hii nyimbo mama samia ange ifanyia kazi yakuitorea zawadi nene kabix maana nimoja kati yangoma pendwa na yenye ushawishi kubwa zaidi hususan upande serekali kabix
Haii napenda sana nyimbo zako kwenye simu yangu yangu bila nyimbo zako bado sijakamilika kwakweli mwaaaaaa na nyimbo nzuri Mungu akupe uhai mlefu uendelee na kazi yako