo, asante, asante, asante Bwana Amen, Hallelujah Amen, Hallelujah Iyoo, asante, asante, asante Bwana
@carolynembugua3040
@carolynembugua3040 Год назад
The Lyrics are to help me sing along whenever I come back here 😅
@lorencosimon2510
@lorencosimon2510 6 месяцев назад
Thanks
@salomerobert3583
@salomerobert3583 2 года назад
Unaimba mpaka unaimba tena,MUNGU akuinue viwango vya juu sana,akubariki,akutunze,aitunze sauti Yako,Asante the best song
@giftness7038
@giftness7038 6 месяцев назад
Waliotendewa makuu na Bwana Yesu ni vyema na Haki kusema asante.Kama unakumbuka kusema asante join me kusema asante tena na tena.Asante❤❤
@rachelkihaka9204
@rachelkihaka9204 5 месяцев назад
❤❤❤❤ kwa mala ya kwanza nimeusikia kwa Mwamposa nikaupenda mno kupita maelezo na leo nimempata muimbaji OG Asante Yesu
@timothykariuki7569
@timothykariuki7569 2 года назад
It tap the instrumentalist anointing in Jesus name
@bucchithedeejay2306
@bucchithedeejay2306 2 года назад
Hallelujah #Ahsante Woman of God.. +254 well represented 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@puritymmayi3364
@puritymmayi3364 2 года назад
I discovered this song recently after going through the worst period of life. God returned the years the locusts had stolen! I heard this song and I just cried to God for answering my prayers and giving me peace and joy. Continue trusting in God. He will come through! He will work it out. 🇰🇪
@jairuspenet4257
@jairuspenet4257 2 года назад
Amen purity God is so faithful
@loverofHS
@loverofHS Год назад
Amen. Awaiting my big testimony by faith as I say Asante to Mighty God. He is more than able.
@daissywanjiku872
@daissywanjiku872 10 месяцев назад
The last day of 2023🎉 God I am grateful 🙏 Nimekuja kusema asante 🙏
@deborahzagwi9052
@deborahzagwi9052 2 года назад
Dada unatunga nyimbo dah nataka kukuona Africa ukingara
@fidesngowi6264
@fidesngowi6264 Месяц назад
Nimejua wimbo huu kutoka kwa Apostle Mwamposa yani hakuna ibada huu wimbo haimbi..nimebarikiwa sana
@zoravoofficial607
@zoravoofficial607 2 года назад
What an African jam 🕺🏻💃🔥🙌🏾
@mercyatieno5944
@mercyatieno5944 Год назад
You are also doing an amazing job brother. I love your music from Kenya
@CatherineNzeki
@CatherineNzeki 2 месяца назад
TRUE.ZORAVO WEWE NI MTUMISHI WA MUNGU NA NABARIKIWA NA NYIMBO ZAKO
@melchizedeklonglive8329
@melchizedeklonglive8329 Год назад
Bado nko hapa 2023 saying BIG THANK YOU to my God for sustaining me 🙏🙏🙏🙏
@DrNeemaBalige
@DrNeemaBalige 2 года назад
Music arrangement,vocals,dresscodes, the song, anointing🔥🔥🔥all on point. Bless you mtumishi wa Baba. Glory to God!
@st.juniorsilwimba9691
@st.juniorsilwimba9691 2 года назад
Hii Comment niicopy na Kuiposte Tena Nini,,, maaana ndicho niliwaza kuandika🔥🔥🔥🔥🔥
@benmparanyiofficiel9988
@benmparanyiofficiel9988 2 года назад
Amina na amini hii ita ku bariki pia 👉🏻ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-9uJYAtHEXR8.html God bless you🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@nathanmwakabana
@nathanmwakabana 2 года назад
🗣🗣🗣 waooooo!!! Asante Yesu umebadilisha wimbaji now we praise you God. Nyimbo za kusemana hazipo tena
@mikeflix6112
@mikeflix6112 2 года назад
The bassist😎👊
@joseph-ngabo
@joseph-ngabo 2 года назад
South African flavour mixed with your anointing and swahili Wow its just a💣💣💣💥💥💥
@benmparanyiofficiel9988
@benmparanyiofficiel9988 2 года назад
Amina na amini hii ita ku bariki pia 👉🏻ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-9uJYAtHEXR8.html God bless you🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@kelvinsoavnjenga6531
@kelvinsoavnjenga6531 2 года назад
Am really blessed, finding every reason to tell God "Ahsante".. 🇰🇪🇰🇪
@kestinmbogo
@kestinmbogo 2 года назад
Oh I love this! Indeed nimekuja na Asante. God has been so faithful towards me. You’re a blessing Bella ❤️❤️
@brendaingutia4672
@brendaingutia4672 2 года назад
And you too minister of God Kestin. Your music ministry is a blessing. To greater heights in Jesus name
@benmparanyiofficiel9988
@benmparanyiofficiel9988 2 года назад
Amina na amini hii ita ku bariki pia 👉🏻ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-9uJYAtHEXR8.html God bless you🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@marlenekhakoni1404
@marlenekhakoni1404 2 года назад
Nifinyange song imenileta hapa. Indeed I can see God in you. You are such a unique vessel. Umebarikiwa Dada Bella 💝💝💝
@hillarimtambo482
@hillarimtambo482 8 дней назад
Amen 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@ruthshango4791
@ruthshango4791 11 месяцев назад
Nimekuja na asante
@cynthiawangarindungu
@cynthiawangarindungu Год назад
Amen.....sijui mbona mm nikisiliza nyimbo za Bella.kila wakati mm hujipata nasema tu Amen. Mungu na akubariki zaidi na zaidi. #Lot's of love from 🇰🇪 KENYA
@Ceciliakingazi-u7e
@Ceciliakingazi-u7e Месяц назад
Ahsante Bwana
@chedielmmbuji8844
@chedielmmbuji8844 2 года назад
Dada Bella hapa kwel umefanya Big👍
@raheliezekiel2913
@raheliezekiel2913 2 года назад
Bonge moja ya live performance 👏👏good job my sister, Hakuna kurudi nyumba in Jesus name I HOPE MUNGU AMEIPENDA PIA☺️
@justinemakula5236
@justinemakula5236 2 года назад
wimbo mzuri sana. Neno asante ni sauti ya imani.Barakiwa kwa kazi nzuri mtumishi wa Mungu
@deniskissaro
@deniskissaro 2 года назад
Hii nyimbo hakika imefanyika kuwa Baraka Sana kwenye maisha yangu .Dada yangu Mungu azidi kukuinnua viwango vya juu🙌🙌🙌
@benmparanyiofficiel9988
@benmparanyiofficiel9988 2 года назад
Amina na amini hii ita ku bariki pia 👉🏻ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-9uJYAtHEXR8.html God bless you🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@alicekasereka8786
@alicekasereka8786 2 года назад
Una imba vizuri sana dada Bella, I like your voice
@benazirmodest8576
@benazirmodest8576 2 года назад
uwii nimengojea mie🍎🌹♥️nakupend jmn unaimb vizur uwii
@joycekadzo4822
@joycekadzo4822 9 дней назад
Gifted
@healingclinic978
@healingclinic978 2 года назад
Waimbaji wa Tanzania mmeanza kujitambua Sasa mlikuwa wapi sasa kuimba live mlikuwa unatufanyia madudu ya kuimba recording ndo nini wazee wa zamani waliimbia live sasa nyie maendeleo ya mziki yana zidi nyie mmekazana kuimbia studio hapo sawa sasa big up
@Danielmparanyi
@Danielmparanyi 2 года назад
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-9uJYAtHEXR8.html God bless you more!🙏🙏🙏🙏
@mashachaney2048
@mashachaney2048 2 года назад
THIS IS DIFFERENT ASEEE...!!! MUNGU AKUBARIKI ZAIDI
@MarthaHerman-sm9wr
@MarthaHerman-sm9wr Месяц назад
Wimbo huu nimeujua siku ya jumapili ya jana kwenye kukanyaga mafuta kwa mwamposa
@mwinira
@mwinira 2 года назад
.......Tumekuja na ahsante bwana.
@Joshuandauka
@Joshuandauka 3 месяца назад
Hope sijachelewa kubarikiwa na wimbo huu
@judyngowi391
@judyngowi391 Год назад
Huu wimbo naamka asubuhi nikimshukuru Mungu, ahsante Yesu kwa mengi unayonitendea
@peacejovith6708
@peacejovith6708 2 года назад
God bless you bella tumekuja na ahsante
@LevinaMlula
@LevinaMlula Месяц назад
I really love this song and mwamposa also like it
@markmush2135
@markmush2135 Год назад
Finally I've found the song, naipenda sana
@lewismurimi3752
@lewismurimi3752 2 года назад
The guy on auxiliary keys🔥🔥
@priscamrisho
@priscamrisho Год назад
kweli kabisa tunakila sababu ya kumwambi bwana asant maana ni mengi anatenda ndani ya maisha yetu hatuna cha kumlipa
@kayombo4730
@kayombo4730 2 года назад
The team is presentable #exceptionalDressCode #Ahsante
@anthonymwangi8279
@anthonymwangi8279 Год назад
Wimbo mzuri....
@jeremiakenny9662
@jeremiakenny9662 2 года назад
Barikiwa
@josephruhusa-wh4ko
@josephruhusa-wh4ko 4 месяца назад
GOD BLEES YOU.MAY GOD GIVE YOU MORE
@dianamuthee2469
@dianamuthee2469 2 года назад
What this song does to my spirit is indescribable.The drums are so heavenly aligned.Thank you mum Bella God bless you and increase you for His glory ✨🇰🇪🇰🇪
@I_am_D184
@I_am_D184 Год назад
For those of us that have faith God has aleady granted us the desires of our hearts. Ni asante❤❤
@abdilahjumanne3724
@abdilahjumanne3724 2 года назад
Kutoka Arusha Tanzania hakika ahsante Bwana Mungu Muumba mbingu na nchii, mwimbaji Mungu akupandishe viwango vya juu
@ElisaMdoe
@ElisaMdoe 4 месяца назад
nimebarikiwa sana ,mungu azid kukuinua kwa viwango vya juu.
@chedielmmbuji8844
@chedielmmbuji8844 2 года назад
South Melody in tz 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@danielkaicy274
@danielkaicy274 2 года назад
HONGERA SANA 😍
@FrestersRecords
@FrestersRecords 2 года назад
Wow .... What a song..... Good job Bella
@preciouskombo251
@preciouskombo251 2 года назад
My Brother ❤️
@boscodaud1655
@boscodaud1655 2 года назад
moyo wangu umejawa na shukrani kwa Mungu wangu am full of Glory wow powerful song God bless you sster 🙏
@gladnessshola2718
@gladnessshola2718 2 года назад
Mungu azidi kukuinua mamy uzidi kumtumikia maana kila siku unazidi kuwa baraka kwangu🇹🇿🇹🇿
@benmparanyiofficiel9988
@benmparanyiofficiel9988 2 года назад
Amina na amini hii ita ku bariki pia 👉🏻ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-9uJYAtHEXR8.html God bless you🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@MiraMbepera
@MiraMbepera 2 года назад
Nyie wimbo huu ni wamotoooooo Sana, Glory Glory to Jesus for you Bella ❤❤❤❤❤
@Danielmparanyi
@Danielmparanyi 2 года назад
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-9uJYAtHEXR8.html God bless you more!🙏🙏🙏
@dorisfabian4776
@dorisfabian4776 2 года назад
Barikiwa Bella..
@camelynmusebe1598
@camelynmusebe1598 2 года назад
Tumekuja na Asanti.
@jamleckkiprono7934
@jamleckkiprono7934 2 года назад
Ahsante Bwana Yesu
@patrickmwendwa1410
@patrickmwendwa1410 2 года назад
@Bella Kombo the music. when i remember what LORD has DONE, my words cannot comprehend his doing. tumekuja na ahsante kwako SIMBA WA KABILA LA YUDAH. Ubalikiwe sana mtumishi. the music is wonderful. i love the band and kudos kwa MD. Auxilliary master blessings.
@5satoh
@5satoh 2 года назад
The vocals, instrumentals and message all on point
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 2 года назад
Kulia nimelia Sana machozi yamekauka,ni Asanteee🎶🎼
@hildaegbert7855
@hildaegbert7855 2 года назад
Asante Yesu 🙌❤️😭
@wycliffmutisya2868
@wycliffmutisya2868 Год назад
ahsante Baba
@shadrackadam4506
@shadrackadam4506 2 года назад
My sister yo kill it🔥🔥🔥🔥🔥🔥👋👋👋👋
@StevenMunugwa
@StevenMunugwa 2 года назад
Viwango vya juu kabisa. Asante Mungu kwa wimbo huu kutoka kwa sister #Bella
@Danielmparanyi
@Danielmparanyi 2 года назад
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-9uJYAtHEXR8.html God bless you more!🙏🙏🙏🙏
@lovenessmasai2204
@lovenessmasai2204 4 месяца назад
Amen❤❤🎉
@johnwesleykoomemwiti804
@johnwesleykoomemwiti804 2 года назад
amazing amazing song, very unique drum groove too, has been one of my top 5 listened songs for the last 6 months.
@juliethhope7281
@juliethhope7281 5 месяцев назад
Nàkupenda mnoo
@patricklucas5203
@patricklucas5203 2 года назад
Nabarikiwa mno
@lindajackson7080
@lindajackson7080 2 года назад
This song makes me cry for what God has done for me lately 🙏🏾
@ombenistony1699
@ombenistony1699 2 года назад
Hongera sana Mtumishi wa Mungu🔥
@debbysila5131
@debbysila5131 2 года назад
Amen halleluyah 😥asantee bwana ☺☺☺
@getrudalai9732
@getrudalai9732 2 года назад
Wooow, the song the anointing jct woow🌼at first nilion kawaida but now as become my fav song ever, God bless you Dada Bella, nakupenda
@sarahgithinji5552
@sarahgithinji5552 4 месяца назад
Asante yesu
@FARAJAMDEMU
@FARAJAMDEMU 6 месяцев назад
Hallelujah ahsanteee Bwana kwa yale umetenda huu wimbo kwangu ni zaidi ya nyimbo zote za Bella Mungu azidi kukuinua Mtumishi
@elrachum3866
@elrachum3866 2 года назад
oooooooooooo my GOD !!!!!!!! ASANTE ..... NENO KUBWA SANA ... NIMEKUJA NA ASANTE............ooo mamamamama
@priscillamaro2299
@priscillamaro2299 Год назад
My favorite song I love your music
@AutonationCars
@AutonationCars Год назад
beautiful music ame to the lord
@hidayamakunga8715
@hidayamakunga8715 4 месяца назад
Thanks for your song I Love 💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕 May God bless you Sister Bella Kombo 🙏🙏🙏
@evececely4307
@evececely4307 Год назад
I pray that you will not change who you are. There is something special about you. Am a worship leader and currently am worship with your music. May the lord continue being glorified through you 🙏🙏🙏🙏. Be
@annendunge3441
@annendunge3441 2 года назад
This morning I have come to say Ahsante Bwana .Woow a Great song right there @Bellakombo God bless you,much love from Kenya
@emanuelaplacid2447
@emanuelaplacid2447 Год назад
Sure I have been listening this song I do is to thank God for everything that he has done to me in 2022
@edinatemu6033
@edinatemu6033 Год назад
Be blessed woman of God! This is amazing. Asante sana nikisikiliza naona kama Niko na malaika.🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏
@siandowo5654
@siandowo5654 2 года назад
Be blessed my sister, jambo la Mungu linahitaji kujifunza, uvumilivu, na kuutafuta uso wa Mungu bila kupunguaa. Mungu aendelee kukuthibitisha🙏🏽
@tamtam-hi6nq
@tamtam-hi6nq 2 года назад
Kabisa tumekuja na Asante.. Umekua mwaminifu sana kwetu.. Amen halleluyah 🙌 🙌 🙌 🙌 🙌
@MinisterIan2
@MinisterIan2 2 года назад
Mungu akubariki kwa wimbo huu dada Bella Kombo
@gillianjared
@gillianjared 2 года назад
Powerful song🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@gillianjared
@gillianjared 2 года назад
@@bellakombo aaaah sis 🙌🏾🙌🏾🙌🏾 ubarikiwe sana asante ❤❤...
@elizaerick786
@elizaerick786 Год назад
Glory to God
@Kelvin-Eustace
@Kelvin-Eustace Год назад
Mungu atukuzwe kwa anavyokutumia dada
@JevestinaJames
@JevestinaJames 6 месяцев назад
Mungu azidi kukubariki dada bella
@kosanimsama6237
@kosanimsama6237 2 года назад
Jamani Bella Ninakupenda sana Mwana wa Mungu Ninajifunza mengi sana kutoka kwako Ujumbe huu unaohusu kumshukuru Mungu kwasasa BWANA anasema nasisi sana, inabidi tuuchukue tujifunze kumwambia Ahsante
@janetomno7317
@janetomno7317 2 года назад
You are very pretty Bella! To God we say thank you no matter the situation. Blessings mama.
@janesternaaman9389
@janesternaaman9389 2 года назад
Bella you are my all time favourite, I love to hear you praise and worship God 🥰
@exaudkasegezya3564
@exaudkasegezya3564 Год назад
How old are you?
@dieumercimombeza2315
@dieumercimombeza2315 Год назад
i love you and your songs too
@paulineodinga8245
@paulineodinga8245 3 месяца назад
Amen
Далее
BELLA KOMBO  MUNGU ALINIOKOA KWENYE MADAWA YA KULEVYA
17:08
Bella Kombo - Kama Naota (Re - Birth Moshi Tour)
7:29
Просмотров 930 тыс.
Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA
15:41
Neema Yako
12:49
Просмотров 972 тыс.
Bella Kombo - Omba (Live Video)
7:43
Просмотров 60 тыс.