Тёмный

Best Naso - Mola (Official Music Video) 

Best Naso
Подписаться 214 тыс.
Просмотров 62 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 315   
@luvboywcbnyamz534
@luvboywcbnyamz534 10 дней назад
Wanangu kama unajua umeuskiliza wimbo zaida ya mara kumi kabla video kutoka,gonga like..kama umekumbali kichupa cha Mola 📹📹,tupia like tukienda... Naiwakilisha taifa langu la Kenya hapa🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@WiselightOfficial
@WiselightOfficial 10 дней назад
Mm niliamua nidowlad nikae nao kabsa❤❤
@luvboywcbnyamz534
@luvboywcbnyamz534 10 дней назад
@@WiselightOfficial unyama sana 🔥
@HAMISICHACHA
@HAMISICHACHA 9 дней назад
Atal
@Mshukoo9320
@Mshukoo9320 10 дней назад
Kama umeuelewa wimbo huu gonga like hapa
@nakishukamurande
@nakishukamurande 10 дней назад
Mimi number 1 nipeni like zangu jaman
@EmzajayFimbomkali
@EmzajayFimbomkali 10 дней назад
Namkubali best nasso , toka Congo, kama n'a wewe una mkubali weka like hapa
@saiclassicofficial3138
@saiclassicofficial3138 9 дней назад
Safi best bado hii umebadilika sana hii nyimbo kama unatazama uku una like gonga like
@wilfredpeter-i7s
@wilfredpeter-i7s 10 дней назад
kuna mwanamuziki alafu kuna msanii hakika wewe ni MSANII kwamaana sanaa ipo kwenye ubongo na tunaishuhudia kupitia tungo zako hongera kwa ujumbe mzuri hakika unatufariji uliotugusa na kutupatia tumaini katika hii safari ya maisha, hujawahi kutoa wimbo ukatuchukiza wapenzi wako, Mwenyezi Mungu akufanikishie katika uyatendayo, naimani kama BASATA wangekuwa hawafanyi kazi moja ya kuwafungia wasanii, wangekuwa wanatoa na tuzo kwa msanii mwenye ujumbe muda wote, basi naimani wewe ungekuwa mfalme wa tuzo hizo
@KanydjoNumberOneOfficielle
@KanydjoNumberOneOfficielle 10 дней назад
Kaka weye Noma kama uleisima maisha yangu
@EmmanuelyAllan
@EmmanuelyAllan 7 дней назад
Nina mda nilikuwa sielewi nyimbo zako hapa umeua kwa kubadili style za uimbaji very 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@nkendemasanja8805
@nkendemasanja8805 День назад
❤❤❤❤❤ ✋✋🌎🌎🌎🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Kaz nzuriii
@mzabibuskills3596
@mzabibuskills3596 10 дней назад
Mungu kakubariki sauti na akili nyingi unatoa elimu kubwa sana katika jamii wewe ni mfano mzuri wa kuigwa na wasanii wote Tanzania asante Mungu kwa kutuletea Best naso kwenye mziki wetu Tanzania🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@SuperboyJuniorEnyanduri97
@SuperboyJuniorEnyanduri97 9 дней назад
Am an artist from kenya and i will always love your work bro. Your style never gets old. Looking forward to be working with you someday.
@kichefuchefu2382
@kichefuchefu2382 9 дней назад
We mkenya kiswahil ndo shida
@TeresaSefu
@TeresaSefu 9 дней назад
Best nasso never give up piga kaz kaka😊 nami nimeguswa na huu wimboooo
@lichstudio2024
@lichstudio2024 4 дня назад
My favorite artist
@DidasMwita
@DidasMwita 3 дня назад
Kweli kabisa mwamba nakupata vzur toka kipande ya mbeya nyimbo nzur
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 10 дней назад
BEST NASO NI DHAABU YA KWETU MARA, TUNAMKUBALI SANA MSANII WETU.
@HajiIddy-k9f
@HajiIddy-k9f 10 дней назад
Umemaliza mura omwanawetu
@maromedia6272
@maromedia6272 9 дней назад
mfalme wa kanda ya ziwa tunakupenda sana mkuu mungu akulinde na akutunze sana
@FatumaKamanda-w7r
@FatumaKamanda-w7r 10 дней назад
Best utabak kuwa best wa watu ❤❤❤
@emmanottytz
@emmanottytz 10 дней назад
Naenda sambamba nawewe @best nasso
@kingjunior3898
@kingjunior3898 10 дней назад
Namb moj lik zng tafadhal🥳🥳 nasooo
@OmmyFamily
@OmmyFamily 10 дней назад
🎉🎉🎉🎉🌹💐🌺🥰 Kali sana
@MasungaZabron
@MasungaZabron 10 дней назад
Bonge la wimbo
@sosomokobiasharamgaya3020
@sosomokobiasharamgaya3020 10 дней назад
Best naso u r de best Man🎉🎉unajua sana bro
@JoslayMwenyekiti
@JoslayMwenyekiti 9 дней назад
Best nasso number one❤ mimi ni mkongomani
@Sadima_Swagger
@Sadima_Swagger 10 дней назад
Kazi nzuri sanaa bro
@peterfujokalogi7821
@peterfujokalogi7821 9 дней назад
Kaka nasso umejua kunifanya nipate ka wimbo kakunibembeleza nikitaka kulala
@Dcreature-b4m
@Dcreature-b4m 9 дней назад
Kollabo ya best naso na alikiba itakuwa kali
@brotherbenety
@brotherbenety 4 дня назад
Kazi kubwa
@javandaudi5553
@javandaudi5553 10 дней назад
Naomba usiache kutupa vitu kama hivi ww ni pure talented
@Ethanmwageni
@Ethanmwageni 10 дней назад
Makini bro natoa wazo tunaweza kuanzisha team best naso wattsap group
@allymushke
@allymushke 9 дней назад
King of tz
@AugostinoWambura
@AugostinoWambura 10 дней назад
Mwana mara best unajuwa kaka mngu akutangulie sana kazi yako izidi kung'aaaaa
@JoynessRwezaula-v3l
@JoynessRwezaula-v3l 9 дней назад
Best napenda nyimbozakosana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤mungu azidi kukuzakipqjichako kaka
@edwardnelison7485
@edwardnelison7485 10 дней назад
Best nasso 💥👋👋👋👋🔥🔥🔥🔥🎶🎵🎵🎵🎵✅⭐
@kobabaoyamerudi
@kobabaoyamerudi 10 дней назад
Mi wa mwisho
@JamesNyandwi
@JamesNyandwi 10 дней назад
Nakubali mzee best
@WashikiMarwa
@WashikiMarwa 10 дней назад
Nasso hajawahii kukoseaa
@CycleboytzaumuhayamujanjaD
@CycleboytzaumuhayamujanjaD 9 дней назад
cycle boy tz au muhaya mujanja D
@kristahahamfalme
@kristahahamfalme 2 дня назад
Jeshi na African princess. This is what we call great level 🎉🎉🎉
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 9 дней назад
Nakubali saan Best nasoo
@AlphonceJuma-r1y
@AlphonceJuma-r1y 9 дней назад
Mwamba huyu hapa 🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲
@SalehFaki-im4nh
@SalehFaki-im4nh 10 дней назад
Wewe na mastr j mna dunia yenu kwenye hii tasnia mana mupo kwa ajili ya jamii sio akina wale kucha kutukana hawana plani ya kuwa kioo cha jamii wao lengo Lao ni mkono uwende kinywani sio kwa kuelimisha jamii
@erickmpangala1814
@erickmpangala1814 10 дней назад
Best Naso ni fundi jamaaani....nampenda sana Kaka huyu😊
@MerymeryCharles
@MerymeryCharles 10 дней назад
Poooooaaaaaah xna❤❤❤❤❤
@ManbMwatumbo
@ManbMwatumbo 8 дней назад
Waraaai blooo
@KukodakodaKukodakodamudy
@KukodakodaKukodakodamudy 9 дней назад
NASO unajua sana sijawai kukupinga askali wangu
@AndrewManyaga
@AndrewManyaga 9 дней назад
Kaka ngoma kali san❤❤❤❤❤❤❤
@Paulkessy-j8n
@Paulkessy-j8n 9 дней назад
Ngoma kali sana hii aisee kwanza aina mamb mengi sana ila ina ujumbe mzito sana,, nasso ww ni kioo cha jamii kwelikweli
@MusicBenjamin
@MusicBenjamin 10 дней назад
Njooni uku
@simonmihona-hh1cz
@simonmihona-hh1cz 9 дней назад
Nasso wewe ni bingwa. Nakuami piya naiheshimu kazi yako ya muziki. Kwangu wewe ni nambari moja. Shabiki wako toka Bunyakiri/Sud Kivu DRC Simon Weteshi Mihona
@fatmaathumani7116
@fatmaathumani7116 4 дня назад
❤❤❤ niguse mola nizisahau zile shida 🔥🔥🔥
@shafiichusi1897
@shafiichusi1897 9 дней назад
Best naso Mzee wangu Noma sanaaa...🙏🙏🙏🙏
@Rajab-pf1xc
@Rajab-pf1xc 3 дня назад
Huyu ni mwamba aaiiseeyy
@ramadanabdul7745
@ramadanabdul7745 9 дней назад
Unajua kweli mara woyeeeee
@FarajaShabani-e9w
@FarajaShabani-e9w 8 дней назад
Ujawah kuangusha bro hongera sana
@rashidmbarouk7661
@rashidmbarouk7661 10 дней назад
Me wa mwanzoo
@philipchahilu3332
@philipchahilu3332 10 дней назад
Cool one 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Stanzooboykenya
@Stanzooboykenya 9 дней назад
Best nasso wow kaka 🎉🎉🎉
@reginagikaro5654
@reginagikaro5654 10 дней назад
🔥🔥🔥
@JoanesSimãoSinamakonde
@JoanesSimãoSinamakonde 5 дней назад
Moçambique, ni moja sani watanganaiti nankubali. Nyimbo yake ineleweka sana maneno zuli.
@ElishaBakuli
@ElishaBakuli 6 дней назад
Best naso ni msanii wng❤❤
@salumsalumrobert
@salumsalumrobert 5 дней назад
Aise mwimbo mzur na ujumbe mzur mungu akupiganie kaka
@Kelviniemileemile
@Kelviniemileemile 10 дней назад
Uyu jamaa hatareeee sanaaaaaaa good song best naso
@LupigiLugosha
@LupigiLugosha 10 дней назад
Wao Location Tinde Karashani Nimeipenda Hiyo Karibu Tena Wamadon
@fidelerujebereza
@fidelerujebereza 6 дней назад
Yani anatugusa kabisa
@iamFestanny-tz
@iamFestanny-tz 10 дней назад
🎉nice melody containing good message
@alquinmadoro1342
@alquinmadoro1342 8 дней назад
Naombeni na mimi like hata 5 tu Goma kali sana toka kwa mwanetu #bestnasso
@johnwambura2070
@johnwambura2070 10 дней назад
Huyu ndio wewe sasa sio kule kwenye amapiano
@PhilbertSamson
@PhilbertSamson 9 дней назад
Kazi nzuri Sana Best nasso
@g-fivesuperofficial3884
@g-fivesuperofficial3884 6 дней назад
Good vibe🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@princebktanzania
@princebktanzania 6 дней назад
Nyimbo iko poa sana❤
@RenaldaKirway
@RenaldaKirway 9 дней назад
Best nasso nakukubali sanaaa❤❤❤
@dearex247
@dearex247 6 дней назад
Napenda sana, this message has touched me , my real life situation
@brotherf
@brotherf 7 дней назад
Courage kk
@nyumbumjanja
@nyumbumjanja 4 дня назад
KAZI KUBWA SANA HIII ..... WIMBO WA ELIMU KWA VIJANA NA JAMII. SIO PIANO PIANO ZAO !! GOOD JOB @BestNasso
@babykisura1089
@babykisura1089 4 дня назад
mwamba hyu hpa❤❤
@MasoudNadrah
@MasoudNadrah 10 дней назад
Best naso kenya tunakukubali❤❤❤❤❤❤❤
@DonMuyuya
@DonMuyuya 10 дней назад
Mon artiste ❤❤❤❤
@akibamusicofficial7707
@akibamusicofficial7707 10 дней назад
moto hiyo....alf naoba tufanye mziki pamoja bro
@paskariamtani8458
@paskariamtani8458 8 дней назад
Always super bro🎉
@ZubeirAbdallah
@ZubeirAbdallah 9 дней назад
😢😢😢🎉🎉🎉 congratulation my best naso
@SuleimanEdward-f1n
@SuleimanEdward-f1n 10 дней назад
Hongera sana kk Mungu akutunze
@PatrickMajaliwa
@PatrickMajaliwa 10 дней назад
Oya best nasso kipaji chako wanakiua maplojuza ila aliyetengeneza ngoma hii usimuache
@HusseinMoyo-d3w
@HusseinMoyo-d3w 9 дней назад
Nipen like zangu kwa best nasso jmn
@romwaldoamsi2783
@romwaldoamsi2783 10 дней назад
Be blessing Naso❤❤
@willymzawa9183
@willymzawa9183 8 дней назад
Umetisha kaka
@RodrigueKOKO-o7h
@RodrigueKOKO-o7h 10 дней назад
Best kabisa wewe kwa style zako hauna mupinzani 🤝🤝💪
@frankhoffa8356
@frankhoffa8356 10 дней назад
Daaaa huyu jamaa duuuuh!
@SamsonFundi.J
@SamsonFundi.J 10 дней назад
Goma la moto sana,hizi ndio nyimbo sasa
@almas_boy
@almas_boy 10 дней назад
Mola sema neno moja
@honorjeath3174
@honorjeath3174 7 дней назад
kaka vizr san
@MagatiAbdallah
@MagatiAbdallah 6 дней назад
Unaweza kaka🏆🏆
@neaboy4032
@neaboy4032 6 дней назад
Huyu fundi sanaaa
@Ghabuseed
@Ghabuseed День назад
Ngoma yenyewe yanaashilia maisha nliyopitia,hii ni sadfa kwangu ,huu mzigo naupa asilimia mia,maana vocals,content na video Kali kweli,
@officialkisstz
@officialkisstz 9 дней назад
Pacha unajua sana Babu
@samidquiz6316
@samidquiz6316 8 дней назад
Ouya wadau tumpeleke number moja trending kaizungumzia Tanzania ya sasa
@AngelPutsha
@AngelPutsha 7 дней назад
❤nakupenda sana mweshimiwa
@AzzuhBoy
@AzzuhBoy 9 дней назад
vizuri san best naso
@lepedeshe1076
@lepedeshe1076 9 дней назад
🇰🇪 Kenyan love
@winfredwavinyapeter9431
@winfredwavinyapeter9431 10 дней назад
Wakenya wenzangu gongeni like tujuane
@JescaSolomon
@JescaSolomon 10 дней назад
❤❤❤
Далее
Best Naso - P diddy (Official Audio)
3:32
Просмотров 108 тыс.
Misso Misondo - Tera Ghata (Official Music Video)
3:52
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
Страшная Тайна Светы Кемер !
33:04
I LOVE MY TEACHER | 1 |
18:16
Просмотров 460 тыс.
Ferooz ft. Juma Nature - Bosi  (Official Video)
5:26
Просмотров 317 тыс.
Fama x Macvoice Your love Acoustic
3:18
Просмотров 7 тыс.
VITUKO VYA KWENYE DALADALA (EP1)
11:33
Просмотров 170 тыс.
Best Naso - Wanawake (Official Music Video)
3:33
Просмотров 1,8 млн
MC MBONEKE VS P DIDIY LAZIMA UCHEKE
10:06
Просмотров 64 тыс.
Best Naso - Anaringa (Official Lyrics Video)
3:33
Просмотров 179 тыс.