Nyie ndawa akilasya aina ngathuka mutwe, ti nduuka, ti wito wa wathi lakini nzungaa nde unoa na maveva ndesi ku maumaa. Ngeeka mbesa nitwiike mbendi yakwa ya KYAUMEEE
kuna jamaa alitawala benga music for so long,hadi band zote ukambani zilikua zimekubali ni yeye tu na hakuna mwingine,lakini @kativui ndie alimnyamazisha.Kativui alitokea na akawaonyesha wengine pia wanaweza fika pale.huu uhuru ulipiganiwa na ndawa sana,this guy is a legend of my time,tukiwa shule tulikua tunaimba ngoma zake during entertainment...shosho yangu alikua anapenda ngoma ya syokwaa sana.
Mimi nmeapa Kwa jina dawa shabiki damu.....kama sio nyimbo za uyu senior.... siwezi sikiza wimbo ya mtu mwingine ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️