Тёмный
No video :(

BIBI wa MIAKA 70 ALIYEKAMATWA na DAWA za KULEVYA HEROINE AFUNGUKA UKWELI WOTE - "HAWAKUZIKUTA NDANI" 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 86 тыс.
50% 1

BIBI wa MIAKA 70 ALIYEKAMATWA na DAWA za KULEVYA HEROINE AFUNGUKA UKWELI WOTE - "HAWAKUZIKUTA NDANI"...
Baada ya jeshi la polisi mkoa wa Manyara kutoa taarifa kwa Waandishi wa habari juu ya kumshikilia bibi kikogwe mwenye miaka 70 kwa tuhuma za kukutwa na Dawa za kulevya aina ya Heroin, katika mtaa wa Maisaka (B) mjini Babati mkoa wa Manyara, leo Bibi huyo amefunguka juu ya mkasa huo ambapo ametusimulia kwakina namna alivyokamatwa na askari mpaka alipofikishwa kituo cha polisi Babati.
Aidha mpaka sasa kikogwe mwenye miaka 70 yupo nje kwa dhamana kutokana na changamoto za kiafya huku akitakiwa kuripoti tena siku ya Alhamisi katika kituo cha polisi Babati mkoani Manyara.
Akizungumza Kikogwe huyo amesema siku ya tukio hilo la kukamatwa kwake alikutwa nyumbani kwake akiwa amelala ndani kutokana nakuwa alikuwa mgonjwa ndipo alipoitwa na askari nakuelezwa kuhusu dawa za kulevya kukutwa katika eneo la nyumba yake.
Hata hivyo kikongwe huyo ametueleza kuwa siku ya tukio hilo, hakukuwa na jirani wala kiongozi wa mtaa wakati wa zoezi la kukaguliwa nyumba yake ndipo alipo kamatwa na kufikishwa katika kituo cha polisi Babati.
Aidha global tv Online imezungumza na Mwenyekiti wa mtaa wa Maisaka (B) halmashauri ya mji wa Babati Bw Issa Mnyaruge ambapo amesema siku hiyo hakuwepo alikuwa safarini ndipo alipopigiwa simu na kuelezwa juu ya tukio hilo.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750 910), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 248   
@globaltv_online
@globaltv_online 5 месяцев назад
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@mwitageseg6002
@mwitageseg6002 2 года назад
Jamani ni aibu kubwa kutafuta kik kwa kuwasumbua na kuwasurutisha wazee wetu! Kumbuka ! Leo wewe ni kijana na una nguvu ,ila kesho yaja ukiwa mzee na kikongwe,
@elibarikilaizer5766
@elibarikilaizer5766 2 года назад
Pole sana bibi yangu Mzee wa wanyonge katangulia mbele ya haki Tanzania ya sasa hivi mmmmmm acha tu nitulie bibi yangu mungu akufanyie wepesi
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 2 года назад
Poor poor kwaiyo wamefanya nn c wamemuachia baada ya kumuhoji sa uyo raisi wa wanyonge labda mnyonge wewee yule kama diamond mbele ya kamera maneno mengi mcheshi lkn nyuma ya pazia anaroho ya kikatili mbaya kwani wangapi wamepotea enzi zake mpaka leo yule sio wawa nyonge Sema alifanikiwa kucheza na akili zako
@modetheo5182
@modetheo5182 2 года назад
@@shubebunyesi542 kwa hiyo wewe unaona sawa walivyomkamata siyo? maana unasema si wamemwachia. unaongea kirahisi tu, je angekuwa bibi yako ungeongea hivyo? we huoni huyu ni mzee anaweza kufa kwa taharuki tu ya kuhojiwa .
@tatotato506
@tatotato506 2 года назад
@@shubebunyesi542 kwaiyo wewe umefulai walivyomkamata angikuwa bibi yako ungekomment upuuziapa
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 2 года назад
Duh atakam sio mam angu au bib yangu nmepata uchungu sana
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 года назад
Pole sana bibi 😢
@user-jz8sj5us1h
@user-jz8sj5us1h 2 года назад
Pole sana bibi😭😭😭😭
@akimuwaziri4089
@akimuwaziri4089 2 года назад
Wao wanafikili walizaliwa wakiwa wakubwa hivyo hivyo. umli hsugandi. hawatambui kua binadamu nimshumaa unawaka huku unaisha. iposiku mtakua vikongwe. Muogopeni mungu
@Chemba67
@Chemba67 2 года назад
HUYU BIBI APATE WATU WA KUMSIMAMIA ILI HAWA NDOROBO(ASKARI) PAMOJA NA KIONGOZI WAO (SIRRO) MWAKA HUU USIISHE ILI TUWAMWAGE, WASHENZI SANA
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 2 года назад
Sana kabisa ndugu yangu, wanaonea sana watu
@kichenjekichenje2072
@kichenjekichenje2072 2 года назад
Hamza aliyaona haya,yalipo mchosha akachukua uamuzi.Nadhani ipo cku tutaamua kupambana ili kujilinda wenyewe dhidi ya huu ujambazi wao.
@josephmushy9979
@josephmushy9979 2 года назад
Pole sana mama ,hao maskari waache upumbafu, au Elimu ndio shida kwao
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 2 года назад
Kabisa
@bonnysure8706
@bonnysure8706 2 года назад
Hao police hawana bibi zao au 😭😭😭😭😭
@modetheo5182
@modetheo5182 2 года назад
hawa watu hawana adabu kabisa Mungu anawaona kumsumbua bibi kama huyu na nyie mtazeeka Mungu atawapa adhabu na mtajutia
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 2 года назад
Pole sana bibi Mungu atakulipia hapa hapa duniani
@linamacha7686
@linamacha7686 2 года назад
Police najua mlikuwa kwenye majukumu yenu ya kikazi ila Mungu awajalie moyo wa hekima mkamwombe huyu bibi msamaha tena kwa magoti maana hii laana haitawaacha kabisaaaaaa hata kidogo 😭😭😭
@kichenjekichenje2072
@kichenjekichenje2072 2 года назад
Nikweli,vinginevyo itawagharim sn.
@akidasaidi618
@akidasaidi618 2 года назад
uyo kamanda alokua anaongea vitu ambavyo havipo sijui ata ivo vyeo alipataje. mungu atatulipia inauma sana basi
@abdulhmanmdee8707
@abdulhmanmdee8707 2 года назад
Dunia imefika mwishi uzalilihuu walio ufanya mungu avilaani vizazi vilivyohusika maana mungu ndiyo anayeujua ukweli
@phantyrhymes9536
@phantyrhymes9536 2 года назад
Mwenyezi Mungu ndiye mwenyekuijua haki. Tusihukumu kabla hatujahukumiwa. Inauma sana kuwadhalilisha wazee ikiwa si kweli.
@yusuphjaphary1955
@yusuphjaphary1955 2 года назад
Na inamaana kama ingekua Bibi angekua na kijana au huyo Bibi angekua kijana bac kesi wangemmbambikia,,,,, Kwa hiyo tunakuomba Mama Samia uangalie watu wengi wapo lupango Kwa kesi za kubambikiwa,,,,
@lucksonkalima1988
@lucksonkalima1988 2 года назад
Wanamsumbuwa bibi wawatu kwa kutafuta sifa waowalikuwa wanakimbiza vijana sasa bibi kahusika vipi huko tena
@godfreysamson3069
@godfreysamson3069 2 года назад
Dah noma Sana noma Sanaa inchi ishaanza kuwashinda sirkali ya hovyoooo..
@shekhahamed8110
@shekhahamed8110 2 года назад
Jamani poles bibi
@sadickkalinga3182
@sadickkalinga3182 2 года назад
Ukweli police wetu mjitathimini kweli bibi kama huyu awe na dawa Kama hizo? Mmh mungu akusaidie mamaangu
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 2 года назад
Ukisema polisi wa Tanzania wa ajabu wanakuja kujibu kwa hasira. Watu gani kila siku vituko,mara wameua Mtwara,mara sijui wanapiga watu Arusha,mambo ya ajabu ajabu tu
@sadickkalinga3182
@sadickkalinga3182 2 года назад
@@neemayatosha1618 Ukweli hata Kama ndio utendaji wakazi huu mmh wajichunguze maana hata mgambo hawezi fanya madudu haya
@amenaameeena3317
@amenaameeena3317 2 года назад
Polis mna rahana Bibi Mzee Ivo mnabambika kesi za mchongo Amna ATA haibu Mungu atawadhibu
@aloycesamba998
@aloycesamba998 2 года назад
Sina cha kusema zaid ya kusema pole sana bibi😭😭
@serafinamalecela4728
@serafinamalecela4728 2 года назад
Muacheni mzeee wawatu jaman 😓mumuacheni bibi wawatu kwa maisha ganiiii bibi anauhakika gani kama mizigo ni yakwakeee maskini wamembambika bibi wawatuuu
@gwakirayiamiri9009
@gwakirayiamiri9009 2 года назад
Jman hili swala wanasheria msaidieni huyu bibi apate haki zake 😭😭😭
@issamaduka1066
@issamaduka1066 Год назад
Haki za binadsmu moo msaidieni bibi yetu,jamani
@aishahusseni3352
@aishahusseni3352 2 года назад
Dah pole bibi malipo ni hapahapa uwo ni uzalilishaji mbona bibi na izo pigo aendani nazo jamani mungu atakulipia kama kweli uusiki
@mizowdash8640
@mizowdash8640 2 года назад
Dh! Mungu awalaan Hawo Askar
@ezekielloylepayon5042
@ezekielloylepayon5042 2 года назад
Hii nchi ngumu sana kwahiyo wale waliotangazwa awali mbele ya kamera ni akina nani, askari Mungu anawaona
@rinaldaoman7892
@rinaldaoman7892 2 года назад
Wezi hao polisi walikuwa wanatafuta pesa wamekosa
@hajiabeid993
@hajiabeid993 2 года назад
Dah mtihani sana huu sana na niudhaifu mkubwa Sana wa jeshi la polisi.. Ni aibu kubwa sana..
@TALLUBOY
@TALLUBOY 2 года назад
Kabisaaaaaaaaa
@nawechi4818
@nawechi4818 2 года назад
Pole BIBI yangu😭
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 2 года назад
Polisi ukosefu wa elimu uko dhahiri!
@januaryyolamu4069
@januaryyolamu4069 2 года назад
jamani dunia hii mbona sikuizi unyama mwingi napiya inatia huruma sana nawapenda sana akina mama wenye umri wa miaka kamahii Kwan namukumbuka sana mamaangu Mungu wabaliki sana akina mama wote Kokote kule waliko
@ashuramohamedumeongeavyema9710
@ashuramohamedumeongeavyema9710 2 года назад
Hongera
@januaryyolamu4069
@januaryyolamu4069 2 года назад
@@ashuramohamedumeongeavyema9710 tena
@petronillamnyambi7607
@petronillamnyambi7607 2 года назад
Ubaya daima watanzania mko wabaya huyo bibi mwacheni huruma jamani kikwete anauza madawahamja mfungasasa mnasumbua bibi mlaaniwe
@haarunsaidabdillahi4082
@haarunsaidabdillahi4082 2 года назад
Polisi wametoa ripoti za kughushi.
@afamefunaokeke6966
@afamefunaokeke6966 2 года назад
huo mzigo ni njama za hao maaskari, walaaniwe....walijuaje kuna mzigo umefichwa.
@user-jz8sj5us1h
@user-jz8sj5us1h 2 года назад
Kabisa
@aishahusseni3352
@aishahusseni3352 2 года назад
Magufuli atutaacha kutajwa Kila kukicha najua ila bibi ungekuwepo dah mungu akupunguzie azabu
@roswitaexavery3378
@roswitaexavery3378 Год назад
Kutakuwa kunamtu anataka kuzulumu eneo layuo Bibi hakiya mungu naapa hicho ndokinachokuja nimeshaona kabisa shetani washindwe kwajina layesu
@joramkimario9321
@joramkimario9321 2 года назад
Hii ni story nyingn au ni ileile.mana naona tofaut ya maelezo ya Bibi na askar
@ezekiamwakanyamale8027
@ezekiamwakanyamale8027 2 года назад
Mungu na awe hakimu Kati yenu ,kumbukeni neno la mungu lilitabili haya. Ila fikiria kama ingekuwa Ni Bibi yako ingehisije? Tumuombee kwa mungu baba amsimamie Amina.
@uwimanacamila2390
@uwimanacamila2390 2 года назад
Pole sana bibi hii nikesi yakutengenezewa labda shamba lako linatafutwa
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 года назад
Kusema kwel mimi SIWAAMINI POLISI WA TANZANIA mna tesa na kusingizia watu yani ukweli ni kwamba huyo bibi hana hatia yeyote
@manjaruu1575
@manjaruu1575 2 года назад
Haya maswala ya kukamata watuhumiwa na kuwaweka kwenye vyombo vya habari kabla hamjadhibitisha si mlisha katazwa?haya mzigo upo kichochoroni unamkamata mtu?ndo maana mkikutanaga na vichaaa mnagongwa mapanga mnakufa
@kichenjekichenje2072
@kichenjekichenje2072 2 года назад
Hicho ndicho kilichobaki.Wameshazoea hawa,ni wazi maadili ktk taaluma yao hakuna.
@alumonkisinda4574
@alumonkisinda4574 2 года назад
Jamani Hawa ndorobo wamenikera Bibi mwenye heloin awe amechoka hivi hizo wanauza wao kujinasua kijanja hapo amkeni kifikira
@josephatanazi1005
@josephatanazi1005 2 года назад
Nyie police Mungu anawaona huyu bibi hawezi kudanganya laiti ingekuwa huku swax radi ilikua haraliyenu mana mnezidi
@rizikahmad6930
@rizikahmad6930 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@camillahamis1069
@camillahamis1069 2 года назад
Haibu yani jamani 😂😂😂😂😂😂 hao askari Kama nawaona lilivyo washuka khaa
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Subhannallah
@papadimayo1chanel.747
@papadimayo1chanel.747 2 года назад
Hao polisi wachukuliwe hatuna kali za kisheria. Watu wengi sana wameteswa kwa mtindo wa kubambikizwa kesi.
@Ndegejrtz
@Ndegejrtz 2 года назад
Sasa hao vijana alio watangaza askar mbele ya kamera mbona bibi kawakataa askari mjitathmini mtapelekwa ukren
@suzanfelix6320
@suzanfelix6320 2 года назад
😂😂
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 2 года назад
kwa kua hawajielewi wacha waende tu 😂😂🇺🇦 mana hawajitambui kumsumbua bb wa watu bila hatia
@happyelias9465
@happyelias9465 2 года назад
Kama kweli wamemsingizia Bibi , nawalaani hao polisi wawe na uzee wa taabu na dhiki siku zote za maisha yao siku zao zijawe taabu tu 😏
@agathaandrew1374
@agathaandrew1374 2 года назад
Serikal ya sasa haina haki hata kidog tunaongozw kwa mabavu2 sisi wanyong hatuna haki tena tumuombe mungu atusimamie maan ndio mtetez wa pekee kwetu
@kichenjekichenje2072
@kichenjekichenje2072 2 года назад
Utakuwa na haki wewe!Mnyonge ana haki gani ktk serikali hii.Ungekuwa mfanya biashara mkubwa labda ungesha kwenda Marekani😀😀
@goodlucknjau77
@goodlucknjau77 2 года назад
Naona Dawa zime Rudi Tena zime saambaaa mpaka uchochoroni atari Sana
@Official83640
@Official83640 2 года назад
Sasa bibi wa watu angewafia kwa presha je jaman mbona uonevu waliomfanyia hd huruma kwakweli
@smwansasu8605
@smwansasu8605 2 года назад
Masikini bibi wa watu!!!! polisi Mungu anawaona. Bibi wa miaka 70 mnampakazia!!!! Dawa za kulevya zina dhamana kweli!!!! Mbona kina Manji and company hawakuachiwa waliposingiziwa!!!! Jamani wana sheria mnaona hii msaidieni bibi anasingiziwa. Hizo dawa huyu bibi na huu umaskini unaoonekana angefanya hiyo biashara kweli!!! Si angekuwa ana hali nzuri sana!!!! Polisi polisi Mungu anawaona!!!!
@reginamanyangu6682
@reginamanyangu6682 2 года назад
Unyama na uonevu wa hali yajuu, hivi police Tanzania mna nini lakin kuua muue nyie kila kitu nyie la musa hatujalisahau bado tu 🤔🤔🤔
@zahraalhabsi7931
@zahraalhabsi7931 2 года назад
Mtihan wallah
@kichenjekichenje2072
@kichenjekichenje2072 2 года назад
Sio Musa tu, Hamza umemsahau?Yule alikuwa shujaa wa kweli.
@getrudalufega9770
@getrudalufega9770 2 года назад
Hovyo Sana yanakamatakamata tu hovyo Sana
@jasmineeomary2041
@jasmineeomary2041 2 года назад
Huyu mariam apige mswaki jamani meno tunjano😁😁😁
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 года назад
Yupo bize na pombe
@welcometoeat165
@welcometoeat165 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nyie zamb mjue! Na kachangamka hatar
@ciarmnyone738
@ciarmnyone738 2 года назад
Mtu akizeeka kila kity huwa kinabadilikaa wew poleeeh kam ulihis yuko mchafuu kuna umrii ukifikaa lazmaa meno yana kuwa na rangiii ya unjanoo na nywelee huwa nyeupee na hta ladha ya vitu ukilaninabadilikaaa
@januaryyolamu4069
@januaryyolamu4069 2 года назад
@@ciarmnyone738 waambie nawao wanaelekea ukouko
@fatmamansour676
@fatmamansour676 2 года назад
Hao wamemuekewa wao mtu km huyo anayapata wapi wanataka kuonekane km wanafanya kazi kubwa kumbe kazi ya kusingizia mpk vizee
@emyfaustin7618
@emyfaustin7618 Год назад
Dahh njaa cy mchezo jmn mungu anawaona
@jacklinmasawe2697
@jacklinmasawe2697 2 года назад
Pole sana Bibi Angu mungu atawalaani hao watu waliyo kubambikizia hiyo kesi mungu anawaona jamani police
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Год назад
Walaaniwe na wafedheheshwe adui zetu.Mungu awaabishe adui zetu mchana kweupe.najiuliza hao police walikuja moja kwa moja kwenye zizi la ng'ombe waliongozwa na roho mtakatifu au?John ulienda mazima baba rudisha hata mzimu wako.
@evelynejuvenary2631
@evelynejuvenary2631 2 года назад
So sad😭😭😭😭
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 года назад
Bibi pole mungu atakulipia
@halimasulaiman3229
@halimasulaiman3229 2 года назад
Labda Kuna watu walimwekea mtihan kwakweli mungu amsaidiye huyu mama
@rakhimrahman6684
@rakhimrahman6684 2 года назад
Ooh JPM😥😭🙏🏿
@rogerioathumani9084
@rogerioathumani9084 2 года назад
Hivi muandishi huoni tu kama huo nimchongo hivi bibi kama huyo masikini anayajuaje mambo ya madawa daah mungu tusaidie watanzania
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 2 года назад
jeshi la p0lis mungu anawaona
@mohamnedsalum2150
@mohamnedsalum2150 2 года назад
Pole bibi
@camiliusmassao5686
@camiliusmassao5686 2 года назад
Kazi ipo....ipo siri kubwa hapo...wachunguzwe
@petronillamnyambi7607
@petronillamnyambi7607 2 года назад
Jamani kweli huyu bibi hawezi kuwa yeye atakuwa karushiwa maskini Jamani huyo bibi hata dawa hazijui hebu mwachieni bibi anaumwa hivi samia yuko wapi ammettere huyo bibi jamani
@halimakihame1744
@halimakihame1744 2 года назад
Assali mungu ana waonaa mmh
@salamaseif4183
@salamaseif4183 2 года назад
Jamani nyie Askari police mungu anawaona jamani
@mohamedsalum8933
@mohamedsalum8933 2 года назад
Huu upuuzi wa polisi utaigharimu serikali. Huyu mkuu wa jeshi la polisi anafanya nn ofisini baada ya matukio yote hya ya unyanyasaji dhidi ya raia? Rais nae amekaa anaangalia na kutoa maagizo...inatia aibu.
@khalidichams861
@khalidichams861 2 года назад
Angekua mama yangu tungegawana majengo uo mtiti wake
@ashurakodd1589
@ashurakodd1589 Год назад
Hata hivyo Mungu aliwapiga upofu ili madhambi yao ya kusingizia watu kesi yadhihirike
@kichenjekichenje2072
@kichenjekichenje2072 2 года назад
Nimemkumbuka Hamza shujaa aliye uawa kinyama ili kuficha uovu wao,Lakini Mtwara kukawaumbua,lkn pia wakamnyamazisha mwenzao wakijaribu kuficha ujambazi wao.Time will tell!
@nasrasway7143
@nasrasway7143 2 года назад
Jamani
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Год назад
SIO 70 NOOO 80 HEEE JAMANI
@michaelmaziku991
@michaelmaziku991 2 года назад
Kwa muonekano wa maisha aliyonayo bibi na hicho anachotuhumiwa nacho ni vitu viwili tofauti kabisa polisi mnatakiwa kufikiria kabla ya kuchukua maamuzi hata km mmekamata madawa kwa umri alionao ni vyema busara ingetumika basi hata kumuita kistaarabu kituoni lkn sio kwa mazingira hayo ni kumdhalilidha bibi wa watu bure pindi ikibainika hahusiki
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 2 года назад
Yeah bro maneno yako sahihi kabsa yaan huo mchongo hao police bro nchii yetu nomaa sana2 bro amin hilo bro 😢😢😢😢😢
@laurencemassawe9100
@laurencemassawe9100 2 года назад
Aibu kwa askari jamani uyo nimzazi jamani
@pilatoonlinetv9660
@pilatoonlinetv9660 2 года назад
Sikuhiz hakuna police ni vijana wa ccm wanaokotwa okotwa tu huko wanapewa magwanda ya kaki wanaanza kuvimba na kuvurunda mtaani . Elimu 0 zero, ndo maana Kibatara alinyoosha mpaka mkaharisha kizimbani 😂.
@dalali_professionalwa_dodo8330
@dalali_professionalwa_dodo8330 2 года назад
Polisi hii laana itawatafuna... Kwanza kabisa mtuhumiwa aliekamatwa na madawa ya kulevya readhanded NADHAN hana dhamana..haijalishi awe na afya gani...ila kwakuwa huu mchezo ni wenu..mkamuonea huruma huyu bibi. Mnatia sana doa jeshi.
@josephgregory9843
@josephgregory9843 2 года назад
Hawa polisi wetu wanahitaji kuchujwa na huyo kamanda inabid sheria ichukue nafasi ili tupate jeshi lenye weledi
@kijakazinyalinga7003
@kijakazinyalinga7003 Год назад
Ndio mana bando lime panda bei 😃😃eti bibi kashikwa na madawa yakulevy🤣🤣🤣
@welcomeorange7357
@welcomeorange7357 2 года назад
Hasbiyallahu waneema lwakil
@hashimumgessa5273
@hashimumgessa5273 2 года назад
Aiseeee dunia iko kasi sana tumefikia huku....
@floraashery224
@floraashery224 2 года назад
Binafsi polisi wa ya nawachukia sanaa
@halimasulaiman3229
@halimasulaiman3229 2 года назад
Subuhanallah
@wardamunguakuzidishew9399
@wardamunguakuzidishew9399 2 года назад
Pole sana mama yangu
@selemankasha4007
@selemankasha4007 2 года назад
Askali wetu sikuizi wamekosa uweredi fasaha zaidi ya kutafuta kki bilia kutumia chanya kubaini kitu pasipo uwonezi
@rosemaryjoseph2346
@rosemaryjoseph2346 2 года назад
Nimeumia sana walitaka kumbambikiza kesi bibi wa watu
@mosesallanadam1955
@mosesallanadam1955 2 года назад
Hao askari wasiachwe hivi hivi, wachunguzwe na kupewa kibano, hayo madawa ya kulevya kwa bibi huyu waliyapata wapi? Hao wanajua pasinashaka hayo madawa wameyapata wapi!
@ceciliaonyango5367
@ceciliaonyango5367 2 года назад
Jamani jamani bibi wa watú mmmmm
@rogerioathumani9084
@rogerioathumani9084 2 года назад
Mzee wetu IGP tunaomba uliangalie hili na hao ma askari waeleze vizuri ni aibu sana katika taifa letu tena mbele ya wandishi wahabari ni aibu sana
@abdunajuma1077
@abdunajuma1077 2 года назад
subuhanalah
@kichenjekichenje2072
@kichenjekichenje2072 2 года назад
IGP cmama imara,kuna uwezekano mkubwa kuwa unahujumiwa.Mambo haya yakipuuzi yanavyozidi kuendelea hapa nchini yanakuchafua wewe
@liberatussamson1865
@liberatussamson1865 2 года назад
police aibu yenu acha kumuonea bibi mtapata lahana au ndomnaupiga mwingi
@alimohammedomar3412
@alimohammedomar3412 Год назад
Namkumbuka yule mtunzi wa kitabu cha "Kusadikika Nchi Iliyo Angani"
@Ndegejrtz
@Ndegejrtz 2 года назад
Bongo bahati mbaya sana angelikua mamaangu uyo askar wangesema2 dawa ni za nani dharau hizo wameleta kwa bibi haswa kwa sisi tulio lelewa na bibi daah😭😭😭😭😭
@stellahlinusi8215
@stellahlinusi8215 2 года назад
ina uma kwakweli
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 2 года назад
Haki amungu yaani hii dunia kuna watu hawana hata haya, kama mnamsingizia mungu awalaani washenzi nyie Mlaaniwe kabisa
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 2 года назад
Polici wako na laana kwakweli Bibi yangu .ukalipwe pesa kwa Maana Polici hawana Adabu. Kabisaa .amaa huo Mzingo wa Dawa ni Mzingo wa Polici
@erastomapunda1444
@erastomapunda1444 2 года назад
Jeshi hili laana tu
@fetychina3273
@fetychina3273 2 года назад
Police ndio maana wana laana hawa hawana adabu kabisa
@nururaymond5
@nururaymond5 2 года назад
Jamani Bibi wa watuuuuuu
@rakhibaally4662
@rakhibaally4662 2 года назад
Mimi wananishangaza hao polisi mbona hao wanao yaleta yakapitia hapouwanja wa ndege wanakushindeni kuwakamata na kuwafatilia ? tena musimsumbuwe bibi wawatu badala mtanyea ubavuni
@mgallason...5686
@mgallason...5686 2 года назад
Hii si sawa hata kidogo
Далее
💀СЛОМАЛ Айфон за 5 СЕКУНД😱
00:26
Never Troll Shelly🫡 | Brawl Stars
00:10
Просмотров 1,6 млн