Тёмный

BIASHARA 15 ZA MTAJI MDOGO ZENYE MZUNGUKO MKUBWA NA FAIDA KUBWA 

Kelvin Kibenje
Подписаться 9 тыс.
Просмотров 36 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

3 янв 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 153   
@user-kw6bv9qp4e
@user-kw6bv9qp4e 3 месяца назад
kaka ahsante sana bonge moja la plani umebadilisha kichwachangu
@user-qz2sk3is9c
@user-qz2sk3is9c Месяц назад
Yaap....!! Good idea
@gabrielmassawe354
@gabrielmassawe354 2 месяца назад
I appreciate brother, nipo Dodoma, ila chimbo zako zote ni za Dar, kuna connection yoyote kupata chimbo la nguo za watoto na yeboyebo. Ahsante sana.
@marianyahenge9529
@marianyahenge9529 3 месяца назад
God bless you kelvin
@user-pt6ky6jo6g
@user-pt6ky6jo6g Месяц назад
Nimependa biashara ya vindala vya wadada jinsi ya kupata chimbo ndo shida mm nipo TUNDUMA
@GlorianaMtui
@GlorianaMtui 3 месяца назад
Kaka Asante sana, Mimi nina kipaji cha kushauri ila sijui nianzaje kujitangaza
@user-kw6kg8kl1v
@user-kw6kg8kl1v 6 месяцев назад
Nimependa biashara ya dagaa ilinilipa sana ila badae nikakosa connection nzuri ya kupata mzigo but now natarajia kuanza tena, kikubwa ni kuthubu na kuweka aibu pembeni watu tuache kubweteka, asante ninajifunza mengi sana na mengi nimeyafanyia kazi, Mungu akubariki sana kaka Kelvin
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 6 месяцев назад
Kabisaa. Safi sanaaa
@user-kw6kg8kl1v
@user-kw6kg8kl1v 6 месяцев назад
Pia naomba chimbo la vyombo vya mtumba sahani, sufuria nk yaani vyombo mchanganyiko ila vya mtumba tu
@OfficialMutrah
@OfficialMutrah 3 месяца назад
​@@user-kw6kg8kl1vsamahan tafadhali waweza nipatia namba zako tuongee kidogo
@OfficialMutrah
@OfficialMutrah 3 месяца назад
Samahan waweza nipatia namba zako tuongee kidogo
@muniramboya8105
@muniramboya8105 3 месяца назад
Ukipata naomba unisaidie fatadhali
@mrhekimasuleiman3884
@mrhekimasuleiman3884 2 месяца назад
i wan't get it throgh soft cop, how can i get it
@vishainstitute438
@vishainstitute438 Месяц назад
Asante Biashara gani naweza kufanya ya kutumia gari?
@upendolairumbe889
@upendolairumbe889 6 месяцев назад
Madini👐👐
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 6 месяцев назад
Asante sana
@zechariahissa6096
@zechariahissa6096 2 месяца назад
Nimependa biashara ya vifaa vya simu
@KelvinErnest-my3ur
@KelvinErnest-my3ur 2 месяца назад
Biashara ya nguo za ndani hyo nzuri
@esteryohana5370
@esteryohana5370 4 месяца назад
Samahan kevi, nikihitaji kutangaziwa biashara naww nafata vigezo gani
@user-ds3tz8io8n
@user-ds3tz8io8n 5 месяцев назад
Napenda zaidi biashara ya kuagiza bidhaa nje, hapo umenikuna mr kibenje.
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 5 месяцев назад
Jifunze uanze
@MuhamedAjigar-dw9ve
@MuhamedAjigar-dw9ve Месяц назад
Nahitaji kufanya biashara ya vifaa vya simu lkn inshallah mungu akipenda niende china Kwa hiyo inabidi niwe na mtaji wa kiasi gani naomba jibu napatikana what's pp tu
@konakitaatv
@konakitaatv 21 день назад
good ideas,umeshau na biashara ya crypocurrencies wengi hawaijuina wengi wanaogpopa kirisklakininibishara inayolipa sana
@simonMollel-rr3gb
@simonMollel-rr3gb 3 дня назад
Ndo nn jmn
@SophiaMkumbwa-fu3uc
@SophiaMkumbwa-fu3uc 2 месяца назад
Kaka mimi nna frem nimelipia but nlkua na aidia ya kufanya duka la vipodz lakin now nimebak na laki moja too
@AYUBUNYONI
@AYUBUNYONI 15 дней назад
😂😂😂😂
@khadijaMustapha-if3rr
@khadijaMustapha-if3rr 4 месяца назад
kaka apo kwenye biashara za vitu vya usaf nataka kujua vizuri na mtaji na napataje connection ili niweze kupata
@user-ru4sj5lp8b
@user-ru4sj5lp8b 2 месяца назад
Karibu nikuunganishe
@user-eu1vl4ib1i
@user-eu1vl4ib1i 6 месяцев назад
🙏🙏🙏
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 6 месяцев назад
🙏 🙏
@fratilupembe3479
@fratilupembe3479 5 месяцев назад
Video to watch
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 5 месяцев назад
Yes, Thanks
@Choleta_Charles
@Choleta_Charles 6 месяцев назад
Mwanzo wa Biashara siku zote ni uthubutu na uvumilivu, bila hivyo ni zero....utajikuta ukikata tamaa mapema mno, au kufanya hiki na kuacha, kesho tena unafanya hiki unaacha...mwisho wa siku ndyo inafikia stage ya kukata tamaa.
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 6 месяцев назад
Ndio kabisaaa
@aimanmuhammed5486
@aimanmuhammed5486 Месяц назад
Nipo zenji ntapata wapi connection ya balo za nguo za watoto?
@francischarles235
@francischarles235 5 месяцев назад
Kitabu soft copy bei gani?
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 5 месяцев назад
Ni Tsh 10000 tu. Lipia kwenda lipa number 5122948 voda au Mpesa 0762815104 kisha tuma message whatsapp kwa namba hiyohiyo nikutumie.
@user-qi9wt9cg7f
@user-qi9wt9cg7f 4 месяца назад
Bro nahitaji icho kitabu hardcopy nakipataje????
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 4 месяца назад
Kwa sasa zipo softcopy. Hardcopy mpaka mwezi May
@JACKLINEMGAYA-wx1ku
@JACKLINEMGAYA-wx1ku 6 месяцев назад
biashara ya dagaa na genge smart na na nguo za mtumba za watoto
@CatheliniJohn
@CatheliniJohn 5 месяцев назад
Dagaa gunia shi.ngap
@angeljohnson5093
@angeljohnson5093 5 месяцев назад
Kaka me napenda biashara ya nguo za wanaume za kaliakooo
@neemakijoji4725
@neemakijoji4725 3 месяца назад
Napenda biashara ya keki na bites
@jofreymkanda6869
@jofreymkanda6869 4 месяца назад
Naomba uelezee zaidi biashara ya matunda, haswa haswa Apples
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 4 месяца назад
Sawaa
@user-ur1ol3hd8t
@user-ur1ol3hd8t 2 месяца назад
iyo ya vyombo
@JoyceEdward-fv4ou
@JoyceEdward-fv4ou 21 день назад
Napenda kuuza viatu vya mtumba
@catherinepayson-bx5iw
@catherinepayson-bx5iw 4 месяца назад
Chimbo la nguo za ndani kaka naomba nisaidie
@bowaschifunda8691
@bowaschifunda8691 6 месяцев назад
Mimi baiashara ambao napenda sana Mimi kuza nguo sasa naweza nika anzaje
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 6 месяцев назад
Biashara nzuri hiyo
@EvalyAnthony-ci4tc
@EvalyAnthony-ci4tc 4 месяца назад
Namm pia kaka msaada
@sunwizy608
@sunwizy608 2 месяца назад
nichki mm mwenzako
@DeboraDabana
@DeboraDabana 20 дней назад
Nimependa biashara ya dagaa nijinsi gani nitapata auconection nawafanya biashara wengine
@AmbweneKiputa
@AmbweneKiputa 2 месяца назад
Kaka naomba ufanunuzi wa biashara ya nguo za ndan je niko mkoa mbeya nataman sana kufanya na nakufuatilia sana
@user-jw5bq5qh7t
@user-jw5bq5qh7t 3 месяца назад
Kwel kaka nimekuelewa keni
@user-hh3dr3mz1x
@user-hh3dr3mz1x 4 месяца назад
Nikiwa na laki tano naweza anzisha biashara ya nguo za dukani special kuzunguka kwenye minada
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 4 месяца назад
Ndio inatosha kabisaa
@EvalyAnthony-ci4tc
@EvalyAnthony-ci4tc 4 месяца назад
Chimbo kaka lakupata izo nguo kwabei ya jumla
@sunwizy608
@sunwizy608 2 месяца назад
k.koo
@user-cz7xw9oc4z
@user-cz7xw9oc4z 5 месяцев назад
Chimbo la dagaa wapi kak
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 4 месяца назад
Ukipata watu wa Mwanza itakua vizuri sana
@KelvinNyaitara
@KelvinNyaitara 6 месяцев назад
Sawa kiongozi
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 6 месяцев назад
Shukurani
@EmmanuelPaul-iq2wr
@EmmanuelPaul-iq2wr Месяц назад
Makava yaana faida
@zuwenaalmasi9835
@zuwenaalmasi9835 6 месяцев назад
Naomba namba yako boss au niunge kwenye gruop lako whatsup
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 6 месяцев назад
Www.instagram.com/kelvinkibenje
@dicksonsadicksadick
@dicksonsadicksadick 2 месяца назад
Boss niunge what's sapphire kwa maswali zaid
@joanithamchunguzi4357
@joanithamchunguzi4357 3 месяца назад
Nimependa biashara ya nguo za ndan au mashuka
@LeaMkumbwa-gx4zf
@LeaMkumbwa-gx4zf 3 месяца назад
Nimeipenda biashara ya nguo zawatoto nijue mtaji wake
@sunwizy608
@sunwizy608 2 месяца назад
mm nauza mitumba kaka ata laki unaanza na unapata faida kubwa kikubwa kujituma na kueshim wateja bs
@user-sp5vh1vb2z
@user-sp5vh1vb2z 5 месяцев назад
Me nmependa biashara ya nguo za ndan lakin hap nna 10,000
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 5 месяцев назад
Jitahidi angalau Mtaji kuanzia 50,000
@irenefredius7622
@irenefredius7622 4 месяца назад
Machimbo yake Sasa tuambiwe jmn
@ElyNdaro
@ElyNdaro 2 месяца назад
Hebu fafanua zaidi kuhusu biashara ya viatu
@greenermichael2057
@greenermichael2057 3 месяца назад
Kaka mm cjawah kufanya biashara tofauti na duka la dawa za binadamu nataka nifanye biashara ya mitumba ,nguo za watoto na mashuka
@lucymaganga-bf1qq
@lucymaganga-bf1qq 3 месяца назад
Nimeenda biashara ya urembo Kwa akina dada inaweza nisaidie kuifafanua
@LeaMkumbwa-gx4zf
@LeaMkumbwa-gx4zf 3 месяца назад
Mitumba
@kimlulu2769
@kimlulu2769 6 месяцев назад
Biashara ya kuuza chakula Cha mifugo na kilimo na dawa zake je ni nzuri?
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 6 месяцев назад
Ni nzuri mno hii
@user-zh2xc1lz2t
@user-zh2xc1lz2t 6 месяцев назад
Kaka nakufatiliaa sanaa MUNGU anisaidiee nfanikiwee kupitiaa ww
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 6 месяцев назад
Amina
@adjahamis
@adjahamis 3 месяца назад
nifanyenini biyashala yagenge ijizungushe yenyew nainipefaida
@vinboe_tvonline2288
@vinboe_tvonline2288 4 месяца назад
Hongera kaka uko vizur
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 4 месяца назад
Asante sana
@dicksonsadicksadick
@dicksonsadicksadick 2 месяца назад
Kaka vp sas kuhus kazi za vipaji kwa mfano kunyoa
@robertmgori8165
@robertmgori8165 5 месяцев назад
thanks brother
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 4 месяца назад
Thanks too
@user-xz1th6lp6g
@user-xz1th6lp6g 6 месяцев назад
Biashara ya nguo za ndani mwalimu natamani nifanye
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 6 месяцев назад
Hii ni biashara nzuri mno
@saphinielnathaniel4273
@saphinielnathaniel4273 5 месяцев назад
Naomba sehem ya kupata vifungashio vya matunda
@lilykingo609
@lilykingo609 5 месяцев назад
Kama upo dar..vifungashio aina zote nenda mtaa wa tandamti
@rukiasaid9130
@rukiasaid9130 2 месяца назад
kariakoo​@paulomollel118
@valeriapeter6812
@valeriapeter6812 6 месяцев назад
Kaka naisaidie chimbo la hereni kwa bei ya jumla.
@sabihasalim-xz3vt
@sabihasalim-xz3vt 5 месяцев назад
tatoo bussiness centre
@EmmanuelPaul-iq2wr
@EmmanuelPaul-iq2wr Месяц назад
Me ntk kuuza matunda najli ubu niioone
@ElyNdaro
@ElyNdaro 2 месяца назад
Ebu
@EvalyAnthony-ci4tc
@EvalyAnthony-ci4tc 4 месяца назад
Kaka kwenye nguo zandani hapo nataka nijue zaidi mtaji wakuanzia nahata machimbo yake kwenye bei nafuu
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 4 месяца назад
Mtaji kuanzia laki moja
@aliciamwalimu582
@aliciamwalimu582 Месяц назад
Unaelezea vzr lkn as a teacher ukiulizwa maswali jaribu kuelezea vzr uko too short
@TusekileMwaswapu
@TusekileMwaswapu 2 месяца назад
Chimbo la nguo za ndani kaka
@thobiasbukali9008
@thobiasbukali9008 6 месяцев назад
Kuongea ni rahisi sana, hiyo ya kupiga picha aliwahi jaribu wife, tena alipata wateja kibao. Lkn baada ya mzigo kufika mpaka leo bado nguo zipo wakitafutwa sababu kibao. Miezi 2 sasa.
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 6 месяцев назад
Asikate tamaa apambane. Biashara inaweza kuwa ngumu mwanzoni lakini milango ikifunguka ni kutengeneza pesa. Tatizo wengi wanaishi njiani au kupoteza nguvu kabaka hawajajenga jina
@sakinamyao8284
@sakinamyao8284 6 месяцев назад
Alitakiwa akusanye pesa zao kwanza. Hayo ni matatizo ya wateja wanaoagiza bila kutoa pesa mwisho wa siku unaingia hasara
@user-ds3tz8io8n
@user-ds3tz8io8n 5 месяцев назад
Chiffu naanzaje hiyo ya kuagiza china na kwingineko
@user-yk8ct8ev9l
@user-yk8ct8ev9l 6 месяцев назад
Mkumbuke mwanzo mgumu ye anatoa mawazo tu.
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 6 месяцев назад
Ndiooo. Mwanzo mgumu lakini inawezekana. Bora upate mwanzo mgumu lakini upate matokeo
@user-yk8ct8ev9l
@user-yk8ct8ev9l 5 месяцев назад
Sawa tunapambana si kwamb tumekaa.
@user-di7wr5pl8g
@user-di7wr5pl8g 4 месяца назад
Naomba nieleze vzr hii ya dagaa
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 4 месяца назад
Sawaa
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 4 месяца назад
Chimbo la madhuka ya mtumba plz kaka.
@esteryohana5370
@esteryohana5370 4 месяца назад
Njoo mnazi mmoja
@kaukinatalia8029
@kaukinatalia8029 26 дней назад
Mnazi mmoja unajumua
@MaryAlly-fv5vl
@MaryAlly-fv5vl 6 месяцев назад
Samahani naomba nisaidie chimbo la rasta na namba zao😒😒
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 6 месяцев назад
Instagram kule
@MaryAlly-fv5vl
@MaryAlly-fv5vl 6 месяцев назад
Rasta sikuona 😒😒ila la chupi ndo nlipata😊😊
@gracejackson411
@gracejackson411 4 месяца назад
Mary naomba no yako me mwenyewe nahitaji iyo biashara ya chip na rasta au nielekezi 🙏
@veronicambilinyi3854
@veronicambilinyi3854 3 месяца назад
Biashara nzuri Kwa wafanyakazi was serikali ni zip?
@adjahamis
@adjahamis 3 месяца назад
mimi nafanya biyashala yangenge lakiniinanikata nifanyenini ilifaida iyonekane yanikilanikirikuzagenge linanikata najikutanaongezeya tenapesayangu yahakiba nifanyenini ili genge lijiendeshelenyew nafaida iyonekane
@user-to2kc8ph8t
@user-to2kc8ph8t 5 месяцев назад
Nimependa biashara ya vinywaji sorry unaweza nifafanulia
@zuwenaMalesa
@zuwenaMalesa 6 месяцев назад
Ya Nirahi matendo sasa Mpk usimame sio Leo hakuna biashara rahis
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 6 месяцев назад
Ukiamini hivyo hutafanya kitu. Wewe amini inawezekana na weka nguvu. Kama wengine wanafanya na wanafanikiwa na wewe unaweza
@lexalzsoko5163
@lexalzsoko5163 20 дней назад
Biashara ya Uwakala ya Tigopesa mpesa nk vp inafaa kwa wenye mtaji kuanzia Million?
@HumphreyAloyce-on1vl
@HumphreyAloyce-on1vl 16 дней назад
Nauza laini za uwakala ukitaka nicheki
@husnasadath-df6uk
@husnasadath-df6uk 2 месяца назад
Biashara za mitumba
@sunwizy608
@sunwizy608 2 месяца назад
napenda tujadili na ww husna mm iyo ndio kitu naipenda sana na akiliyangu ipo uko
@user-lk1ye4yr4y
@user-lk1ye4yr4y 3 месяца назад
Chimbo lavyombo vya mitumba lipo wapkwa anaejua
@dicksonsadicksadick
@dicksonsadicksadick 2 месяца назад
Lipo sokon
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 4 месяца назад
mi nataka ushauli napata
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 4 месяца назад
Karibu
@RehemaAthumani-lf9ov
@RehemaAthumani-lf9ov 3 месяца назад
Nimependa biashara ya mashuka kaka lakini siijui nitayapata wapi
@lovenessmichael7098
@lovenessmichael7098 3 месяца назад
Shuka zipi nikupe mchongo
@arafakotta8937
@arafakotta8937 3 месяца назад
Mapya​@@lovenessmichael7098
@StephaniaDickson
@StephaniaDickson 27 дней назад
​@@lovenessmichael7098 mambo maomba mchongo was mashuka ya Uganda na Thailand
@azizafataki6730
@azizafataki6730 6 месяцев назад
Nimependa biashara ya nguo za watoto mtumba tupe machimbo
@user-il3yo9ec6e
@user-il3yo9ec6e 6 месяцев назад
I like biashara ya dagaa inalipa mno
@user-il3yo9ec6e
@user-il3yo9ec6e 6 месяцев назад
I like biashara ya dagaa inalipa mno
@georgejohn415
@georgejohn415 5 месяцев назад
Ushauri ni mzuri lakini kunamahari sio sawa, Wewe mhauli wa biashara kama mkeo anafanya biashara ya mgahawa ana vibari vyote kisha unaona mtu asiye na kiburi ya aina yoyote yupo maofisini anasapray huduma ulizonazo unajiskiaje. Unapokuwa unaelimisha usiwakumbushe wanafunzi kuwa kuna mamlaka wanatakiwa kujisajili tukumbuke kuwa ndio maana waliopo kwenye cctim wanahujumiwa na hao ambao panyaroodi.
@EvalyAnthony-ci4tc
@EvalyAnthony-ci4tc 4 месяца назад
Ndio kaka
@adjahamis
@adjahamis 3 месяца назад
nifanyenini biyashala yagenge ijizungushe yenyew nainipefaida
Далее
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Просмотров 25 тыс.
NJIA ZA KUJILAZIMISHA KUWEKA AKIBA NA KUWEKEZA
8:50
Просмотров 3,9 тыс.
Ufugaji wa nguruwe kisasa.
34:35
Просмотров 48 тыс.