Тёмный

BI HARUSI / FULL MOVIE 

MBWELA MEDIA
Подписаться 29 тыс.
Просмотров 304 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 219   
@MkasyswallehsaidSwalleh
@MkasyswallehsaidSwalleh 4 месяца назад
Movie nzuri sana yenye mafunzo...mbwela mungu akulinde hapa na penginepo
@Rachel-q9m
@Rachel-q9m Месяц назад
Hongera sana kaka mbwela kwa hekma na busara ulo nayo.. kiukweli nimekua mfatiliaji wa movie zako nyingi tu na kwa kweli umejaa busara laiti wanaume wengine wangejifunza kutoka kwako.. umeonyesha utu na dhamani sana ya mwanamke katka ngoma hii ,,Hongera sana kaka Mbwela..!!
@LewisHamiltonGLD
@LewisHamiltonGLD 4 месяца назад
Leo kipara kaongea point mbwela congratulations sanaaa🎉🎉🎉
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u 4 месяца назад
Nampenda huyu bwela anavyo ekti vizuri cn gd nakupa hongera yk
@saidmwinyi7062
@saidmwinyi7062 4 месяца назад
Mbweraaa nampendaa sana bse anajua na anabadilikaaaaa na yuko real kabisaaaaa secondly dada yake zatiti naye ni fireeee
@kodyyiko
@kodyyiko 2 месяца назад
aloandika hio nyimbo na hio beat naomba aandike hii nyimbo ikamilike hvhv ya ndoa nzr sn itaua na ujumbe
@sophiashamimah5895
@sophiashamimah5895 3 месяца назад
Team bora kabisa hii movie yny mafunzo zaidi hongereni Sana ila kipara unanibamba jamani😂😂😂😂
@BakariBamvua
@BakariBamvua 3 месяца назад
Congratulation bro...one love mm movie nzuri sna bro huwa nafatilia sana sinema zako,hongera sna bro.
@TwalibuMohammed-pm2by
@TwalibuMohammed-pm2by 2 месяца назад
Brother mbwela uko vzr san bgp ✊nakufatilia san bye wizzy Khan from South Africa duluban KwaZulu Natal 🇿🇦👊👊
@kodyyiko
@kodyyiko 2 месяца назад
kazi nzuri storry nzr watu wamevaa uhusika 99% na aloimba hiko kimziki hallo kamenogesha sn nawaamini vijana wangu mnapiga kz vzr
@evelynoscar5104
@evelynoscar5104 4 месяца назад
Mbwela jmn nakpenda una busara kubwa mno hakika mama ako aheshimiwe amelea mwamba
@Shaha-d1i
@Shaha-d1i 22 дня назад
Maupendo hayoo😅😅
@SaidiSelemani-n9e
@SaidiSelemani-n9e 4 месяца назад
Jamani nakupenda mbwela uko vizur sana kazi nzuri Ina mafunzo sana asante kaka
@JanetRiziki-ut2is
@JanetRiziki-ut2is 3 месяца назад
Mbwela aki ww ni mwamba sana aki mungu akubarika sana.😍😍😍
@joselynenizi9475
@joselynenizi9475 3 месяца назад
Muvi nzuri sana ina mafunzo mengi mungu azidi kukubaliki kipaji chako kiendelea kukua zaidi na zaidi
@dedemishi3848
@dedemishi3848 4 месяца назад
Kuna funzo zuri hapa,don't judge the Book by its cover
@nafsajuma6269
@nafsajuma6269 2 месяца назад
Mashaalllah mwasii unapendez san ukivaa hivo❤❤
@MariaSshilla
@MariaSshilla 4 месяца назад
Movie nzri Sana ila natamani mwishoni ingekuwa kujulikana walio husika na kifo then wangechukuliwa Sheria ndio mwisho 😂😂😂😂 wanao sema kama mm gonga like
@chingamunga9141
@chingamunga9141 3 месяца назад
Hapo umeongea kweli,hawakumalizia vizuri.
@salhamlanz9806
@salhamlanz9806 3 месяца назад
Hiyo kazi ya serikar tuwaachie police😂😂😂😂
@salhamlanz9806
@salhamlanz9806 3 месяца назад
Alafu nilicho gundua hujaangalia mdi mwisho mah kifo cha zatiti inajulikana kama cha kurogwa😂😂😂😂
@MariaSshilla
@MariaSshilla 3 месяца назад
@@salhamlanz9806 kwani si walijitaja na Yule mwingine aliwasikia ? Acha ubishi
@MWANAKOMBONGANGAKARISA
@MWANAKOMBONGANGAKARISA 3 месяца назад
​@@salhamlanz9806😂😂😂😂😂😂😂😂 nkwel maan serikar Ina mkono mrefu xn😂😂😂😂😂😂😂
@AnnaWaswa
@AnnaWaswa 4 месяца назад
Jalibuni patient 2 aki movie nzuri sana mbela💯
@ZaytoonaKarama
@ZaytoonaKarama 3 месяца назад
Hii movie ina mafunzo mazuri sn kaka mbwela mungu azidi kukuongoza ulete mafunzo kw walimwengu. Hongereni sn nyote mulioshiriki kwenye movie hii na mungu awabariki nyote
@MwajaambetaPandu-zp8dc
@MwajaambetaPandu-zp8dc 4 месяца назад
Iendeleze iwe na part 2 bwela achunguze ❤❤
@mwavuapaulo4142
@mwavuapaulo4142 3 месяца назад
Kaaaah sijapend Sasa mme kufanyej wote wawil au nd mkipendan Sana mnaenda wote
@nluto17
@nluto17 4 месяца назад
Mbwela it’s always my favorite in movie❤️😍🙏
@Emily-zr3nl
@Emily-zr3nl 4 месяца назад
Mm namkubali sna bwale kwa movie zke
@kura.the.boy-
@kura.the.boy- 3 месяца назад
Hiiii song ya bi harusi naweza ipata wapi
@Zeldaommy
@Zeldaommy 4 месяца назад
Hii movie ni Kali sana kama unaikubali bi harusi gonga like hapo ❤❤❤😂😂
@heriethgodfreyhegoxa5551
@heriethgodfreyhegoxa5551 2 месяца назад
😢😢😢😢😢 hii muvie ni nzuri sana naomba Mungu wafufuke hao watu maana walisha badili maisha yao jamaniii isiwe hivyoooo lkn
@AnnaLea-lq6ob
@AnnaLea-lq6ob 4 месяца назад
Hongereni sana
@DeborahFuraha-ho4yk
@DeborahFuraha-ho4yk 4 месяца назад
Very good jipala ubawokowa kueri umesema kueri ❤
@nawwalally3640
@nawwalally3640 2 месяца назад
😂😂😂😂😂majiraniiiiii umeshindwa kumaliza ungemaliza majiraniiii nimewezaaaa😂😂😂😂😂
@KavumbaZigamba255
@KavumbaZigamba255 4 месяца назад
Safi sana kazi nzuri sana
@Kennedyvwakya
@Kennedyvwakya 4 месяца назад
Wow tunakukubali sana toka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@IreneBaltazar-n8d
@IreneBaltazar-n8d Месяц назад
Hii movie ni uhalisia wa sasa yaan Bado wiki Moja au siku kadhaa Mmoja wao anakata kufunga Ndoa Ni fedhea coz apo unapata na michango watu washatoa ni Aibu sana kwa wazazi wetu🥹
@FlorahKissanga-uy3xd
@FlorahKissanga-uy3xd 3 месяца назад
jaman mi hako kanyimbo ka ndoa kananikoshaa 🥰
@MWANAKOMBONGANGAKARISA
@MWANAKOMBONGANGAKARISA 3 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤
@zuhurahamisi8687
@zuhurahamisi8687 3 месяца назад
Mungu Azidi kukupa ufahamu na kutukumbusha yaliyo mema
@zainaabdallah809
@zainaabdallah809 5 дней назад
Kazi mzuri sana mbwela big up nakupenda ujuwe ❤❤
@JJMNOKO
@JJMNOKO 4 месяца назад
Yooo yooo what's up my people anyways show me some love am from kenya
@Luvunokkabi
@Luvunokkabi 2 месяца назад
🎉❤🎉❤hongera move nzuri sana🎉🎉🎉🎉❤
@MauaNassor
@MauaNassor 2 месяца назад
Mbona kma hii sauti ya nyimbo ni ya happy voice wa tiktok ❤ nani ameskia kama mimi
@LUTFIAAHMADA
@LUTFIAAHMADA 2 месяца назад
mimi nimeupenda wimbo
@MWEGOHA
@MWEGOHA 4 месяца назад
Mmh movie nzuri sana ila sikutegemea imenitoa machozi mwishoni 😪😭😥😭
@FatumaZikacomplete
@FatumaZikacomplete 4 месяца назад
Hii movie Kali xana ❤️❤️
@dapheenndege7191
@dapheenndege7191 2 месяца назад
Lakini kipara anastahili ngoto na kiingereza kombo😂😂😂
@maiyasalenjashi2352
@maiyasalenjashi2352 4 месяца назад
I love ❤️ your movie
@zulfahMasoud
@zulfahMasoud Месяц назад
tulishawazoe na move za kichawi chaw hatima kumbe tuna bwela na nusu ❤
@BahatiKhamed
@BahatiKhamed 2 месяца назад
Iko tamu Sana hii movies
@BahatiKhamed
@BahatiKhamed 2 месяца назад
Akun ingne jamn
@MwitaMarwa-z1n
@MwitaMarwa-z1n 2 месяца назад
❤❤🎉 ❤🎉dah! Nakukubali sana mbwela kwa kazi zako
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 4 месяца назад
Mbwela tunataka muendelezo sio marudio 😢😢😢jaman
@SalomeAbel-oc4mf
@SalomeAbel-oc4mf 4 месяца назад
hongera sana kaka
@ayoubballe8494
@ayoubballe8494 4 месяца назад
Story nzuri inafundisha sana
@ELVINARANDU-ru6co
@ELVINARANDU-ru6co 4 месяца назад
Sana saw
@SeleMtumwa
@SeleMtumwa 4 месяца назад
❤❤❤❤❤❤ pambe sana
@FaridaChunjo
@FaridaChunjo 4 месяца назад
Jamani tunaomba muendelezo
@fayiejoel
@fayiejoel 2 месяца назад
Kipara😂😂😂the kizungu is zunguking🤣
@ASHAYUSSUF-bs6sy
@ASHAYUSSUF-bs6sy 3 месяца назад
Kipara jamaniiii😂😂 humu kwakwel umeniacha hoiii
@NeylatSuleiman
@NeylatSuleiman 3 месяца назад
Daah hii movie ni kali na nusu❤❤
@JumwaKatana-m8r
@JumwaKatana-m8r 22 дня назад
Mbwela hangera baba kwa ujasiri nmpenda sana
@TukaeKitamkanga
@TukaeKitamkanga 3 месяца назад
hongela kwa kazi zuri kaka ang❤
@AshleyShuu
@AshleyShuu 10 дней назад
Hii movie nzur san na ina mafundisho mazur sana
@zeinabuAchiengOkara
@zeinabuAchiengOkara 4 месяца назад
Nimewai
@ReginaErnest-cf6ji
@ReginaErnest-cf6ji 4 месяца назад
Connection 😂😂😂😂😂
@ASHAYUSSUF-bs6sy
@ASHAYUSSUF-bs6sy 3 месяца назад
Kiukweli humu kipara umenifurahisha sana😂😂😂😂
@AliciaCarol-w4k
@AliciaCarol-w4k 3 месяца назад
Iko pow inamafundish mazuli ❤🎉🎉
@NeemaNeema-tt3uu
@NeemaNeema-tt3uu 4 месяца назад
🔥🔥🔥
@ashaabdalla924
@ashaabdalla924 3 месяца назад
Acheni kutaja majina ya watu chezeni movie yenu mnaharibu play your part mnaharibu
@ashaabdalla924
@ashaabdalla924 3 месяца назад
Move nzuri but mnaharibu kutaja majina ya wasanii mchezo mzima mataje majina tu
@HadijaRamadhani-vt7ub
@HadijaRamadhani-vt7ub 2 месяца назад
Kingereza Cha kipala kinaniacha hoi sana😂😂😂
@ErnestKapaya
@ErnestKapaya 4 месяца назад
Shida kubwa. Wabongo kumalizia movie. Amuwezi mnakwama wapi
@ashasadi1342
@ashasadi1342 3 месяца назад
😂😂😂sjui kwann wanakorogeka
@saidahmed9688
@saidahmed9688 4 месяца назад
good movie
@omaryally1532
@omaryally1532 26 дней назад
Movie imeangalia maisha yote hakuna alipokosea,unaweza ukamua kuachana na historia mbaya ya maisha ya nyuma lakini ukawa na madui wengi ambao hawapendi uwe hivyo, please mbwela tunaitaji muendelezo
@heriethgodfreyhegoxa5551
@heriethgodfreyhegoxa5551 2 месяца назад
Wangebaki hai kuonesha kuwa kubadilika kwa kuamua inawezekana🥺🥺😭😭😭😭
@MWANAKOMBONGANGAKARISA
@MWANAKOMBONGANGAKARISA 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂 mambo ya kupigana tuwaachie kina donieni 😂😂😂😂😂 etieee
@MWANAKOMBONGANGAKARISA
@MWANAKOMBONGANGAKARISA 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂wee kipara ww jamn 😂😂😂😂😂😂
@HadijaRamadhani-vt7ub
@HadijaRamadhani-vt7ub 2 месяца назад
Mbwela umecheza vzr ila mwisho umezingua sasa wale walouwa Nini hatima Yao?
@ASHAYUSSUF-bs6sy
@ASHAYUSSUF-bs6sy 3 месяца назад
Kipara jamaniiii😂😂 humu kwakwel umeniacha hoiii 2:14:46
@johnmusha5260
@johnmusha5260 3 месяца назад
Kipara kizungu hicho chunga usikikosee😂😂😂😂your look crazy..!!!
@gracemwingwa-jx7yy
@gracemwingwa-jx7yy 3 месяца назад
Movie mzur sana ila kwenye uishaji mmeikosea wauwaji wange chukuliwa hatua
@FatmaAbdulkadir-q7l
@FatmaAbdulkadir-q7l 3 месяца назад
Kazi nzuri inafunza❤
@halimaamini8015
@halimaamini8015 3 месяца назад
Mwasi namuona mbali sana ❤
@KalamaMasha-lz8oj
@KalamaMasha-lz8oj 4 месяца назад
Pia mm nimejifunza kitu
@angeharushimana7431
@angeharushimana7431 3 месяца назад
Uyu maman Amina namupenda sana
@MdHannan-o3q
@MdHannan-o3q 3 месяца назад
ila kipara amewakomesha hao vidume wawili😂😂😂😂
@paulineemali8008
@paulineemali8008 2 месяца назад
Vizuri sana❤❤
@فيصلالبادي-ح1غ
@فيصلالبادي-ح1غ 4 месяца назад
Nimejifunza kitu hapa ngoja nilale Sasa
@HajarfeisalOkech
@HajarfeisalOkech 2 месяца назад
Hogera Sana filamu tamu Sana Tina rip
@linetsiekei7555
@linetsiekei7555 3 месяца назад
Kipara kizungu achana nacho plz 😂😂😂😂
@MalingaMaboko
@MalingaMaboko 3 месяца назад
Inauma Sasa pole sn
@PendoJoseph-vm1oc
@PendoJoseph-vm1oc 2 месяца назад
Bwela nakupenda bure
@AminaMussa-bw2jh
@AminaMussa-bw2jh 3 месяца назад
Muendelezo tafadhal😢
@TumwaminLyaumi
@TumwaminLyaumi 4 месяца назад
❤❤❤
@misstee102
@misstee102 3 месяца назад
Sasa mbona hatujajua hatima ya aliyeenda kwa mganga jamani😢imeishaje sasa
@AnnaLea-lq6ob
@AnnaLea-lq6ob 4 месяца назад
Jitaidi mlete namba mbili(2),maana ilipoishia panatosha kuanzia
@AnnaLea-lq6ob
@AnnaLea-lq6ob Месяц назад
Kaka mbwela Asante kwaku like comment yangu hii inaonesha upo pamoja nasisi mashabiki wako. Tunakupenda sana
@KhamisTsama
@KhamisTsama 3 месяца назад
Vp bro mm nataka hiyo sng kaka
@DelightfulBirdBath-gc6go
@DelightfulBirdBath-gc6go 3 месяца назад
Ongera sana mbwera
@LeilaAlly-g3w
@LeilaAlly-g3w 2 месяца назад
Mzr saaaana
@MWANAKOMBONGANGAKARISA
@MWANAKOMBONGANGAKARISA 3 месяца назад
Sengo ww kumbe shebeleshebele zinaendlea
@Dorcas-rp9hr
@Dorcas-rp9hr 4 месяца назад
❤❤❤❤❤🎉🎉
@HassanMkina
@HassanMkina 4 месяца назад
😢😢😢😢😢Mpaka nimelia jaman bonge la muvis
@Soda-c9x
@Soda-c9x 4 месяца назад
Mbwela na mm nataka unisitiri 😢😢😢
@HabibaNgonyani-d2g
@HabibaNgonyani-d2g 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂
@eunicevidzo5716
@eunicevidzo5716 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂
@MWANAKOMBONGANGAKARISA
@MWANAKOMBONGANGAKARISA 3 месяца назад
Mwenzenu kaomba offer jamn mnacheka nyie ❤❤❤❤❤❤ anatak sitara jamn 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@FlFaustin
@FlFaustin 3 месяца назад
Mimi ninaomba mmalizie kwanza movie ya kijana nyoka ndo nitaiangalia hii maake mnakera movie mzuri Ile mnaiachia njiani kwa.nini?
@DamjiSaidy
@DamjiSaidy 2 месяца назад
Movi nzur
@margaretnamubi4565
@margaretnamubi4565 2 месяца назад
True love indeed
Далее
KIBENTEN FULL MOVIE
3:35:14
Просмотров 1,6 млн
JOTO | FULL MOVIE
58:49
Просмотров 131 тыс.
+1000 Aura For This Save! 🥵
00:19
Просмотров 9 млн
"Когти льва" Анатолий МАЛЕЦ
53:01
MCHUMBA | full movie |
1:01:01
Просмотров 16 тыс.
KITU KIZITO FULL VIDEO HD
22:31
Просмотров 336 тыс.
MTEGONI [FULL MOVIE]
2:22:22
Просмотров 218 тыс.
KAFIA GHETTO FULL MOVIE
2:34:15
Просмотров 631 тыс.
KUFULI | FULL MOVIE |
2:38:45
Просмотров 168 тыс.
BENZEMA FULL MOVIE   KP NA ZEBUU
3:20:38
Просмотров 155 тыс.