Katisha vibaya na kanivutia sana kwa hii style yake, pia ukisoma neno kibeniten bila ya kuitizama movie, unaweza ni vichekesho kama tulivyomzoea kikofia, kumbe ni bonge la movie, kiukweli hapa ndio kuna style tuzo sasa
Hakika imeanza vizuri ikaisha vizuri Kila mmoja ametendea haki nafasi yake Ila wa nimewakuli sana> °°Ruta man°° Amina mijudo°° kicheche°° mama yake Ruta man nimewakbali sana
Nice, movie. naitazama nikiwa uganda na marafiki zangu japo hawaelewi kiswahili. mngeweka tafsiri ya kizungu ingekuwa ya kimataifa. ikifaa hiyo season 2 itafsiriwe.
Hongereni sana kwa kazi nzuri! Mwanzoni haikunivutia lakini mwishoni nimetokwa na machozi. Kiukweli nimejifunza mambo mengi sana katika kazi yenu, mbarikiwa na mzidi kutoa kazi nzuri kwa manufaa ya Watanzania na wote wanaozitazama kazi zenu.
Wangapi wanapenda kibenten iwena season2 ? like this coment, kama unapenda tuachie season 2 ya kibenten na hesabu coment zikifika 10k tu naachia season 2 kibenten
Kicheche kumbe una jua kama clam vevo, au unweza kuwa ni zaidi maana niliidharau hii movie kumbe ni bonge la movie na ina mafunzo zaidi ya moja, n story nzuri sana ongera sana man