Hi vipenzi kila sehemu kuna bei yake so kuwa makini na mahitaji yako usiende hasara kama sehemu chapati zauzwa 30 wewe pia ingie kwa line bora technique zote uzijuwe..watch video hadi mwisho kwa kutaka kuelewa zaidi.Please Subscribe Shukran sana pia Share upate thawaab❤❤❤❤ Kwa description nimeweka playlist ya Video za Biashara👌 ru-vid.com/group/PL0lMsQJd3yDB5YqRtSZUla-Wb9N9XMqd5
Zitachambuka tu siku moja mpenzi usife moyo jizoeshe kupumzisha unga wako unapomaliza kukanda pia kwa kukunja hakikisha mikunjo yako wakati unasukuma Kuchoma unakua makini
A s w dada chapati yako nzuri naomba uniambie kwenye kilo tano ya unga natakiwa niweke prestige gram ngapi na kama ni mafuta ya kawaida niweke kiasi gani? nisaidie mamy