Тёмный

Best Naso - Wanawake (Official Music Video) 

Best Naso
Подписаться 201 тыс.
Просмотров 1,8 млн
50% 1

#BestNaso #Wanawake #SlideDigital
(C) Slide Digital
Best Naso Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.bio/qwm8md
Written & Performed by Best Naso
For More Info:
+255 758 201 748
directormareys@gmail.com
Follow Best Naso on:
profile.php?...
/ bestnasotz
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz

Видеоклипы

Опубликовано:

 

11 дек 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 2,2 тыс.   
@yusufumajid8392
@yusufumajid8392 4 года назад
Kamaa umeielewa hili dude kwa niaba ya #best_naso naomba like zake 🔥🔥🔥
@mostudiourambo3748
@mostudiourambo3748 4 года назад
Daah Bestnaso akoseagi aisee Big Up bro
@salumusalumuhamisi2902
@salumusalumuhamisi2902 4 года назад
Kwelii wabaya sanaa
@aminaamin9885
@aminaamin9885 4 года назад
Jamani.naso.umeliz.wtu
@paulpeter3823
@paulpeter3823 4 года назад
Saf sana #nasooo
@dicksoncharles2980
@dicksoncharles2980 4 года назад
Jamaa anajua sana
@brysonsulle1322
@brysonsulle1322 4 года назад
Hi ndio kazi ya Sanaa Kuelimisha jamii kamaa umeielewa gonga like
@hassaninkoja284
@hassaninkoja284 4 года назад
Nasso broo lazima ututolee part 2 haiwezekani hili ni balaaa
@japhalyaunt8378
@japhalyaunt8378 4 года назад
Nimzur
@brysonsulle1322
@brysonsulle1322 4 года назад
@@japhalyaunt8378 together
@mbojembojesitta3660
@mbojembojesitta3660 4 года назад
nimekuelewa xana naso
@frankmtewele658
@frankmtewele658 4 года назад
Big unajua sana nakukubali. Unaishi maisha yako na watanzania
@swamweliteobady4496
@swamweliteobady4496 4 года назад
Kama na ww unajua kama mm huyu ndo msanii hanaeimb kwa isia lkn nyota ndio ndogo bac njo ugonge like
@paulmushi6320
@paulmushi6320 4 года назад
Alichokiimba ni like tosha kwangu maana kimenitokea bro u know my feelings I like u
@fredykifunge9265
@fredykifunge9265 4 года назад
Kak nisimulie kdogo maana ninahofu sana
@happyeliya2981
@happyeliya2981 4 года назад
Pole Sana ndugu
@godfreysangu8954
@godfreysangu8954 4 года назад
hii ata mimi imenitokea
@claudtemu4861
@claudtemu4861 4 года назад
zuu
@mathiasmasalu3983
@mathiasmasalu3983 4 года назад
pole jamaa yangu unawezakula mavi
@wachuboylutumo6498
@wachuboylutumo6498 4 года назад
Nimeupenda wimbo huu kwasababu umenikubusha bali kama naww umekungusa fanya kama unalike tujuane
@stevrnb19
@stevrnb19 4 года назад
Kajitaid bn kjana we2 wa mara
@wachuboylutumo6498
@wachuboylutumo6498 4 года назад
@@stevrnb19 kwel goma kal
@isackdallu9285
@isackdallu9285 4 года назад
Wachuboy Lutumo nakukubari sana nasso
@shekheabdul312
@shekheabdul312 4 года назад
Hjjjjkolpphkhxc Lljl
@avelinijoseph8174
@avelinijoseph8174 4 года назад
🤗
@ehsanlukman7459
@ehsanlukman7459 4 года назад
Kama umerudia kuisikilza zaid ya mara moja gonga like tujuane wapende mziki mzur
@mahewamabula
@mahewamabula 4 года назад
Best nasooo plss kaka nisikilize popote ulipo naomba usimamie hivi hivi Ngoma kali aiseee mwamba imenigusa sana knademu alishawahi kuchukua mwanangu nakumpelekea mushikaji
@hamisitz4883
@hamisitz4883 4 года назад
Duuuh nimependaaa mnooo
@youngkiddy4661
@youngkiddy4661 4 года назад
Naomba like zang kwa best naso
@youngkiddy4661
@youngkiddy4661 4 года назад
Yani mim nimerudia more than 100
@lukaskatina5097
@lukaskatina5097 4 года назад
Makn
@alexmzumbwe1328
@alexmzumbwe1328 4 года назад
Wasanii wote wangekua kama huyu Jamaaaa wangeenda mbinguni tofauti na wengine nyimbo zao ujumbe Hakuna safi best naso
@bigowillythomaskayanda7763
@bigowillythomaskayanda7763 2 года назад
Hahahaaahaaa. Uumetishaa.
@palukumuhindodieudonne6210
@palukumuhindodieudonne6210 Год назад
Eternal best Naso
@witnessnsomi3500
@witnessnsomi3500 Год назад
Wimbo unaelimisha Sana huu wanawake Kuna kitu Cha kujifunza hapa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@Pascal1122
@Pascal1122 4 года назад
Miye nakubali Best naso kama naww like hapa ngoma mpaka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@mirajihassani709
@mirajihassani709 4 года назад
Nimekubar mzee wa kazi
@juniorcx0114
@juniorcx0114 4 года назад
Mm Stak Like wala comt Nahitaji kujuatu Tulio uludia huu wimbo zaidi ya mala10
@johnmwita1701
@johnmwita1701 4 года назад
Vp wadau vp jaman gonga like apo bas
@shabanalliy9687
@shabanalliy9687 4 года назад
Mm nime usikiliza mala 10
@agathanon9653
@agathanon9653 4 года назад
Ndio hata mm naludia
@juniorcx0114
@juniorcx0114 4 года назад
Cv
@hijjajuma9009
@hijjajuma9009 4 года назад
Binafsi nimeludia zaid ya mara kumi
@user-he6sy9ov2f
@user-he6sy9ov2f 3 года назад
Ila huyu kaka jamn nyimbo zake zinamafunzo sana mpk chozi litakutoka 😭😭gonga like km umeguswa
@kawambwakawambwa1850
@kawambwakawambwa1850 3 года назад
Tujuane tunaoendelea kuangalia hili dude 2021
@fredilickifelishiani7512
@fredilickifelishiani7512 Год назад
tupo
@novathimahinini1902
@novathimahinini1902 4 года назад
Kama unaamin wanawake wabaya shusha like
@halifabarnaba5584
@halifabarnaba5584 4 года назад
Yani Best naso hizo ndio ngoma zinazotakiwa na unazoziweza napenda sana nyimbo zako kama hizi duh inasikitisha sana
@najmajoneke7413
@najmajoneke7413 4 года назад
Novathi sio wate 😅😅😅
@novathimahinini1902
@novathimahinini1902 4 года назад
@@najmajoneke7413 yeeeeees naamin. Sio wotee Ila mabaya yaooo yanatishaaa piga mahesab kutoa mimba kisaa ujanaaa au kutupa watoto kisa ujanaaa is that make senseeee
@najmajoneke7413
@najmajoneke7413 4 года назад
@@novathimahinini1902 mnao sanabisha ni nyinyi wanaume kukataa mimba ndio maana na wao wanatupa watoto wanatoa mimba
@novathimahinini1902
@novathimahinini1902 4 года назад
@@najmajoneke7413 hapana sabab nying n kupoteza ujana mmaogopa saaanaa mnapenda kwendelea kuwa kijana kitu ambacho nikinyume na mapenz ya mungu hata Kama ataikataaa unafikili utakufa ikivumilia nayoooo Ile n nafsi na Mungu akileta mtoto analeta na sahan yakeee
@gilbertmadeha6512
@gilbertmadeha6512 4 года назад
Tulio rudia kuangalia mara mbil mbil tujuane apaa Maana c kwa ubora huu wa ngoma^^"
@abrahammtima7925
@abrahammtima7925 3 года назад
Nakukubali sana kk
@phizmsag7824
@phizmsag7824 2 года назад
Kaka umejaliwa kipaji
@willsonmadinda6539
@willsonmadinda6539 2 года назад
Daaaa best huwa nakukubari Sana jembe langu,
@barjonarondachi5391
@barjonarondachi5391 2 года назад
Mmi nimerudi sana
@mgogokagongo1387
@mgogokagongo1387 2 года назад
Mpaka leo winbo huu kwangu nibora zaidi
@boeihongoa1436
@boeihongoa1436 4 года назад
Bro Nasso umefanya vizuri kuwa na account yako RU-vid. Kazi nzuri mkali. Wakali tunakuelewa sana mdediliii.
@boniphacenyamhanga9395
@boniphacenyamhanga9395 4 года назад
Hakika bro wangu nimeikubali hii ngoma kwa 100%% maana umeimba kitu ambacho Ni reality, Mungu akubariki kaka
@palukumuhindodieudonne6210
@palukumuhindodieudonne6210 Год назад
Barikiwr milele Best Nasso
@Taifadigital
@Taifadigital 4 года назад
Ningelikuwa na Tuzo akiamungu ningekupa nyimbo zako hizi zinagusa
@efrahimmahenge9135
@efrahimmahenge9135 4 года назад
KINGCHARZ TV bac mpe subscribe yko
@Taifadigital
@Taifadigital 4 года назад
@@efrahimmahenge9135 Tayari wew ndio baado
@efrahimmahenge9135
@efrahimmahenge9135 4 года назад
KINGCHARZ TV Hahahahaha tayar kak ata haijaniuma kumpa subscribe yangu
@babaiqraam5589
@babaiqraam5589 3 года назад
Nakubali kak
@evanstoo7411
@evanstoo7411 3 года назад
The song is so emotional 😢
@abdallahjuma197
@abdallahjuma197 4 года назад
Nimekuelewa sana nasso mwaka wapili sasa nafua mwenyewe nimeachiwa watoto watatu bila hurumaaa ahsante sana nasso kwa kunifungiamwaka 2019
@abdulwahidmsellem1964
@abdulwahidmsellem1964 4 года назад
Sante mwenye nyimbo za huzuni😢😢👏👏🇹🇿
@wybzokizzy4416
@wybzokizzy4416 4 года назад
This guy never disappoints,,wapi likes za #bestnasso
@willsonmadinda6539
@willsonmadinda6539 2 года назад
Hakika Kila ngoma ukitoa huwa zinanigusa, tolu shy town
@deboraezekiel784
@deboraezekiel784 2 года назад
Kipaji. Hiki
@celinenando1233
@celinenando1233 2 года назад
Dah siku yako yakumeremeta IPO KARBU
@djrautz733
@djrautz733 4 года назад
Yaaaaan bonge moja la ngoma like za nasso👇👇
@kelvinlugusi6647
@kelvinlugusi6647 4 года назад
Kama umesikia baba wa mtoto yupo njiani anakuja wakati umesota sana kumlea gonga like ili maisha ya endelee yani.
@davidoking4401
@davidoking4401 4 года назад
Daaaah inauma sana Kama naisi chozi daah
@deewyzeeofficial3512
@deewyzeeofficial3512 3 года назад
JAMAN HUYU JAMAA ANAJUA NA KILA NYIMBO YAKE NI KALI NA INAELIMISHA KWA NINI WATANZANIA TUSIMPANDISHE HUYU JAMAA KWA KASI YA 4G KWANINI TUNASAPOT WA2 WASIOELIMISHA JAMII IKIWA WAPO WAELIMISHAJI ZAID MMMH NDUGU ZANGU💪💪💪
@stephensikazwe7805
@stephensikazwe7805 4 года назад
Jamani naomba like zenu from Zambia, we love you brother
@advicekitule4037
@advicekitule4037 4 года назад
Napend zambie san
@evamarijo6556
@evamarijo6556 3 года назад
Usijali
@fredrickwillson6822
@fredrickwillson6822 2 года назад
Pamoja
@fredrickwillson6822
@fredrickwillson6822 2 года назад
Ukijiamini unaimba sio kusifia kila kitu
@jeremiahsanare8754
@jeremiahsanare8754 2 года назад
Visit Tanzania 🇹🇿
@omarsaidemuamede7369
@omarsaidemuamede7369 4 года назад
Aisee hi gomma moja kari sana kama na ww umeguswa Like basi
@ahunguahungu887
@ahunguahungu887 4 года назад
Iko poa sana im ver
@rahimchambele2034
@rahimchambele2034 3 года назад
Brother ngoma tam kinyama
@MuslimChannelTZ
@MuslimChannelTZ 4 года назад
Mimi hiki kitu hakijawahi kunitokea lakini nimeiskia hii nyimbo roho imeniuma sanaaa🙄 Kama tupo pamoja acha like hapa
@alexialexaxi725
@alexialexaxi725 4 года назад
Asate baba🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@barakajohn1441
@barakajohn1441 4 года назад
Mungu akupe maisha malefu mtto wa mara
@nelsonmwofuga6080
@nelsonmwofuga6080 4 года назад
kama unamkubal best nasso kwamba alimba wimbo unaoelimisha jamii like twende sawa.
@jayelias1654
@jayelias1654 4 года назад
BESTNASSO NATAMN SANA HE NGOMA IFIKE MBAL ILA BAS TU # HE KUBWA SANA #FUNGA #MWAKA
@francisngwale2773
@francisngwale2773 4 года назад
Ngoma kali nawe unajua c kdg ila ulimtus twenty nimeumia bado like zenu kama ngoma imekugusa
@neemaelia100
@neemaelia100 2 года назад
Waoooh 💃🔥 Yani nyimbo zake bila kurudia kusikiliza sitoki umu ❤️❤️🥰🥰
@boeihongoa1436
@boeihongoa1436 4 года назад
Nagurahi sana kuona hakuna kwenye comment anayeponda nyimbo. Huwa unaimba uhalisia wa maisha bro Nasso. Tunakupenda.
@shahamtindo
@shahamtindo 4 года назад
Huyu jamaa ni 🔥🔥🔥🔥
@benjamindenice53
@benjamindenice53 4 года назад
Cna like jaman from Norway
@cosmathias3575
@cosmathias3575 4 года назад
Jamaa unajua adi unaudhi
@irenemrisho7513
@irenemrisho7513 3 года назад
Nice
@chambotz9352
@chambotz9352 3 года назад
Naso nakubali Sana Endelea na Magoma Kama haya
@wakali_wa_masauti1884
@wakali_wa_masauti1884 4 года назад
Ngoma hiii jamani kama huja 😭😭 wewe ni.....
@fatmahchambo2037
@fatmahchambo2037 4 года назад
Mchawi
@puttenyanthony9284
@puttenyanthony9284 4 года назад
Nyimbo haki mungu imelizaaa walahiiiii daaah
@emmanuelmerara8500
@emmanuelmerara8500 4 года назад
Leo nimeelewa maana ya sanaa na sanaa yenyewe jins ilivyo ... big up.
@kevinamos753
@kevinamos753 2 года назад
Kwet
@Directorjax55
@Directorjax55 3 года назад
Siwez kuskliza mala 1 nymbo Kali Kama hiii afu inafundsha lazma nirudie ma mbali mbli basata wap jaman au tuzo Tanzania zimeisha
@felixbosco9683
@felixbosco9683 4 года назад
Umetisha sana mwana true story yashanikuta kaka yaani nahisi umeniimbia mimi
@jennybrighton7488
@jennybrighton7488 4 года назад
Pole sana kaka dah kila nickiapo huu wimbo baumia dah
@rehemasalum6876
@rehemasalum6876 4 года назад
Pole
@norbethmkalawa2792
@norbethmkalawa2792 4 года назад
Pole br
@revelationtz7842
@revelationtz7842 4 года назад
Pole brother
@imanuelsimon2117
@imanuelsimon2117 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@callisahalkadtv4932
@callisahalkadtv4932 4 года назад
Mwamba kwa 100% umeniimbia Mim booe Allways ur best Best Naso god bless U
@walivyojuma7095
@walivyojuma7095 4 года назад
🤩😂😂pole kaka
@irakozeemelyne1809
@irakozeemelyne1809 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ilikuwaaje
@georgengakuka3420
@georgengakuka3420 4 года назад
Bonge la ngoma aisee
@annieutenga7664
@annieutenga7664 4 года назад
Nasso umejua kunifurahsha kuhusu hii nyimboo tamuuu
@revelationtz7842
@revelationtz7842 4 года назад
Kwanii haina viewers wengi wabongo mnapenda v2 visivoeleweka,, uyu jama wimbo aloimba ni mkali Alf unafundisho kubwa sana
@abdullyjoginda2832
@abdullyjoginda2832 4 года назад
Daaah broo song zako kwangu hazijawai kuchuja hakika nazikubalii mpaka kesho gonga like kama nawewe unakubalii
@linahnicodemus3169
@linahnicodemus3169 4 года назад
Nimeangalia Mara tatu tatu xjaamini best 😎😎lkn xo wote jamn
@saimondavid3710
@saimondavid3710 4 года назад
Linah sio ote ndio ila wengiwenu
@abdullyjoginda2832
@abdullyjoginda2832 4 года назад
Kama me
@samohboy9937
@samohboy9937 4 года назад
😁😁😁 Nilijua tu utasema sio wote
@abdullyjoginda2832
@abdullyjoginda2832 4 года назад
Nibora ukosee njia porinii kuliko ukosee kuoa
@linahnicodemus3169
@linahnicodemus3169 4 года назад
@@samohboy9937 kwani uongo
@ngoshazedon4085
@ngoshazedon4085 2 года назад
Best nasso anajua sana kumba ila basi tuu!!!
@vanbizopaul
@vanbizopaul 4 года назад
Hands up 🙌 for Nasso's best song ever,ila pia a moment of silence kwa wale wote ambao huu wimbo unawahusu.
@ramadhanipachella2430
@ramadhanipachella2430 4 года назад
Jamani naombeni lake Zenu
@tsumasokoa8556
@tsumasokoa8556 4 года назад
Nenda lake Victoria ukaibebe
@bachirncadebachir7099
@bachirncadebachir7099 4 года назад
kkkkkkkkk
@Ibrah1993
@Ibrah1993 4 года назад
Chukua Lake Tanganyika
@juniorbaiano8539
@juniorbaiano8539 4 года назад
Hahahhhh,anajifunza kingereza
@georgeomondiobare9227
@georgeomondiobare9227 4 года назад
Sema mwanamke si wanawake.
@neemaoiso2343
@neemaoiso2343 4 года назад
Wanawake wabaya kweli umenikumbusha imewahi tokea kwa ndg yangu, hii nyimbo imechukua uhalisia wa familia zetu
@williammsangi1138
@williammsangi1138 4 года назад
Daaha blooo yaaani weee nibonge lamsanii sema wakubwa bd hawajakusikiliza daaaah resp
@samwelboxing3400
@samwelboxing3400 4 года назад
Best nasso Kaz nzur kaza mwendo mungu hatakubariki 🙏🙏🙏
@mustafajaphal5948
@mustafajaphal5948 4 года назад
🔥🔥🔥🔥 nimerudia mara 5 hii nyimbo tam zaid ya asalii👏👏👏🔥🔥🔥
@isacksamwel8770
@isacksamwel8770 4 года назад
Kwel wala hat huja kosea
@yustozachalia243
@yustozachalia243 4 года назад
We uko Kama mm!!!!
@damianrevocatus6997
@damianrevocatus6997 3 года назад
Mi nawambiaga watu duniani hakuna msanii ninaemkubali zaidi ya WAMASASIPENDA a. k. a BEST_NASSO
@shabanially9086
@shabanially9086 4 года назад
Mambo ni🔥🔥🔥🔥🔥
@Smartofficial96
@Smartofficial96 4 года назад
Hii ndiyo nyimbo yangu ya mwaka 2019 Hakika unajua nakukubali tokea mwanzo wa mziki wako gonga Like Kama unampenda best naso tumsapot kijana mwenzetu azidi kutuburudisha
@saidikaondo7999
@saidikaondo7999 4 года назад
Sherby huyu jamaa nami namuelewa sana.
@samumuriani7608
@samumuriani7608 3 года назад
Nmekubal boy Ata mm
@charitelwanzokambale2867
@charitelwanzokambale2867 3 года назад
Naso wewe fire goma zako zina ujumbe maalumu
@alexnymhngmarwa7085
@alexnymhngmarwa7085 4 года назад
Hahahahha nakupenda saaana best Nasso hujawahi KUKOSEA nakubali saaana 🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿⏩💻💻💻💻
@EzekyyCcRop
@EzekyyCcRop Год назад
I'm Kenyan 🇰🇪Nyimbo zako ndo yanipa matumaini katika maisha b naso.....meseji ya nyimbo zako itadumu milele...
@Rashidi-vi7hh
@Rashidi-vi7hh 7 месяцев назад
Walio angalia mwaka elufumbili na ishirini na tatu tujuane🎉2023
@pendomasawe4207
@pendomasawe4207 4 года назад
Daaaah inaumaga hiyo!!! Nampenda Best naso sana jaman hata Mungu analijua hilo
@kjosephgamba2616
@kjosephgamba2616 2 года назад
Vp mda sana dd ulipotea sana
@miriamally9528
@miriamally9528 Год назад
Mungu akubarik bro nyimbo zko znafundishaa sana
@lucianachappa1213
@lucianachappa1213 4 года назад
Ni kwamba hujawahigi niangusha🤗🤗
@adamtanakhel8185
@adamtanakhel8185 4 года назад
This guy is very professional and sings the realities of life he goes through Mimi kwangu ndo singer nae mwelewa
@rukororolouis9990
@rukororolouis9990 7 месяцев назад
Unaweza
@erick8092
@erick8092 5 месяцев назад
​@@rukororolouis99905k and you and and whole world to 5.0 your time
@neemamtack7932
@neemamtack7932 3 года назад
Co sir inauma duh! You are ma beautiful nakukumbuka bado looooo!
@yohanarobert2484
@yohanarobert2484 4 года назад
Hakika Best naso umerudi staili ya nyimbo za nyuma Kongole sana
@yolandambise194
@yolandambise194 4 года назад
Maskin alivyo skia hellow my dear akajibu ndiyo alijua ataambiwa turudiane mi ni mwanamke ila sa ingine sisi ni wanyama
@rajabuwajuma6418
@rajabuwajuma6418 4 года назад
Pamoj sn kwa kuwa na naso karibu msumbiji
@jamesshaha5755
@jamesshaha5755 4 года назад
Dah, inasikitisha sana wanawake.wengine sio wazury
@dannydame849
@dannydame849 4 года назад
Ndiyo ,
@ramashuzajr1271
@ramashuzajr1271 4 года назад
Wewe ndo mwanamke Bora japo sikufahamu kwaulichokindika
@lucianamduda1922
@lucianamduda1922 4 года назад
Ahaahaa 😅
@aictv3062
@aictv3062 4 года назад
Dah... Sio poa🔥🔥🔥
@bitunisebarua3884
@bitunisebarua3884 3 года назад
Namuelewa sana nyimbo za kubembeleza kulalamika dah naikumbuka mamu wa dar khadija na nyinginezo nyingi naso we ninoma kaza but sapot ipo bado
@msigwatz.5664
@msigwatz.5664 4 года назад
best naso. wewe ni mwandishi mzuri pia muimbaji safi.. pambana
@sadicksamuel2005
@sadicksamuel2005 4 года назад
Alikekuita Best Nasso sijui alijuaje tu, hushikiki baba, bonge la ngoma 😭😭😭
@mashakahakidu1678
@mashakahakidu1678 4 года назад
best unatisha bro
@adriankomba1881
@adriankomba1881 4 года назад
Nasso tunaomba part 2, maana malipo hapa hapa
@mnomahboybright4743
@mnomahboybright4743 3 года назад
Oh,oh,oh, mama dangote mbayaa dunia hii
@igomedia1011
@igomedia1011 4 года назад
Kama ngona hii imekugusa gonga hapa wanawake wabaya
@winnienelima837
@winnienelima837 4 года назад
Sio wote
@paulmayunga3927
@paulmayunga3927 4 года назад
🔥🔥🔥
@albartkisusi7226
@albartkisusi7226 4 года назад
Mungu akujalie best naso tungo zako ni noma
@abbymsafi5626
@abbymsafi5626 4 года назад
@@winnienelima837 ni wote
@winnienelima837
@winnienelima837 4 года назад
@@abbymsafi5626 apna sio wote hatuja lelewa pamoja we a dffrent pple
@emmanuelkalabo5578
@emmanuelkalabo5578 4 года назад
Hiz ndo nyimbo Bro #bestnasso Achana na kuchamba watu #insta mashabik wako tuko nyuma yako bro. Gonga like kama tuko pamoja.
@aginessjacksoni8115
@aginessjacksoni8115 4 года назад
Moja safisana br tarab hatutaki sie q jaama una akirisana mungu akupe maisha maref br
@officalmagoogemagooge5554
@officalmagoogemagooge5554 4 года назад
oooooo oooooo ooooo ooooo wanawake wabayaaa tena wanauwa oooooooo oooooo nampenda sana huyu mwamba we2
@ferouzmawese1993
@ferouzmawese1993 4 года назад
Wew kuma hii ngoma kali Sana nimeilewa
@edwingwesso129
@edwingwesso129 4 года назад
Kama unamkubal nasso Kama mm achia like
@kibokongurai4488
@kibokongurai4488 4 года назад
WANYUMBANI HUYU DAH ANATOAGA UJUMBE SANA
@heartchangara1704
@heartchangara1704 4 года назад
dhaaa best Mungu akujalie
@kambiyusufu7709
@kambiyusufu7709 3 года назад
Amini best naso unajua kaka
@happymtena3415
@happymtena3415 4 года назад
Mim nampendaga sana huyu jamaa
@hamismoviemachine0015
@hamismoviemachine0015 4 года назад
100%zangu chukua hizi ndo tulizokuwa tumemisi mashabiki
@hamisimapalala7709
@hamisimapalala7709 4 года назад
Baada ya diamond huyu mi jini mwingine
@doktmtanga7303
@doktmtanga7303 Год назад
Hiii nikweli kabisa maisha haya yapo Sana
@sephhusen110
@sephhusen110 Год назад
Best naso nakukubal kinoma noma
@fungafungatv448
@fungafungatv448 4 года назад
Yan hii nyimbo ukisikiliza unataman ieendelee isiishe
@deomichael3081
@deomichael3081 4 года назад
Bro Kuna part 2?. This is nat an End, bado Kuna mengi nataka kuyasikia. Then nini kilitokea?
@efrahimmahenge9135
@efrahimmahenge9135 4 года назад
Deo Michael live tunaomba para 2 plz
@robertsololo7962
@robertsololo7962 4 года назад
Naso toa party 2 yake hii ni kali mno
@yustozachalia243
@yustozachalia243 4 года назад
Sijawahi kusikiliza mziki wowote Zaid ya mara5 lakn huu umenikosha duuuu!!!!! Like kea best naso anawe hi ndo kazi ya Sanaa.....
@mussamgandetz2259
@mussamgandetz2259 4 года назад
Best nasso kwahili goma nakukubali sana hizi ndo ngoma zako zinazokufaa na unazotakiwa kuzifanya ngoma yahisia sana umegusa penyewe nimeirudia kama mara tano naisikiliza tu hiinyimbo yamwaka kama unakubaliana namm gonga like twendesawa best nasso moto mwengine
@anwaryliwowa6958
@anwaryliwowa6958 4 года назад
Huyu ndio best naso ninae mjua Mimi nilivimisi hivi vitu sema music wa tz unabagua ila kwa mwaka huu ndio wimbo bora
@meddyzotv9087
@meddyzotv9087 4 года назад
Daaah wimbo una hisia sana na story umejua kuipangilia, huu wimbo mkubwa sana kama watu wengi wakipewa nafasi ya kuusikiliza.. Kazi nzuri #Best Nasso
@consolatamedard2269
@consolatamedard2269 4 года назад
We kaka mwenzako nakukbali sana Mungu akutunze uokoke sasa umtumikie Mungu
@saidmaulidlyoba5459
@saidmaulidlyoba5459 3 года назад
Nasubiri movie za nyimbo zako!
@francisabdallah7743
@francisabdallah7743 4 года назад
Nyinbo bora yakufunga mwaka 2019
@issahsaid373
@issahsaid373 4 года назад
bongo tuna wasanii wazur xana ila uchawi ndo umetangulia
@jimmymeshack9338
@jimmymeshack9338 4 года назад
Mzee baba Hatari umetasa sana
@shabanmohamed4065
@shabanmohamed4065 4 года назад
Iko poa sana nyimbo nakubali kaz zako br
@anastaziamorce3389
@anastaziamorce3389 4 года назад
Nimedannload limegoma axee bonge langomaaaaaa
@saidikaondo7999
@saidikaondo7999 4 года назад
Huyu jamaa kwa upande wangu huwa namkubali sana, yaan katika nyimbo ambazo alishaziimba hakuna japo moja ambayo siipendi, hongera sana brother kaza moyo.
@muuhhb4787
@muuhhb4787 4 года назад
Daah...huyu jamaa bn...song iko inanipa hisia za maumivu aiseee.....naombeni ata like 5 tu friend...its hurts ...oooh...comeone....plz ach like yako plz..
@benedictorjoseph8240
@benedictorjoseph8240 4 года назад
ngoma Kali mwana . nakukubali SNA naso hutuangushagi mashabiki zako
@muuhhb4787
@muuhhb4787 4 года назад
Huyu jamaa anawez xn
@ngayeempire7292
@ngayeempire7292 4 года назад
EBANA EE DUUU BEST SONG FROM THE BEST NASSORO NAKUBAL XANA KAKA
@mussachamwenyewe3620
@mussachamwenyewe3620 4 года назад
Kama unakubali kwamba best naso hana mpinzani Tanzania weka like yako hapa
@enjomaturo349
@enjomaturo349 4 года назад
Media weken nyimb km hz sio nyimb ukiwa upon na wazazi unazim redio kwanzaaa dahaaaaaa mwimb mzurii had machoz
Далее
Best Naso - Usitoe (Official Music Video)
3:14
Просмотров 733 тыс.
Best Naso - Mrudishe Dada (Official Music video)
3:30
Просмотров 968 тыс.
DOTA 2 - КЛАССИКА
19:17
Просмотров 187 тыс.
Minecraft Pizza Mods
00:18
Просмотров 1,1 млн
ЛУЧШАЯ ПОКУПКА ЗА 180 000 РУБЛЕЙ
28:28
20% || NINGEKUSAMEHE || Official HD Video
4:36
Просмотров 2,4 млн
Tunda Man Mama Kijacho Official Music Video HD
4:13
Просмотров 2,1 млн
Best Naso - Maisha Ni Utata (Official Music Video)
5:38
KAYUMBA-CHUNGA  (OFFICIAL VIDEO)
3:44
Просмотров 4,6 млн
Best Naso - Narudi Kijijini (Official Video)
5:24
Просмотров 952 тыс.
Brayban - tuliza boli (official music video)
3:51
Best Naso - Sarafina (Official Music Video)
3:39
Просмотров 241 тыс.
Founder TZ - Mfano (Official Music Video)
3:22
Просмотров 1,2 млн
MENDA - Maybe (Original Mix)
6:49
Просмотров 174 тыс.
Басстер - Салони BMW | 2024 | comeback
3:49