Тёмный

BI MKUBWA AGOMA KUMUACHA BWANA BAADA YA BWANA KUPATA MKE MWINGINE/AOMBA WAWE WOTE WAWILI 

Geah Habibu
Подписаться 369 тыс.
Просмотров 84 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 944   
@feylove5587
@feylove5587 3 года назад
Jaman Leo naitaj like zangu jamn maana sijawai pata laik umu
@hansboy1443
@hansboy1443 3 года назад
Umepata sas
@arafahassan5257
@arafahassan5257 3 года назад
Ucjl
@furahamaro2296
@furahamaro2296 3 года назад
Kabisaa amenzalilisha
@dedemishi3848
@dedemishi3848 3 года назад
Ata Kama lakini pia haifai,8yrs kuishi na mtu sio mchezo,ndio wengine watiwa moto
@hilarymgoto4233
@hilarymgoto4233 3 года назад
Ila uyo mwenyekiti asingetakiwa amnyanyue hivyo mwanamke ni uzalilishaji.
@angelageofrey9756
@angelageofrey9756 3 года назад
Haki za kinamama Hakuna kabisa
@halimashabani6643
@halimashabani6643 3 года назад
Kweli
@kifaruangela3487
@kifaruangela3487 3 года назад
Sana ata Kama anamakosa
@arafahassan5257
@arafahassan5257 3 года назад
Haipendez
@feylove5587
@feylove5587 3 года назад
@@arafahassan5257 kabisa my
@ummymsangi1204
@ummymsangi1204 3 года назад
Mwenyekiti gan anazalilisha mwanamke hivyo hamna polis Kwan wakike
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 3 года назад
Yaani huyu mwenyekir hovyo
@seulendisimikanyi817
@seulendisimikanyi817 3 года назад
Mungu atakupa mwenye heri na wewe cha muhimu tuliae usishindane na mwanaume sifae ya mwanamke ni utulivu
@mariamwakabuta1034
@mariamwakabuta1034 3 года назад
Mwanaume atarudi tu mwenyewe kwa mke mkubwa uzuri wa mke nyota ya maendeleo.
@mtitagirloriginal9472
@mtitagirloriginal9472 3 года назад
Mmmh sio vizuri jaman mama wa watu kamzoea mwenza wake na mapenz sio ufundi mapenz mazoea tu mwenyew anahaha masikin😥mi najua maumivu ya kumzoea mtu namuonea hurum
@hajeralqaidi2115
@hajeralqaidi2115 3 года назад
Mtita we acha wamemtia aibu mwenzao
@mtitagirloriginal9472
@mtitagirloriginal9472 3 года назад
😥mungu atampa aliefanan nae
@winnieminyalla9430
@winnieminyalla9430 3 года назад
Hawa watarudiana tu trust me
@allyhamadi678
@allyhamadi678 3 года назад
dada ww unaakili kweli mapenz sio kitu tatizo mazoea Yani ukimzoea mtu kuachana tatu sana
@sharifaabdallah5667
@sharifaabdallah5667 3 года назад
Kweli jmn
@moudboss2030
@moudboss2030 3 года назад
Niliwai KUACHWA ,Nilikuwa Sitoki Nje Nashinda Ndani,Sili Chakula Vizuri. Moyo ulipoa lkn Akiri bado ilikuwa inamuwaza Ex wangu. Kikubwa Nilikuwa Nawaza Ucheshi wake,Mahaba yke,uthamini wake,upendo wake na vyote alivyonipa kwa Asilimia 100 eti amevifuta kwangu na kumpa mwingine. Nikamshukuru Mungu na ku move on. Alhamdullah 🤲 kwasasa Naishi Vizuri ingawa Bado Nampenda lkn si kimapenz,amebaki kuwa Ndugu yngu. Kauli yngu Ni MOJA kwake #SIWEZI KUMSAHAM LKN HAWEZI KUWA MAISHA YANGU" kauli hii imenipa Ujasili mkubwa na Furaha ya MAISHA.
@renildevenerand9473
@renildevenerand9473 3 года назад
Wana wake tuwenaakili jamani.mwanaume anamchezea mwenzako anamuacha anakuja kwako na wewe unampokea bila ndoa.na unaringa eti mume aniachie.
@vinaah3437
@vinaah3437 3 года назад
Wamama wengne wanashabikia, ukiona mwenzio unanyolewa ykotia maji🙌
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 3 года назад
Ila Bi Mkubwa ana fanana na Mume wake rangi hadi sura, Mwanaume ataenda kupata shida kwa bi Mdogo
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 года назад
Unaambiwa mkikaa kwa mda mrefu mnafanana😂😂😂😂😂😂😂
@latifahrashid1273
@latifahrashid1273 3 года назад
😄😄😄ni hatar
@monicahovda4524
@monicahovda4524 3 года назад
Mmmmmh Maisha hayaa, yote ni umasikini tuu huu ndio unaosumbua katika jamii,
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 3 года назад
@@mdzainb3722 Miaka 8 sio Mchezo 😂
@sirimohammed785
@sirimohammed785 3 года назад
Huyu mwanaume ndio kamfuja mwanamke mbona kwenye picha yupo mweupe mwanaume mweusi hivyo hi yo😂😂😂 Tumeishi mpk tumefanana lakini wapi akaniacha
@marysiom6321
@marysiom6321 3 года назад
Huu ni udhalilishaji jamani, NDIO WANAWAKE Mkome kuwabeba wanaume wasio na kitu,
@husnamfuko6136
@husnamfuko6136 3 года назад
Mh
@jescajulius8023
@jescajulius8023 3 года назад
Mm nmekoma tena nmekoma kwel
@joharichaima4309
@joharichaima4309 3 года назад
Yani wanaume ambao hawana kitu ni balaaa bora tu uliache likatafute lenyewe
@jescajulius8023
@jescajulius8023 3 года назад
@@joharichaima4309 mm ya hivo ctak ata kuyaona kwenye macho yangu pyuuuuuuuu.
@marysiom6321
@marysiom6321 3 года назад
@@joharichaima4309 umeonaeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
@spreadlove2119
@spreadlove2119 3 года назад
Ila we Geah mkanye huyo mwenyekiti aache hiyo tabia 🙁🙁 anamnyanyua mama mtu mzima hivyo?? Huo ni ukosefu wa adabu na haikubaliki 😏😏😏
@rosenaheka7100
@rosenaheka7100 3 года назад
Huyo bimkubwa na mme wake utafikiri watoto wa mzee Mpili
@bahatinassor9980
@bahatinassor9980 3 года назад
Maskini😂
@hafsahussein505
@hafsahussein505 3 года назад
🤣
@JacquilineNoah
@JacquilineNoah 7 месяцев назад
Uyu mwenyekit kitu ningemfanya asingeamin 😢😢😢😢😢
@navokisembo
@navokisembo 3 года назад
Ni kweli ndo maana wanamume Mnafanyiwa matukio ya petroli sio kwa kudhalilishwa na kuachwa namna hiyo.
@felisterandrew8741
@felisterandrew8741 3 года назад
Huyo Bi Mdogo anachokitaka atakipata Hakuna kitu kina Uma kama Mapenzi ,,,Inaumiza saana hasa kwa tulioyapitia kumuachia Mwanaume Mali Ni kumtukuza Mungu Tu bila Ivo petroli inaweza ikatumika.
@stellahwilliam7143
@stellahwilliam7143 3 года назад
Watachomewa ndani..subiri
@mwanaidyrul357
@mwanaidyrul357 3 года назад
Umeonaaa
@thobywills1623
@thobywills1623 3 года назад
Anachokiongea huyo mwanamke ni kweli wameishi na mwanaume huyo Ndele kwa mda mrefu sana toka mwaka 2014 yupo kwenye haki wanachomfanyia siyo jamaa huyo namfahamu vizuri sana
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 года назад
Wanaume sio wakuaminia
@mwagotimwanamvua5883
@mwagotimwanamvua5883 3 года назад
Waume wapuzi sana
@mylessmswelo7497
@mylessmswelo7497 3 года назад
Ndo maana wanawachoma moto et mm nimeshapata mwanamke mwingine Aya sasa huyo ayende wap wakat umeshamuhalbia usichana wake kazana dada acikuwache huyo
@linus275
@linus275 Год назад
Wamehalibiana
@liliankisoka6183
@liliankisoka6183 3 года назад
Sasa ndonaelewa kwa nn watu wanachomewa ndani yani unaachwa kirahisi ivyo
@awinji4097
@awinji4097 3 года назад
Umeona eeh kinachimuuma kamkuta mwanaume hana maisha alaf leo kapata anaenda kwamwanamke mwingne
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 3 года назад
Kweli bora wanachezea mahisia zetu
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 3 года назад
Wanao gombana huwa hawaachani, Ila Asha Mie,upumbavuu siutaki ,Wala ukewenza siutaki aaende, zake wallah.maisha popote potelea mbali, yaaani hata mume wangu analijuwa Hilo
@abasanjayusufu7266
@abasanjayusufu7266 2 года назад
Usiseme ivyo ww mwanamke
@sophiasophia6945
@sophiasophia6945 3 года назад
Kwani we mama haujui sheli? kanunue petroli huko ala
@upendoabraham2942
@upendoabraham2942 3 года назад
Ndo Mana tunawachoma Moto😅😅😅😅😅😅😅hakuna kutuacha ovyoovyo pumbavu.
@sarahtaste2876
@sarahtaste2876 3 года назад
Asante studio mwaka huu wajipange tena waombe serikali iongeze magari ya zima moto
@mwanaidyrul357
@mwanaidyrul357 3 года назад
Hivo tu wallah naapa hata Mimi saizi nipo tantion akizingua ni moto tu
@kilunjupolinah343
@kilunjupolinah343 3 года назад
Jamani hivi nyinyi wanaume wazima mnaburuta mwanamke hivyo, hamna hata hata heshima kisha eti serikali ya mtaa. Aibu kwenu
@mariamanafi22
@mariamanafi22 Год назад
Ilitakiwa waitwe askari wa kike wamkamate sio wanaume kumburuza
@فيصلالبادي-ح1غ
@فيصلالبادي-ح1غ Год назад
Jamani kwaza 😂😂😂😂😂😂😂yani mume pipa wanawake mifuniko sijaona mume wa kugombewa hapo huyu bwana niwakulelewa ndio maana hana msimamo pala lile mngelitia mikofi hapo
@munaelmimohamed9912
@munaelmimohamed9912 3 года назад
Damn I want to be a street police just to witness these kind of dramas first hand
@esadkulovic6777
@esadkulovic6777 3 года назад
Mm pia😂😂😂
@azizamohd5728
@azizamohd5728 3 года назад
Anzia kwenye kuwa mjumbe wa nyumba kumi
@esadkulovic6777
@esadkulovic6777 3 года назад
@@azizamohd5728 😁ndo apate muendelezo kamili wa uhondo mitaani😊.
@floryn1636
@floryn1636 3 года назад
😅😅😅
@sittiramadhan782
@sittiramadhan782 3 года назад
In Sh ALLAH nakuombea 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 3 года назад
Huyo mwanaume mwenyewe kama katoka jela Leo alafu wanamgombania Bola nifanye kazi tu huku mapenzi badaee 🇴🇲🇹🇿
@hasnasaif1075
@hasnasaif1075 3 года назад
Hahaaaaaaa Nikweli et daa
@ZaharadaffaZaharadaff
@ZaharadaffaZaharadaff 3 года назад
Kwakweli yupo ka gobole na anagombaniwa wanawake kawaroga nani sijui
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 3 года назад
Umeonaeeee datoo.yani ovyo zao
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 3 года назад
@@ukhtyrayyan7884 nimeona dada ngu
@FatimaFatima-wk1jk
@FatimaFatima-wk1jk 3 года назад
Kwa kweli
@isaachayes9783
@isaachayes9783 3 года назад
wanaume wameisha jamani inatakiwa sasa wadada waanze kukubali kushare ili kupunguza uhaba wa wanaume
@rahmabenta8349
@rahmabenta8349 3 года назад
Duu
@roseatieno6691
@roseatieno6691 3 года назад
Hawa watu hawajui kukata case manake mke mdogo hawezi sema kwamba hataki uke wenza na bwana ni wa mwenyewe. Wangesema kila mtu na zamu yake .
@carolmuchiri9921
@carolmuchiri9921 3 года назад
Jameni Nani Agetaka Kuachika Msimo Huu Wa Baridi, Kitanda Chenyewe ni Kibaridi, Mume Mwenyewe Amepagaa, Uswahilini Kuna Raha 😂😂😂♥️🇰🇪
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Год назад
😆😆😆😆
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 3 года назад
😂😂😂nacheka utazania mazuri hahaha Alphonse huyo bana 😂😂😂Mwanaume mashine sura hata mbuzi anayo 🤣🤣🤣🤸🏾‍♀️🤸🏾‍♀️🤸🏾‍♀️🤸🏾‍♀️
@mapenzisorotanizimbazimba8742
@mapenzisorotanizimbazimba8742 3 года назад
Hahaha
@laurarose1521
@laurarose1521 3 года назад
Chezea mkorongo wa kitandani...
@ashourahsaleh8958
@ashourahsaleh8958 3 года назад
Kwa style hyo wanaume moto wenu upo hapahapa duniani
@mwanaidyrul357
@mwanaidyrul357 3 года назад
Hivo hivo tunawakaanga tu kwa mungu wanaenda kumaliziwa
@stukiaally4690
@stukiaally4690 3 года назад
Kuna mtu nimemsikia hapo anasema "anacheza na Chilemba Chilemba akikugeuzia kibao ndio utamjua" 🤣🤣🤣 inaonekana huyo mwenyekiti hana maskhara loooh kumbeba mama mtu mzima kama mwizi si angamfukuza tu hapo ofisini kwake maana hiyo kazi ya jamii lazima uwe na busara
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 3 года назад
Jaman wanawake tyjitambue jaman khaaa tukiachwa Tuachike Mwisho ndio Moto, mara oooh kachomwa kisu kisa kuganda na mahusiano yasio na ya Aman, mwanaume akutak yanin mgando, rizik popote jaman tujikubal wamama, wadada kamq ipo ipo tuuu
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 3 года назад
Mimi nimezaa kula mtoto na baba ake nzao tatu,kwakero za wanaume Kwanza wanaumiza Roho, Roho yenyewe moja ikitoka Basi, Siwezi akikwanbia nimepeta mwingine muache aende,nakuke atatoka tu sinitabia yake,akirudi dawa yake akukute umepeta mwingine usimsubiri eti atarudi, upumbavuu siutaki,akirudi na magonjwa???
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 3 года назад
@@ashamwandu6572 nalo tena, bora ta lawama kuliko fedhea
@maryamdunga3896
@maryamdunga3896 3 года назад
Jamani zinaa inagombaniwa uwiii Allah tunusuru hizi aibu
@shamimuabdallah8801
@shamimuabdallah8801 3 года назад
Badala ya kushukuru kuachana na zinaa ww bado waililia zinaa basi fungeni ndoa hapo hamna yeyote mwenye haki
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 года назад
Kweli
@mtitagirloriginal9472
@mtitagirloriginal9472 3 года назад
Narudia tena kupenda kubaya san huyu kaka anavyomjibu mwenzie kirahis eti simtaki nishampata mwingine daah vifo mnatafuta wenyew 😥😥mama kakonda mpaka kapoteza muelekeo utapendwa saa ngap huyo mama anaitaji faraja anatress
@yusrasalum
@yusrasalum 3 года назад
Na yeye ataachwa tu atajibiwa ivyo ivyo nimemuonea huruma huyu mama ningekua Tanzania ningemtafuta
@hajeralqaidi2115
@hajeralqaidi2115 3 года назад
@@yusrasalum yaani we acha
@mtitagirloriginal9472
@mtitagirloriginal9472 3 года назад
@@yusrasalum yaan mi niliongea hivyo hivyo moyon
@umfahad2609
@umfahad2609 3 года назад
Eti kapoteza muelekeo. Wabongo mna maneno....? 🤣🤣🤣
@amaraemeka7442
@amaraemeka7442 3 года назад
Nakwambia yan kabaki kama mbuzi wa kafara zambi lakin
@zuenajohn8325
@zuenajohn8325 3 года назад
Wewe mume utasumbuliwa na mke mdogo hd ukome.
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 3 года назад
Ndio maana wanachomwa somo
@hamidaala2832
@hamidaala2832 3 года назад
@@zuwenaalamin8985 😃😂
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 3 года назад
Kwani mumewee wanazini tu iyo laaana Allah anamtia mitihani naasubiri nahuko Mbele ya haki sijui.atamwambia nini Allah
@mwanakombogodoro141
@mwanakombogodoro141 3 года назад
Mme mwenyewe aona haya
@mwamvitasaidi2630
@mwamvitasaidi2630 3 года назад
Huyu mwanaume atarudi tu kwa huyu mwanamke wa kwanza
@sekomzungu2725
@sekomzungu2725 3 года назад
Pole Dada achananae mudawako wakuishinaeumeisha utapata mwengine munguakipenda
@ummuadam2423
@ummuadam2423 3 года назад
Miaka 8 bila ndoa ksha munanunua viwanja cjui na nn, ndio manake munachomwa ovyo... Mapenzi mapenzi mabaya....... (in Saraharmonize voice)
@elizamwakitalu1194
@elizamwakitalu1194 2 года назад
Mbona akitulia akiridhika akapaka ki rotion mzuri tuu uyu dada na ivo mchakalikaji Mungu atampa mwingine bora kuliko uyo ila uyo baba atamkumbuka
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 года назад
Zinaa jamani inagombewa kweri mwishowa Dunia
@nareensaleh4957
@nareensaleh4957 3 года назад
Kwakweli watoto wazinaa wananadiwa waziwazi hakuna kificho wanawake watajaa masokoni natunayaona kwakweli allah atujaalie mwisho mwema
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 года назад
Mwisho wadunia hakuna mtu atakayejua ata watu wamiaka mingi kupita nao walikwisha kusema kama wewe usemavyo so Mungu amaweka siri kubwa katika jambo hilo
@ummimohammed9359
@ummimohammed9359 3 года назад
mtihani
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 3 года назад
innallillah wainna illayhi rajiun
@zayumar2955
@zayumar2955 2 года назад
Daah uyo mke mkubwa amejikaza tu ila kiukwel kama mtu unampenda SI rahis kumtoa moyoni lkn kwakua Mwanaume amekir mbele za watu kua hamtaki itabid tu akaze moyo atazoea na maisha mengine lazma yaendelee
@Bintimrembo-y1v
@Bintimrembo-y1v 3 года назад
Wanagombea mburula, huyo siyo mwanaume ni kivuli tu. Hakuna mwanaume anaye beba mpaka vyombo vya mwanamke🤣🤣🤣
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 года назад
Kweli kabisa ndugu yangu mimi niliwahi kumuachia mwanamke kila kitu na nikabaki na chumba tu vitu sio issue na vinatafutika
@esadkulovic6777
@esadkulovic6777 3 года назад
Jinsi walivyomnyanyua c sawa,inafaa pia wapate counselling,kisaikilojia kaumia anafaa asaidiwe,kuepukana na ulokaa nae miaka 8 c rahisi,sema kimeumana nacho😁😂,simuachi huyu kadandia gari kwa nyuma😂😂,kazi bwana anayo na b mdogo watakoma wao.
@zuenajohn8325
@zuenajohn8325 3 года назад
Dada kubali kugaiwa vitu mume utapata. Usiwe king'ang'anizi ukaja chomwa moto bure.
@sharifasharif3978
@sharifasharif3978 3 года назад
Kunyongwa au visu
@fatmasaid7093
@fatmasaid7093 3 года назад
😂😂😂😂😂😂
@zuenajohn8325
@zuenajohn8325 3 года назад
@@fatmasaid7093 sio ya kucheka dada Fatu kata rostiwa acha kawe king'ang'anizi
@فاطمةسعيد-ث2ق
@فاطمةسعيد-ث2ق 3 года назад
🤣🤣🤣
@faridaabdallah2213
@faridaabdallah2213 3 года назад
ACHIA LIKE HAPO CHINI KAMA KWELI GEA LEO KAKUKOSHA KAMA MIMI.💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃
@tatotato506
@tatotato506 3 года назад
💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼
@mamahafsa2867
@mamahafsa2867 3 года назад
💃💃💃
@mariambintsaid3814
@mariambintsaid3814 3 года назад
duh uyo mwanaume adi kukata vidole anakata jamani! Na meno ango'a yeye! Kweli apenda kujeruhi..wanawake Mungu atunusuru na petroli ipande bei tu
@heyumi2340
@heyumi2340 3 года назад
hata ikipanda bei tutanunua tu pesa gapi kwani
@robbemanase9051
@robbemanase9051 3 года назад
Dah , the victim of the domestic violences akiongea bila kujua ukubwa wa physical abuse aliyo suffer , Im glad angalau kajitambua kwamba amepigabia haki yake.
@merryabiaza711
@merryabiaza711 3 года назад
Arafu bi mkubwa hajari wara nn yupo konk asaaa
@teddylameck21
@teddylameck21 3 года назад
Yaan nimeamin hik ukikiona kibaya wenzio wanakiona kizur yaan uyo mwanaume anae gombaniwa😀😀yaan nimecheka dah uyo mke wa kwanza anajikaza ila kiukwel anampenda
@happybryce9715
@happybryce9715 3 года назад
Alphonce anagombaniwa watu Wana bahati jamn
@mariamateo9051
@mariamateo9051 3 года назад
😁😁😁
@zawadiramadhan6720
@zawadiramadhan6720 3 года назад
Hatakama anamakosa mwenye kitu hukupaswa kumbeba muhalifu ivi kwasababu Shelia inasema muhalifu mwanamke anatakiwa akamatwe na mwanamke mwenzie na muhalifu wa kiume anatakiwa akamatwe na mwanamme mwenzie haiwezekani umburuze ivyo kama mbuzi angekuwa Dada ake au mama ake anakutwa anaburuzwa ivyo angekubali mnampa bichwa uyo mwanamke mdogo mume anauma miaka 8 kamtowa geto ktk wanaume 8 petrol itaendelea kufanya kaz kwa kweli ira mwenyekiti jirekebishe kumbeba muhalifu usimburuze ivyo uyo RAIA wako insha allah
@margarethndyamkama5537
@margarethndyamkama5537 3 года назад
Mwenyekit kaboa
@irenejoster6331
@irenejoster6331 3 года назад
Mwanaume macho anavoyapepesa sasa km kajamba ukweni
@aminakipande5645
@aminakipande5645 3 года назад
acha kuniua mbavu🤣🤣🤣
@renildevenerand9473
@renildevenerand9473 3 года назад
Mimi bado nilikuwa namtafuta mwanaume anaegombaniwa😀😃😃😄
@mamaellen4790
@mamaellen4790 3 года назад
ha ha ha hii coment imeniacha hoi
@mamaellen4790
@mamaellen4790 3 года назад
mwanaume mwenyewe duu wanawake jaman
@irenejoster6331
@irenejoster6331 3 года назад
Hahahaha
@munadlebobo5234
@munadlebobo5234 3 года назад
Ila mke mdogo usifurahie mwenzio kuachwa ...mwenzako akinyolewa chako kitie maji
@happymboya8045
@happymboya8045 3 года назад
Kabisa kwakweli yaani IPO siku na mdogo ataachwa hivyohivyo.
@merickmalekela6493
@merickmalekela6493 3 года назад
😂😂😂😂😂 Gea Gea Gea 🤣🤣🤣 nmekuita mara tatu
@mariacassian8548
@mariacassian8548 3 года назад
Nimecheka kweli yaani hivyo alivyo buruzwa 2simuachi mume wangu nampenda 3huyo mume anae gombewa sasa Viombo vinatoka lakini mume hapana
@Sandra39823
@Sandra39823 3 года назад
Ndio maana wanawake wanawachoma wanaume,
@halimashabani6643
@halimashabani6643 3 года назад
Gea mwambie huyo mwanaume aende akaishi mbali kidg nahuyo bimdog lasivyo petrol itawaka wanawake ckuhiz wamepagawa
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 3 года назад
Watu wanagombea handsome wai na kitanda na godoro. Maisha haya😂😂😂😂
@hendricakitingaty8007
@hendricakitingaty8007 3 года назад
Mwenyekiti anamkamata MWANAMKE YEYE kama nani,,,angeenda polisi wapi polisi wanawake,,ndiyo wangemkamata,,,MAANA.hapo naona wanamshika shika,,,,siyo.sahihi,,,,HIYO mama akipata MSAADA wa kisheria wrote mliokiwepo chamoto mtakiona,,,
@davallamchambe5275
@davallamchambe5275 3 года назад
Hivi tu chanjo amuja chomwa je muki chanjwa si balaa 🤣🤣🤣🤣
@mwanamvuajumanne7515
@mwanamvuajumanne7515 3 года назад
Hahahahaha hatar san
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 3 года назад
😂😂😂😂tutakuwa mazeze
@rayanalhabsi8029
@rayanalhabsi8029 3 года назад
hi
@saladaniel9274
@saladaniel9274 3 года назад
😂😂😂😂
@saidahamis9683
@saidahamis9683 3 года назад
🤣🤣
@hawahaji5108
@hawahaji5108 3 года назад
Ila inauma sanaaa kwa kweli kwa mtu yaliyomfika anajua maumivu yake ila anajikaza sana yaani laivu anamkataaa duh
@layanalafifi5548
@layanalafifi5548 3 года назад
Sana uyu baba atapta lana
@jumanatv417
@jumanatv417 3 года назад
Bwana anauma nyie imagine hicho kitanda unaenda kulala mwenyewe looh... Baridiiiii 😂😂😂
@celestinedeodatus2743
@celestinedeodatus2743 3 года назад
😂😂😂
@busta_malik5971
@busta_malik5971 3 года назад
😁😂😂😂
@jeniferlaswai8873
@jeniferlaswai8873 3 года назад
Kama nasikia harufu ya petrol!
@victoriakyara8000
@victoriakyara8000 3 года назад
Huyo mume muda si mrefu atarudi kwa bi mkubwa, bi mdogo anaonyesha mkorofi
@winnieminyalla9430
@winnieminyalla9430 3 года назад
Kesho watarudiana hawa bi mdogo anamfundisha mume majibu anajua mapenzi huyu? Nyumba uliyoizoea ngumu kuiacha mtaniambia 😄
@chunaaeddo3387
@chunaaeddo3387 3 года назад
Serikal ya mtaa wasenge wanamdhalilisha mwanamke
@mauamrope7768
@mauamrope7768 3 года назад
Wanawake tumegoma kuachika siku izi kaza dada mpaka kieleweke 😂petrol bei chee tu
@aminakipande5645
@aminakipande5645 3 года назад
acha ujinga🤣🤣🤣
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 3 года назад
Ila kweli petrol si zipo lakini mm simooo😃😃😃😃🤭
@mwanaidyrul357
@mwanaidyrul357 3 года назад
Mie pia tachangia
@Jessy-f9w
@Jessy-f9w 3 года назад
Nimecheka ka mazuri
@margarethndyamkama5537
@margarethndyamkama5537 3 года назад
Tunaweza kuchanga kama hela haitoshi kupata Lita tano
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 3 года назад
Mmmmmh ndoa hizi jamani asingevaa mkaputula huo uchi wote ungekuwa nje
@Atb300
@Atb300 3 года назад
Kama umeckia kupiga na kujeruhi gonga like👍😂😂😂😂
@walaaabdallah3236
@walaaabdallah3236 3 года назад
Hata Mi nimeshangaa Umepigwa na umejerujiwa lakiki bado mume unamtaka😂
@zaituniwadi7836
@zaituniwadi7836 3 года назад
😂😂😂😂😂 Atari sana akiamungu
@sarahtaste2876
@sarahtaste2876 3 года назад
Uyo mwenyekiti mshenzi sanaaa una mbebaje hvo mshenzi nn
@khalossalim3723
@khalossalim3723 3 года назад
Bi mkubwa kaishi na mume miaka 8 had wamefanana wenyewe 😂😂😂
@jumarajab5316
@jumarajab5316 3 года назад
heka heka siku si nyingi tutaona huyu mama akiwa analala nje mlangoni kwa huyu mume
@esadkulovic6777
@esadkulovic6777 3 года назад
Hapa b mdgo na bwana hawatapata amani,but vzuri huyu mdgo atachoka karibuni na bwana atarudi kwenye hekaheka zao,wamezoeana hawa inakaa hawaachani.
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 года назад
Jamani mbona kuxalilishana kumuburuza hivyo ndonn sasa jamani siumwachie huyo bn AI
@haskao77
@haskao77 3 года назад
Hukusikia aliambia aende kwa amani akakataa
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 года назад
@@haskao77 wangemuacha angeamkaa mapenzi haya mwaka watachomwaa wengi huyo akivurugwaa naye atapindua serilakali
@jamilamwangoka1055
@jamilamwangoka1055 3 года назад
Yani mwenyekiti hakutakiwa kabisa kumnyakuwa vile yule nimwanamke he asingekuwaamevaa bukta he ingekuaje alafuilijambo mbonalinaongeleka alinahataulazima wa kupelekana polisi Kama nipolisi ilitakiwa wote wakae ndani
@stellah3844
@stellah3844 3 года назад
Siku si nyingi utasikia petrol 😂😂😂😂p
@samymacho6806
@samymacho6806 3 года назад
Ndo maana mnatiwa moto wewe mwanamke amekuvumilia miaka amekuokota uko unakuja kufanikiwa unamuacha mtu wakati mmeteseka wote inauma kwakweli na inaitaji busala sana na akiri vinginevyo kidumu kitausika tu
@pendogeorge1813
@pendogeorge1813 3 года назад
Huyo mwanaume aangalie sana.......vidumu vya petrol vitamuhusu😂😂😂
@khneesajumaa2052
@khneesajumaa2052 3 года назад
😅😅😅😅😅😅😅😅
@zuberinyenzi1982
@zuberinyenzi1982 3 года назад
😆😆😆😆😆
@mariamateo9051
@mariamateo9051 3 года назад
Yaani we muache tu na ivi Bibi mkubwa alivyochangamka
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 3 года назад
Jamani sio vizuri kumdhalilisha huyu mwanamke mhhh yasikitisha wallahi
@umfahad2609
@umfahad2609 3 года назад
Yani hawa wanawake km wanaigiza vile...? Na huyo bwana ana bahati ya kugombaniwa. 😂😂😂😂🇹🇿🇴🇲
@ruqayyahmohammed3188
@ruqayyahmohammed3188 3 года назад
🤣🤣🤣
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 3 года назад
Dezo iyo
@shukranlyimo8756
@shukranlyimo8756 3 года назад
wanaume wabinafsi unakimbia na kitanda mwenzio alale chini wakati huko unakoenda huna pa kukiweka mmmmh
@pendolazaro4686
@pendolazaro4686 3 года назад
Dah jaman 😂wanaume hawana huruma 😂😂
@mariamjuma4136
@mariamjuma4136 3 года назад
Mwanaume usimlie ukimlia kosa kubwa akichangamka lazima ahame Ukiona kakwama msaidie pale panapo bidi lkn ukibeba majukumu yake umekwesha
@calisterbosibori151
@calisterbosibori151 3 года назад
Wanawake hawana masikio...usiwahi mlea mwanaume....wacha akulee la sivyo atafute wenya anapemda period.
@maryamdunga3896
@maryamdunga3896 3 года назад
Mwanaume mwenyewe khaaa embu wanawake tafuteni pesa mpate wanaume wamaana
@ironefacemsovela4504
@ironefacemsovela4504 3 года назад
Wanaume ckuiz mnarogwa wanawake wachawi knoma,tena Hawa michepuko
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 3 года назад
Daaaah ila maisha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣tulinunua na kitanda cha kisasa lkn bado aliniacha🤣🤣🤣🤣
@vickyadrian1503
@vickyadrian1503 3 года назад
mwenzio hilo ndiyo ghorofa lake
@mariamateo9051
@mariamateo9051 3 года назад
Tamka Kama yeye chitanda
@flomenastephen2226
@flomenastephen2226 3 года назад
So sad pole mamy tafuta mwingine umemtunza inauma bc tu utapata mwingine
@cdeleo9336
@cdeleo9336 3 года назад
Kudhalilika kote huku kisa nini? si aachane tu na huyo mwanaume
@Ryoof-qo7if
@Ryoof-qo7if 3 года назад
Wallah tena
@ashaali7154
@ashaali7154 2 года назад
Sasa wanampeleka kituoni kwa kosa gani au Mwenyekiti ameshapewa mpunga? Kesi ya nyani utampelekeaje ngedere? Na huyo mke mwingine nae pia yatamkuta tu jasho la mtu haliliwi. Bwana mwenyewe mchovu ile mbaya bora tu dada ujiondokee likuepukalo lina kheri nawe. Mungu atakupa wako.
@rahmamashaallah2355
@rahmamashaallah2355 3 года назад
Bi mkubwa ng,andu bi mdogo ng,andu
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 3 года назад
Hawa ndo wanaochomaga majumba masikin nyumba kubwa hao hoi?
@maishayetufilm
@maishayetufilm 3 года назад
Dada Geah huyo Baba anakelele Wakati ulipoanza kuhoji hapo, siku nyingine uwe unawavuta pembeni kama unavowavutataga pembeni wakati wa kuhoji dada yangu....🙏🏾
@fatemazanzibar877
@fatemazanzibar877 Год назад
Nakupenda sana gea
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 3 года назад
Nikiangalia sura zao kuanzia mume adi hao mahawara zake wote walevi
@thresherjordan6829
@thresherjordan6829 3 года назад
Hv kuwa na suraza hivyoo ndo ulevi amaa angekuwa mzaz wako anaaambiwa hvyoo ungejisikiajee acha majivunooo
@zuhuraally6013
@zuhuraally6013 3 года назад
Jamani mbona wanamzalilisha kumbinua namna hio
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 3 года назад
Mtihan wallah huyu mwanaume mbaya sanaaa
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 3 года назад
Hayo ndo malipo ya zinaaa ndo yote hayo
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 3 года назад
Ninependa aliachia Mume safi sio liziki
@yusrasalum
@yusrasalum 3 года назад
Mh! huyu dada asilaumiwe mapenzi yanauma pia umri yani wanawake tunajichekesha hapo umbea mtupu na uyo mke mdogo yatamshinda tu mwenzio anakataliwa unaona raha 🤔😰 gea na wewe unamaneno eti mwenzio nalea vizuri 🤔
@mwanahawamajid7994
@mwanahawamajid7994 3 года назад
Uyo dada mwenye milasta ni mmbwa kawe nzima lila tukio la kawe lzm awepo
@heyumi2340
@heyumi2340 3 года назад
unakaaje na mwanaume miaka nane bil ndoa wanawake tumieni akili usiishi kwa mazoea
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 года назад
Mtihan
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 3 года назад
Mi naona watanzania wengi hawajui nini maana ya ndoa ..wanawake wa tz ni warahisi sana kiasi kwamba mtu unaziniwa ovyooo miaka nane eti sheria ya serikali inasema mkiishi pamoja ndo mshakua mke na mume lol hawa watu hawajitambui hasaa .ovyo sana
Далее
Тренеруем память physics drop 103 - 104
00:51
PUBG Mobile СТАЛ ПЛАТНЫМ! 😳
00:31
Просмотров 95 тыс.
HEKAHEKA: Mwanamke alivyofia Guest House Dar
10:43
Просмотров 40 тыс.
UPOFU WANGU..EP. (4)#magembe mchomvu.
20:52
Тренеруем память physics drop 103 - 104
00:51