Тёмный

BIDEN amtambulisha Zelensky kwa kumuita PUTIN kwenye Mkutano wa NATO 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 22 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Авто/Мото

Опубликовано:

 

10 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 153   
@juliusjaliwa9887
@juliusjaliwa9887 20 дней назад
😅😅😅😅 Jeshi la mtu mmoja lina sumbua hhhhhh Putin kiongoz ambaye ana kosesha marais wengine usigizi Duuuuuu
@omarifadhili651
@omarifadhili651 21 день назад
Duh putin anawachanganya kweli mbwa zao
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 21 день назад
Putin ni heavy weight
@mohammed-_-home-_-boy0018
@mohammed-_-home-_-boy0018 20 дней назад
Kabisa
@PatrickJulius-uy3yb
@PatrickJulius-uy3yb 20 дней назад
Sana tena sana
@martinisadru9899
@martinisadru9899 20 дней назад
Omba sana, uwe na afya, njema,, kuna watu wana pesa kupindukia, lakini hawana furaha na hizo pesa, na mtu! Akiwa hajakutana na athari mbaya ya afya! Hufurahi sana, amwonapo yule aleipitia,, usiombe yakukute.
@festohaule9716
@festohaule9716 20 дней назад
Katika Maisha yako Duniani omba sana usikutane na changamoto ambayo pesa haiwezi kuwa sehemu ya msaada!!!!!
@martinisadru9899
@martinisadru9899 20 дней назад
Ni kweli, ambao hawajakutana na changamoto hiyo,, wao hufurahi na kuzani hakuna kitu kama hicho!,,, lakini ukikutana nayo!😢 Hata kama unapesa ndefu kama mlima kilimanjaro,, unatamani atokee mtu wa kutatua hiyo changamoto ulonayo, na umpatie hiyo pesa yako yooote, ubaki na afya njema,, ni heli uwe masikini,,,, lakini uwe na afya njema.
@piusrweyemamu3900
@piusrweyemamu3900 20 дней назад
Aise umeongea point kubwa saaana, Kuna kipindi niliumwa jicho ndio nikagundua faraha ya mwanadamu ni zaidi ya pesa.
@piusrweyemamu3900
@piusrweyemamu3900 20 дней назад
@@martinisadru9899 kweli kabisa
@edisonbayona-rz9ed
@edisonbayona-rz9ed 19 дней назад
Nikweli kabisa
@kdloon2030
@kdloon2030 20 дней назад
Yaani uchawa ni laana,Biden kakosea kumtambulisha Zelensky ila still wapambe wanampigia makofi!😢
@davemalekela
@davemalekela 20 дней назад
Watu wanaona afrika tu ila hii iko sehem mbal mbali
@mdachiog5211
@mdachiog5211 20 дней назад
😂😂😂 Hatarii
@abubakarimsere
@abubakarimsere 20 дней назад
😂😂😂
@wadantz123
@wadantz123 20 дней назад
😂😂😂
@majidimussa8678
@majidimussa8678 20 дней назад
haswah😅
@Mrdragoon85
@Mrdragoon85 21 день назад
Huyu jama Hatoboiiiii hata Akienda Sumbawanga 😂
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 20 дней назад
Sumbawanga😂
@cocotz1892
@cocotz1892 20 дней назад
Why Sumbawanga 😂😂😂😂
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 20 дней назад
😂😂😂sumbawanga tena jmn
@wadantz123
@wadantz123 20 дней назад
😂😂😂kwann sumbawanga jmn
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 20 дней назад
😂😂😂😂
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 20 дней назад
Zelensk nahisi imemkata kiaina ndani ya moyo😂
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 20 дней назад
Hilo ni Robot wawe wapole tu
@nizarrama225
@nizarrama225 20 дней назад
😂
@mbuyaelyaoni6266
@mbuyaelyaoni6266 20 дней назад
Safi kabisa, yaani amemaanisha kwamba Ukrain ni ya Putin😂😂😂😂😂😂😂😂
@musaabbinumeir7718
@musaabbinumeir7718 20 дней назад
ndioo😂😂😂
@yassinmohamed8241
@yassinmohamed8241 20 дней назад
😀😀😀😃😃😃
@ladooladoo1285
@ladooladoo1285 20 дней назад
Nyie huyu ni Mungu anaetenda haya yote yaani Mungu anamipango yake na akikupa jua kuna siku vitaisha iwe mali iwe madaraka iwe afya iwe uhai na hasa utapofanya makosa kwa kiburi au jeuri na kudhulumu jua hutoboi iko siku utaisoma namba hata kama si wewe basi kwa wanao na kama si wao kwa wajukuuu hata kama utakufa lakini ujue malipo yankusubiri tuu yaani unakuwa unajilaani mwenyewe na usiwe na shaka Mungu analipa, yaani tupo katika wakati ambao tumeshihudia haya mataifa yakiwa juu kwa kila hali na mbwembwe zao na pia tunashuhudia kwa macho yetu jinsi wanavokula waliyoyachuma kwani hatukuwa kufikiria hata siku moja kuwa kuna siku watakuja kuisoma namba jamani Mungu anatisha, ni wakati tuu na muda
@ibba8082
@ibba8082 20 дней назад
Kiwewe cha Kipigo,Hawa Wanakula Kichapo Cha Sawasawa Kabisa😂😂😂😂😂😂😂
@fauzishabani2622
@fauzishabani2622 20 дней назад
Tujipange na jua kutokea magharibi.
@allyopi6101
@allyopi6101 20 дней назад
Mzee kashakua robot anamuogopa putin kamanavyomuogopa mamake mzazi😅
@jessechristinme3923
@jessechristinme3923 20 дней назад
Huyu Mzee kachoka kimwili na kiakili
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 20 дней назад
🤌🏾
@khadijaalimohd1320
@khadijaalimohd1320 21 день назад
AGE IMECHUPA KNOMA ,AKILI ZIMEKIMBIYA.😂😅
@WakaliFashionTz
@WakaliFashionTz 20 дней назад
Kweli amedata dishi limeyumba huyu Mzee wanalazimisha tu
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 20 дней назад
Dah Noma... Mzee achia mwenzako!
@msafirimiracle6613
@msafirimiracle6613 20 дней назад
Unayemuhofu sana kisaikolojia amekutawala, hivyo amekushinda tayari
@stevenlugojeremia2323
@stevenlugojeremia2323 20 дней назад
Bila shaka Putin anacheka huko alipo, kupitia hii clip 😅
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 19 дней назад
Maskini jamaa anawanyima raha 😢😭😭😭
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 21 день назад
Kaka sky tuketee makala ya china kupeleka wanajeshi na makombola beralus
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 20 дней назад
Wamepeleka kumbe naomba chanzo cha habari ni sechi mwenyewe
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 19 дней назад
@@africanmandetraveler2847 wamepeleka nakufanya roteka mpkani mwa Poland siunajua Poland ni mwana chama wakujihami
@matanohassan9667
@matanohassan9667 20 дней назад
Shenzi zao Watajua km Putin Ni babalo
@Gody360
@Gody360 19 дней назад
Awo watu nao eti wanapiga makofi😂😂😂😂😂😂
@yohanakashinje1548
@yohanakashinje1548 20 дней назад
Age Go!!!
@d-manb-free3478
@d-manb-free3478 20 дней назад
Huh wanapiga makofi 😂😂😂 damn
@user-vn6vx1qk5i
@user-vn6vx1qk5i 20 дней назад
Kama ingekuwa ni kiongozi wa Africa kama alivofikia Robert Mugabe wangemuandama kweli lkn kwsbb ni American president wamekaa kimya Shenz Sanaa
@TrinaRoman345
@TrinaRoman345 20 дней назад
Hata uchumi wa Tanganyika haujawahi kuporomoka hivi .😂😂😂😂 fa fa fa fa fa ..Pole kwa Marekani 🤣🤣🤣
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 20 дней назад
😂😂😂😂
@masundelwa
@masundelwa 20 дней назад
Eti, kwani KUNA SHIDO??
@user-to4jw7tm1j
@user-to4jw7tm1j 20 дней назад
Biden hamna kitu atakufa kwa presha amefeli babu na washenzi wenziwe
@nsabimanadominique3907
@nsabimanadominique3907 21 день назад
PUTIN POWER IS PLAYING
@eleven-in5qw
@eleven-in5qw 20 дней назад
Natamani Trump arudi kwenye power alikuwa na mahusiani mazuri na urusi rashia na mataifa mengine
@Don.26Alien
@Don.26Alien 20 дней назад
Urusi Rashia...???
@mohammed-_-home-_-boy0018
@mohammed-_-home-_-boy0018 20 дней назад
👏👏👏
@givenhappy__bu1
@givenhappy__bu1 20 дней назад
Mzee kajachanganyikiwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@julianmsele3880
@julianmsele3880 20 дней назад
watu wasichokijua biden ni artifitial intelligence, kama mtakumbuka kile kipind alisemekan kaumwa mahututi alifariki so wakambust kwa artificial intelligence so biden ni full robortic hata ukimtazam mcho na mwenendo wake ni kam kuna kitu kinaukontrol mwili ulee
@aloycekomba1
@aloycekomba1 20 дней назад
Wanamuwaza sasa PUTIN
@salymsuleiman2035
@salymsuleiman2035 20 дней назад
Putin anawachanganya mashoga
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 21 день назад
😂😂😂😂😂 yaani inch inaongozwa na chizi wanainch wote vilaza
@hopechidera
@hopechidera 20 дней назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@shaviercharvinho18
@shaviercharvinho18 20 дней назад
Dah hiiii ni chuki zaidi na zaidi
@toyimwamedi6460
@toyimwamedi6460 20 дней назад
APO KITAHALAMU AMETANGAZA USHINDI WA PUTINI.KWA SABABU ISIYA ZAKE ZOTE INAHONESHA ZIKO KWA PUTINI
@hanifa9153
@hanifa9153 20 дней назад
Damu za wa Palestine zinamuandama💔 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 21 день назад
😂😂😂 putin apiga Kimbola akiwa hukohuko cremlin
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 20 дней назад
😂😂😂😂 atakuwa na vibuyu mwamba wetu
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 20 дней назад
Mmmh
@Oboss_billharvester
@Oboss_billharvester 20 дней назад
Huyu ndo tunamuita Vladimir Putin, MTU mwenye nguvu na ushaishi kwenye dunia ya sasa hasa kwenye ulimwengu wa siasa na diplomasia
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 20 дней назад
Mzee amechoka 😢
@maulidubaya1642
@maulidubaya1642 20 дней назад
Mzee ashapagawa tayari
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 20 дней назад
Anakesha kutwa anamuaza putini.
@saimongilala8938
@saimongilala8938 19 дней назад
Mungu mulindé Putin 🇷🇺🇷🇺
@user-ez9vi4pf3g
@user-ez9vi4pf3g 20 дней назад
Uyu Raisi fuse moja aifanyikazi😅
@salitosofo5561
@salitosofo5561 20 дней назад
Uyo si allen
@inocentlema5574
@inocentlema5574 20 дней назад
Ila duniani wachumia tumbo n wengi, kakosea majina lakin kuna watu wamepiga makofi
@paschaljuma3312
@paschaljuma3312 20 дней назад
Boss akijamba hakuna kuziba Pua huwa mi nasema wazungu walitutawala na wanaendelea ila ni watu wajinga sanaaa😢
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 20 дней назад
Babeli pia ilianza hivi hivi kwa kuchanganyiwa lugha😂
@ip_header
@ip_header 19 дней назад
Age go😊
@MWINJILISTHURU
@MWINJILISTHURU 20 дней назад
Zelesk arudi tu kwa Putin
@Adamson-kz2pn
@Adamson-kz2pn 20 дней назад
Jamaa wanamuwaza afu yeye hawazingatii
@malkiawagiza1327
@malkiawagiza1327 20 дней назад
Hakuna utimamu wa akili yake. Ni mzee apatwa na ugonjwa usiyotibika wa Alzheimer.
@fxmeddy9567
@fxmeddy9567 20 дней назад
Umri wake ni 81, Ubongo umeshachoka huyo. Kuna wakati Huwa anasahau mpaka mada anayoongea inabidi aulize mada.
@HusseinAbdul-is9xq
@HusseinAbdul-is9xq 18 дней назад
Hao wauwaji nao za mwizi 40 ....!
@Lululemon55
@Lululemon55 20 дней назад
Nimecheka sana😂
@MWINJILISTHURU
@MWINJILISTHURU 20 дней назад
Huyo sio biden hilo ni robot, ikulu ndio ina siri
@AmaniMathod
@AmaniMathod 20 дней назад
Huyo ndiyo Vladimir Putin kiboko ya mashoga
@NdovuDentalClinic_
@NdovuDentalClinic_ 20 дней назад
Alien 👾👾👾
@user-kg9fn1ph9d
@user-kg9fn1ph9d 20 дней назад
Huyu mzee apumzike kwa amani
@user-pd5hl9di2q
@user-pd5hl9di2q 20 дней назад
Putin anawanyima usingizi
@user-pd5hl9di2q
@user-pd5hl9di2q 20 дней назад
USA walijitapa kuwa super power kumbe walijipima na watu wanaotumia sime kupigana wamejaribu kwa mwanaume putin kawapa kipondo wanalala wanamuota kama jinamizi sass
@sanaf8367
@sanaf8367 20 дней назад
Ukiona taifa linaanza kukosa viongozi ujuwe hio ni alama ya anguko lake. UK kabla ya kumpata yule baiya alikatalika na chama chake halafu yule aliechagulika akaonekana hafai akaekwa yule alieonekai hafai mwanzo.
@ernestkomba5403
@ernestkomba5403 20 дней назад
😂 No way! He must quite presidential race.
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 20 дней назад
😂😂😂 Putin hawatoki masikioni mwao 😂😂
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk 19 дней назад
Kizeeeee kishazeeeeeka wakitoe kisubiriiiiiii Israel afanye kazi yake
@SaraphinaKidoti-qe7gi
@SaraphinaKidoti-qe7gi 20 дней назад
Watu wanafik na wakapga makofi 😂😂😂
@j4amas5
@j4amas5 19 дней назад
Hahah jaman huyu mzee apumzike
@BenPeter-vp2cy
@BenPeter-vp2cy 20 дней назад
😂😂😂😂 nimecheka sana wakat anamtambulisha
@IbrahDeDonny-lv2lo
@IbrahDeDonny-lv2lo 20 дней назад
Putin ni Heavyweight champion 🏆
@jerominalfonce
@jerominalfonce 21 день назад
GOD OF WAR🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 20 дней назад
Putin babe la dunia
@paschaljuma3312
@paschaljuma3312 20 дней назад
Hahaha Putin anawanyima Usingizi kila kukicha wanamuona Putin
@noelgypsum
@noelgypsum 20 дней назад
😅
@fauzishabani2622
@fauzishabani2622 20 дней назад
Hizi ni nyakati za Mwisho. Mwisho .Kushoto imebadilika imekuwa kulia. Nakulia imekuwa Kushoto. Usishangae Bibi akashinda uchaguzi
@rockyvlogs2214
@rockyvlogs2214 20 дней назад
Embarrassment
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 21 день назад
Trump 2024✊✊
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 20 дней назад
Hahaa
@Qqambaa
@Qqambaa 20 дней назад
Putin aja Tz kukutana na samia suluhu 🥰🥰
@mohamedmzeemohammed3739
@mohamedmzeemohammed3739 20 дней назад
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 20 дней назад
Anakaribia kufa
@user-sn9nm1wu9j
@user-sn9nm1wu9j 20 дней назад
amechanganyikiwa na bado ajasema
@ConstantineCoscardrov-wb6ih
@ConstantineCoscardrov-wb6ih 20 дней назад
Hajielewi huyo.
@kidatokassim7616
@kidatokassim7616 20 дней назад
😂😂mzee kachanganyikiwa
@sundaysenga7608
@sundaysenga7608 20 дней назад
Kila mtu anakosea au kwasababu yeye president? Hao waandishi wa BBC yao yanawashinda tupeni break kidogo
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 19 дней назад
Kuna vitu na wakati bhnA
@ngoyaboy1590
@ngoyaboy1590 20 дней назад
Hahah kilicho mchanganya biden ni ile Vladimir ya mwanzo
@allyopi6101
@allyopi6101 20 дней назад
Huyo mzee kashakua msukule😅😮
@daxenkiller6274
@daxenkiller6274 20 дней назад
Boss hanuniwi we piga tyu makofy at kam..
@medyproductionTz
@medyproductionTz 21 день назад
😅😅😅😅😅😅😅
@moseskulola6913
@moseskulola6913 20 дней назад
Remember es you talking lot about smwhn evrytims you would call that person day and night.. And smtims you couldn't coffuse to call smwhn that person name you always sick... Nothing wrong anyone can forget it 😢
@truthtz8930
@truthtz8930 20 дней назад
😂putin anachanganya kichwa cha mzee
@bilonlestar7378
@bilonlestar7378 21 день назад
😂😂😂😂😂😂
@salvinhosn3916
@salvinhosn3916 20 дней назад
😂😂
@francomwacha2262
@francomwacha2262 20 дней назад
Tangu aonyeshe ubaguzi wa yule mrembo huyu anenitoka kabisa
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 20 дней назад
😂😂😂 #PUTIN is his nightmare 😂😂😂
@jotafungo4622
@jotafungo4622 20 дней назад
Putin kamatia hapo hapo
@othumanahmad
@othumanahmad 20 дней назад
😂😂😂😂
@SAYMOEKARIM
@SAYMOEKARIM 20 дней назад
Putin huwez kumkwepa 😅😅😅😅
@uaeuae1871
@uaeuae1871 20 дней назад
😝😝
@Adija-shimirimana4
@Adija-shimirimana4 20 дней назад
🫢🫢
Далее
Как пронести Конфеты В ТЮРЬМУ
19:16
Brawl Stars Animation: PAINT BRAWL STARTS NOW!
00:52
Просмотров 3,4 млн
Best exercises to lose weight ! 😱
00:19
Просмотров 11 млн
Family Guy Roasting Different Countries
17:29
Просмотров 13 млн
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Просмотров 4,6 млн
How to win a argument
9:28
Просмотров 417 тыс.