Hii ngoma yako fity kabisa ,ila tu tafadhali nakusihi utoe the second (voice)singing after you or balance aendenishe na words zako ,juu unapata ako nyuma ama mbele yako so unapata some words hazisikiki vizuri. Just sing your voice alone please if you can. ,,Hii ngoma iko sawa kabisaa🔥🔥